MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.

  Рет қаралды 114,009

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo mei 23, 2024 amezungumza na Wananchi wa Longido mkoani Arusha kwenye Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Namanga ambapo amesikiliza na kutatua kero mbalimbali za Wananchi wa Wilaya ya Longido ikiwa ni siku yake ya Kwanza kati ya sita za kutembelea wilaya zote za Mkoa wa Arusha yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 243
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@GrayMgonja
@GrayMgonja Ай бұрын
At sa
@eliyandondole
@eliyandondole Ай бұрын
Watanzania wanataka kiongozi sio mtawala Arusha mmepata jembe hilo. Hatakufa njaa
@Tatu-mb9nl
@Tatu-mb9nl Ай бұрын
Mama samia kupitia Makonda tumegundua kazi zako nauwepo wako unafanya kazi mama ila uongozi na watendaji waliowengi ndiyo waliotaka tukupoteze, inshaalla Mungu yupo nawewe RAISI WETU.
@IbrahimMallya
@IbrahimMallya 2 ай бұрын
Minawaambiaga makonda nikiongozi anakipaji hajafundishwa siasa anakipaji huyu broo yupo vizuri
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Ай бұрын
Makonda yupo vizuri wote wangefanya hivi urasimu usingekuwepo kabisa kweli hili zao la JPM ❤
@josephyamathlaizer-op9sw
@josephyamathlaizer-op9sw Ай бұрын
Mkuu Mungu awe pamoja nawe kiongozi wetu tunakuombea kwa mwenyezi Mungu akulinde uzidi kuwa pamoja nasi kila siku kwa kutenda kazi nzuri ulio chaguliwa na Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@jerryshah4880
@jerryshah4880 2 ай бұрын
This administrator understands his job.I wish we could have another Makonda in Kenya.
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 2 ай бұрын
Na nyinyi kenya wapo wabazilifu kama kwetu tz sio
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Ай бұрын
AFRICA YAKO INAMATAPELI NA WEZI WA KUNYONGWA KABISA​@@hamisimwandu5675
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Ай бұрын
Haya hayawezi kufanyika kwenu. Mfumo wa sheria katika utawala unatofautian
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 Ай бұрын
How
@user-fr2op2ss6v
@user-fr2op2ss6v Ай бұрын
mama samia mama yetu unafanya kazi kubwa sana tatizo lipo kwa watendaji wako anayoyaona makonda Arusha yapo sehemu karibia sehemu zote, hawa wakuu wa mikoa waige kwa nakonnda huyu mwamba anapiga kazi sana.
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Ай бұрын
Najiuliza Sana ivi kwenye mkoa kuna wakuu wangapi ukiacha mkuu wa mkoa kuna wakuu wa wilaya madiwani ivi shida kama izi kweli huwa hawazioni au Mpaka mkuu wa mkoa afike jmn ina maana kuna watu Wana lala tu maisha yanaenda mungu apendi KBC
@liannsambu7264
@liannsambu7264 2 ай бұрын
Nafikiri njia ya kuvuna maji ya mvua ifanyike , kuna watu tunaujuzi wetu hapa mtutumie kiwasaiida kwenye hilo mvune maji ya mvua na kuhifadhi chini ya ardhi ili badae mtumie kulisha jamii
@sarahpendo515
@sarahpendo515 Ай бұрын
Tungepata Makonda wengine wa kila mkoa naamin lile neno la Hayati Magufuli ya kwamba Afrika tunaweza kujilisha bila kuomba omba msaada ya nje litatimia .Mungu akulinde makonda wangu🙏🙏
@andreajulla1473
@andreajulla1473 Ай бұрын
Hangera Makonda kwa utendaji kazi mzuri, na kusikiliza kero za wananchi
@josephyamathlaizer-op9sw
@josephyamathlaizer-op9sw Ай бұрын
Huyo ni kiongozi wa kuigwa na watumishi wa serikali Mungu ibariki kazi ya makonda 🙏🙏🙏
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Ай бұрын
Watumishi wanapata tabu sanaa !! Lakini tuende mbele turudi nyuma watumishi wa Tanzania wanafanya kazi kwa bidii sanaaa
@user-ds5pz2oz3u
@user-ds5pz2oz3u Ай бұрын
Huyu ndio anafaa kuwa rais wetu wa tanzania
@RASHIDMPUMU
@RASHIDMPUMU Ай бұрын
RC P Makonda chapa kazi mioyo ya wananchi inamatumaini sana na wewe. Mungu akuongoze
@shadrackmwampote4615
@shadrackmwampote4615 Ай бұрын
You are the best leader.God bless u!
