Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Пікірлер: 11
@hemedijuma4099 Жыл бұрын
Mufti sasa hivi yupo moto sana alhamdulillaahi allah ampe umri wenye manufaa fii diini duniyaa wala aakhera
@sharfumbarouk6168 Жыл бұрын
Umefikisha,, mashekh wafanye kazi ya kuuzindua umma bila woga
@alimau7939 Жыл бұрын
Mufti umezungumza point muhimu sana
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Asante sheikh Mufti. Tunaomba mkemee pia nyimbo zisizo na maadili. Video clips zisizo na maadili. Nguo zisizo na maadili. Mambo yote hata yanachangia kuleta ushoga. Kazi iendelee.
@ahmadshaha1932 Жыл бұрын
Mungu atatuvusha allahumma amin
@bahatihamissi1161 Жыл бұрын
Allah atuepushie mbali hili balaa
@mdoekibai5063 Жыл бұрын
wengine wamekumalia kupinga maulidi na na dua mckitini lkn hayo hawayaoni
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Inatakiwa kusema siku zote, sio Kwa kipindi Tu,,,,,