🔴

  Рет қаралды 56,422

Global TV  Online

Global TV Online

11 ай бұрын

🔴#Live: NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AUWASHA MOTO TANESCO - "WATANZANIA WANATAKA UMEME"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 191
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@marianajohn5415
@marianajohn5415 10 ай бұрын
Wewe ni kiongozi na nusu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 mtu anayeheshimu na kuwatia moyo watu anaowaongoza. Aheshimiwe sana! Mama kafanya chaguo sahihi saaaaanaaa
@berthatz
@berthatz 10 ай бұрын
Kuna viongozi sinaga maneno mengi juu yao..Mungu akuongoze mh Biteko..Tunaimani sana nawewe..Wewe ni kiongozi mzalendo,Tunakuombea tunaimani nawewe kaka yangu.Kazi nzito hiyo lkn kwa kumtegemea Mungu ,kuchapa kazi na uzalendo utashinda …Mungu akutunze.🙏🏾
@christophermwashiozya5178
@christophermwashiozya5178 10 ай бұрын
Doto Biteko, Mashaka hongera sana una maono mazuri, unaitengeneza vzr Tanesco mpya Mungu akurinde. 🎉🎉 Lakini Binafsi nakuona Waziri mkuu ajaye 2025 Yashike haya na uyalinde Mungu akusimamie.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 10 ай бұрын
Akili kubwa na ni mtendaji👏👍👍
@mwenem8130
@mwenem8130 10 ай бұрын
Salute Ndugu Naibu Waziri Mkuu!! Kipara ametuumiza sana
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 10 ай бұрын
R.I.P JPM. Alimbetua Kipara
@amosijoshua8410
@amosijoshua8410 10 ай бұрын
Naiona vazi la Magufuli limekudondokea naamini yordan river, itapasuka maana tunaona taa ya matumaini inawaka ktk msitu mnene wenye Giza Totoro, Mungu akubariki Sana Biteko.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 10 ай бұрын
NIMENUKUHU HIVYO HIVYO. UMETISHA HAPA KAZI TU.
@user-vi6jb7rz6z
@user-vi6jb7rz6z 10 ай бұрын
Waziri biteko wewe ni zaidi ya mchungaji honest your speech is very touching and motivational to the national thank you so much Dad❤
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 10 ай бұрын
Ditto wewe Ni JPM mpyaa
@marianajohn5415
@marianajohn5415 10 ай бұрын
I repeat this one more time! Our president made the best choice ever 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hapa kwakweli umeme hautosumbua tena
@benedictogodfrey7712
@benedictogodfrey7712 10 ай бұрын
Hongera sana Mh. Naibu Waziri Mkuu
@bishopkulwajz209
@bishopkulwajz209 10 ай бұрын
Mungu akubariki na kukutunza,wewe ni tumaini jipya kwa Watanzania wanyonge,songa mbele upo kwa ajili ya matokeo makubwa.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 10 ай бұрын
Wazazi waliwaelekeza na waliwatii kwa muonekano. Yaaani HOFU YA MUNGU.
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 10 ай бұрын
Umenekosha mdogo wngu..lkn iwe kweli..Mungu akutendeee..
@labos1111
@labos1111 3 ай бұрын
President in waiting...a very brilliant guy 👍
@LAMBOMICHAEL-fq1bh
@LAMBOMICHAEL-fq1bh 10 ай бұрын
Sukumaland be blesed.
@jofreusimon8514
@jofreusimon8514 9 ай бұрын
wewe ni nabii usikatae kwa kuwa unaitumikia serikali uko upande mzuri kwa kumtumikia mungu na umesema huwa ukiwa kwenye maombi na familia yako unawaombea watu huo ndio unabii kama unamuabudu kwa roho na kweli. barikiwa sana mtumishi wa mungu watanzania wanataka umeme ova.
