PART 2: RC HAPI ALIVYOPATANISHA NDOA YA ABIOLA

  Рет қаралды 221,478

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 453
@rajabunyangasa2653
@rajabunyangasa2653 5 жыл бұрын
Hongera sana Mhe. Ally Hapi, umefanya jambo jema kuwa chanzo cha hao wawili kupatana. Mungu akulipe kwa hilo braza.
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Heri wapatanishi maana hao watamwona Mungu ,hongera happy
@suzyclement3899
@suzyclement3899 5 жыл бұрын
Amen
@f.a6043
@f.a6043 5 жыл бұрын
Amen
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 жыл бұрын
Amen
@daudsuleman3381
@daudsuleman3381 4 жыл бұрын
Valentina Mussa ameen
@jonisiamdulingwamdulingwa3336
@jonisiamdulingwamdulingwa3336 3 жыл бұрын
Anaitwa hapi
@rajabunyangasa2653
@rajabunyangasa2653 5 жыл бұрын
Mimi Abiola amenifurahisha kwa utulivu kwa Mkuu, kitu cha muhimu asirudie makosa. Mungu amsaidie sana Abiola.
@alphoncelagwen1712
@alphoncelagwen1712 5 жыл бұрын
Rajabu Nyangasa
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@habarugirajeanmarieviann-qe4uf
@habarugirajeanmarieviann-qe4uf Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@meshackmganga6948
@meshackmganga6948 5 жыл бұрын
Kama umemkubali Abiola nipe like na mimi leo
@williadiusbuberwa940
@williadiusbuberwa940 5 жыл бұрын
Nimekukubali Mh:
@gabrielmusyani327
@gabrielmusyani327 5 жыл бұрын
Abiola anaonekana ana misimamo yake flan sema anaogopa nyavu tu
@theobarddimoso8835
@theobarddimoso8835 5 жыл бұрын
Abiola ametishaaaa
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Hahhh
@asiaokeay1654
@asiaokeay1654 5 жыл бұрын
abiola 😂😂😂😂😂😂😂
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 5 жыл бұрын
Alie muona mama akiomba kila mda anipe like zangu
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 5 жыл бұрын
Jaman Ali happy you the gift from the God sir
@norafrowin1748
@norafrowin1748 4 жыл бұрын
Team Ally Hapi wezangu piga kelele kwa Hapi akeee,yaani natamani miaka ijayo uwe raisi wetu,Hapi Hapi Hapi👏👏👏
@johnramadhan4714
@johnramadhan4714 5 жыл бұрын
Huyo mke yuko imara sana, awe mfano wakuigwa!
@saidyusuph4129
@saidyusuph4129 5 жыл бұрын
Hongera mbeya walitaka hiyo kazi afanye rais, tunakuomba chalamila iga huko, ni jambo jema sana,
@janemusumba2316
@janemusumba2316 4 жыл бұрын
Huyu ni kama mama kabisa anapenda baba yangu sana ata apitiye shida ❤❤.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 жыл бұрын
Wonderful solution,big-up RC.
@kajuakitu
@kajuakitu 5 жыл бұрын
Mh Hapi upo kwenye chuo cha uongozi na unafanya vizuri sana. Miaka ijayo tutakukabidhi majukumu makubwa zaidi maana namuona Mungu ndani yako.
@klystry1234
@klystry1234 4 жыл бұрын
Shout to all mamas who fights kama huyu mama 👏👏👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️
@allymwema8862
@allymwema8862 5 жыл бұрын
kina abiola gonga like twende sawa
@midoseneta4780
@midoseneta4780 5 жыл бұрын
utulivu wa abiola umemponya mana mkuu alikua anakutamani sana baada ya kumsikiliza mkeo jana... sema umekuo mpole mpaka imemuingia huruma naamini hata hizo kesi za mwanzo zitafutwa mana abiola kabadilika... sema nini hata ukitaka kunoa panga kanolee mbali mana huyo mama hata ukinoa kwa nia ya kwenda nalo shamba atahisi ni yaleyaleeeeee..
