"NILIINGIA IKULU MWAKA 1978" MIZENGO PINDA Awachambua Hayati Baba wa Taifa, Mkapa na Mwinyi

  Рет қаралды 38,840

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

"NILIINGIA IKULU MWAKA 1978" MIZENGO PINDA Awachambua Hayati Baba wa Taifa, Mkapa na Mwinyi (PART ONE)
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Peter Pinda wakati ameeleza namna alivyoanza kufanya kazi na serikali hadi kuingia kwenye ulingo wa siasa, ambapo alianza kufanya kazi na serikali katika enzi ya baba wa Taifa tangu mwaka 1978.
Aidha Mstaafu Pinda ameelea namna ambavyo aliweza kufanya kazi kwenye serikali mbili mfululizo ambapo alifanya kazi na Hayati baba wa taifa kwa miaka Nane kabla ya mstaafu mwinyi kuchukua kiti cha urais mwaka 1985
#MizengoPinda
kzfaq.info?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyhowww.yout.... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 24
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 4 жыл бұрын
Ikulu ulianza na miaka 30 couse umezaliwa 1948 mpaka 1978 ulipoanza,ww ni kiongozi bora hakuna asiyejua utendaji wako Mhe!Ubarikiwe sana
@frankngoloka8311
@frankngoloka8311 4 жыл бұрын
Hongera pinda kwa uwekezaji huo
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 жыл бұрын
Mzee wangu napenda busara zako sana!! Mzee wa watu hana makuu na mtu...
@jaysonlee4091
@jaysonlee4091 2 жыл бұрын
Sorry to be offtopic but does anyone know a trick to log back into an instagram account..? I stupidly lost the login password. I appreciate any tips you can offer me
@aaroneu07
@aaroneu07 4 жыл бұрын
Pinda muungwana sana sana. Nakutakia maisha mema Mzee Pinda.
@mamahustru
@mamahustru 4 жыл бұрын
Mwandishi hajui historie yetu. Mwinyi hakuleta wazo la serikali huria, lilitoka worldbank na ni moja ya sababu za Mwalimu kung`atuka. Mwinyi alilazimika kuisimamia huo mlengo wa siasa.
@brysonngullo6724
@brysonngullo6724 4 жыл бұрын
Hujui sovereignty ya taifa
@shijalameckmpemba4529
@shijalameckmpemba4529 4 жыл бұрын
CV yako iko vzr mweshima kwa kukaa serikarini muda wote huu ,siyo Kama viogozi wegine hata CV Hana lakini anakuwa na kelele nyingi pumuzika kwa amani mkuu usikubali kuhusishwa sana na siasa kuwa mkimya usije bebeshwa lawama waachie nao waliopo kwa muda huu
@samidusadru6709
@samidusadru6709 4 жыл бұрын
Shija lameck Mpemba
@mamahustru
@mamahustru 4 жыл бұрын
Mwaka 78 mzee Pinda ulikuwa na miaka 30 na SIO miaka 40: Hivyo ni Kweli ulikuwa ni kijana sana•
@godfreystephano304
@godfreystephano304 4 жыл бұрын
Baba ww ni Mfano God bless you
@emilymwanandenje9989
@emilymwanandenje9989 4 жыл бұрын
Mwatendamataaa waluko, Mizengo Pinda
@pastorypatrick9472
@pastorypatrick9472 4 жыл бұрын
Mtangazaji umeuliza maswali ya kisomi sana pia mzee wa kibaoni kajibu kwa busara iliyotukuka
@manmacho6529
@manmacho6529 4 жыл бұрын
busara sana big up💘
@j.m.illulah4070
@j.m.illulah4070 4 жыл бұрын
Mbona imeishia njiani
@meksonyjoseph8909
@meksonyjoseph8909 4 жыл бұрын
Huyu muheshimiwa uwaga hana makuu .ila kwa speed ya msukuma usinge weza
@boniphacejonas4109
@boniphacejonas4109 4 жыл бұрын
Nakumbuka ulikuja mwanza ukaruhusu wamachinga wapigwe tu
@maro1351
@maro1351 4 жыл бұрын
Leteni muendelezo jmn
@jeremiahalbertbenjaminiben4868
@jeremiahalbertbenjaminiben4868 4 жыл бұрын
30tu nikweli sio ,40
@KukuVillage
@KukuVillage 4 жыл бұрын
Hizi documentary hamjazitendea haki. Kama lengo lilikuwa ni siasa mngeweka ya siasa ijitegemee na ishibe. Kama ni ujasiliamali mngefanya watu waone na wajifunze in full. Siyo kuruka ruka. Na mbaya zaidi kwenye ujasiliamali voice quality ni mbaya. Yani mlikuwa na kitu kizuri ila hamjakifanya kwa ukamilifu.
@Ba63828
@Ba63828 4 жыл бұрын
ULIKUA NA 30 YRS TU MKUU SIO 40
@mapandekoda5121
@mapandekoda5121 4 жыл бұрын
mtangazaji unavutia
@zagaronondo8130
@zagaronondo8130 4 жыл бұрын
MAPANDE KODA we inaonesha we ningosha aka mshamba
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 4 жыл бұрын
Vizuri sana mzee pinda kwa kweli ntafika dodoma kujifunza uwekezaji wa namna hiyo kwa kweli
"KISIASA MAGUFULI ALINITANGULIA, NI MKALI SANA/ HANA KIGUGUMIZI"
9:44
Global TV Online
Рет қаралды 29 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 121 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 779 М.
Kisumu Today 1: The Changing Infrastructure of the Lakeside City
24:43