VIDEO: RAIS AMUIBUA ALLY HAPI, AFUNGUKA "WATU NI WAONGO"

  Рет қаралды 116,877

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 88
@abbas.h.saydy.3991
@abbas.h.saydy.3991 Жыл бұрын
Safi sanaa,hii programu ni nzuri sana serikali yetu imejitahidi sana kwa ubunifu wa nafasi za ajira zenye kuwanufaisha na kuwatajirisha vijana.
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 Жыл бұрын
Ally tupo nae huku .kwel jamaa yuko siliaz sana kwenye kilimo haigiz uyu jamaa
@amaninoi1959
@amaninoi1959 Жыл бұрын
Subira ndo mambo yote jifunze katika kukosea na kufanikiwa kwa vitendo Nawaona vijana wakiibuka kwenye kilimo Safi sana👍✔️
@azizasefu294
@azizasefu294 Жыл бұрын
Nampenda Sana Akili Happy atatoboa tu Mana analima kwa moyo
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Ally Hapi
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 Жыл бұрын
Ahsante! Na huo ndio ukweli
@kasimbahilaly5742
@kasimbahilaly5742 Жыл бұрын
Nazani kunakipindi wazalendo Hawatakiwi.Ila binafsi namwamini Sana Sana Ally
@samsont.albini5998
@samsont.albini5998 Жыл бұрын
Hana uzalendo wowote
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 27 күн бұрын
Aly Hali jembe
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 27 күн бұрын
Anajua sana huyu mama amepoteza jembe
@hassanmzaa957
@hassanmzaa957 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu jamaa ana misimamo sana sijui kwann aliondolewa katka uwongozi.
@paschalkapande1486
@paschalkapande1486 Жыл бұрын
amekuwa Mkulima akili imemkaa sawa,kipindi cha Mzee Magu haka kajamaa kalikuwa na Kiki sana kameumiza wapinzani mno
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@paschalkapande1486 😂😂
@ramadhannasibu7753
@ramadhannasibu7753 Жыл бұрын
Huyovameshaingia katika system. Na nibado kijana sana. Ni hazina ya CCM. Utakuja skia tu anakua kiongoz kuna siku. Kuondolewa kwake kwenye madaraka kunaweza kuwa ndio nafasi ya kuwa na muda wa kujifunza zaid na kujua vip wanaishi watu ambao hawana madaraka. Hivyo akibahatika kuwa na madaraka tena anakuwa kiongozi mzur zaid. Sababu ameshaexperience maisha ya watu wa hali zote.
@joharimloge4088
@joharimloge4088 Жыл бұрын
Mungu atakulipa kwa ukweli wako kaka angu
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 Жыл бұрын
Ameen
@abochejuniorhutingwa223
@abochejuniorhutingwa223 Жыл бұрын
Huo ndo ukweli, kilimo hakitaki mchezo. Kilimo kinataka uwe na juhudi lakini pia maarifa
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 Жыл бұрын
Huyu jamaa anapenda kilimo
@JumaSereman-dm3yz
@JumaSereman-dm3yz Жыл бұрын
Kiukweli Mungu ni mwema,amesikia kilio chetu vijana.
@ceciliamashimba6527
@ceciliamashimba6527 Жыл бұрын
Pamoja Sana kiongozi.mchango wk kwetu Bado unaishi
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 Жыл бұрын
Mzalendo wa kweli kweli MSSOMI ALIE AMUA KURUDI KATKA KILIMO KAMA AWALI KUTOKANA NA UONGOZI WA .... HAUFAI HONGERA ALLY HAPI MUNGU AKUBARIKI NA UZALENDO WAKO HUO KAKA MUNGU ndie atoae riziki na hakuna binadamu atae ishi miaka 100 Ila kwa uwezo wa MUNGU akitaka ila ww NI mfano bora kwa WAZALENDO WOTE HONGERA KAKA
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter Жыл бұрын
content na hbr n tofaut kabsa
@fwc5552
@fwc5552 Жыл бұрын
Millard na ww pia umeanza vichwa vya habari vya kipuuzi
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Uko sawa mkuu wa mkoa mstaafu
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
Mungu akujalie heri kiongozi wetu, Tanzania inakupenda sana.
@deusjohnleonard245
@deusjohnleonard245 Жыл бұрын
Excellent 👍
@kyambarungwe6960
@kyambarungwe6960 Жыл бұрын
Kwa upande wangu Ally hapy ndiyo kiongozi ambae alikuwa bola
@marysadiki1887
@marysadiki1887 Жыл бұрын
Kosa lake kutukana wazee
@mbalum8856
@mbalum8856 Жыл бұрын
@@marysadiki1887 hana adabu
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 Жыл бұрын
@@marysadiki1887 wahuni nao wanazeeka
@godsson5954
@godsson5954 Жыл бұрын
bora kuliko mke wako sio?
@imranijuma6955
@imranijuma6955 Жыл бұрын
Kwa vijana
@FELICULASHIRIMA-fy7er
@FELICULASHIRIMA-fy7er Жыл бұрын
Wimbo wa kanisa sombetini,kwaya stefano
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
ASANTE SANA MAMA VIJANA WATAFAIDI MATUNDA YA NGUVU ZAKO
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 Жыл бұрын
Mama Kama ikikupendeza mpe Tena ukuu wa mkoa huyu mwamba, Ni kiongozi bora Sana
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 27 күн бұрын
Huyu mwamba jembe jembe mama apa unapoteza mtu sahihi Yani huyu ni mtu sahihi makonda akiwa pemebeni na huyu mwamba so poa
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Anaongea point Yani
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 ай бұрын
Tunakuoenda Ali Hapi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Safi sana
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Ni kweli kilimo hakitaki watu waongo ila kwa sasa siasa ndio inataka watu WAONGO
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
We alihapi ni dhahabu watanzania hawajui
@PAPAAKIZWII-zj1bp
@PAPAAKIZWII-zj1bp Жыл бұрын
Hapi angekuwa waziri wa kilimo ingependeza mno.
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 Жыл бұрын
Hivi ndio vitu tunataka. MIRADI BORA. PIA WAWEKEZE MAENEO YA PWANI, KIGOMA, KUSINI KWENYE MVUA NYINGI watatumia gharama ndogo kumwagilia...HII ITATUSAIDIA NCHI. TUZALISHE TUUZE DUNIANI KOTE
@almasially6509
@almasially6509 Жыл бұрын
kweni kila hafla lazima raisi ahudhurie?
@raggysingo4983
@raggysingo4983 2 ай бұрын
Kamuibuaje hapo? Masenge kweli.
@neemamsungu4090
@neemamsungu4090 Жыл бұрын
Safi mh. president Samia
@michaelmayunga3878
@michaelmayunga3878 Жыл бұрын
Nimefurahishwa na mpango huu, maana lilikuwa wazo langu mapema 2014, nililiandikua concept paper kwa mkuu wa mkoa wa mwanza wawakati ule Rngineer Ndikilo: Hongera Bashe, Hongera mheshimiwa Raisi Dr. Samia .
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Unadhani utasaidia nchi?
@salomemhalule5213
@salomemhalule5213 Жыл бұрын
Natamani hata ingewezejana Rais watu na waziri wa kilimo wakae na waone ni namna gani ya kumsidia mkulima wa kijijini ndani kabisaaaa huko Nyasa. Pili badala ya kuwatunza wafungwa gerezani wawatumie kwenye shughuli za kilimo kupata chakula chao na hifadhi ghala la taifa
@saidinaweka9425
@saidinaweka9425 Жыл бұрын
Kakawewe kwangu nikiongoz wakuigwa mungu yupo nawewe
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Huyu kaka ni xawa na dhahabu cjajua kwann hatumpi nafasi ya kutosha anatufaa xana yupo silias xana sio mtu wa kupindapinda
@noelymwakyoma9620
@noelymwakyoma9620 Жыл бұрын
Ivi mama alimtoaje huyu jamaa ukuu wa mkoa jmn?
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa
@kiwangasaidi6284
@kiwangasaidi6284 Жыл бұрын
Safisanaa Nduguyitu
@mahembajulius7036
@mahembajulius7036 Жыл бұрын
Wengi wenu unafiki tu , kesho mtabadilika tena.
@fortunecharles2857
@fortunecharles2857 Жыл бұрын
Niliomba skupata kabsa sijajua kwnn
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Жыл бұрын
Safi
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Happy yupo jela au uraiyani. Wauwsji wsnarudi Samia unatuangusha Bado sabaya arudi naee mbona mbunge wa Arusha yupo huru uwauwa jambazi kama.sabaya huyu gambo muogoe mungu mh suluhu
@samsungtz9148
@samsungtz9148 Жыл бұрын
Naamini atalud kazini
@majidikhatibu7479
@majidikhatibu7479 Жыл бұрын
Huyu jamaa alikua mwamba sana namkubali sana sijui kwanini alitolewa au kwasababu alikua mkweli
@daluchiwinga3534
@daluchiwinga3534 Жыл бұрын
MAMa mungalie hapi jama yupo poaa
@alexkamba5264
@alexkamba5264 Жыл бұрын
Jmn vp wa mikoa mingine tunapataje hii jamani
@najmasaid-lv7wx
@najmasaid-lv7wx Жыл бұрын
Na mimi naomba nafasi nikasome
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakomesha
@mbarukumakakala4895
@mbarukumakakala4895 Жыл бұрын
Nanyi ayo nmeanza kudanganya aio kichwa cha habar kinasemajee
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Жыл бұрын
Jamaa analima kweli kweli
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 Жыл бұрын
In see magufuli in hapy
@jackdmhozya3223
@jackdmhozya3223 Жыл бұрын
KICHWA CHA HABARI NA YALIYOMO TOFAUTI...NA WEWE UMEANZA UJANJA UJANJA KAMA WENZAKO EEE...
@saidinaweka9425
@saidinaweka9425 Жыл бұрын
Kaka uko makinisana
@joachiumjaffu802
@joachiumjaffu802 Жыл бұрын
Natamani sana kupata nafasi hii ila sijafahamu nawezaje kupata
@maxmkemia6669
@maxmkemia6669 Жыл бұрын
Muda ukifika Mungu atakupa nafasi kma ikimpendeza
@joachiumjaffu802
@joachiumjaffu802 Жыл бұрын
@@maxmkemia6669 Ahsante Sana Kwa kunitia Moyo
@salomemhalule5213
@salomemhalule5213 Жыл бұрын
Ni kweli kabusa hizo taarifa zimewafikia wachache, tusaidieni basi tufanyeje, nasi tungependa kujiunga nao
@majaliwakulanga3806
@majaliwakulanga3806 Жыл бұрын
Mimi ninahekali tatu wilaya ya kilolo mniwezeshe hata laki tano
@Moresa196
@Moresa196 Жыл бұрын
Mdomo uliponza kichwa
@gamestztvlive4041
@gamestztvlive4041 Жыл бұрын
Huu ni uwezo mzuri wenye malengo mazuri kwa taifa letu...chakuzingatia ni kwamba TFA wajitaidi kupokea mbegu nzuri na kuzchunguza ni mbegu zenye ukomboz kwa wakulima ...
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Mbona hiyo fursa mimi sijasikia
@tumainihilary6839
@tumainihilary6839 Жыл бұрын
Tuendelee tuu
@mtangag774
@mtangag774 Жыл бұрын
sitoi comments mm hahahha
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 Жыл бұрын
Yeye alikosa mpango maalum Musoma akawa bize na mambo yake tu mbona uko hakuwafundisha vijana wa Mara kulima kiukweli
@emmanuelsamwel5824
@emmanuelsamwel5824 Жыл бұрын
Mara hawalimi wanavua samaki
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 Жыл бұрын
@@emmanuelsamwel5824 Sio wote wanategemea uvuvi Kwan hakuna mashamba Huyo alipiga hela tu huko anatuzugia badae aseme amepatia kwenye kilimo
@esperancenathali
@esperancenathali Жыл бұрын
Hali hapi amechakaa kweli jamani kzi aliyo kuwa nayo ilikuwa imemfaha jmn
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Acha unafki kachakaa wpi
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 Жыл бұрын
Hauna lolote unafiki na vijisifa tu uliviweka wazi
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Ningepata na Mimi fusa hiyo ningefurahi
@yahyandondole7854
@yahyandondole7854 Жыл бұрын
Hizo pesa wangepewa ambao tayari. Ni wazoefu. Na maafisa ugani waendelee na kazi serikali iwekeze mitaji huko na vifaa. Zoezi hilo sio rahisi kihivyo. Siasa sio kilimo. Lipeni pia hela za mawakala za 2016 na za mwaka huu. Mshika mawili moja humponyoka. Zoezi hilo ni gumu. Ni sawa na kulazimisha ngo.mbe kunywa maji
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 197 М.
PART 2: RC HAPI ALIVYOPATANISHA NDOA YA ABIOLA
10:04
Millard Ayo
Рет қаралды 222 М.
BREAKING NEWS: RC HAPI AGEUKA MBOGO, AMSWEKA RUMANDE MZUNGU
2:52
TIMESOBSERVER DIGITAL
Рет қаралды 207 М.