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
Kila MTU ana siri yake hujui huyu mama anachokipata kwa Abiola hahahahahahahahaha
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 5 жыл бұрын
Mke wa Abiola anampenda Abiola😂😂😂😂
@gabrielmusyani327
@gabrielmusyani327 5 жыл бұрын
Sawa kabisa
@kimwenjetheboy4199
@kimwenjetheboy4199 5 жыл бұрын
Abiola anakichwa cha umalaya hapo anazuga tu ngoja awape kisogo
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 5 жыл бұрын
@@kimwenjetheboy4199 Umenichekesha jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zawadisalimu5478
@zawadisalimu5478 5 жыл бұрын
km mke wa gwajiboy
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 5 жыл бұрын
@@zawadisalimu5478 😂😂😂
@jejetoyobo1254
@jejetoyobo1254 5 жыл бұрын
Naona shemeji leo kakumbatiwa na abiola hadharani
@teddclive1506
@teddclive1506 Жыл бұрын
Thanks RC for uniting this family. Mama mrembo na anajitahidi
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 5 жыл бұрын
Sifa ya wanawake was kihehe ni wavumilivu kwenye ndoa,na watulivu,abiola sema tu stress za kufilisika zimemchanganya,na kibaya wanawake wamechangia kumpoteza.
@omarymakota2276
@omarymakota2276 5 жыл бұрын
Liabiola linaitika kama mtoto wa lakwanza litarudioa tena maana watu wenyewe visongo awasikiagia mara moja like kwa abiola
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Omary Makota mmmmmmh
@ngundalinus6101
@ngundalinus6101 4 жыл бұрын
Kiukweli ninaye bonge la mkuu wa mkoa, natamani kurudi nyumbani nikampe kampani mkuu wangu. Ipo siku nitarudi Iringa kwetu, asante Sana big up Baba
@cyliviambanga196
@cyliviambanga196 4 жыл бұрын
Omary Makota chekechea kama zoba
@nuranzubail1240
@nuranzubail1240 5 жыл бұрын
Wanawake Mungu awatunze mnapitia mengi. Tusameheni tu sisi wenyewe hatujui tuyafanyalo
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 жыл бұрын
Upo,juu,mungu akujaaliye,kwa,kukumbuka,hilo
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 жыл бұрын
Ahsantee
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 жыл бұрын
Ahsante,
@user-cl2jr3re4s
@user-cl2jr3re4s 5 жыл бұрын
Mh happy nikiongoz mzur sana japo wengine wanasema anajiskia ila mm nakuunga mkono kwasab palipo nashinda ambazo zinapelekeana hata watu kuwepo katika hatari ya uhai wao uyu Dc happy anakua kama mtume wa mungu Congrats Happy my bro wa faida
@assfzainab912
@assfzainab912 2 жыл бұрын
Masha ALLAH MIMI NI MKENYA LKN MKUU ANAENDA MWENDO WA MAREHEMU MAGUFULI
@gasperkunambi9538
@gasperkunambi9538 5 жыл бұрын
Mweshimiwa,kila,nikikuangalia,nakuona unakaUchungaji kana kunyemelea nimebarikiwa ,maana,Neno,linasema Heri, wapatanishi,maana hao wataitwa wana WA Mungu
@mariamngwada6449
@mariamngwada6449 5 жыл бұрын
hahaaaaa nimeipenda
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 4 жыл бұрын
Huyo ana master ya sheria ka graduate mwaka jana
@samsonrichardkilamile5155
@samsonrichardkilamile5155 5 жыл бұрын
Safi sana Mkuu,Abiola tii mamraka,pole shemela
@sharifahamisi9091
@sharifahamisi9091 5 жыл бұрын
Abiola umejua kutufurahisha umekuwa star kupitia mkeo duh abiola kiboko
@raydnelly1872
@raydnelly1872 4 жыл бұрын
Sharifa mie mmecheka wallah Abiola kiboko ya kazi..
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 жыл бұрын
Mwanamke mzuri tena japo yupo kijijini na ana maisha magumu.
@bigmachinempower4680
@bigmachinempower4680 5 жыл бұрын
RC I like you, keep it up bro. your a good leader bro.