@pierremkelemi5548
@pierremkelemi5548 10 ай бұрын
Mungu akutangulie Muheshimiwa Biteko naona nuru mpya kwa watanzania kwenye nishati Asante mama Samia Suluhu Hassan Raisi wangu mpendwa kwa maamuzi yako bora kwa kuwa wewe pia ni mama bora kwa sisi watoto wako wa Tanzania ❤
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 10 ай бұрын
Big up kiongozi ,yaani TANESCO mtusaidie kwakweli umeme umekua shida
@gidionkatulumla4022
@gidionkatulumla4022 10 ай бұрын
Huyu ni akili kubwa Sana, kama hawatampiga fitina ....anaweza kuiweka vzr Serikali, nimkweli na hanaga unafiki....tumwombee, he is a future big Leader ....through him naamini Taifa Letu siku moja litafika mbali .... cheers 🎉🎉
@zacharyyesaya
@zacharyyesaya 10 ай бұрын
Mheshimiwa Doto Mungu akuinue zaidi na akulinde.Umetufaa sana
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 10 ай бұрын
Naona Mungu yupo ndani yake ! Asimwache aende zake !!,aendelee kumtukuza Mungu siku zake zote.
@Deboracharles-pw6wg
@Deboracharles-pw6wg 9 ай бұрын
Waziri , nakupenda ,ubarikiwe
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 10 ай бұрын
Good management style. Kazi ipo mara hii.
@legendmmari8094
@legendmmari8094 10 ай бұрын
Safi sana waziri nakuelewa sana watzanzania wanataka umeme
@JohnGyunda
@JohnGyunda 10 ай бұрын
Hongera mzee MUNGU kwa kumtonya mh Rais amteua biteko kuwa naibu prime minister. Hongeren sana
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 2 ай бұрын
Uko vizuri mkuu❤❤
@user-sr9bk9pi4r
@user-sr9bk9pi4r 10 ай бұрын
Safi sana kiongozi tunataka umeme ikiwezekana ata nguzo tusilipishiwe tulipie tu 27
@dottomatola5905
@dottomatola5905 10 ай бұрын
Hongeleni bukombe mmezaa mtoto mwema
@maphandeahmed7732
@maphandeahmed7732 10 ай бұрын
Mimi nakuamini doto lakini srkl yako haijatulia mungu akusaidie biteko najuwa utafika mbali nimekuona kwa macho na akili ni mtendaji kazi mzuri
@Ramadhani-ui8hl
@Ramadhani-ui8hl 10 ай бұрын
NaKupenda sana biteko wewe kweli kiongozi..mungu akutangulie..
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 10 ай бұрын
Km ingetokea akawa rais, nahisi watanzania tungepona maradhi yanayotusumbua ndani ya nchi yetu.
@enziseme4712
@enziseme4712 10 ай бұрын
Daaah Biteko nimekuelewa sana,sijanza Leo lkn kuanzia wewe ni kiongozi mwenye maono,nakupenda aisee!!
@nitikekubetta9152
@nitikekubetta9152 10 ай бұрын
Mungu akupe uzima biteko smart mind
@sihabahusseinmdee1102
@sihabahusseinmdee1102 10 ай бұрын
kweli kiongozi sisi shida yetu umeme tu hayo mengine sisi hayatuhusu huduma kwa wateja tanesco mbovu sana wanafanya kazi kwa mazoea rushwa ndio mbele ukitaka kitengo cha dharura sio poa naomba waziri ushughulikie hilo sisi tunahitaji umeme wa uhakika tufurahie maisha yetu
@Budi-588
@Budi-588 10 ай бұрын
Daaahhhh nime enjoy Sana kuskiliza hii speech
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 10 ай бұрын
Big up Biteko! naamini kazi yako
@kyaruzilutaadolph1835
@kyaruzilutaadolph1835 10 ай бұрын
It's one of the great speaches
@damianjoseph4013
@damianjoseph4013 10 ай бұрын
Aseeh Great Great Great Speech
@user-cm4vm7mn2p
@user-cm4vm7mn2p 10 ай бұрын
Hotuba nzuri waziri kuwa mkali kwa wtendaji wako watanzania tunataka umeme Fanya jambo juu hili LA umeme Tanzania haiezi kuwa giza
@greepheneexauth9188
@greepheneexauth9188 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana sana
@titomkeya1828
@titomkeya1828 10 ай бұрын
ASANTE...Asante....Asante Sana.
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 10 ай бұрын
Kaz nzuri Mh.buteko...ushaampita ata majaliwa,, maana yeye mda wote ni kusema tuu"""Dr Samia oyeeeeeeeee"" alafu utekelezaji ni zero..
@elizajumanne8059
@elizajumanne8059 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-ef2om7ep1z
@user-ef2om7ep1z 10 ай бұрын
Hotuba hii konk sana.... Mungu akubariki sana....!!
@Japhary-sx3je
@Japhary-sx3je 10 ай бұрын
Daa magufuli kafufuka sijawai kusikiliza utuba ya kiongozi yoyote zaidi yako toka magufuli afe
@paschalsamuel2345
@paschalsamuel2345 10 ай бұрын
Ubarikiwe kiongozi
@anickashasha
@anickashasha 10 ай бұрын
Bahati mbaya sana huyu kijana anapitia kwenye chama kibovu kilichojaa majambazi.
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 10 ай бұрын
Chama gani ambacho hakina majambazi? Usiwaamini wanasiasa wote ni waongo.CHADEMA ni majambazi hafadhali hata hao CCM ni vibaraka wa Western countries.
@MwalimuD
@MwalimuD 10 ай бұрын
Kidogo moyo wangu imetabasamu japo kwa mbali
@shungumwaisanila7193
@shungumwaisanila7193 10 ай бұрын
Safi sana waziri Buteko
@oswaldnyinge3287
@oswaldnyinge3287 10 ай бұрын
Excellent speech
@brunondongolo9820
@brunondongolo9820 10 ай бұрын
Mungu akupe nguvu
@nicholaslikombe4900
@nicholaslikombe4900 10 ай бұрын
Mtaniiii. ......nilijua Mungu atakuinua tu.....!! Mungu akulinde. .....
@simonkasya6500
@simonkasya6500 10 ай бұрын
Speech nzuri sana, kama viongozi wako wa juu mh. Biteko watakupa ushirikiano utafanya vizuri lakin kama Mamlaka zako za Uteuzi ni Mbovu hakuna kitu utafanya, nafaham sina mwanasheria lakin ukweli lazima niongee. Tanesco hawa nadhan hawana tatizo kabisa kama waliweza kukaa miaka takriban sita umeme haukua tatizo then ndani ya mwaka mmoja tatizo limekuwa kubwa hivi, ukweli nikwamba uozo upo kwa Mamlaka za juu yaan Executive. Binafsi ninamatumaini makubwa sana nawew mh. Biteko na ninakuombea ukawe wakili mwaminifu.
@chunkurikachondo5820
@chunkurikachondo5820 10 ай бұрын
God wish u......
@allywambona3022
@allywambona3022 10 ай бұрын
hapa mama kateua mtu kwelikweli🙏🙏🙏🙏
@user-jy1gb3cf2m
@user-jy1gb3cf2m 10 ай бұрын
Uko vzr kaka
@user-hh4wl6xg3h
@user-hh4wl6xg3h 10 ай бұрын
Mungu akutangulie kila uendako na sekta yako nzima. Kweli umeme tunautaka na uwe wa uhakika.
@jofreysinchenje1995
@jofreysinchenje1995 10 ай бұрын
Great
@joramkimario9321
@joramkimario9321 10 ай бұрын
Bitokeee🎉🎉🎉
@ambelecheyo5667
@ambelecheyo5667 10 ай бұрын
Mhe.Naibu waziri Mkuu Kwa kweli maneno yako nmeamini Bado Tanzania tuna hazina ya viongozi.
@jeamwenda7394
@jeamwenda7394 10 ай бұрын
Future prezda!!
@williamkeita1519
@williamkeita1519 10 ай бұрын
Rudisheni ile bei 27000 ili tupate umeme wengi na tanesco wapate malipo meng tunapo nunua mbona enzi za Jpm ilikua hivyo but ikashindikana kwa January
@joelwillson3437
@joelwillson3437 10 ай бұрын
Nikweli Tunataka Umeme. Barikiwa Kiongozi. Sio Enzi Ya Vibatari!!!!
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 10 ай бұрын
Kazi,njema
@fenelisanitariumclinic
@fenelisanitariumclinic 10 ай бұрын
Hapa naona Magufuli anarudi ndani ya Biteko
@mohamedikambona7537
@mohamedikambona7537 10 ай бұрын
Amezungumza hapo kuwa baadhi ya watendaji wanataka tuwaone mungu watu hilo ndyo tatzo hafanyi kazi mpaka utoe pesa.
@iddymtambo7186
@iddymtambo7186 10 ай бұрын
Kiongozi Mungu akubariki nimefurahi pia kwa nini tanesco wanaleta miter mbovu zinazo zima na kuwaka
@dennisungonella205
@dennisungonella205 10 ай бұрын
Kiukweli Tanesco Wana kazi hasa maeneo ya vijijini umeme wa Rea, vitongoji vingi havina umeme
@paulmrutu8500
@paulmrutu8500 10 ай бұрын
Safi sana Tunatak Umeme,Shikilia hapo hapo
@ManyemaManyema
@ManyemaManyema 10 ай бұрын
Mh waziri biteko tunakuomba utuludishie ile bei ya tsh27.000/= wananchi tunahali mbaya Sana
@elizajumanne8059
@elizajumanne8059 10 ай бұрын
Mungu amekuona hekima kubwa sana
@naturelle1097
@naturelle1097 10 ай бұрын
I hope they now understand this simple language..tumechoka nao!! Watanzania tunataka UMEME!!
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 10 ай бұрын
Safi sana
@mashakalonka7767
@mashakalonka7767 10 ай бұрын
"watanzania wanataka umeme!",maneno mazuri mh.waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu,umeme umekua kero mheshimiwa niko Mbeya hivi ninavyoandika sasa hivi umeme umekatika,nashindwa kusonga ugali,nashindwa kunyosha nguo maana umeme umekatika,msaidieni mhe.Rais wetu nia yake njema ya watz kupata umeme wa uhakika itimie!. Ila kwa hotuba yako mh.Biteko napata matumaini!.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 10 ай бұрын
❤NAIBU WAZIRI LANGU BABAUUU. a.k.a ''WATANZANIA WANATAKA UMEME''. OYO OYO OYOOOO! WAKILEGA LEGA TUNAFAHAMU NI TANESCO NDIO KIKWAZO. MIHERA KIBAAAO. HUDUMA ASTE ASTE.
@rizikiagostino5768
@rizikiagostino5768 4 ай бұрын
Naomba namba waziri tunachangamoto
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 10 ай бұрын
Karibu king,ori Arumeru
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 10 ай бұрын
Mhe Naibu Waziri Mkuu sisi hatuja lipwa na JV Arabs sasa miaka mitatu na Nusu 11 B bila Sisi Becco Ltd wasinge fika site Nyerere Dam. Sisi tuna zungushwa kila kona.
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 10 ай бұрын
Anavyooneka kwa macho ya nyama ni msikivu. Hebu mcheki inbox kwa hilo tatizo lako, huenda utapata msaada
@shangaraijr9472
@shangaraijr9472 10 ай бұрын
Haki unapata kwa mahakama, unakwama wapi shitaki hao waliokutapeli
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 10 ай бұрын
Tume enda Arbitration ime toka award moja badae waka fanya mpango ika toka ya 2 angine haija Anzwa wana taka muda ipite waondoke. Hapo ina takiwa order itoke waone ukweli ni Nini Hivyo wana zungusha miaka 3 na Nusu sasa.
@hajiissa9200
@hajiissa9200 10 ай бұрын
Safi sana mkuu
@husseinibrahim2929
@husseinibrahim2929 10 ай бұрын
👍🏽
@user-mz4ry1sl8l
@user-mz4ry1sl8l 10 ай бұрын
Ukitka kwnda vzr pga chni hyu MD maana hawa wote ni maswaiba na Makamba weka MD mwngne.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 10 ай бұрын
Mhe Naibu Waziri wewe ume chaguliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu Sio Kitu kidogo. Mhe Rais out of 100 Beads ame chagua wewe ana jua uwezo yako. We pray for you pls Chapa KAZI public loves you.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 10 ай бұрын
Thanks very much
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 10 ай бұрын
Umenifanya nitamani kukuamini zaidi
@shakukawele9959
@shakukawele9959 10 ай бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 10 ай бұрын
Yani ww ndo uliye Baki kuwa tunaini la watanzania kiujumla doto biteko ndo tunaini lijayo
@margaretjoseph6501
@margaretjoseph6501 10 ай бұрын
Tanga pia umeme unakatika sana mara kwa mara kila siku... twataka umeme.
@tuntufyemwakafwisya8359
@tuntufyemwakafwisya8359 10 ай бұрын
Nimefurai sana kupata waziri mchapakazi na anayejua nini Cha kufanya
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 10 ай бұрын
Tanesco anthem - watanzania wanataka umeme - 3x
@user-pw1qy9zc8t
@user-pw1qy9zc8t 10 ай бұрын
Hotuba nzuri
@yusufunkondo512
@yusufunkondo512 10 ай бұрын
Mh.Biteko,sio Mh.Rais tu ana Imani na wewe,hasa sisi wananchi tunaimani nawe mno.Tunashindwa kuzalisha viwandani tatizo kubwa no umeme eidha kukosekana au low voltage na kila siku unapoulizia ni kuombwa samahani.Pambana Mh.kulikomesha Hilo linatuchelewesha kwenye uchumi wa viwanda na uchumi wa kati.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 10 ай бұрын
Nimepata matumaini kidogo asante mweshimiwa Biteko. Pamoja na kwamba unapoendelea kuongea hapa nilipo umeme umekatika . Sisi hatutaki habari za mitambo mara imezeeka mara imechoka. Kwa magu hiyohiyo ilitoa uneme . Makamba akaja na maelezo Mengi ya sayansi tukakosa umeme .
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 10 ай бұрын
Hahahaha
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 10 ай бұрын
Makamba see!!!
@user-yq2iu4uh5z
@user-yq2iu4uh5z 10 ай бұрын
Leo mchana ni mwingi sana ila usiku sijui
@ChristerShao
@ChristerShao 10 ай бұрын
Umeme tatizo kubwa Dar.
@abubakarmaulidi9745
@abubakarmaulidi9745 10 ай бұрын
Huyu ndio rais ajae
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 10 ай бұрын
Watanzania tunataka umeme tu , mgao wa umeme umezidi
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 10 ай бұрын
Mh anajua km tuna mgao toka miezi miwili iliyopita?
@mussamashauri
@mussamashauri 10 ай бұрын
Shusha ghalama za umeme kutoka 27000, na had 517000 ni aibu kubwa wimbo wako hauna maana watanzania wataka umeme, kwa ghalama gani
@hajimrinda4044
@hajimrinda4044 10 ай бұрын
WAZIRI WAZIRI WAZIRI,,TUNAKUSIKIA FANYA KWELI TUNATAKA ILE 27000 IRUDI HATUTAKI HICHO KIWANGO CHAO 33000 HATIWEZI NASASA WANATUKATIA UMEME HOVYO WANAKATA UMEME HADI USIKU USIKAE KIMYA KUISHIA KUSEMA TENDA KWA VITENDO TOA MAJUHA HAO WANATULAZA GIZA HAKUNA CHANGAMOTO HAPO TANESCO WANAKUONGOPEA HAO MATAPELI
@amosnarzis8040
@amosnarzis8040 10 ай бұрын
Du bright sana uyo jamaa anafaa kuwa rais ajaye
@milegovicent7082
@milegovicent7082 10 ай бұрын
Safi sana ila mpaka sasa giza tupu
@yakobochacha1659
@yakobochacha1659 10 ай бұрын
Inzi akidondoka kwa maziwa aondolewe na maziwa yaendelee kutumika nimekuelewa sana.
@jameskileo955
@jameskileo955 10 ай бұрын
Mkuu MUNGU akubariki na Akuzidishie Hekima na Moyo huo mkubwa wa kuliunganisha Shirika hili adhim Nchini Kwetu
@user-bw2kc5jh9u
@user-bw2kc5jh9u 10 ай бұрын
Story tu za siasa hapa hakuna chochote kinachofanyila umeme uwe shida kinajulikana ni deals zao tu wakubwa zao
Why Protesters Flew Russian Flag In Northern Nigeria - Falana
28:18
Channels Television
Рет қаралды 64 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
JPM: Biteko alikuwa anaichachafya serikali
1:47
Azam TV
Рет қаралды 6 М.
يوم غير مجرى التاريخ نحو التحرير | د. طارق السويدان
1:42:02
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН