Jamani waanchishi WA habari WA Tanzania acheni uzushi na uongo kuwadanganya watu Mimi naishi Dubai parachichi huku 1 AED Sawa na 650Tshs. Sawa hiyo kaka amejitahidi sana Kwa kilimo lkn mengine punguzeni kuzusha. Asante.
@aminakasim11985 ай бұрын
😂❤
@habibajumahabiba67305 ай бұрын
Sikiliza vizuri dear kasema china na sio Dubai
@ilovejesus93035 ай бұрын
Hata china hawezi uza hiyo bei kwa parachichi moja@@habibajumahabiba6730
@AnethEdward-nf6sc4 ай бұрын
Ya kuambiwa jiongeze, hata kama ana ingiza pesa nyingi ,changamoto ktk kutafuta pesa ni nyingi Tena za hatari , pesa zipo lkn amua kupambana kufa na kupona, hakuna ubwete hata ungeenda nchi ya mbali.
@jacksonngusi41224 ай бұрын
Kweli sio elf50 huo ni uongo
@JustinKilamba5 ай бұрын
Hongera Sana kwa kuwa mfano kwa watanzania. Wezesha basi na vijana wetu wa kitanzania waondokane na utegemezi wa ajira rasmi.
@angetilemwashitete27885 ай бұрын
Safi sana ,Kijana Mwenzetu ,umenimotivate
@jobmaclean53825 ай бұрын
Great ur very open to the community
@user-xe3fo1bh5s5 ай бұрын
Keep up the successful spirit my brother
@IsmailMjesh5 ай бұрын
Masha Allah..... Rizki ya halali kabisa'........
@godfreymagoso53345 ай бұрын
Motivation speakers bhana,,,,, Kila kwenye mafanikio ya mtu , nyuma yake kuna yaliyojificha!! Ila hongera kwake
@juniortza5 ай бұрын
😂 I hear you! Wacha chumvi na sukari zote ziitwe vikolezi.
@AnethEdward-nf6sc4 ай бұрын
Umesema ukweli mtu mpaka afanikiwe ana mengi, lkn kapambana c mchezo, watu tunapenda tufanikiwe lkn waoga.
@femidayahaya4882Ай бұрын
Mungu nijaalie me pia nifanikishe kilimo nikipendacho inshaAllah
@user-lf3vq8gt1f5 ай бұрын
Millard njoo usa river maeneo ya doli kuna mashamba makubwa ya parachchi kuliko huko ni nomaa😂
@marychuwa81595 ай бұрын
Woow sehemu gani naomba details
@user-lf3vq8gt1f5 ай бұрын
@@marychuwa8159 nenda usa River Arusha uko kilimo kikubwa Cha umwagiliaji wa maparachichi ya kisasa ni noma
@williamkishiva94463 ай бұрын
Hapo biashara ni hiyo miche sio tunda moja ni 50,000
@kakawamashariki89785 ай бұрын
Safi Sana ndugu, nashkru kutujuza fursa ndugu zako bila kificho.
@infosolution13235 ай бұрын
Bei ni ya uongo mimi nafanya Kazi GIANT hapa USA ni Mtanzanua upande wa Mauzo ya aina ya mpogampoga na matunda (Produce) vyakula hiyo tunauza parachichi moja kwa bei ya Usd 1.99 sawa na Tsh 5,373 tena kwa exchange rate ya barabara ya Tsh. 2,700. Kweli biashara ipo lakini tuwache uongo wa bei.😮
@justinemwita88285 ай бұрын
Kaka naomba namba yako mm ninazo palachichi za kutosha ,ili tuonane kma tunaweza kufanya biashala
@htx18735 ай бұрын
Hongera sana brother , you are inspiration.