@user-fr2op2ss6v
@user-fr2op2ss6v Ай бұрын
makonda unachokifanya sisi wananchi unatukumbusha magufuli piga kazi baba mungu anakuona na atakulinda na mabaya yote, mapigaji ni mengi sana, inaumiza kodi zetu zinapigwa sana, nakufuatilia sana kamanda japo kuwa nipo Dar
@CristovaoMarioJaimeJaime
@CristovaoMarioJaimeJaime 2 ай бұрын
Makonda mtumie Mungu acha kupindisha maneno Mungu kakupa Utawala Samia katumiawa na Mungu acha kuwaombea kura wanasiasa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Serikali inapatikana kwa kura kipitia vyama vya siasa. Kila mtumishi wa Serikali ana wajibu wa kutekeleza ilani ya chama husika chenye Serikali na kufanya hivyo ni kuomba kura automatic na kutokufanya hivyo ni kinyume chake. Mwache Makonda afanye kazi!
@user-ov3cy1nr8f
@user-ov3cy1nr8f 2 ай бұрын
Tupiganie
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Yaani hata asipowaombe, bado kuna holi la MKONO watapita tu.
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 2 ай бұрын
Holi la mkono ndio nini?​@@monicamwita7865
@godfreybaitani602
@godfreybaitani602 2 ай бұрын
Hujui ama hujaelewa kilichozungumzwa mkuu?
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 2 ай бұрын
Dada hongera sana. Ulianza kwa hofu lakini umemaliza kwa ujasiri. Hongera sana
@imanwilliam4073
@imanwilliam4073 2 ай бұрын
Dada yuko vizuri sana
@allyhamic1255
@allyhamic1255 2 ай бұрын
Je anayozungumza ni sahihi???
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 ай бұрын
Tatiz na yeye ni mwiziii
@kalistomaapunda7018
@kalistomaapunda7018 Ай бұрын
Kama una akili. Dada anaongea kwa utafiti sio kukurupuka. Ukiona mkuu hana pa kumshikia ndo mana anauliza maswali mengi kutafuta week points.
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l 2 ай бұрын
kweli Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Makonda usiwaombee kura watu wengine kila mtu atakula kwa kamba ya urefu wa kamba yake, wewe chapa kazi Mungu anakuona.
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 2 ай бұрын
Sasa nyinyi mnaosema asiwaombe kura viongozi, kwani hapo kajiweka mwenyewe? Hapo kawekwa na sabia na akiamua samia hatantoa hata leo, sasa munataka hamsifu babu yenu au? Hivyo vyeo hunapandiswa na mtu na sio vinginevyo hata huo huraisi kuna watu huwa wanakupa na hukitaka hudondoswe jalibu kuwazalau huwone
@ZakayoCashmoney8819
@ZakayoCashmoney8819 Ай бұрын
Mbona povu linakutoka tena 😅😅😅😅
@susananyasani6526
@susananyasani6526 2 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa asema ukweli Wananchi uharibu Bomba ya kutoa Maji sehemu nyingi bila kujali na kosa liko kwa Wananchi asante
@mremaelisenguo
@mremaelisenguo 2 ай бұрын
Endelea kuwakomboa watanzania. Kazi yako ni ibada kubwa kwa Mungu
@Dtv732-vc4zw
@Dtv732-vc4zw 2 ай бұрын
That woman looks honest
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 2 ай бұрын
Sure!
@MidlastaLyimo
@MidlastaLyimo 2 ай бұрын
KIKOKOTOO?KWELI??
@MurulaAhmadi
@MurulaAhmadi 19 күн бұрын
HONGERA SANA MAKONDA KWA KAZI UNAYOFANYA MUNGU AKUTANGURIE
@MezdDimoso
@MezdDimoso 2 ай бұрын
Kiongozi akiwa mfuatiliaji utendendaji wa watumishi sehemu frani utasikia mzalilishaji kumuuliza mtumishi ili atoe ufafanuzi wa jambo utasikia watu wanasema fulani kzalilishwa 😮
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
wanaosema uzalilishaji ni baadhi ya watendaji ambao huwa wanakaa ofisini bila kujali na kuwajulisha wale wanaowatumikia matatizo na mikwamo aidha hata fahamu wa kazi zao hawataki watu wengine wazijue
@EditaManyama
@EditaManyama 27 күн бұрын
Hongera Mh Makonda
@keffaonchiri7813
@keffaonchiri7813 Ай бұрын
This is a true leader,Makonda hoyeeeee!
@klystry1234
@klystry1234 2 ай бұрын
Viongozi hawajishughulishi kuweka Haya mahesabu vizuri huu ni ukweli Yaani Haya maswali yote wanatakiwa wawe nayo kwenye makaratasi na wasiwe wanakisia Tena kwa wakandarasi ndo hovyo Yaani bashungwa anapitia changamoto sana na wahandisi Yaani masihara ni mengi sana nchini mnakula hela mnasahau kutoa huduma
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 2 ай бұрын
Huyu Mwanamke ni mchuzi sana. Muonewe, kuna watu wanazihitaji hio nafasi yakr
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 2 ай бұрын
Huyu ni mshenzi sana fukuza yeye
@JohnGomano
@JohnGomano Ай бұрын
Tanzania inahitaji viongozi kama hawa ili kuweza kuendelea just imagine viongozi wote wakifanya kama huyu makonda leo hii tungefikia sehemu nzuri katika maendeleo ya kijamii,siasa na hata kiuchumi
@PhilbianJohn
@PhilbianJohn Ай бұрын
Makonda ongeza makali ya spana kuwatetea wanyonge mungu akubariki sana.
@DM_15
@DM_15 2 ай бұрын
Wananchi wa hovyo kabisa hawaelewi nini kinacho zungumzwa ushsbiki unawasumbua, nivzur makondakutumia hizi nafasi pia kuwaelewesha wananch, nikweli tunataka maendeleo nihao hao wananchi huwa wanskata mabomba, wananchi ushabiki oyaoya niujingahuo. Hongera dada Mungu awe nawewe ukovzri
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Jamani.. serikali haiendeshwi hivi..no strategy????
@emilykisawa5972
@emilykisawa5972 Ай бұрын
inaendeshwaje labda? kama wameshindwa jiendesha!!
@solomonmgaya6936
@solomonmgaya6936 Ай бұрын
Majambazi.wote huwa hawapendi kiongozi msema kweli🇹🇿🙏🏿
@ShabaniMbwilo
@ShabaniMbwilo Ай бұрын
Jamani ingekuwa rahisi apelekwe Kila mkoa maana Kuna wapigaji wengi watu wananyang,anywa haki zao sana Mungu am bariki sana makonda na amlinde popote pale alipo maana mh! Viongozi wadilifu kama huyu adimu kuwapata........................
