No video

USINIPITE - Tumaini Shangilieni Choir

  Рет қаралды 132,942

Tumaini Shangilieni Choir

Tumaini Shangilieni Choir

4 жыл бұрын

Pass me not oh gentle Savior, Hear my humble cry.
Tumaini Shangilieni Choir,
/ tumainishangilieni.choir ; / tumainishangilienichoir

Пікірлер: 63
@davidmzia5446
@davidmzia5446 3 ай бұрын
Mungu ni mwema sana 2024 anazidi kutupigania
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 ай бұрын
Amen Kubwa
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 ай бұрын
Sauti nzuri Kwaya nzuri Mbarikiwe wanakwaya wazuri
@henrychaula1174
@henrychaula1174 11 ай бұрын
Kwa mara nyingine tena mpiga gitaa la bass amekuwa ananikosha toka miaka ya 1990 hadi leo 2023, zamu hii akihanikiza na mpiga kinanda. Mungu wabariki hawa pamoja na waimbaji wote walioshiriki katika wimbo huu
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 Ай бұрын
Enzi hizo jamani kazi yenu Mungu anakumbuka
@nicholausmwakalobo484
@nicholausmwakalobo484 4 жыл бұрын
Daaaa! huu wimbo niko mdogo sana mzee alikua akiupenda sana aisee, umenikumbusha mbali sana sana, mbarikiwe sana
@eliadaimon804
@eliadaimon804 Жыл бұрын
Kaka huuwimbo duunamiminirikuwa mdogosana mzeewangu arikuwa anaupendasana
@user-sm5cy5cj1n
@user-sm5cy5cj1n 4 ай бұрын
😭😭😭😭😭🙏 usinipite baba I beg you. Please look at me now . Through this song reply my prayers
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 ай бұрын
Amen, May the God Lord Remember you and answer all your Prayers in Jesus Name
@macharosandra9467
@macharosandra9467 2 жыл бұрын
Hizi sasa Ndio nyimbo zinakufanya utafakari ukaribu wako na Mungu, sio hizi za sasa wanakata viuno tu
@budgeter4807
@budgeter4807 4 жыл бұрын
Aisee huu wimbo nimeutafuta sanaaaa.. Abarikiwe aliyeuweka.. @Nicholaus Mwakalobo mzee wako kama wangu tu
@paulmwalongo6476
@paulmwalongo6476 3 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana Mungu awabariki sana nyimbo zenu ni nzuri mno
@gertudenzikobankunda3978
@gertudenzikobankunda3978 3 ай бұрын
Burundi tunawapenda sana
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 ай бұрын
Amen Amen
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 4 жыл бұрын
Siwez kusahau maisha yangu yote Ni wimbo ambao siwez hata kuuelezea. God bless you abundantly
@salamahorace3549
@salamahorace3549 2 жыл бұрын
Nakumbuka mbali nilikuwa mdogbalikiwe sana
@jipsonmwallo7887
@jipsonmwallo7887 7 ай бұрын
Mhhhh asante sana
@christinegyunda5743
@christinegyunda5743 Жыл бұрын
Aamina wapendwa
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 жыл бұрын
Dah kipind nyimbo za injili ni nyimbo hadi machoz yanatoka mbarikiwe sana
@samuelmacha28
@samuelmacha28 Жыл бұрын
dah, hizi ladha siku hizi zinapotea. ashukuriwe Mungu walau tunaweza kuzitafuta huku. siku hizi ni AMAPIANO tu huku makanisani.
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Memories... What a blessing
@msyanituntufye3441
@msyanituntufye3441 4 жыл бұрын
Yaani kiuhalisia nimefurahishwa sana na aliyeweka wimbo huu kwani huwa nakumbuka mbali saaaana huwa nabarikiwa sana Mungu awabariki sana ktk utumishi wenu.
@hurumamgonja5728
@hurumamgonja5728 4 жыл бұрын
Hii Nyimbo imenikumbusha mbali sana yaani, Mungu azidi kuwainua Watumishi
@lapurgaa7457
@lapurgaa7457 3 жыл бұрын
Nakumbukah mbali San ,ninapo sikilizah nyimbo hiii ,kipindi icho ninamiak 10 mpk Leo nikijn
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Жыл бұрын
Alafu Dunia ina ni Umiza Saana mi na Umia Roho yango Ina Chubuka Kidonda Acsenti Mubarikiwe DAIMA ❤ Shalom
@joelmoshy178
@joelmoshy178 4 жыл бұрын
Naomba mtupie na ule wimbo wa Lakini ndugu I like it
@sylviakadeha3261
@sylviakadeha3261 4 жыл бұрын
Upo humu tayari ...nimeupata jana itafute tu humu..barikiwa
@eliadaimon804
@eliadaimon804 Жыл бұрын
Duusawa kaka
@jovinkshumba5035
@jovinkshumba5035 2 жыл бұрын
Moyo wangu umejaa shukrani ya furaha ya machozi kweli kabisa Mungu unasikia maombi uimidiwe utabaki kuwa Mungu wa kuaminiwa
@kelvinnzilano6153
@kelvinnzilano6153 4 жыл бұрын
Ee Yesu usinipite Mwokozi wangu. SIkia kilio changu na maombi yangu. Nitaendelea kukulia Bwana hakika hautaniacha! Barikiwa sana kwa ujumbe murua!
@stephen3614
@stephen3614 Жыл бұрын
Waasisi wa muziki to this church walifanya zaidi na zaidi ilivyotatikana; Ee MUNGU WABARIKI WAO PAMOJA NA VIZAZI VYAO KWA UTUKUFU WAKO.
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Жыл бұрын
Shalom Shalom ❤❤❤❤❤❤❤❤😂thanks
@elizabethsakaya9453
@elizabethsakaya9453 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Tumaini choir....mmekuwa waimbaji wa muda mrefu sana Tanzania!! tunafurahi sana tukiona mnaendelea vyema kumtukuza Mungu!!
@fistonbanza1316
@fistonbanza1316 3 жыл бұрын
Nasema tena Mungu awainue kabisa
@japhetshirima8697
@japhetshirima8697 3 жыл бұрын
2021 bado huu wimbo unanifariji , God is so faithfull
@eliadaimon804
@eliadaimon804 Жыл бұрын
Amina mungu akubarki
@allenmhando8443
@allenmhando8443 2 жыл бұрын
Hizo nyimbo wakati huo ,Nilikuwa nazipenda sana hadi leo.nafikiri waimbaji hawa washakuwa watu wazima.
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana
@williamchami2207
@williamchami2207 4 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wake mliopokea ujumbe huu mkaufikisha kwetu kwa njia ya sauti
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 ай бұрын
Amen, Sifa na Utufkufu ni kwa Bwana
@vailethmaji2158
@vailethmaji2158 4 жыл бұрын
Duh mungu awabaliki sana Nimekumbuka mbali sana 🙏
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Жыл бұрын
Mateso mingi buchungu télé Rohoni ❤
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 4 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda mnooo since 2007 baba yetu anapenda kwaya yenu Hadi leo hii. Ni wimbo unaonifariji na kunipa nguvu daaah
@hatibukyupa2577
@hatibukyupa2577 3 жыл бұрын
Hakika Mungu ndiye muweza Wa yote,atushindia katika magumu mengi. Mungu awatunze waimbaji.
@minmianzi
@minmianzi 4 жыл бұрын
wimbo mzuri sanaaaaaa
@bupokigideon741
@bupokigideon741 4 жыл бұрын
Naomba muupload nyimbo ya kwanza katika album ya shangilieni part2🙏🏾
@akihose9835
@akihose9835 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sna wimbo bdo mpyaaaaaa MUNGU awabariki sna
@juliusmbaga5063
@juliusmbaga5063 3 жыл бұрын
M barikiwe sana
@tonyrighton7402
@tonyrighton7402 2 жыл бұрын
Old is gold usinipite Mwokozi
@IndexTechnology
@IndexTechnology 4 жыл бұрын
Amen sana 🙏
@kefawales8187
@kefawales8187 2 жыл бұрын
Tunaomba collection ya hizi nyimbo kwakweli album to album zile original version
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Utazipata kwenye channel yetu kila siku ya jumatano na jumapili tutakuwa tunaziweka.
@gwakisamwakilema
@gwakisamwakilema 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwani nakumbuka mbali sana.
@sarahyateri6794
@sarahyateri6794 3 жыл бұрын
Jamani huyu Mama sauti yake inamtoa nyoka pangoni anaitwa Mama Nani?
@agustinombago8663
@agustinombago8663 4 жыл бұрын
Hongereni kwa kutanisha na mungu
@fistonbanza1316
@fistonbanza1316 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe milele
@stephen3614
@stephen3614 2 жыл бұрын
Safi mnoo..STAY BLESSED INDEED
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 2 жыл бұрын
Beautiful rendition. Be blessed ❤️🌹🇰🇪.
@elijahaywago7274
@elijahaywago7274 4 жыл бұрын
jamani mniwekee nyimbo zilikuwa kwenye album ya "ilikuwa alfajiri". Niliongea na moja weni akaniambia nifanye order ila nimeshindwa. Niko nairobi na baba yangu alitununulia mkanda zenyu mingi ila zikaaribika kwa muda. Ningependa mweke nyimbo za hiyo album hapa mtandaoni nitashukuru
@pastorchrisshalom
@pastorchrisshalom 4 жыл бұрын
John mtangoo msaidieni Huyu ndugu
@musamutambuki4154
@musamutambuki4154 4 жыл бұрын
Mbarikiwe mbarikiwe sana
@asnathmlilapi7869
@asnathmlilapi7869 4 жыл бұрын
😭😭
Nakulilia Yehova
5:13
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 561 М.
ADAMU - Tumaini Shangilieni Choir
6:21
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 79 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН
Njooni na furaha - Tumaini Shangilieni Choir
6:24
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 59 М.
Angela Chibalonza - Yo Ozali Nzambe (Official Music Video)
6:55
Africha Entertainment
Рет қаралды 632 М.
USINIPITE MWOKOZI - KAC Feat. Pr. Joshua Mbwambo LIVE in KIRUMBA HYMNS FESTIVAL SEASON II
10:33
KUZALIWA
10:04
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 16 М.
AICT Chang'ombe Choir (CVC) -USIKU WA MANANE-Original
6:48
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 112 М.
Upendo Nkone Usinipite Bwana Official Video
7:11
Africha Entertainment
Рет қаралды 36 М.
Usinipite mwokozi unisikie - tenzi za rohoni
2:55
Godbless ebenezer
Рет қаралды 478 М.
Mwana Mpotevu
6:20
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 538 М.
Lydiah Joy Kaimuri - Usinipite Mwokozi "SKIZA 7118202" To 811
6:13
Lydiah Joy Kaimuri
Рет қаралды 176 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН