Maziko ya Bosi wa Freemason Yatikisa Dar

  Рет қаралды 1,565,469

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Jana Mikocheni Makumbusho jijini hapa katika eneo maalum la kuchoma maiti, mwili wa aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji ‘Andy Chande’ (89) aliyefariki dunia, Aprili 7, mwaka huu jijini Nairobi Kenya, mwili wake unachomwa moto mpaka kubaki majivu.

Пікірлер: 318
@missxexykenya6028
@missxexykenya6028 7 жыл бұрын
mm siamini kama kuna fremason duniani ...i believe in my God the creator lets God judge
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 7 жыл бұрын
Kuchomwa kwake moto ni ishara ya kuwa mtu wa motoni milele, Allah amzidishie adhabu kwa ukafiri wake.
@zainabswaleh4907
@zainabswaleh4907 7 жыл бұрын
subhanallah !hivi hi maneno ya freemasoon Ni kweli mm nadhani ni maneno tuu ya mitaani walahi hata siamini mm
@herikaniugu
@herikaniugu 7 жыл бұрын
acha roho mbaya
@shabanabdallah7496
@shabanabdallah7496 7 жыл бұрын
Ajali ya watoto wa lucy vicenty
@mamujally3814
@mamujally3814 7 жыл бұрын
Abu utheymiin Ameen
@mamujally3814
@mamujally3814 7 жыл бұрын
shaban abdallah wanawamaliza viumbe wasio na hatia kwa fanikisha yao ila Mungu nae anawasubiri
@gazagal5959
@gazagal5959 7 жыл бұрын
Wah maajabu hayo! na kweli hapo Kulikua na mwili au ni gogo tu!!!
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
(Kwa uwezo wa mungu)Na Akhera pia ateketee
@blessingvictory1095
@blessingvictory1095 5 жыл бұрын
Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiuni laanatullahi alahi finnary jahaannam yarabi yarabi mtie jaahannam pamoja Na firauni
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
wamemchoma moto duniani bado moto wa Mungu
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Laanatu Llah alayhi, Walmalaikatu, Wannaas ajmayn! Ameen!
@munirayusra91
@munirayusra91 7 жыл бұрын
Moto huo ni mtoto subiri wa Allah funzo kwa wengine shetani aki atakua na wenzake Pesa zako ziko wpi ss
@sikojuma7882
@sikojuma7882 6 жыл бұрын
Aende tu, ili wanao kwamisha maisha ya watoto wa MUNGU wapunpue .
@SashaKelly
@SashaKelly 6 жыл бұрын
Mungu tuepushie pia na vizazi vyetu
@Teksani
@Teksani 7 жыл бұрын
Boss, msaidizi, sekretari, mtunza hazina, sijui nani na nani wa Freemason, wote lazima wafe. Shetani hana rafiki, kazi yake ndo hiyo anawasubiria na hao wengine muda wao ufike.
@ansmsimbe1423
@ansmsimbe1423 7 жыл бұрын
Mwili ni mavumbi lakini roho ni uzima wa milele, kama hakutubu na kumpokea Yesu aokolewe kwa neema, kuchomwa moto ni lazima.
@monicaelias3801
@monicaelias3801 7 жыл бұрын
Nikweli kabisa kufa nilazima na baada ya kifo ni Hukumu ya milele kama hakumpa Yesu maisha nakutubu madhambi yake yote Jehnam ni halali yake moto kauanzia duniani na baadae milele na milele nawashauri wote ambao hawajampa Yesu maisha watubu wamfuate ili baada ya maisha ya hapa duniani wapate kuulithi Uzima wa Milele kwa Mungu aliye Hai.