@user-cz4bj4jp6t
@user-cz4bj4jp6t Ай бұрын
Makonda mungu akuweke mtetezi wa wanyonge
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd 2 ай бұрын
0:35 makonda ana maswali utazani mungu
@RazakiMatochi
@RazakiMatochi Ай бұрын
😂😂😂
@RajabuLanda
@RajabuLanda Ай бұрын
👍hapo kwa ccm nisawa nakusema kitambi mbere xhida nyuma
@nailamimi20
@nailamimi20 2 ай бұрын
Watu wa namanga mbona wote hawana Nuru usoni jmn 🥺 kama vile walevi sana
@user-wc8rm2yo9m
@user-wc8rm2yo9m 2 ай бұрын
Eti walevi konyagi njo inatembea😂😂😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Kwani si ni mkondo huohuo wa wadudu ndugu yangu
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 Ай бұрын
Mirungi pia inawamaliza watu hapo
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 Ай бұрын
Makonda viva
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 Ай бұрын
Hata kama tuna shida ya maji ni lazima wananchi wawe na ustaarabu wa kuwasikiza wahandisi badala ya kuwazomea. Mwisho wa siku Mhe anawategemea hao hao
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
watendaji lazima wayajue majukumu yao na kuwa na uwezo wakujieleza wakati wowote
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Ай бұрын
Hii ana kwa ana viongozi na matatizo ya wananchi nliona Rwanda,yani hua ni fire 🔥 mpaka kiongozi anataman akimbie. Makonda kwa uwezo wa Mungu usimamiwe mpaka mwisho Mungu atakapo chukua uhai wako Insha Allah 🎉
@KamaradaSaidi
@KamaradaSaidi 2 ай бұрын
Makonda kwa kazi nzuli hii unayo fanya unafaa kwa hakika kua rais wa nchi hii mung akubaliki baba piga kazi
@selector728
@selector728 2 ай бұрын
Nzuri sio nzuli,,akubariki sio akubaliki
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Labda nchi hii igawanywe upande kwanza (1)wa watu mbumbumbu mwingine wa (2) wa wenye akili timamu yeye awe rais wa na (1)
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n 2 ай бұрын
Mzee Diwani yuko ngangari kweli kweli alafu nikimcheki Diwani wa kwenye kata yetu nabaki kucheka tu mana ni wale tunaojiita nguvu ya Taifa ila ndo hamna kitu mamae
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Haiko sawa
@edjenmakwai2310
@edjenmakwai2310 Ай бұрын
Kwa kweli maji ni janga kwa mkoa wa Arusha wote. Sio Namanga peke yake.
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 2 ай бұрын
Makonda fanya kazi yako maana watu hawajielewi wanashikilia manafas cha maana hawana watu tunateseka wananchi
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq Ай бұрын
Ila saizi mko kuisafisha ccm kwakua uchaguz umesogea ila bado tumeshituka
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 Ай бұрын
Makonda ni lijitu likubwa lenye uthubutu wa kazi , pambana sana mkuu kusaidia wananchi wengi tunakuunga mkono unachokifanya ... mwenyezi mungu akulinde na manyangau yanayotaka kufifisha juhudi zako
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 2 ай бұрын
😢
@josephatmwambega2874
@josephatmwambega2874 2 ай бұрын
Big up Makonda😂😂😂😂
@lightouma477
@lightouma477 2 ай бұрын
Yaani Namanga inaukame mkali mnoo,ni zaidi ya miaka 30 sasa....Mungu awasaidie tu kwenye kuondoa ilo tatizo maana mmmhhhh
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 ай бұрын
Mh Makonda Acha kuwaonbea wanasiasa kura unavyofanya hivyo NI kuwafanya wanasiasa wabweteke na hawatafanya kazi kwakua wanajua hatawasipo wahudumia wana nchi wanajua utawaombea kura . Acha waombe wenyewe wapate ugumu ema wapate au wapotee ktk siasa
@Josephmutua-sy7mm
@Josephmutua-sy7mm Ай бұрын
This is a bit confusing! Is this a law court or just a public "make crowd feel good" gallery??. Just what's the end game here? Not a place to delve into the intricacies of hydrogeology... honestly!??
@GOODNEWSTV-nf5qx
@GOODNEWSTV-nf5qx Ай бұрын
Jamani tumpate wapi kiongozi kama Makonda wilaya ya Ubungo aje askilize kero zetu za maji hiku kata ya Saranga maana DAWASA wanatukatia maji ili tununue maji kwenye magari yao, alafu mwisho wa mwezi wanatuletea bill za upepo.
@salimabdul4424
@salimabdul4424 2 ай бұрын
Aiseee tuna watendaji vilaza...hujui hata takwimu za mradi mkubwa kama huuu...
