Nakulilia Yehova

  Рет қаралды 551,724

Tumaini Shangilieni Choir

Tumaini Shangilieni Choir

7 жыл бұрын

Tumaini Shangilieni Choir, / tumainishangilieni.choir ; / tumainishangilienichoir

Пікірлер: 356
@michaelmitimingi7310
@michaelmitimingi7310 4 жыл бұрын
dunuia imetoka mbali sana jaman ..........kama mnanikubali gongeeni like kwenye huu wimbo jaman ............mbarikiwe wote mnaosikiliiza huu wimbo
@faustinesimon1240
@faustinesimon1240 4 жыл бұрын
Huu wimbo una upako wa ajabu sana yaani ukiwa na shida unakufariji mpaka
@user-rb8dq6pj4s
@user-rb8dq6pj4s 4 ай бұрын
Tumaini shangilieni mungu awabariki sana mnaimba vizuri sana
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 ай бұрын
Amen Amen, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu
@rahabujulius4595
@rahabujulius4595 3 ай бұрын
nakulilia wewe pekee mungu toka 1992 mpaka Sasa 2024,jitukuze kwangu mungu
@arnoldvictor8763
@arnoldvictor8763 3 жыл бұрын
Pongezi zenu nyingi toka kwangu. Mlitia fora sana pale Kifula, Ugweno wilayani Mwanga mlipokesha mkiimba katika harusi yangu JULAI 11, 1992!!! SITAWASAHAU!
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Amen Amen. Ahsante sana; Mungu akubariki.
@paulmango_ke
@paulmango_ke Жыл бұрын
Nakutolea Mwokozi mali na maisha yangu, nikutukuze we Mungu; Ulimwengu navyo vyote viijazavyo dunia vyote ni mali yako Bwana. Maisha, napita; najiwekea hazina kwako ee Baba.
@anthonymbise1903
@anthonymbise1903 10 ай бұрын
Ni wimbo ambao kiukweli unatafakarisha sn ee MWENYENZI UTUPE MWISHO MWEMA AMEEEEEEEEEEEEEEN
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Jeshi lijapo pigana nami sitoogopa maana upo jeova❤❤
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 10 ай бұрын
Jeshi linapojipanga kupigana nami sintaogopa! Mbarikiwe wote mlioshikiri kuimba Wimbo mzuri huu!
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 Жыл бұрын
2023 niko hapa nakulilia Jehovah
@user-vm4yb1em4p
@user-vm4yb1em4p 3 ай бұрын
Same here
@josephkiteleja5102
@josephkiteleja5102 Жыл бұрын
MUNGU awatangulie sana nabarikiwa kupitia nyimbo hii sifa na utukufu ni kwako bwana🙏Asanten wazazi wangu Patrick Kiteleja na selina mkinga
@elibarikimushi3264
@elibarikimushi3264 4 жыл бұрын
Enzi hizo za Albamu ya SHANGILIENI, hadi tukawaita "kwaya ya shangilieni". Hakika waimbaji wakitulia na Mungu, kazi zao huwa zinaishi hazichuji.
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 4 жыл бұрын
Hakika hakika
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 4 жыл бұрын
Sitaogopa sababu ww upo Nakutegemea eweeh bwana wangu Katika shida zangu zoteee
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 3 жыл бұрын
Wallahi Bro Hii Choir unikumbusha mbali sana yaani, Marehemu Babangu aliipenda sana nasi kama watoto wake tukafata mkondo huo na tuliita jina hilo pia,,,, "Shangilieni Choir"
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Ni maombi yetu kwamba Mungu aendelee kuwatunza na kuwahudumia mwilini na rohoni
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 2 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir Amen 🙏. Nawapenda sana Choir inayoubariki Moyo wangu ♥️🤗🤗🤗
@vicentmeshack7612
@vicentmeshack7612 Жыл бұрын
Nakumbuka mengi na wengi,lakini katika hayo yote MUNGU utukuzwe,kwani ni mapenzi yako,naupenda sana sana huu wimbo.