@allyfaraji6472
@allyfaraji6472 7 жыл бұрын
Ndio funzo kwa wengine, ameacha magari, majumba, viwanja, mashamba, pesa, na vinginevyo! kwa nini asingewaomba hao freemason wake wamsaidie aishi milele? hapo ndio tupate ufaham kwamba rizika na kile ulicho kipata. nyie wengine mliobaki mtambue kesho kuna moto, na mungu apokei rushwa
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 жыл бұрын
Kwa Allah huyo bado nyama ni nzimaaa👌anangojwa Allahu akbar
@yusufubaraka6113
@yusufubaraka6113 7 жыл бұрын
Wallahi dunia imekwisha Yarabi tunusuru
@MohdRashid-cu9qb
@MohdRashid-cu9qb 5 жыл бұрын
Kutesa kwa zamu katesa duniani sasa anakwenda kuteseka yeye kwa Mungu laaaana ya Allah iwe juu yake daima milele
@augustinofelix5825
@augustinofelix5825 7 жыл бұрын
Wanakufuru xna mungu wa kihindi
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 жыл бұрын
waidi kuchomwa ni dini hayo eee mungu tuepushe na tamaaa za dunia kwani waja wako tunapotea
@mashallah9380
@mashallah9380 7 жыл бұрын
Mwanaisha Mbili amin
@hirathsanayaniyusif6457
@hirathsanayaniyusif6457 5 жыл бұрын
Subuhanallah
@fatumahalifa6623
@fatumahalifa6623 7 жыл бұрын
allah akbar ,allah akbar ,
@estherwangare9759
@estherwangare9759 7 жыл бұрын
mamaaaaa #njooni muone wanaomwabudu shetani huwa wanathani wataishi milele haya ndio huyo kiongozi wenu ...msipo badilika mtamfuata mwende muanze group lenu la wassup kuzimu
@carolinajane3745
@carolinajane3745 7 жыл бұрын
Esther Wangare well said mundu wa nyumba
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Okay
@jacksonninja4380
@jacksonninja4380 7 жыл бұрын
noma xnaaa ,boc w Freemason mbn hatar kchz
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 жыл бұрын
Shindwa freemason , shindwa shindwa shindwa Freemason...
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
Mungu awangamize
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
@@shifaaal-baity4503 ameen
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
@@husseinyhassany5696 ya rabb
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
@@shifaaal-baity4503 ashindwe na shetani wanaa budu shetani
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
@@husseinyhassany5696 tena ni wabaya sana ni mashetani wa kibinadamu
@halimaekuwamhussein633
@halimaekuwamhussein633 7 жыл бұрын
kufa kabisa ibilisi mkubwa ,bado moto ya jehanamu lakungojo,tokomea mbali na wana wa mungu
@habelmasinjisa8820
@habelmasinjisa8820 7 жыл бұрын
Acha Wafu wawazike Wafu wenzao.... KWA YESU KRISTO UZIMA UPO
@neemaadammakiponya8319
@neemaadammakiponya8319 6 жыл бұрын
Amina
@vidaelimanase2110
@vidaelimanase2110 6 жыл бұрын
chanda
@joshuamgaya4269
@joshuamgaya4269 6 жыл бұрын
Hakija kW Yesu uzma n tele
@hawata7614
@hawata7614 6 жыл бұрын
Habel Masinjisa huo uzima Kwa yesu sahau Allah alomuumba ndo mweny uamuzi na so hana mshirikika kama umekataa maamrisho ya Allah bc unahasara dunian na akher
@barick
@barick 7 жыл бұрын
Napenda kuchomwa pia.
@tzommyoriginali9144
@tzommyoriginali9144 7 жыл бұрын
aisee nomaa sana
@AaAa-rs6iq
@AaAa-rs6iq 7 жыл бұрын
mungu amueke milele motoni shitani ww
@jamilaismail5227
@jamilaismail5227 7 жыл бұрын
Laanatullah, Allah amchome vizuri na kesho siku ya hukum ndo achomwe kisawasawa kwenye moto wa Hawiya. Leo yuko wapi na uo ufremason wake watu wanacheza sana na Allah wetu mtukufu wanamuonaje sijui sasa haya ndo malipo yao wanajichoma wenyewe apa apa duniani na kesho akhera ndo watachomwa vizuri. kwann uo uchawi wake asifanye akazuia kifo? kakubalije kufa na yy ni freema?😂😂😂😂😁😁🙌🙌🙌chezea!!!!!!!
@felistermtega8337
@felistermtega8337 6 жыл бұрын
pole wema
@emmanuelmoshy8464
@emmanuelmoshy8464 7 жыл бұрын
Kitu pekee chenye uhakika wa kutokea mda wowote ni kifo. Hata mm kitu ninachoamini kwa asilimia zote ni kifo Ila sina uhakika wa kesho yangu. Hivyo naamini kabisa anayestahili kutoa hukumu ya mwsho ni yeye aliyeumba uhai.. Na siyo sisi watalii.
@musawambura5832
@musawambura5832 7 жыл бұрын
noma sana
@mimitijara4806
@mimitijara4806 6 жыл бұрын
Moto mapema ww mpaka cku ya kiyama muongopeni mungu moja hana mshirika wala hashirikishwi na chochote dunia ni yake pekee yake
@rehemamajaliwa4886
@rehemamajaliwa4886 6 жыл бұрын
safi
@miriamabineri9585
@miriamabineri9585 7 жыл бұрын
unajua kila mtu analipwa hapa duniani kutokana na alichofanya...hivyo malipo ya kwa mungu hatuyajui yana utamu gani ,lakini kwa kuangamiza rohi za watu nadhani pana doge nono LA adhabu.
@simontumbi4010
@simontumbi4010 7 жыл бұрын
Miriam Abineri
@munirabdi5827
@munirabdi5827 7 жыл бұрын
Laana Tullah
@kasujamuhammed7354
@kasujamuhammed7354 6 жыл бұрын
sawa
@idrisakambi4594
@idrisakambi4594 7 жыл бұрын
kwani Freemason wanakufa? wao si no mungu pia? au mungu hawawameishiwa nguvu? basi badilikeni .mliobakia na muhujue uwepo wa mungu wa kweli .
@lupakisyomwakyolile7111
@lupakisyomwakyolile7111 7 жыл бұрын
Tarehe 7/4 INA siri kubwa kwa hawa watu! naona member wawili waliofahamika wamefariki tarehe hiyo!
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Pole Diamond Platnumz
@samsonleonard7415
@samsonleonard7415 6 жыл бұрын
Daaa hatar sana
@idayagangs124
@idayagangs124 7 жыл бұрын
mungu amsamee tu
@mhoogooalhpsi9656
@mhoogooalhpsi9656 7 жыл бұрын
Rukiya Bongo amsamehe kwa lipi huyo hasamehewi tena cz milango yatoba ishajifunga amekufa kafir jahannam ndiyo makazi yake mpaka parapanda lipulizwe na siku ya hesabu huko ndiyo kuna moto kuliko huo aliyochomwa hapo tumuombe ALLAH atujaalie mwisho mwema siku hiyo ni nzito sana jamani watu wanaona kma mchezo
@daudimakeseni5886
@daudimakeseni5886 10 ай бұрын
Jaman tumu ombee mungu safari bado mbichi ivi amjui kwamba hakuna dhambi ndogo Sasa Kama hakuna dhambi ndogo na Kum danganya mtu pia ni zambi ivi Kuna mtu kweli adanganyi apa dunian
@halalwaithaka8988
@halalwaithaka8988 7 жыл бұрын
kwani ni mwislamu? bona anashindikizwa na waislamu ilhali dini ya uidlamu siyo ya freemason. ..may Allah guide us to that which is best. ..i seek refuge in Allah from the devil
@bargelaperera2149
@bargelaperera2149 6 жыл бұрын
hii ni dini ya kihindi huvaa nguo nyeupe wakizika
@husnangapu502
@husnangapu502 7 жыл бұрын
Nijuavyo mm baniani au wahindi wakifa lazima wachomwe moto, hizo ni mila zao na tamaduni zao, na majivu huwa yanatupwa baharini
@mamujally3814
@mamujally3814 7 жыл бұрын
wajue Boss ni M'Mungu tu,kama boss kweli angekufa? kazi kupotosha umma tu Laanatullahi alal kaafireen
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Dah!!
@ronnieolang8765
@ronnieolang8765 6 жыл бұрын
Judgement day a waits them, that's the kind of live he chose so be it.
@sibawayhisalum2707
@sibawayhisalum2707 7 жыл бұрын
subuhanaAllah
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
ALHAHUMAJILINIMINANALI
@emelyomusinde7321
@emelyomusinde7321 5 жыл бұрын
yesu tosha
@brothermultipurpose
@brothermultipurpose 7 жыл бұрын
na anamoto unaomngoja
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 4 жыл бұрын
Ilalilah wainailah rajiun jamani unakuafa kisha adhabu unaiyanza hapa hapa duniani hawa jamaa wamajabu sana viereje unauogopa moto wakibirti tu kunguza kidole chako leyo umekufa unazikwa kwakuchomwa moto huohuo kweli hiyi niakili jamani
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
hakuna msamah kafa kafir finnar jahannam khalidina fihaa
@herikaniugu
@herikaniugu 7 жыл бұрын
kwani wewe ni mungu
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 7 жыл бұрын
Kani Veri jahanam hiyo iko wazi hapo hamna ubish dini gan inayoruhusu mtu akifa achomwe moto😆😆 nacheka km mazuri😢😢
@hadijakapombe7576
@hadijakapombe7576 7 жыл бұрын
Mwanaidi Hussein Kwan si muhindi huyo au hujui Mila za kihind
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
fii nar khalidina fih abadan w
@omand1761
@omand1761 7 жыл бұрын
kweli ni kiongozi wa freemason hata kuna gazeti walimtoa anawaambia watu kwamba freemason ni shimo la hela wasiogope.Na ndo mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kiwanda cha kioo limited kilichopo Dar.Hata wafanyakazi wote tunamjua kwa kujitangaza hadharani wala hakuhofia huo ufreemason wake.Sababu freemason watu wa dini zote wapo,waislam wakristo hata wapagani.Freemason ni mambo tu ya kidunia.Ni kweli alikuwa freemason.Mungu atunusuru
@jhonthomas93
@jhonthomas93 7 жыл бұрын
ROSE muhando
@danielimsokwa4838
@danielimsokwa4838 7 жыл бұрын
hiyo. sio dini.
@emmanuelmasai2378
@emmanuelmasai2378 7 жыл бұрын
bola ufe maaan nyie hua mnaamini hiyo dini mkijiunga labda mtaishi milele kapambane na mashetani wenzio uko
@kilolitsimion8745
@kilolitsimion8745 5 жыл бұрын
W
@bernadetanyendo5769
@bernadetanyendo5769 4 жыл бұрын
Yap
@nakaferofortunate4530
@nakaferofortunate4530 7 жыл бұрын
laana za mungu zimshukie ata kama umekuwa majivu amepoteza umma sana kafiri mkubwa sana uyo mbona uyo shetani wao awarudishi
@alimaalima6016
@alimaalima6016 7 жыл бұрын
mmhh
@jamalraja6153
@jamalraja6153 7 жыл бұрын
Wanjua kuhusu azabu ya kaburini ndomana muchoma moto na azabu yamwenuye zimungu huwezi kui epuka
@hirarykiyimba7235
@hirarykiyimba7235 7 жыл бұрын
habari
@hirarykiyimba7235
@hirarykiyimba7235 7 жыл бұрын
bongo muv
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
what Kenya wacheni maneno
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 7 жыл бұрын
duhhh
@salmasaid7254
@salmasaid7254 7 жыл бұрын
fremanso ndio nini jameni mhh naskia tu kwa mitandaoo
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 3 жыл бұрын
Endelea kuskia
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 жыл бұрын
Heeee! makubwa
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 7 жыл бұрын
Waache wamchome moto hapo na moto wa Mungu unamsubiri laanatullah, kafiri kubwa. 😅😅😅
@saidkhantz2525
@saidkhantz2525 7 жыл бұрын
Seif Abdullah mashallaaaaah Akhy kwa maneno yako mazuri,,, wanadhani wakichoma hivyo kazi imekwisha,,, hawajui kama nafsi imetangulia kabla ya kiwili wili
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 7 жыл бұрын
Seid Salim tumshukuru Allah kwa kutujaalia neema ya Uislam
@saidkhantz2525
@saidkhantz2525 7 жыл бұрын
Wallah Akhy tuna haki ya kumshukuru Allah
@saidkhantz2525
@saidkhantz2525 7 жыл бұрын
Tunatakiwa kuringa na kutoka kifua mbele,,, haina mashaka na Qur an imetuambia suratul imrani kama sikosei aya ya kumi na moja au 12 hakuna dini mbele ya Allah isipokuwa uislam
@hopechidera
@hopechidera 7 жыл бұрын
Wacheni ujinga sababu freemason siyo dini,ila ni timu kama la mpira,watu wama dini zote wako kwa timu la freemason
@must_m_chibu_6663
@must_m_chibu_6663 7 жыл бұрын
hata usipokua FREEMASSON utakufa 2
@jumaally4056
@jumaally4056 7 жыл бұрын
Racha
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
kumbe hii freemason ipo.kwel😩😩😩
@anitajairos2664
@anitajairos2664 7 жыл бұрын
hawo ndomira zao kuchoma moto
@jumawaziri6258
@jumawaziri6258 7 жыл бұрын
Duu mungu kosa.. na mimi kosa
@jonijoshua5955
@jonijoshua5955 6 жыл бұрын
i
@user-yp7go8vi6e
@user-yp7go8vi6e 7 жыл бұрын
makubwa jamani
@prettyakoth4306
@prettyakoth4306 7 жыл бұрын
uuwiih! freemason hua n ukweli, tena alikufia KENYA in my country heeee maajabu haya
@carolinajane3745
@carolinajane3745 7 жыл бұрын
Miriam Akoth imagine our country
@carolinajane3745
@carolinajane3745 7 жыл бұрын
Miriam Akoth alikuwa anafanya nini Kenya. .ashidwe in Jesus name
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Alienda kumuaga "beshte" yake Kibaki, Carolina Jane.
@carolinajane3745
@carolinajane3745 7 жыл бұрын
Metal Combat was he one of them? ?....God forbids
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
Miriam Akoth Ati what
@cliffmalik5633
@cliffmalik5633 7 жыл бұрын
Duuuh afe kabisa huyoo
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 жыл бұрын
cliff malik nani hatokufa dunia hii???
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 7 жыл бұрын
Yupo anaipata fresh huko jehanam
@amanikapera6185
@amanikapera6185 7 жыл бұрын
mnaukumu kwani nyinyi ndio watoa hukumu siajabu nyinyi mnaoshabikia aende motoni nyinyi ndio mkawa kuni mungu atazami dini unaifata VP anatazama moyo unasema nini mpoooooo
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 7 жыл бұрын
+Amani Kapera,wewe nawe hujielewe,jua kua akhera Kuna maswali matatu,lakwanza,Nani MUNGU wako,pili hipi Dini yako,tatu niyupi nabii wako,vipi unasema mtu aangaliwi dini?kwa hiyo hawa wanaabudu ngombe na wanaamini huyo ngombe ndio MUNGU wao,je nisawa?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 7 жыл бұрын
+Amani Kapera,Pia wakati wanachoma mtu mwenye amekufau uwa wanasema, mungu kosa na Mimi nikose,hawa amini kua roho uwa hai na urudi kwa MUNGU
@claramndeme3871
@claramndeme3871 7 жыл бұрын
hahaaaaaaa
@shyneplatnumz2583
@shyneplatnumz2583 7 жыл бұрын
Post zake Insta zinadhihirisha n m Freemason kuchomwa n uhindi
@davidmsia4322
@davidmsia4322 7 жыл бұрын
mbona hamna kipya? baniani wote wanazikwa kwa staili hiyo
@rosallyfideline797
@rosallyfideline797 5 жыл бұрын
Wakuchome vizuri kabsa na mwoto wa milele unakusubiri. mbona sasa mwakubali kufa kama nyinyi mna uwezo...?