@FaridiRashidi
@FaridiRashidi Ай бұрын
Adumu sanaa
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 Ай бұрын
Water boozers disconnect water so as to sell water. That was my experience in Kenya. You will find that water boozers are owned by people in water ministry. So the ones who are supposed to solve the problem also end up creating problem for financial gains
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Mmechelewa watanzania ndyo tunapenda hivi makonda anavofanya
@user-ct3um3fr6j
@user-ct3um3fr6j 2 ай бұрын
Safi sana hakuna kitu hapo
@JumaAzam-hx6wl
@JumaAzam-hx6wl Ай бұрын
😮
@joycemwango943
@joycemwango943 2 ай бұрын
Tungelikua na MH,, MAKONDA KENYA tungeshukur,,, Anasikiza kero za wanaichi
@DennisMungai-pf6rb
@DennisMungai-pf6rb 2 ай бұрын
Masikini nchi yangu ,,watu wanakuja kufurahia wenzao wakidhalilisha
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 2 ай бұрын
Co kudhslilisha,,,watendaji wengi waserikalini ni wazembe,,,,,,na hii n kutokana na kulindana kupita kiasi....na hapo usingalie sura....tunataka utendaji na uhadilifu....mwache poul makonda awanyooshe.......kama ukubali utendaji wake hilo n tatizo lako bnafsi lkn kwa wananchi Ana manufaa makubwa mno...
@SheilaNanetia-nb7pd
@SheilaNanetia-nb7pd Ай бұрын
It's true vandalization is true
@martinakyoo148
@martinakyoo148 Ай бұрын
Makonda ni teacher wa wakuu wa mikoa yote nchini Na Mama akimaliza muda wake please CCM msione ugumu kumpa nafasi ya Urais mtaenjoy na CCC itaenjoy na Wananchi Wataenjoy amini usiamini huo ndio ukweli. Tunataka kiongozi kichwa chake kinafanya kazi kama huyu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Sitegemei kama chanzo cha maji kinaweza kuhudumia watu waliopo 900 KM, kwa sababu hapa Zanzibar hakuna anaeishi 10 KM na hakujaenea maji lakini tatizo la maji hatufanani Tanganyika ni kubwa sana.
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Ай бұрын
Hapo wanajadiri kuhusu mkoa wa Arusha pekee sio Nchi nzima
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Ай бұрын
Tena ni wilaya ya namanga tu
@YonaLaizer-nt4pc
@YonaLaizer-nt4pc 2 ай бұрын
Usimpigie mtu debe kwaajili ya maisha yake wewe tumia hekima uliyopewa na MUNGU hivyo achana na mengine wewe tenda wema malipo kwa MUNGU atakurehemu
@salimabdul4424
@salimabdul4424 2 ай бұрын
Nenda na full document dada...be smart nyoooka...
@PaulNdekiro-vb3gg
@PaulNdekiro-vb3gg Ай бұрын
YAni niaibu kiongozi anapoulizwa sawali anajibu kiswahili na kiingereza sasa hapo nikuonyesha usomi zaidi au ushamba zaidi?nyie watendaji wa serekali niwaongo na niwaizi Yani wako kimaslahi binafsi ndiyo kipaumbele ya watumishi waleo wanashindana kujenga mijengo na kuwana magari mazuri daah mungu atusaidie na hawa waongo
@MidlastaLyimo
@MidlastaLyimo 2 ай бұрын
INATUSIKITISHA SANA.SISI WASTAAFU KUKOSA MAFAO YETU LAKIKINI MABILIONI YA HELA YANAPELEKWA MIRADI.??NIKIFA WANANGU HAWSNA CHOCHOTE NI HAKKI KURA ZA WASTAAFU NI NO
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 ай бұрын
Yanacheka ujinga tu
@innocentaloyce919
@innocentaloyce919 Ай бұрын
Apo idara ya maji arusha kuna ma dudu mengi sana
@allymbaya6411
@allymbaya6411 2 ай бұрын
Ila mimi huyu mdada nimempenda kwa ujasiri wake pamoja na kudhalilishwa kote lakini haja hajatetereka hata kidogo
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 2 ай бұрын
Amedharirishwa na nani mbona hueleweki au kwa kuwa wewe uko na viwango vya juu
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 2 ай бұрын
Baba unaupiga mwingi sana
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
ukitaka kujua wababaishaji utaona watendaji wabovu ni hapa ,mbona diwani ameongea amenyooka hata mimi niliye mbali nimemwelewa.
@user-sc5xz8jh5y
@user-sc5xz8jh5y Ай бұрын
Hogela raisi kwa uteuzi wahuyu kiongozi namkubali sana
@wilsonkinga
@wilsonkinga Ай бұрын
Watendaji wa nchi hii hawawezi kuongoza nchi hii maana wezi na wanyanyi
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 ай бұрын
Mkuu Makonda nakukubali
@GOODNEWSTV-nf5qx
@GOODNEWSTV-nf5qx Ай бұрын
Jamani hii inaonyesha kuwa viongozi wengi walioajiriwa sio wazalendo, sio watenda haki na sio wachapa kazi . Hawatambui dhamana waliopewa zaidi wanaangalia maslahi yao binafsi hawaridhiki na mishahara yao.
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s Ай бұрын
Kichwa cha habari si kweli. Alitoa tu maelezo.
@margaretking9640
@margaretking9640 2 ай бұрын
I wish ungekua kenya pia mayatima km ss tukapata haki
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 2 ай бұрын
Hii ndio nini jamani mbona kama sio utaratibu au ni kuonyesha kitu
@KituRu
@KituRu 2 ай бұрын
Ni udhalilishaji
@user-ds5pz2oz3u
@user-ds5pz2oz3u Ай бұрын
Huyu jamaa inatakiwa hapewe nchi maaana anakipaji Cha Hali ya juu
@eluidmorery6411
@eluidmorery6411 Ай бұрын
Kiji cha patanumbe kina pori la Ngombe. Limeuswa na mavizandi tusaindiye kulirudisha
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf Ай бұрын
Ila makonda unawatia akili ili wajitambue shida ni kwamba watumishi waserekalini washazoea ku bebana awana nazam yauoga katika utendaji
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Ай бұрын
Huyu jamaa anapiga Kazi ila kinachoharibu ni sifa. Kuna mtu anaitwa Dr Dotto Biteko ni mtu haswa haswa lkn huwez sikia anafanya maamuzi Kwa sifa.
@safarirockerz2781
@safarirockerz2781 2 ай бұрын
Kashafail na kupotea mkasema bora yeye sasa amerise Tena mnabongabonga fyoko fyoko
@MohamedUchungu
@MohamedUchungu Ай бұрын
Huyo ni kiongozi wa hovyo hayo sio maamuzi mazuli kwa watendaji maana utendaji mgumu broo fanya uwe mtendaji halafu uone ugumu wake
@mr.exaudmshana5275
@mr.exaudmshana5275 Ай бұрын
Hongera mate Eng. Upendo🎉
@HassaniMsangi
@HassaniMsangi Ай бұрын
Makonda uje ubungo takribani zaidi ya miezi sita hatuna maji tunakunywa maji ya mashimo hapa DSm
@johnpella8703
@johnpella8703 2 ай бұрын
Kweli inawezekana kumkamata mhalifu aliyekata bomba kwa sime usiku wa manane?
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 2 ай бұрын
Ooooh hats secondary ulifeli hesabu Unsitoa wapi ww bashiii?
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 2 ай бұрын
Mama alitoa, mama alitoa ! ! Serikali. Itatoaaa lini ?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Akitoa mama ndio imetoa Serikali.
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Ай бұрын
Huu ndio ujinga wetu wote raia kwani huyo Mtendaji ndiye Anaye tenga fedha kwa ajiri ya Maji ?
@SaumuJuma-mu1my
@SaumuJuma-mu1my 2 ай бұрын
Kwani yeye ndio analeta hela?
@PhilbianJohn
@PhilbianJohn Ай бұрын
Makonda ongeza makali ya spana
@samwelmkufya3694
@samwelmkufya3694 2 ай бұрын
Mwenzenu nlichomolewa kwanye halmashauri moja hapa tanga kisa nlienda kuidai halmashauri yani hawa watu wakiwa ofisini wanajiona mamwinyi
@babukije268
@babukije268 2 ай бұрын
Tanzania nchi yenye mito maziwa mpaka mabwawa lakini tunakosa maji serikali imefeli
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 119 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 119 МЛН