@user-nz8wr5rx8g
@user-nz8wr5rx8g 11 ай бұрын
Nilikuwa mdogo sana enzi hizo lakin Kwa uimbaji wao sijawah kuwasahau jaman mungu awabariki sana hata kama wapo ambao wachatutangulia najua mungu ashawappokea
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 Ай бұрын
aisee hizi nyimbo hizi😢 MUNGU aturehemu tu tuendelee kuwa wazma! popote alipo mama yangu mama ngoro! mlitubaliki sana
@ChrisperMalamshacrispaseve
@ChrisperMalamshacrispaseve 2 жыл бұрын
Kila mwaka napitia huku time hizi, Udogo wangu ulikwenda poa sana enzi hizi ... Mungu awabariki wote kwa namna yake aisee!!
@user-pg5ol1xe7x
@user-pg5ol1xe7x 4 ай бұрын
Akika mulihimba vizuli mungu awabariki❤
@JohnThadayo
@JohnThadayo 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana,naposikiliza huu wimbo naona utukufu wa mungu kwakweli
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 ай бұрын
Amen, Endelea Kubarikiwa
@VickyTarimo-vx9fi
@VickyTarimo-vx9fi 11 ай бұрын
Nakumbuka mbali nahisi kulia kwa kweli (nakutegemea ewe bwana wangu katoka shida zangu zote) kama kuna walio tangulia mbele za haki kati yao mungu awafanyie wepesi .
@josephkiteleja5102
@josephkiteleja5102 11 ай бұрын
Amina kwa kweli utoto wetu ulikuwa mzuri sana
@devidpanja115
@devidpanja115 3 жыл бұрын
Furaha ilioje kuslikiza tena nyimbo zangu za utotoni asante Yesu
@mussamohamedi8581
@mussamohamedi8581 Жыл бұрын
Nawakumbuka Sana wapendwa karibuni Tena singida.niliwaona nikiwa umri mdogo bt now 2022 nyimbo zenu bado zinaishi moyoni mwangu.mungu awape maisha marefu mzidi kumtangaza bwana kwa nyimbo zenu.
@mtawali2002
@mtawali2002 2 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu. Unanikumbusha Radio Habari Maalum
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen
@amanindoveni7203
@amanindoveni7203 3 жыл бұрын
Huu wimbo...is one of the best songs I've heard when I was a little child. Naupenda sana na unanikumbusha mbali sana wakati nikiwa mtoto
@festohkozby1378
@festohkozby1378 3 жыл бұрын
That makes the two of us
@bonifasiakalumanga9188
@bonifasiakalumanga9188 2 жыл бұрын
Nami naupenda Sana,unanikumbusha mbali.hongera Sana.
@wittokalinga8316
@wittokalinga8316 11 ай бұрын
Hakika nyimbo zao huwa zinanibariki sana
@user-sm5cy5cj1n
@user-sm5cy5cj1n 2 ай бұрын
Nakutegemea wew Bwana wangu katika shida zangu zote. 🙏🙏😭😭😭😭
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni Akubariki
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 2 жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa nikakumbuka nyakati za DVD. Be blessed. Wonderful song ❤️🌹🇰🇪.
@luckypmsambaa4912
@luckypmsambaa4912 8 ай бұрын
jamani BWANA YESU ASIFIWE naombeni niurudie huu wimbo niufanyue kava nimeupenda sana umekua ukiutesa ufahamu wangu siku nyingi japo sina cha kuwapa niombi tu
@rodriguendoole9675
@rodriguendoole9675 9 ай бұрын
I have goose bumps whenever I listenen to this tumaini's songs, those were the days where people used to let the spirit of God takes the first place.
@officialidayo
@officialidayo 2 жыл бұрын
Still sweet in 2021 kama wasikiza Bado in 2021 drop your like
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Blessings
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 6 ай бұрын
2024 here. Blessed.
@shilarida3646
@shilarida3646 4 жыл бұрын
2020 February much love from Kenya. Since 1996 till now. Thank you God for everything
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 6 ай бұрын
Amen ❤️.