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 7 жыл бұрын
kazikwa au kachomwa? semeni kilichopo bana
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
makubwa!!
@tulizojonson8255
@tulizojonson8255 7 жыл бұрын
madogo yana fuu yanabebeka
@christinekababy324
@christinekababy324 6 жыл бұрын
tenda wema nenda zako so hayo ndio malipo yake
@awessojuma9377
@awessojuma9377 7 жыл бұрын
sio wahind wote wanachoma wengine huzikwa kama kawaida Ila kwa mabaniani tu
@hamishamis2652
@hamishamis2652 6 жыл бұрын
uwongo
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
lkn banian hawazikan wachomana moto
@SmilingAurora-wf4jt
@SmilingAurora-wf4jt 2 ай бұрын
nawataka
@sharifaramadhani8079
@sharifaramadhani8079 7 жыл бұрын
mabaniani bwana mungu kosa na mimi kosa
@waltermwikali3213
@waltermwikali3213 5 жыл бұрын
only Jesus can save
@nurahfedrick9677
@nurahfedrick9677 6 жыл бұрын
Loo hamxikani mwachoma
@johnsarakai2972
@johnsarakai2972 6 жыл бұрын
Uwongo mwezi wa nne bado mzee tafuta kikizingine
@emmanuelgoerge2933
@emmanuelgoerge2933 6 жыл бұрын
mashimba
@niaanthony9588
@niaanthony9588 7 жыл бұрын
wacha achomwe Lkn kwa mungu atapata adhabu Kali kuliko hiyo yaani hawaoni haya kabisa
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 6 жыл бұрын
usihukumu usije hukumiwa
@jamalraja6153
@jamalraja6153 7 жыл бұрын
Bado yamsubiri
@brianchacha2433
@brianchacha2433 7 жыл бұрын
kachomwa na bado......
@jenijeni9785
@jenijeni9785 6 жыл бұрын
Kwa wale wanaobisha kuwepo kwa cult ya Freemasons... Then naomba mnielezee kuhusu uwepo wa Freemasons hall dar es salaam karibu na bandarini!
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 6 жыл бұрын
freemason hall dar haipo jirani na bandarini bali ipo jirani na B.O.T na IFM na SUKARI HOUSE
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Heeeh achomwa moto heeeeh haya.
@mariamjuma4589
@mariamjuma4589 7 жыл бұрын
baniani ndio huzikwaga hvyo tu jmn mbele yko jmn pesa hizi
@khalifahamisi702
@khalifahamisi702 7 жыл бұрын
wamesgalaaniwa toka bado wapo hai hiyo kuchomwa moto hapa duniani haijalishi jahanam yamsubili
@destiny4life439
@destiny4life439 5 жыл бұрын
sasa hao mnaosema wasanii freemanson jawaona kwa boss wao
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 7 жыл бұрын
kufaaa kabisa kumbafuu
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 403 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 23 МЛН
Lord Rothschild Claims His Family Created Israel
19:41
Luxury Zone
Рет қаралды 1,3 МЛН
Mfahamu Dk Salim na kisa cha Nyerere kuvishwa baibui
15:54
Daily News Digital
Рет қаралды 17 М.
MIMI NA TANZANIA - SIR ANDY CHANDE, A LIVING LEGEND PART 1
31:32
MIMI NA TANZANIA
Рет қаралды 66 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН