Steven m Mweusi the father of comedy... all the best bro
@elishapharles1098 Жыл бұрын
Jaman jaman ukwel steve is commedian number one in Tanzania and a big star in Africa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏200% anaweza saaana
@gipsonstivin864 Жыл бұрын
Kuna kicheche Sterling makoti
@DICKSONMATHIAS9 ай бұрын
Hongera kaka kazana
@styve367 Жыл бұрын
Bigapu Brazza Steven mweusi
@rahmah6635 Жыл бұрын
Nice broutafikambali mungu akuajalie
@NeemaLemway-cz7fm Жыл бұрын
Umetisha tx dull
@irankundawilliam953 Жыл бұрын
Steve mweusi huyoo😍
@gusonyusto9740 Жыл бұрын
Stv umezingua standing comedy bado
@nawelotunyoni56789 ай бұрын
Mjomba wake Dulaa anakazi
@mbanguclaude312911 ай бұрын
Cool Steeve mweusi
@MussaShedu-ts6hv10 ай бұрын
naomba Tujuwane uniunge kwenye kikudi cako namii najuwa kuigiza
@michaelbengesi9838 Жыл бұрын
huu wimbo steve unafanya watu tuwe malahila kama wewe
@PiusSikazwe Жыл бұрын
Nakubali sana
@christinerfransis-bn9ll Жыл бұрын
Nyimbo ya stive mweus
@BWANAMUHAYA Жыл бұрын
Sauti brother mafundi mitambo mziweke poa. God bless you
@kimongapro Жыл бұрын
Poa poa kaka usiache kutufuatilia tunarekebisha
@abrahamvesso3503 Жыл бұрын
Vijana wako na talent lkn saut zao kwa hizo instrument zenu zina sound vibaya Sana kwenye KZfaq
@consolatamedard659311 ай бұрын
Sana yani
@kerakaemmanuel55715 күн бұрын
Sound quality yenu mbaya
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Et we dullah 😂😂
@kimongapro Жыл бұрын
Hahahahaaaa steve ni fala sana
@endrewnicolaus9067 Жыл бұрын
Tx dulla🔥🔥🔥🔥🔥💖💖
@kimongapro Жыл бұрын
Oyaaaaaaaa ni 🔥🔥🔥 no kupoa
@patrickkalahuka63409 ай бұрын
Endambele Steven
@DicksonKilson6 ай бұрын
Nawakubali
@user-pg1td5fk8k4 ай бұрын
Kaka anajua
@stevendaud9979 Жыл бұрын
Kwenye sound aijakaa poa lifanyieni kazi
@eduuu30224 ай бұрын
Sauti mbovu sana
@BarakaNchingo-ur9pd Жыл бұрын
😂 mko vizuri
@kimongapro Жыл бұрын
Asante mkuu usisahau kusubscribe, like na kushare
@kefamakori6745 Жыл бұрын
Jameni watanzania wengu pliz angalia maneno ya camera pia sound systems
@Gody360 Жыл бұрын
Ushauri tu
@Joseph-bi3kw7 ай бұрын
Kaka pamoj San 😮😮😮😮
@wavinonoclassic1274 Жыл бұрын
Dullah hyo ya mjomba mlevi unaipenda
@kimongapro Жыл бұрын
Mjomba ni mlevi kweli
@bluelionboyhistory6591 Жыл бұрын
Hata fans tunaipenda
@HusseinNgendanyi Жыл бұрын
Hana mpya
@mussajuliusmanyanza9 ай бұрын
@@HusseinNgendanyiJklkkll
@byadieuwizbaby-yb8db Жыл бұрын
,😂😂😂😂
@Officialluchii5 ай бұрын
😊😊
@chandigamoses05 Жыл бұрын
😂😂
@MussaShedu-ts6hv10 ай бұрын
kaka uko pw
@halimaa9367 Жыл бұрын
kori liko wapi
@AyishaOman-cw4xs6 ай бұрын
❤❤❤
@official_solver Жыл бұрын
Naheshimu Sana Fani za Watu ila kwenye kipengele cha ubunifu hapo😮😮😮 naona story copy n paste na kurudia story
@EzekielSweke-ps1wr4 ай бұрын
Oiii
@johnmollel6915 Жыл бұрын
Quality ya saut mjitahd mlioko upande wa media, hatusikii vizur 🤷
@kimongapro Жыл бұрын
Asante sana tumelifanyia kazi tayari video zitakazopanda zina sauti nzuri
@gatantz97612 ай бұрын
👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emmaa_God16 ай бұрын
Watanzania tujifunzee kwa wakenya stand up comedy sisi bdo sana content zile zilee
@AngelBoniface-oe8ug5 ай бұрын
Kwann tufanane na Kenya jamn
@user-gb4bq1vh8y7 ай бұрын
😢
@EmaNyamuanga10 ай бұрын
Hi
@user-yz5zn4tr6i8 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@user-gb4bq1vh8y7 ай бұрын
😢😢
@samuellevy2564 Жыл бұрын
Sounds please
@kimongapro Жыл бұрын
tunafanyia kazi mkuu
@Tommbayeye1 Жыл бұрын
P😊
@omarisiliverio2965 Жыл бұрын
Watanzania hamwezi ongea English poa kwa dakika moja😂😂
@dottokabogolo2867 Жыл бұрын
Kwani English ni nn
@dottokabogolo2867 Жыл бұрын
Hatuwezi ku embrace lugha ya kikoloni
@boniphacelusato Жыл бұрын
Wala hata sioni ufahari kuongea au kuzungumza hiyo lugha ya Mkoloni unayoipigia Upatu. Lugha Mama yangu ni Kiswahili. Najivunia lugha yangu ya Taifa. Wewe unayejivunia lugha ya Wakoloni waliowanyanyasa na kuwatesa Babu zetu pole sana kwa kuendelea kuwa Mtumwa wa fikra . Jivunie chako si cha Wengine. Kuwa na Mkululo wa fikra na jitahidi kuwa na akili tunduizi. Bob Marley kwenye kibao chake cha Redemption song aliimba :". Emancipate yourself from mentally slavery , non but ourselves can free our minds.........."
@omarisiliverio2965 Жыл бұрын
How do you study chemistry in Swahili mbona mnakuwa wapumbavu lakini😂😂
@boniphacelusato Жыл бұрын
@@omarisiliverio2965 Mpumbavu mwenyewe unayejivunia lugha ya Wazungu. Kwani nani alikuambia kemia haiwezi kufundishwa kwa Kiswahili? Acha umaskini wa fikra.
@mbaembae778911 ай бұрын
Skize Churchill ya kenya ndo mjue show ndo nini,,,,ya kwanza speaker zenu no no no
@neaboy40325 ай бұрын
😂
@hdmsasa3355 Жыл бұрын
Gusa maandish ya blue ukasikie wimbo wangu nilivyomfunika Mc Balsa kzfaq.info/get/bejne/eqx2h7uc19K8eGw.html
@AnooodeDaniel-kw2uc Жыл бұрын
Ya leo inaanza saa ngapi af kwenye channel ip
@kimongapro Жыл бұрын
Ya Leo ndo inaanza mkuu samahani leo hatutakuwa live tutapandisha clip