@josepharunga4614
@josepharunga4614 6 жыл бұрын
Tangu ujana wenu m'enibariki kwa nyimbo zenu. Nawaombea neema zake Mwenyezi Mungu. M'eimba nyimbo nyingi nzuri, lakini huu mkanda ndio my favorite! Be blessed
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen AMen; Ahsante sana kwa maombi
@hugongokoko7946
@hugongokoko7946 Жыл бұрын
Hakika Mungu alikuwepo karibu enzi hizo
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 6 ай бұрын
Still so touching, 2024Jan1.Sitaogopa, nitamtegemea Bwana. Amen❤️🇰🇪.
@fridahmandawa1779
@fridahmandawa1779 11 ай бұрын
Nabarikiwa mnoo na hii nyimbo.
@mercyombego9674
@mercyombego9674 3 жыл бұрын
This song reminds me of my late mum she used to love it
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
May her precious soul rest in eternal peace
@josphenenezerine2685
@josphenenezerine2685 6 ай бұрын
Amen , nakutengemeya wewe Mungu wangu katika shida zangu zote na maitaji yangu yote🙏🙏🙏🙏
@juliussonga6473
@juliussonga6473 7 жыл бұрын
Tumaini hapana lingana Na kwaya yeyote,mko Na upako wa tofauti sanaaaa. Mbarikiwe mpaka mshangae.
@listonmassao5130
@listonmassao5130 4 жыл бұрын
the best choir of all time...Cjawah zichoka hizi nyimbo Tangu enz hizo mpka mda huu...Mungu azid kuwatangulia na hizi nyimbo bdo ni hit songs kwangu...AMen.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maombi yako ndugu. Mungu aendelee kukutunza wewe na nyumba yako.
@KedmonKinyunyu
@KedmonKinyunyu Жыл бұрын
Amna sanaaa nabalikiwa Sana wimbo mzur una ujumbe
@lomaolais4155
@lomaolais4155 2 жыл бұрын
Hawa watu Mungu awabariki uimbaji wao unanibariki sana, nimekuwa nikiwafuatilia toka miaka ya 2000
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki pia
@israelzakayo2406
@israelzakayo2406 3 ай бұрын
Wapendwa mnanibariki Sana nawapenda sana❤❤❤❤❤
@tuomwinuka4460
@tuomwinuka4460 Жыл бұрын
This is my best song from my child hood...nakulilia Jehovah ...stay blessed my people mmenikumbusha mbali Sana na uimbaji uaiochuja
@frankmbatta440
@frankmbatta440 3 жыл бұрын
More than 15years listening to this song,kila siku is a new song in my heart.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
We pray that Jehovah, our Lord almighty who hears our cries, that he hears and remember you in your time of grief and rejoice
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
Acha tu aisee...nakumbuka maisha fulani hivi kiasi natoaga machozi,zamani hairudi na raha zake
@janethballi
@janethballi Жыл бұрын
Asante sana mungu awatunze
@MnkondoBendera
@MnkondoBendera 11 ай бұрын
​@@TumainiShangilieniChoir0:33 0:33
@user-fu4ki2ph7h
@user-fu4ki2ph7h 9 ай бұрын
The Psalm of David, still speaking and encouraging us to this day😢
@mangikariakoo4297
@mangikariakoo4297 2 ай бұрын
Nakulilia jehova 2024
@merina7348
@merina7348 2 жыл бұрын
Anglican Mungu atuimarishe tuzidi viwango zaidi ya hivi sasa congole Tumaini choir St.James
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen Amen, Ahsante kwa maombi; Mungu wetu mwema akubariki sana
@benard4378
@benard4378 Жыл бұрын
This brethren preached grace without their knowledge. The hand of God was upon them for God to reach out to us. I personally I received grace from their message and I think some today are old enough to sit and hear other generations singing but their songs were sawn together by the Holy Spirit. Thanks to God and to you for being a bridge for my reach out.
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 6 ай бұрын
Hawa ndio waliipeleka injili ya kweli hata kuimba kwao walidhamilia kumtimikia Mungu sio km waimbaji wa Leo wanataka kujionyesha na sifa nyingi na kwa ajili ya pesa tu
@mozesamizi931
@mozesamizi931 2 жыл бұрын
Wapendwa nyie watu wa Mungu mpo!!,wangapi waliimba hii wapo hadi leo!Mungu awabariki
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Tupo ndugu na rafiki yetu. Wapo wengi zaidi ya asilimia 95
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 10 ай бұрын
​@@TumainiShangilieniChoirnatamani siku moja tuwas8kie wote wakitoa shuhuda zao ,tangu walipoanza kuimba mpaka sasa,tuwasikie,mnatubariki mnoo
@labanakyoo4177
@labanakyoo4177 2 жыл бұрын
Mungu awabariki popote mlipo mlioimba wimbo huu, mliimba Kwa msaada wa roho mtakatifu, Bwana asiwaache,
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen
@stephen3614
@stephen3614 2 жыл бұрын
This CHOIR has played a very VITAL ROLE in my LIFE;May ALMIGHTY GOD BLESS YOU AND YOUR GENERATIONS INDEED.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen, we are glad and humbled to have been of impact in your life; May our Good Lord Jesus Christ bless you and your beloved ones
@gracehezron1216
@gracehezron1216 2 жыл бұрын
Glory to God
@gracehezron1216
@gracehezron1216 2 жыл бұрын
Katika shida zangu zooooteeee.Glory to God Tumaini choir
@clementkileo3782
@clementkileo3782 3 жыл бұрын
Hii kwaya nyimbo zoa zinanifariji na kunibariki sana.MUNGU awabariki sana
@esdraskambale9661
@esdraskambale9661 Жыл бұрын
Nyimbo hizo zajigenga sana. Mungu wetu aibariki shangilieni vizazi kwa vizazi
@mwitasamwel7972
@mwitasamwel7972 6 жыл бұрын
Jeshi lijapojipanga kupigana nami sitaogopa nakutegea wewe bwana wangu . mmbarikiwe sana popote mlipo st.james Arusha
@SuperBlessedb
@SuperBlessedb 3 жыл бұрын
Hayo maneno ninayapenda sana
@jenahando2747
@jenahando2747 Жыл бұрын
So many memories during that time and we are still here 2023.God is Great
@corneillemikalano7332
@corneillemikalano7332 11 ай бұрын
Wakati Mungu ali kuwa na heshimika
@dingo2110
@dingo2110 2 жыл бұрын
Heard this song from Ben mnyampi a salvation army officer missionary in Kenya who taught it to joyland special school for the disabled children.30years ago and it was a blessing and to date it touches my heart mightly...
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
We are so much humbled to have been a blessing into your life and the lives of those young children to who it was taught.
@festohkozby1378
@festohkozby1378 3 жыл бұрын
This song sounds heavenly. Takes me back in time
@paulmango_ke
@paulmango_ke 4 жыл бұрын
Tafadhali twahitaji nyimbo zaidi kama hizi si sarakasi, Asante.
@emmanuelmollel7755
@emmanuelmollel7755 4 жыл бұрын
Za kale dhahabu hapo nikumbuka niikuwa nakuwa naikuta hii nyimbo ila mpk leo inanigusa xana na naipenda itx ma favourate choir n' itx inxpire me enough
@georgeketo15
@georgeketo15 9 ай бұрын
Hawa jamaa hawachuji aisee... ni icon katika kwaya za kanisa Anglikana ... ni "marolimodo" wangu katika ufundishaji wa kwaya!
