VIDEO: UKIINGIA DUBAI HIZI NDIZO SEHEMU ZA KUANZA NAZO

  Рет қаралды 153,564

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Ayo TV, millardayo.com inakuonesha baadhi ya Vivutio vinavyopatikana Dubai wageni wengi kutoka ulimwenguni hupendelea kutembelea maeneo hayo mara tu wanapoingia kwenye mji wa Dubai.

Пікірлер: 75
@abbyjustine7906
@abbyjustine7906 3 жыл бұрын
Natamani sana na Tz tungeanza kuplani mji mmoja wa kisasa da .Wenzetu wamewezaje
@omarshaaban1387
@omarshaaban1387 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 4 жыл бұрын
Duuuh kuna watu matajiri duniani asee kama watu duniani wanaishi kifahari namna hiyo je pepon tutaishije !!
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 жыл бұрын
hhah na kuna watu wana teseka duniani na peponi hawato ingia haha
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 4 жыл бұрын
Mnavyopenda kushabikia vitu vya watu wengine lakini ikija vya kwenu inabakia oh Magu anabana hela. Mnafikiria hivyo ving'amuzi vya Nchi za Watu vilikuja hivi hivi tu. Wenzetu walijibana na walikuwa na mipango thabiti ya kuvikamilisha hivyo mnavyoviona sasa. Hawakuwa na muda wa kuzichezea hovyo hovyo fedha zao kwa mambo ya kipumbavu pumbavu kama kufanya Umalaya ama kukesha kwenye MaBar na kunywa mipombe. Na ndio maana wamefika hapo walipo. Na wala hujawahi kuwasikia waki post mambo ya Nchi kama Tanzania. Wao wamekazana na maendeleo yao. Sasa hilo liwe fundisho kwetu sisi tunaojiita Watanzania. Badala ya kukalia kushabikia vitu vya watu. Tuanze na sisi kuvishabikia vitu vyetu
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 жыл бұрын
Iyo kweli teo nimekuelewa sana mwanangu wata hatuna shukulani
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 жыл бұрын
Iyo kweli teo nimekuelewa sana mwanangu wata hatuna shukulani
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 жыл бұрын
Iyo kweli teo nimekuelewa sana mwanangu wata hatuna shukulani
@nahianahia2635
@nahianahia2635 4 жыл бұрын
Ma'shaallh
@lilymammpayo8299
@lilymammpayo8299 2 жыл бұрын
Dubai is amazing 😍
@ahmedelalawi6143
@ahmedelalawi6143 4 жыл бұрын
Sio mti wa mnazi . Unapotangaza kitu lazima uwe na sifa za brdcast, ni mti wa mtende
@imkitailend9843
@imkitailend9843 4 жыл бұрын
Sio mnazi bna ni mfano wa mtende
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 жыл бұрын
hahaha watanzania bwana hadi mwandishi wa habari msanii hahah
@hddhhddhdhhd7466
@hddhhddhdhhd7466 4 жыл бұрын
umesema kweli nashukuru Mungu nimepata boss ananitembeza Dubaï yote nayaona kwa macho Dubaï
@ramadhanijuma4338
@ramadhanijuma4338 24 күн бұрын
Mambo vp
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o 10 ай бұрын
Umetumia muda mchache kwenye mambo mengi ilitakiwa uende talatibu sio kwahalaka hio kaka😮😮😮
@abuumwichumu5520
@abuumwichumu5520 4 жыл бұрын
Acha mzeee magu awe na hasira tu, ata nasi ndo tunajaribu jaribu lau tufanane nao
@user-sw6wu7rp6h
@user-sw6wu7rp6h Жыл бұрын
Karibuni dubai tuje tupambane
@adamismailly1784
@adamismailly1784 4 жыл бұрын
Malizia abu Dhabi huko ndo nouma
@johnbahame4794
@johnbahame4794 4 жыл бұрын
Kwa nini usingeanza na uzuri wa Tanzania
@hemedyyusuf4973
@hemedyyusuf4973 3 жыл бұрын
Hatuna uwezo wakufika huko lakini sikatii tamaaa iko siku mungu atanipa uwezo wakufika huko
@biancaomari6918
@biancaomari6918 4 жыл бұрын
Yaani ni shida watching from Qatar nawish kuwa hio place yarabi
@mudathirhussein2670
@mudathirhussein2670 4 жыл бұрын
Tukaze buti huku huku Qatar... Huko tutafika tu 😂
@biancaomari6918
@biancaomari6918 4 жыл бұрын
@@mudathirhussein2670 InshaAllah
@mudathirhussein2670
@mudathirhussein2670 4 жыл бұрын
@@biancaomari6918 Una Miaka mingapi huku??
@omarymahege4793
@omarymahege4793 3 жыл бұрын
@@mudathirhussein2670 kwan qatar na dubai wapi pazuri ni nchi gan imeendelea kati ya hizo
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Nashukuru nimepata kuiona hiyo mijengo kwa macho yangu
@OfficialJouma
@OfficialJouma 4 жыл бұрын
Mashallah, hongera
@jawaduyusuph9023
@jawaduyusuph9023 3 жыл бұрын
Mashallaah kumbe umefika
@tinamwasekaga9571
@tinamwasekaga9571 Жыл бұрын
Kwahiyo umeenda Dubai?
@alhajrahassan89
@alhajrahassan89 4 жыл бұрын
Dubai ya ki international duniani
@nurudovino288
@nurudovino288 4 жыл бұрын
Kweli hujakosea hata junzi mm nilikuwa huko kwenye hio mijengo
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 жыл бұрын
Aya tunaenda
@anitasamson7850
@anitasamson7850 2 жыл бұрын
Nchi yoyote inayotumia dhahabu na almasi zao vizuri lazima itaendelea
@hassanpyallah8750
@hassanpyallah8750 4 жыл бұрын
Sasa wenze2 ndo wpo dunian,, sisi tukifikia uko tutajua tupo pepon
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 4 жыл бұрын
hahhahahahhahahahahhahahahha
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 жыл бұрын
Sehem zote mm nishaenda izo mbona na kulala hotel zote moll na sehem jengine zote
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 жыл бұрын
bas wewe tajiri boss wangu mie hata kenya sjawahi fika
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Watu wanakula bata sana
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Me niko dubai mwaka wa pili sehemu niliyofika ni dubai mall tu hizo zingine sijajaliwa kufika natamani sana sema ubize wa kazi inshaallah nitafika kabla sijarudi tz
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 жыл бұрын
InshaaAllah
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
@EXTRA PLUS jafiliya
@OfficialJouma
@OfficialJouma 4 жыл бұрын
Inshallah.. Mi natamani sana kufika dubai. Ipo cku inshallah..
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 4 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa
@ahmedmwembo99
@ahmedmwembo99 4 жыл бұрын
Hapa bongo kivutio cha kwanza kipo KIVULE
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 4 жыл бұрын
😂😂😂
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 4 жыл бұрын
Dulla asante sana kwa ufafanuzi mzuri ila nikuweke sawa tu ni burji khalifa ndio jina sahihi,
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 4 жыл бұрын
Hilo jina la BURJI KHALIFA LIMEKUFA BAADA YA DUBAI KUPATA MTIKISIKO WA KIUCHUMI NA KUSHINDWA KUENDELEA KULIJENGA SHEKH KHALIFA MFALME WA ABUDHABI AMBAE KWA SASA NI MGONJWA AKATOA PESA HILO JENGO LIENDELEE KUJENGWA ZAMANI LILIKUWA LINAITWA BURJ DUBAI
@janethmakyao8168
@janethmakyao8168 4 жыл бұрын
Mtangazaji unakwama anza Na mlima Kilimanjaro
@djb2kzer0
@djb2kzer0 4 жыл бұрын
Si kama Dar tu
@mwanaidizumo6364
@mwanaidizumo6364 3 жыл бұрын
M
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 жыл бұрын
Na Oman je tuonyeshe maana mm najua City center tu😆😆😆labda kunasehemu nyingine nipate kwenda
@swaumukareemu9247
@swaumukareemu9247 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣ukimalizia na murtah
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 жыл бұрын
@@swaumukareemu9247 😂😂😂😂😂Umeona eee maana ndo sehemu zangu hizo
@marryngaa3195
@marryngaa3195 Жыл бұрын
Oman hawajaruhusu kujenga majengo marefu lakini wapo vizuri kuna mall nyingi kubwa kuna oman mall pia nzuri sana hotel kubwa nyingi nzuri kuna Al mono ni sehemu nzuri sana ina kila kitu
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 4 жыл бұрын
IPO sku Tanzania itakuwa Kama huko mungu ibaliki Tanzania
@nassorrashid2521
@nassorrashid2521 4 жыл бұрын
Mashudu
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Aa subutuu
@yasertaleb4162
@yasertaleb4162 4 жыл бұрын
Sio mnazi mtendee
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 жыл бұрын
Tanzania sisi tunajenga sisa za chuki wenzetu wanajenga miji yao
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 4 жыл бұрын
tuliopo PALM jumeira tujuane
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 4 жыл бұрын
@EXTRA PLUS pamoja sana
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 4 жыл бұрын
Mwanaidy Ibrahimu weka namba niutafute from Abu dhabi
@moussababanla399
@moussababanla399 4 жыл бұрын
Sio suala dogo ujuw
@ali_ford
@ali_ford Жыл бұрын
baada ya kuweka maduka ya chimbo we unaeka upuuzi.tuna beach free hapa kwetu.acha upuuzi
Die schockierende Wahrheit über Dubai
11:30
Wissenswert
Рет қаралды 1,5 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 109 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
ENGLISH SPEECH | EMMA WATSON: HeForShe Impact (English Subtitles)
9:14
English Speeches
Рет қаралды 36 М.
tagesschau 20:00 Uhr, 06.07.2024
15:30
tagesschau
Рет қаралды 91 М.
tagesschau 20:00 Uhr, 05.07.2024
16:29
tagesschau
Рет қаралды 98 М.
USHAURI KWA KIJANA KABLA YA KUSAFIRI ✈️ DUBAI
5:22
SHARIF HODARI
Рет қаралды 2,3 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 109 МЛН