@abdallahpesa1456
@abdallahpesa1456 5 жыл бұрын
Hongera sana mheshiwa kwa juhudi yako ulioonyesha , maana bwana Abiola kafanana na maniga 2pac
@mohammediburuhani4655
@mohammediburuhani4655 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 2 жыл бұрын
Mim katka watumishi wa serekali hii ya jpm na mama samia alli hapi the best 🤝🤝👌
@mwinyimshomi1531
@mwinyimshomi1531 5 жыл бұрын
Mama akiambiwa una neno la mwisho anaibua jambo jipya.... Big up mama😀😀😀
@ramaseif7774
@ramaseif7774 5 жыл бұрын
Abiola na mke wake atari sana, ila abiola mkauzu sana kapIga huG? @bojjomittonyo, Pia kama umemuona huyo mama pembeni ya mkuu wamkoa akiongea mbovu dhidi ya abiola mmemuona?
@beatricechavala9074
@beatricechavala9074 5 жыл бұрын
Penda San hapii
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 жыл бұрын
Mungu akuweke M.h Happy
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 5 жыл бұрын
Wakuu wa mikoa ninaowapenda kutokana na kazi zao nzur ni agrey nwanry Tabora ,Paul makonda DSM na ally salum RC wa iringa .pigen kazi
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 2 жыл бұрын
For sure Mungu awabariki
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 5 жыл бұрын
Hongera sana,Mkuu kwa kupatanisha ndoa,
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 жыл бұрын
Hiyo kesi inge angukia kwa huyo mdada aliyekaa karibu na mkuu ws mkoa Abiola angepata tabu sana. Inaonekana hajaridhika na hizo sarakasi. 🤣😂😂🤣🤣
@dionisemyigezo9137
@dionisemyigezo9137 5 жыл бұрын
anamind balaa huyo maza,daa
@njolejr3170
@njolejr3170 5 жыл бұрын
kwa kweli 😂😂
@Timoclement
@Timoclement 4 ай бұрын
Hilo hata mm nakiri ila wanaume tunajuana Rc katumia busara sana
@anzurunishaha1372
@anzurunishaha1372 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa afya njema happy
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Jmn Abiola umemfanya mkuu achanganyikiwe mpaka akuite abilia,duh atr sana umezidi unachota maidi yake,,nimeona tabasamu la askari poris nae amependa mkuu alichokifanya duh nimekupenda mkuu,,Mungu akubariki maisha yako yote.
@dr_godfrey
@dr_godfrey 5 жыл бұрын
Abiola yuko vizur katulia mwenyewe hahaahaha🤣🤣🤣🤣
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Garden sanitarium clinic Duuuuuuuh
@khatibalamin401
@khatibalamin401 5 жыл бұрын
Abiria😉😉😉😉
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 жыл бұрын
Huyu Baba atakutesa Sana maana anaonekana goigoi toyoyo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 4 жыл бұрын
Mkuu upo vizuri unatoa haki sawa sawa Mungu akubariki
@jumamabirika1455
@jumamabirika1455 Жыл бұрын
Mkuu....hongera....kwaushirikiano....nawananchi.....vinzuri
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 ай бұрын
Inasikitisha sana kusikia sauti ya huyo Bwana inatisha Sauti isiyokuwa na raha ndani yake anayo Tabia mbaya sana kama Bwana Mungu awabariki
@zawadally9097
@zawadally9097 5 жыл бұрын
Allhamdullilah mwenyezi mungu akujalie maisha marefu mkuu wa mkoa
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 жыл бұрын
herii wapatanishi maana haooo wataitwa wana w mungu nakuombeaa mungu siku moja uje kuwa raisi wetu
@jovinusrwegoshora4342
@jovinusrwegoshora4342 5 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mkuu umetumia hekima kubwa maana migogolo ya ndoa ni migumu Sana hila were umekuwa mwogoza njia
@mkwizutedy8032
@mkwizutedy8032 2 жыл бұрын
Yaani abiola kanichekesha sana !!! Yupo kama nukta
@melkizedekiwiliam5533
@melkizedekiwiliam5533 5 жыл бұрын
RC HAPI hongera! da! umeokoa jahaz la wanandoa kuachana. umefanya usuluhisho sahihi.
@agnessfrancis2706
@agnessfrancis2706 5 жыл бұрын
Mheshimiwa ally happy kweli unakipaji mungu Akupe maisha marefu na yenye baraka tele wewe pamoja Na familia yako
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Wa mama wengi wanateseka
@rajabuhassani4504
@rajabuhassani4504 5 жыл бұрын
Hongera RC kwa uadilifu, huyo abiyola asipoelewa kamata vesha bangili sukuma ndani.