@eliudlucas8719
@eliudlucas8719 5 ай бұрын
Amina maina aaah inabariki saana
@benjaminjackson8567
@benjaminjackson8567 2 ай бұрын
Kiukweli mi huwa sichoki kusikiliza hizi Nyimbo zote🙏🏿🙏🏿🙏🏿♥️♥️♥️🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 ай бұрын
Ameen, Mungu wa Mbinguni Akubariki
@erickfredy4566
@erickfredy4566 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana "jeshi lijapo jipanga kupigana nami sitaogopa sababu wewe upo"🙏🙏
@innocentkamote7458
@innocentkamote7458 6 жыл бұрын
Kwaya yangu ya kwanza kabisa kuisikiliza na kuipenda mnafanya kazi nzuri sana
@berithaandersonn2234
@berithaandersonn2234 5 жыл бұрын
Nakutolea mwokozi, mali na maisha yangu.... vikutukuze ewe MUNGU... zamani utotoni nilikua nakasirika sana hizi video waziziweka yaani leo ndo naelewa ujumbe😁
@greysonmheni6938
@greysonmheni6938 3 жыл бұрын
Ee Mungu uwakumbuke watumishi wako hawa.
@bizamanamvukira7833
@bizamanamvukira7833 4 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kupata nyimbo hizi ni nzuri sana nilikuwa na album hii 1999 Sasa leo naipata nashukuru Mungu sana Mubarikiwe
@omarinziku9328
@omarinziku9328 3 жыл бұрын
Eeehhh mungu wangu tutazame waja wako, mpaka inanitoa machoz
@billyrique
@billyrique 6 жыл бұрын
Yaani huu wimbo ninapokuwa katika shida na majaribu nikiusikiliza huwa wanifariji sanaa! Maneno mazuri yanagusa sanaa!!
@billyrique
@billyrique 6 жыл бұрын
One of my best songs from this choir TUMAINI SHANGILIENI CHOIR ST. JAMES AC ARUSHA
@idikagutsungwa7784
@idikagutsungwa7784 4 жыл бұрын
Hakika wameimba
@lightnessmungongo9311
@lightnessmungongo9311 2 жыл бұрын
nazipeza sana nyimbo za hii album ...zinanibariki mnoooo❤️
@frankahia1883
@frankahia1883 2 жыл бұрын
Very special song And wonderful hakika Mungu alitukuzwa kupitia wimbo huu
@anosisyekinsindi7666
@anosisyekinsindi7666 2 жыл бұрын
Umejaa nguvu Roho mtakatifu
@amospemba189
@amospemba189 Жыл бұрын
kweli nimetoka mbali kipindi hicho nishaoga tuawekewa mkanda wa kwaya hivi. mbarikiwe 👌
@nsajigwarichard1951
@nsajigwarichard1951 3 жыл бұрын
Nasikia kutiwa moyo sana sana. Mungu awabariki sana wapenzi
@yusramgendi8582
@yusramgendi8582 5 жыл бұрын
Naipenda sn hii nyimbo nikiisikiliza napata amani ya ajabu.! inanikumbusha mbali sn! DahMungu awabariki sn.
@geraldnyawehe7421
@geraldnyawehe7421 3 жыл бұрын
Nawakumbuka sana nduguzangu mungu ayilinde Atlanta zenu.kiukweli ninamkumbuka Joni mtango wakati ninaimba kwaya yazaburi Ngaramtoni kiukweli walikuwa wanatupahamasa sana Mimi mpaka leonasikiliza hikwsya
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki zaid
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Amen, Tunashukuru sana
@stephanimtaita1158
@stephanimtaita1158 10 ай бұрын
Duuh kazi nzuri sana hii... Nausikiliza wimbo huu tangu ninunue kanda ya audio mwaka 2002.. Miaka 21 sasa
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 3 жыл бұрын
Naishukuru sana St.Phillips Anglican Theologian College Ya Dodoma Kongwa Kijiji cha Mlanga Nakumbuka Tulikua tuna ruhusiwa kuangalia Television siku ya juma Pili,na hivi ndivyo nika pata kuwajua ! na wimbo huu una endelea kuni jenga ki IMANI, nabarikiwa sana pia wabarikiwe wachungaji wanafunzi kwa kutuambukiza imani na kutujenga katika misingi mizuri mpaka hii leo tuna endelea na misimamo ya ki ROHO.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Hii ni kumbukumbu njema sana. Tunakuombea Mungu aendelee kukutunza.
@tumainisampeta5570
@tumainisampeta5570 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 2 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir Amina watumishi
@user-nz3db5gm1q
@user-nz3db5gm1q 5 ай бұрын
Hata mm huu wimbo unanikumbusha mbali San miaka kumi 15 iliyopita
@godygody6258
@godygody6258 2 жыл бұрын
Mbalikiwe Sana watumishi
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 4 жыл бұрын
Glory to God wakt ule 1995mpk 2000 sikujua km ntafik 2020 . Nikiw tayar mtu mzim kuona hii kwaya .Mungu nijalie na watt wangu waje niwape hii enz y kijijin
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
AMen ; Mung akupe sawa na haja ya moyo wako.
@lordorcas9344
@lordorcas9344 9 ай бұрын
Shalom E Bwana Yesu Kuja Ku tu Chukuwa mi na Choka Sana
@estherkwamboka4173
@estherkwamboka4173 2 жыл бұрын
This song sang in my heart yesterday night, Jeshi lijapojipanga kupigana nami sitaogopa sababu we upo 🙏🙌 asante yesu
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Ni Maombi Yetu Kuwa Mungu akapigane vita yako na adui zako
@sheilamohamed859
@sheilamohamed859 Жыл бұрын
Mi enyew naipenda vby eee yesu simama nasi
@lulusalila6200
@lulusalila6200 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana. Wimbo Mzuri naupenda sana
@eliyamulunga6220
@eliyamulunga6220 5 жыл бұрын
Binfasi, nabarikiwa sana. Nakumbuka, mara ya mwisho kuwaona live, ilikuwa 2013 Kwaya Ilipokuja KCMC Moshi. Siku hiyo ilikuwa ni mkesha. Kwaya pamoja na watu wengine tuliohudhuria siku hiyo, tulibarikiwa sana. Nakumbuka siku hiyo ilihudhuriwa na Mwimbaji Jackson Benty. Uwepo wa Mungu Ulishuka siku hiyo. Maana hakuna mtu aliyetaka kupambazuke mapema. Hebu hiyo hali iliyotokea KCMC 2013 Isizimike bali Izidi kuendelea katika uimbaji wenu. Please continues to maintain the Lord God's Presence which visited His people through your songs in KCMC Hospital in 2013.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Dear Eliya, Thanks for your prayers and words of encouraging us; We strive to serve Our Good Lord Jesus Christ in his Holiness as so in our daily Lives. Blessings
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 Жыл бұрын
2023 Jan nauona mpya kwangu kabisaaaaa
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 6 ай бұрын
Amen. 2024 Jan . Very nice still .
@webingogo3633
@webingogo3633 4 жыл бұрын
Wimbo huu hunipa nafasi ya kutafakari sana wema mungu juu ya maisha yangu:
@sospetermigera685
@sospetermigera685 9 ай бұрын
Kila siku huwa nasikiliza wimbo huu maana hunipa nguvu hakika kama hawa waimbaji wapo hai waendelee Kubarikiwe .
@barakakulwa3835
@barakakulwa3835 3 жыл бұрын
2021 AND STILL WATCHING THE SONG
@SalumHatman
@SalumHatman 2 ай бұрын
Wakati huo waimbaji walikuwa hawajalipwa wasanii wa mziki wa injili, walitumia neno la hekima kwaya, shetani mwovu alikuwa hajavamia vikundi vya kwaya
@johnruthaclaud8950
@johnruthaclaud8950 Жыл бұрын
Jeshi lijapo jipanga kupigana NAMI sitaogopa sababu wewe upo!!
@ev.shadrackbendepsalmist.6671
@ev.shadrackbendepsalmist.6671 3 жыл бұрын
Huu wimbo ni wa mwaka gani nilianza kuutaza nyimbo zenu nikiwa darasa la tatu na sasa ni mzee...nyimbo zenu hazizeeki
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Early 1992
@elihakisalehe5445
@elihakisalehe5445 5 жыл бұрын
Ni Mpenzi Mkubwa Sana wa Nyimbo za Shangilieni Choir tangu nikiwa mdogo sana kule Kijijini kwetu Kisiwani-Same-Kilimanjaro. Leo nimekua mtu mzima na Familia na bado ni Mpenzi Mkubwa wa Choir hii, Mungu Awabariki Sana ktk Huduma hii ambayo mnaifanya kwa Miaka Mingi sasa. Ni kupitia nyimbo zenu mmeokoa na kuponya wengi sana. Nabarikiwa Sana Sana na Nyimbo zenu.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Tunafurahi sana kusikia namna ambavyo Mungu amekua mwema kwako na kwa wengi kupitia huduma hii; Ahsante sana kwa kuendelea kutuombea.
@ymusic803
@ymusic803 5 жыл бұрын
hizi nyimbo ladha yake haipungui hata kidogo waimbaji walikuwa karibu sanaa na Mungu na walitumia "Neno la Mungu"na si maneno ya ujanja ujanja
@rosechawe3272
@rosechawe3272 4 жыл бұрын
yusuph mayige Ivy USB
@gananielsaphan2459
@gananielsaphan2459 Жыл бұрын
Wimbo huu unagusa sana moyo wangu, Kila niusikilizapo na kuutazama hisia za waimbaji natiririkwa na machozi,na kuhisi kuwa hakika Mungu yupo wakusikiliza kilio chetu
@anifampiluka8029
@anifampiluka8029 2 жыл бұрын
Nilipenda sana hii nikiwa mtoto kiukweli nimefurahi sana kuisikia tena
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
Aisee..kwa miaka mingi sana nimetamani kumuona huyo dada wa tano kutoka kulia safu ya mbele,huyu dada mweusi...tafadhari nijue alipo nikamsalimie popote pale kama yu hai
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
2022 bado nabarikiwa na nyimbo hizi🙏🙏🙏
@petermboye8118
@petermboye8118 7 жыл бұрын
God Bless you! One of the Best Gospel Albums of all times
@josephhizza8004
@josephhizza8004 4 жыл бұрын
Mmenikumbusha Mr. Mchaina hapa. Kweli duniani hatuna mji udumuo bali tunautazamia ule ujao. Mpendeni Yesu na kumtumikia mkijali sana Utakatifu katika mwenendo wenu wote. Bless you again.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Blessings to you our beloved brethren
@rehemasambwe637
@rehemasambwe637 19 сағат бұрын
2024❤ still the best song ever
@patriciagodfrey83
@patriciagodfrey83 4 жыл бұрын
Mnanifariji sana
@kapeto_tv
@kapeto_tv 2 жыл бұрын
This song makes me fear GOD.
@dicksonfocus
@dicksonfocus 4 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana asante Mungu wangu kwa yote unayonipigania,,,,, R.I.P Baba yangu
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza na kukupigania; May the precious Soul of Your father Rest in Eternal Peace
Nuhu
4:56
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 467 М.
Vita Vimekoma
4:48
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 375 М.
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 86 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 115 МЛН
Mtu wa Nne - Kinondoni Revival Choir (Official Music Video).
9:41
Kinondoni Revival Choir [KRC] The healing voice
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ee Bwana Uniumbiye Moyo Safi
4:57
Patrick Bulambo
Рет қаралды 80 М.
NISAMEHE - Tumaini Shangilieni Choir
7:40
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 273 М.
Ee Yahwe Simbanga - Kijitonyama Choir - Official Video
8:34
TUNAYE MUNGU - Ann Annie (Official Video)
5:53
Ann Annie Official
Рет қаралды 476 М.
USINIPITE - Tumaini Shangilieni Choir
5:20
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 129 М.
Mpigieni
10:34
Mamajusi Choir - Topic
Рет қаралды 289 М.
ROHO YANGU IRADHI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
6:28
UPENDO CHOIR ST.JAMES ARUSHA OFFICIAL
Рет қаралды 119 М.
Ilikuwa Alfajiri
5:17
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 440 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 968 М.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 5 МЛН
ENHYPEN (엔하이픈) 'XO (Only If You Say Yes)' Official MV
4:46
HYBE LABELS
Рет қаралды 18 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 364 М.
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1,4 МЛН