@abumasoud19965 ай бұрын
Umekosea parichichi.moja ni alfu tano na sionalfuhamsini
@tanzcanmediatv44732 ай бұрын
Hapa canada parachichi moja dola 2 ni ngapi kwa bongo
@davisnitu890Ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473ni 5000Tsh
@ezrankandagila83705 ай бұрын
Hongera sana kiongoz natamani kulima parachichi ningependa nipate mawasiliano yako ili nijue napataje Miche mimi napatkan wilaya ya kasulu
@FikiriMloka-ft3yf5 ай бұрын
Big up brother Amon,kilimo kinafaida sana tofauti na watu wengine wanavyofikiria.
@pikanaauntzuu14665 ай бұрын
Njombe yamejaa huko mpaka wanalalamika bei ndogo sasa ukiwasaidia itakuwa vizuri kitu nimejifunza kilimo cha matunda kina kubali sehem yoyote tanzanian ili watu hawajajua tu
@fidelfidel-jz4iw5 ай бұрын
Hongera sanaa kwani zao la palachi chi lina faida kubwa maadamu yupo atakae wasaidia kununua ila asiwe na dhuluma
@rkcomercialenterprises32095 ай бұрын
Acha uongo,hakuna parachichi moja linauzwa tshs elfu hamsini kidding one avocado selling for usd 20. Nope
@ramadhanijuma41305 ай бұрын
Amekosea tuu chukulia mfano mti. Mmoja huingiza laki 8 kwa msimu je unataka kuniambia mche mmoja unazaa parachichi 16? Usiwe mwepesi wa kulaumu penda kujifunza itakusaidia.
@othumanomari15895 ай бұрын
Congratulations bro Long life
@BenLeeBl5 ай бұрын
Jichanganye😂😂😂
@richardchimba3800Ай бұрын
😂
@mkoma495 ай бұрын
Uyu jamaa Muongo bhn mm anasema parachichi moja ni 50,000 ni uongooo mm nipo marekani parachichi wanauza yametoka Mexico parachichi moja ni usd 0.56 - 0.7 haifiki ata dola moja ivi kwnn hua awasemi ukweli
@hekimamtazamo41515 ай бұрын
Bro usiwabishie watu hayo maparachichi ya American ni GMO kutoka huko Mexico sasa ukikutana na parachichi organi USA unawezakununua hata dola 10 bhana wewe ndio usitudanganye kwani American hauko peke yako tuko wengi sana now
@damianlupogo86865 ай бұрын
@@hekimamtazamo4151 atakua anakuka gmo
@davisnitu890Ай бұрын
@@hekimamtazamo4151kwan iyo GMO yenyewe anaijua, yeye kazi kula tu.
@ndukulusudikucho_5 ай бұрын
Kiongozi rekebisha kauli yako hapa Canada parachichi kubwa unaweza nunua Kwa Canadian $ 4.50 hadi $ 5 , Sawa na kama elfu Tisa hadi Kumi ya TANZANIA, Unahabari nzuri saana na ushawishi Kwa vijana lakini kwenye Bei umeteleza, hiyo Ni be ya hapa Calgary, Alberta sijui sehem nyingine
@dicksonexavery7265 ай бұрын
Kweli ndugu yangu jamaa linaongea kimihemko mwenyewe niliona kwenye supermarket ya Minesota USA 🇺🇸 ni 2usd-mpaka3usd eti elfu 50000??😅😅
@angelinabiswalo21345 ай бұрын
Ulimi umeteleza tu. Ujumbe muhimu umeeleweka.
@blessjoel93235 ай бұрын
@@dicksonexavery726kwema kaka tusaidie basi masoko bosa
@blessjoel93235 ай бұрын
@@dicksonexavery726tupeni basi connection tuwaletee mzigo
@rubenprince89905 ай бұрын
@@angelinabiswalo2134huku kwa wazungu hakuna parachichi linalogharim helfu hamsini
@user-dg7wf6fg2j5 ай бұрын
Huu mkoa wa kuangalia kwa jicho 3 unakuja kufanya mapinduzi mikoa ya nyanda za juu kusini wakae macho
@kechuagrosupplies5 ай бұрын
Hongera bro🎉
@Dr.Canisiusjohnkayombo2 ай бұрын
Elfu 50 ni bei ya kilo zisizopungua 30
@zainabumahenge42694 ай бұрын
Hongera kwa uwekezaji mkubwa tunaomba hizo connection za soko la parachichi shilingi 50,000 ili na sisi tuuze😂
@MUSK_HARMONY3 ай бұрын
Moja ya wilaya nzuri ni kakonko . Kanali Malasa nakukumbuka
@halimamfaume19255 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@hellenrichard65285 ай бұрын
Hii ni habari njema, hongera sana kwa kuwa mfano
@vailethshayo-nj3ge5 ай бұрын
Hongera Sana ,Naomba namba za simu
@vayaulashedrack59945 ай бұрын
Hongera sanaaa kwa kupambana mkuuu
@richarde.c52775 ай бұрын
Aiseee this is a good news
@evancemoevt85975 ай бұрын
Acha kudanganya Umma hakuna Parachuchi la 50,000/= DUNIANI!!!!😅😅😅😅😅😅
@MUSK_HARMONY3 ай бұрын
Sasa kama amemotivate watu why msifanye
@user-xw6gv2om9o5 ай бұрын
hongera sana kaka
@lebahatikeiya8666Ай бұрын
Elfu 50 haiwezekani kabisa kilo moja ya kahawa enyewe ni ngumu kufikia kiasi hicho. kwa parachichi kuuzwa elfu 50 hapana kabisa
@rainermbegu64554 ай бұрын
Karibu selutech company limited tukuhudumia kwa maitaji ya tube za kuoteshea parachichi boss tunazo bidhaa bora na staimilivu
@c759235 ай бұрын
Biashara kama hizi zingetafutiwa miundo mbinu usafirishaji sio lazma afike Dar kuna uwanja wa Chato au Mwanza kila ndege inatua minofu ya samaki inapelekwa ulaya toka mwanza why not parachichi
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
MashaAllah 🙏🙏🙏🙏God bless
@adolphmwangoje28875 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jmaaaa anaongea Sana aongee ukweli wa kununua parachichi nishingp
@nancyfamilysharesmoments76345 ай бұрын
Inawezekana 50,000 kweli kwasababu wazungu hununua kilo moja 5000 yakiw mabichi wao labda wanaenda kuuza kwa bei hiyo ya 50 moja kwa soko la nje
@patrickKitambo5 ай бұрын
Hi nancy
@vero575 ай бұрын
Box elfu 50 sio moja
@jacquelinemakwesa63365 ай бұрын
Nimetaka kushangaa 1 elfu 50? Hapa uk 1 pound 1
@user-ph8ln3vd6n5 ай бұрын
Safi na hongera sana
@sarasaimon980Ай бұрын
Good work ❤
@galizomar87795 ай бұрын
Mm nimeishi china zhenjiang miaka 2 sijaona parachichi la elfu50. Haizidi elfu6 per piece
@user-qh4mt9lu3b5 ай бұрын
Habari kaka natamani kuwa mkulima wa parachichi lakini siko vizuri
@joynessmhalila8115 ай бұрын
Hongera Sana bro, ila nakupataje ili niwe kupata miche
@user-ms1ri4sr4d5 ай бұрын
Mmmmnh.weka ukweli.soko Lake lipo China sana sio kama miaka iliyopita.ila ndio kilimo kinachofaa kwa mazao ya biashara.na km Huna mzigo kwa sas nenda mufindi njombe au USA river arusha.
@zakayokulwa36045 ай бұрын
Respect broo
@alexmatt95045 ай бұрын
Hongera kwa ubunifu huo.Na mimi nimekuwa interested na hilo zao naomba contacts zako kaka ili tuongee.
@Kijana-wa-TanzaniaАй бұрын
TRA liked your story!
@J_Jeromy24 күн бұрын
😂😂😂
@fredricklaiza12763 ай бұрын
Mmmmmh nje wanauza bei lakini hapo kwenye moja sawa na elfu 50 brother umetupiga kamba
@adolphmwangoje28875 ай бұрын
Wakenya mbn walikuwa wanatuibia Sana jmn
@samsonkivuyo95485 ай бұрын
Wao wana soko sisi tuna bidhaa
@infosolution13235 ай бұрын
Wakenya pia wanalima msiwazushie ila wao wanaongezea ubaya upo wapi kusaidia masoko hi ni Shirikisho la Afrika Mashiriki
@zainabumartin95202 ай бұрын
Mashaallah tabarak
@user-nu3oz2ub9s5 ай бұрын
Safi sana
@amaninatai82323 ай бұрын
Milard naomba uniunganishe na huyu ndugu nina shamba la parachichi Kilimanjaro naaza kuvuna mwaka huu tuko wakulima wengi
@Qur-x4i5 ай бұрын
Safi bro
@MariaSengo-cn5bx5 ай бұрын
Naomba mawasiliano ya ndugu Amon mimi niko Morogoro..
@markminja43075 ай бұрын
Im next.. 🤝
@skylevelmedia75815 ай бұрын
Powerful
@seneu.21285 ай бұрын
Bei ya parachichi kwa ulaya kama Canada na America ni usd 4 mpaka 5 kwa parachichi moja amabyo ni kama tsh 8000 mpaka 10000 waambie watu walime ila msizidishe bei hakuna parachichi la usd 25.
@EzekiaMichael-jn5np5 ай бұрын
Ahsante sana brother
@Mapesa012 ай бұрын
Mimi naomba namba yake huyo jamaa naiyomba niwe supplier wake huku nchini
@tonnyford57825 ай бұрын
Endeleen kubisha kuhusu bei mtabakia na ndoto kichwan,anaekuambia yy ndo anafanya hiyo biashara
@isaacndashuka595928 күн бұрын
Hakuna bei hiyo popote duniani.nchi hii kwa uongo dah
@AmryAlly-dy4mz4 ай бұрын
Hapo kwako kibondo green farm unazo miche ya aina gani na ni bei gani kwa mche mmoja
@Alphonsesimubonye-jr6ps5 ай бұрын
Napenda kuasiliana nahu mkulina ili ahueze kunisaidia kwani Niko njiani nakuanza kilimo cha parachichi
@victorbugaisa79335 ай бұрын
Tupate mawasiliano yake tupate elimu kuhusu masoko ya nje. Ahsante
@bethkonga79445 ай бұрын
Mbona huku kwetu mufindi yanakosa tu soko aje atusaidie kututafutia soko
@nancyfamilysharesmoments76345 ай бұрын
Mbona njombe yananunuliwa Sana ni Yale ya buding, kilo moja 5000 yakiwa mabichi wazungi wengi huenda njombe kununua
@pikanaauntzuu14665 ай бұрын
Hii itasaidia kukuza pia soko na wakenya tumefanikiwa kuwazibiti parachichi yetu itajulika kimataifa mi nipo dubai ila parachichi tunaona za kenya embe kenya lkn ukiangalia unaona kabisa hii embe ya kwetu kbs
@safiasaleh6695 ай бұрын
Watanganyika wala Msirembe masoko ata Zanzibar ni watumiaji wakuu wa maparachichi tunauza sana juice ya parachichi
Hakuna parachichi moja inayo uzwa elf hamsini dunia hii.... Hakuna mti wa parachici wenye kuzaa zaid ya kilo 5 baada ya miaka miwili takwimu anazo zitoa si za kweli mimi nalima parachichi anazo lima yeye
@anthonykimweri13862 ай бұрын
Una mawasiliano Gani tuwasiliane
@eliudchaz95045 ай бұрын
Nawapongeza kwa kuhamasisha kilimo cha parachicui lakini jitahidi kuongea uharisia wa mambo acheni kutia chumvi sana ,hatutofika popote..
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
RULENGE NGARA WANASEMAJE MAANA MM YALIYKWAKUTA SINA HAMUNNA HIKI KILIMO
@Kabwela7765 ай бұрын
Msifanye makosa akawaambia ana soko na akakusanya maparachichi yenu akawauzie na mtapeliwe 😅
@victorgogadi555 ай бұрын
Inanikumbusha kilimo cha vanilla🤣
@Kabwela7765 ай бұрын
@@victorgogadi55 mkuu nimekumbuka kilimo cha vanilla bukoba alikuwa mjanja mjanja kama huyu bingwa eti parachichi moja elfu 50 ya kibongo wakati wengine tuko ughaibuni na ni kama dola 4 tu around
@steventamla24435 ай бұрын
Naitaji seedling naomba namba ya manager wa shamba
@ednaeliamani42144 ай бұрын
Mfano mzuri sana. Asante Kaka kuleta maendeleo
@masomekitwala37585 ай бұрын
Imekaa vizuri
@estakapufi75825 ай бұрын
Jamani tuko ulaya ila barachici elfu 50 sujui nchi gani ila nilipo haijafika iyo beo huu uongo😂😂
@user-sf3ju4sd2v4 ай бұрын
Naomba naomba ya jama naitaji Michel Niko burundi
@user-qo3hq7il1e5 ай бұрын
Hivi kweli Kuna fedha za aina hii .
@zawadibernard82325 ай бұрын
Mbabaishaj Huyo nendeni kibidula MAFINGA ndio muone maajabu
@annatemu44885 ай бұрын
Elfu 50?au alitaka kusema elfu 5?sijaelewa,hapa UK ni pound 1=na elfu 3100 ya TZ
@user-if8uh3cp8s5 ай бұрын
Au umesahau boss kilo Moja ndo sh 50000
@evodyalexander70945 ай бұрын
Mi naomba namba za SIM ninashida ya miche
@stanleymfikwa93505 ай бұрын
Hongera sana broo maisha yako yamekua mapya
@merrynancesimon15625 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@jumanyenzi20205 ай бұрын
Hawa influencers inakiwa kuwa makini sana. Hamna mti wa miaka mitatu ukupe 700k kwa mchumo!
@mybrain89405 ай бұрын
😅 kuna Yule wa mchicha alikuwa ana uza laki moja uingereza , kabla huja amini , masifa ya kijinga convert elffu 50 to yuan au dollar then angalia bei ya maparachichi supermarket china 😅 halafu ukiuza heavy cargo unajua kwa Tani au kilo sio kuhesabu moja moja , ana Jambo zuri ila awe mkweli😅😂
@robertnkovuma74885 ай бұрын
Mwongo maneno mengi huyo watz bwana!
@nathanaellutevele5 ай бұрын
😂😂😂😂parachichi 1 elfu 50? Hapa tumepigwa.😂😂😂
@charlesmwambinga43555 ай бұрын
Parachichi moja elfu 50.😂😂
@NgengeMkeni-uo5hq5 ай бұрын
Tumepigwa hapa😂
@joshuakitunzi95005 ай бұрын
Ulaya ni sahihi ndg,tembea uone mengi👏
@aairraahseif56485 ай бұрын
@@joshuakitunzi9500hatakama'wapi ulaya parachichi elfu 50?ulaya ipi uko wewe? Saaana sana bei ipo juu ni €2 au £2 pounds nisawa na elfu tsh 9.500/= ati elfu 50? parachichi?wehu hao hivi mtu kuongea ukweli unakufa au?
@kamanda0075 ай бұрын
Labda 5000 lakini sio 50,000
@desolz38095 ай бұрын
@@joshuakitunzi9500ulaya ipi unayoongelea ww
@deogratiusbrilliantshayo42624 ай бұрын
Naomba namba ya mwamba huyu nipate miche
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Mche.mkoja.lakin7 du
@user-kk4go9uj9g5 ай бұрын
Ndg mkulima njoo mpaka madaba ununue wasaidie wakulima
@matrida.lunyilija51965 ай бұрын
Hongera naomba mawasiliano yake jamani
@razarondiwayezu63145 ай бұрын
ningependa kuliza mimi ni wainchi jirani burundi kuna uwezekano wakupata miche?