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
Ally happy asee uyo abiola mziguaji asee naomba nipe luusa mm nimuowe uyo mama asee naotaka sana nipate mke mwnye kupigana kama uyu mama asee unamtishia mapanga mama mzuli ivo afu unamletea uzwazwa mama anaakili nyingii kiasi ichii aseee mm nikiwa nae walai nashindana na mo dewji apa bongo asee
@madamloveness7274
@madamloveness7274 5 жыл бұрын
Umetisha oa was kwako huyo was abiola
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
@@madamloveness7274 daaaaa anazingua uyo abiola pendo
@halimaoman8726
@halimaoman8726 2 жыл бұрын
Mueshimiwa hongera sana kwa kupatanisha dowa
@petermdetele144
@petermdetele144 3 жыл бұрын
Ubalikiwe abiola kakangu kukubali yaishe jela kubaya
@djsamtzmwilliam6689
@djsamtzmwilliam6689 5 жыл бұрын
Hongera mh mkuu wa mkoa! Kwa upatanisho huu
@user-zv6mk1jv6s
@user-zv6mk1jv6s 8 ай бұрын
Nimekukubali kiongozi wangu
@Nesphore1
@Nesphore1 5 жыл бұрын
Wanaume wazinguaji balaa, aiseeh Mungu atuzidishie uzima.
@princesssalmahtz4531
@princesssalmahtz4531 5 жыл бұрын
Polee Sana mama maana huyo mume wako. Pasua kichwa😥😥😥
@Petro_classic1
@Petro_classic1 5 жыл бұрын
Raha Sana haya Mambo Bhana maisha marefu mkuu wa mkoa
@odilinadonald261
@odilinadonald261 5 жыл бұрын
Mama yuko vizuriii
@emmanuelellymwakyusa2900
@emmanuelellymwakyusa2900 5 жыл бұрын
HAPI kakamilka anaanza kuwa mtawala wa KWELI na busara tunahitaji upande huu ...
@irenejoseph6684
@irenejoseph6684 4 жыл бұрын
Mwenxi mungu akujalie maisha marefu kiongozi wetu hakik hap nikz tu wanawake tunapata tabu san kwenye ndoa zetu uvumiliv ndo kt bor
@davidchengula8244
@davidchengula8244 5 жыл бұрын
Kiongozi wawatu ally happy nakukubalisana
@mariamali1887
@mariamali1887 5 жыл бұрын
Safi sana mkuuu uko juu👌👍
@johnsonjosephat1701
@johnsonjosephat1701 5 жыл бұрын
big up Sana'a muheshimiwa RC
@neemaloy889
@neemaloy889 2 жыл бұрын
Hongera Sana Rc
@happysindani6708
@happysindani6708 5 жыл бұрын
Safi sana Mungu awabariki🙏💕
@betriceayo1059
@betriceayo1059 5 жыл бұрын
Kutoka kwa zari mpaka kwa abiola
@happysindani6708
@happysindani6708 5 жыл бұрын
@@betriceayo1059 😅😅😅saana
@justinemhanga4273
@justinemhanga4273 5 жыл бұрын
Happy Sindani 0763014994 in box me via WhatsApp
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 жыл бұрын
Hahahaha Papaa Abiola nakukubali saana kwakukubali Suluhu na Mke wako Maisha lazima yaendelee kutereza sio kuanguka.
@Segerethom
@Segerethom 5 жыл бұрын
Jamani wanawake kama hawa walikufa kwenye like tetemeko LA kule BUKOBA mama abiola hatamimi nakupenda heheeee.....!!!!
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 жыл бұрын
Good one ☝️
@mariamjoseph6010
@mariamjoseph6010 5 жыл бұрын
Vzur mama mungu akubaliki
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 жыл бұрын
Mama anakupenda sana baba utulie
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
Huyu mama ana moyo ni sawa na mke wa Osama bin Laden
@mosesanosa9956
@mosesanosa9956 5 жыл бұрын
ayo TV mkovizuri nawapenda ningependa kujua hatma ya abiola baada ya sikuzijazo nimempenda abiora kwa utulivu wakwe
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 5 жыл бұрын
Abiola una mke mwema,acha vituko na wanawake wanakupoteza blaza
@mellyhamis2201
@mellyhamis2201 2 жыл бұрын
Safi mkuu Mungu akubariki
@deshuaniton698
@deshuaniton698 4 жыл бұрын
Pole my uko nikuteseka ungekuwa ata baba angu ningekunyali kinyama. Mama tafuta baba wambandia
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 5 жыл бұрын
Mara ya kwanza niliona muheshimiwa mkuu wa mkoa Ally Happy ni mzee wa kiki ila kwa haya mambo hapana haya ni maisha halisi na sio kiki. Mungu akubariki mkuu wa mkoa Iringa
@moseskaponda4948
@moseskaponda4948 Жыл бұрын
Nakutakia maisha malefu mkuu wa mkoa was iringa mungu awe nawe
@kirobotonzuusi3246
@kirobotonzuusi3246 5 жыл бұрын
Fantastic
@danielmatiku5602
@danielmatiku5602 5 жыл бұрын
Namshukuru kwa jitihada zake 😂😂😂
@musatv9456
@musatv9456 4 жыл бұрын
Jicho la mamaangu kwenye kushkana mikono
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 5 жыл бұрын
Mama ubarikiwe.
@christopherrafael9356
@christopherrafael9356 5 жыл бұрын
Umetisha mkuu
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 жыл бұрын
lnshallha mkakae vizuri ss alhamdullha yameisha
@bestinabenard1438
@bestinabenard1438 5 жыл бұрын
Safiiii sana abiola kapoa huyuuuu
@ajuayekilendi178
@ajuayekilendi178 5 жыл бұрын
mm nakuelewa sana ww na makonda sio wengine wanashindwa kutatua matatizo Jan a haya wananchi wanasema kwa raisi
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Ahahahahaaa hiyo kesi tam na imeisha vizurii
@wazirehalima4566
@wazirehalima4566 5 жыл бұрын
Mbna unakaa kusinyika mama apo karibu na MC mungu anakuona
@tumainicareen5282
@tumainicareen5282 4 жыл бұрын
Heri mpatanishi anapata thawabu mbinguni hongera RC HAPPY
@momepeter9161
@momepeter9161 4 жыл бұрын
Eti abiria 🐱🐱🐱
@josephsimiyu5211
@josephsimiyu5211 5 жыл бұрын
Hongera RC
@JamalDaudlulyeho
@JamalDaudlulyeho Ай бұрын
Abiola kiboko sana dah! Mke wake anampenda sana
@salumunandauka8200
@salumunandauka8200 5 жыл бұрын
Vizuri sana RC
@nebathkalolo723
@nebathkalolo723 5 жыл бұрын
mkuu wang wa mkoa pongez busara kubwa sana
@karimmsosa4262
@karimmsosa4262 5 жыл бұрын
Hapy ww kiboko good 👍👍👍
@godlovemrosso8715
@godlovemrosso8715 5 жыл бұрын
ally hapi bro huwa nakukubali sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mkorofi tu huyu Bw.Abiola
@kmotivation1130
@kmotivation1130 4 жыл бұрын
Dah ningepata mke kama huyo , nisingeumwa na magonjwa wwte
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Mheshimiwa hapi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mirifatrama2632
@mirifatrama2632 5 жыл бұрын
Kaaa abiola jisifie umepata mke bora ungenipata mimi nasepa abiola kapata bae mzur lkn akili hana
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 4 жыл бұрын
Mkuu WA mkoa nakupa kheri mungu akujalie umewapatanisha vizuri kwa kuokowa ndoa ya hawa 2 , huyu bwana ana wake Saba nje na watoto 7 kila mmoja na mama yake lakini wale wanawake WA nje sio WA ndoa ni umalaya unamsumbua lakini kwa bahati nzuri huyu bwana ana mke mzuri WA ndoa anayempenda mume wake na anastahili kubaki nyumbani na asitolewe kabisa nyumbani kwake nashukuru kwa uamuzi uliotoa
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 138 М.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MENEJA WA TENESCO MKOA WA MBEYA
11:53
barmedastv
Рет қаралды 341 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 101 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 39 МЛН
NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI
12:55
Millard Ayo
Рет қаралды 146 М.
RC HAPI AKITATUA MIGOGORO YA ARDHI MKOANI IRINGA
5:18
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
Рет қаралды 10 М.
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 79 М.
WASIFU WA DR. REGINALD MENGI MPKA UMAUTI.
13:10
Vimba Media
Рет қаралды 4,2 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН