Huyo konda very professional kwa kweli, anajieleza vizuri sana. Mmiliki amfikirie na kumwangalia kwa jicho la tatu
@nickhealthcare56129 ай бұрын
Mmiliki anamacho mawili tu!
@user-tn5ym5gd6s9 ай бұрын
😂😂😂
@ellysha80969 ай бұрын
@@nickhealthcare5612😅😅
@jumakessy75609 ай бұрын
Konda ni mpambanaji sana, mtoto wa ilala pale
@fatmamdihiri41649 ай бұрын
😂 😂 😂
@mohamedshariff96997 ай бұрын
Hongera Tanzania jee ukiwa na passport ya another country but from East Africa anaweza safiri from Tz to S.Africa without visa ya South Africa
@Mpakauseme5 ай бұрын
Google
@Nyatojr1eddy2 ай бұрын
Tz hatutakiw kuwa na visa kwa south Africa
@cimpleweston63279 ай бұрын
Usafir mzur wenye utalii ndani yake kuusu muda siku 3 adi 4 c mbaya nadhani ni sababu za kiusalama zaid nawapongeza sana wausika wote
@SophlaJackson-nt1nc9 ай бұрын
Hakuna nimbari mno mimi kwa sasa napandia lusaka rakini siku ya 3 asubui ndyo tunafika South
@hajimnubi45819 ай бұрын
Route ndefu hiyo mtafeli ...muwe na mabasi matatu....moja linaishia zambia lingine linapokea zambia mpaka zimbabwe linapokea lingine zimbabwe to south Africa
@zenasalum22319 ай бұрын
Wazo zuri sana
@blandinamwarabu50259 ай бұрын
Swala si kupokezana bali watu ndani ya basi siku 3 labda ankuwa anataka kutalii
@christinewomanoffaith54798 ай бұрын
@@blandinamwarabu5025mi nilitokea Lusaka,tukapita Harare Zimbabwe then jorbeg....24 hrs🙌 Kutoka Tz , nililala tunduma, kutoka tunduma nikalala Lusaka.... So ni yaleyale tu Hawa nao wanapumzika lzm
@Mpakauseme5 ай бұрын
Wabongo bwana yani mnachukulia maisha easy sana , huyo mfanyabiashara anayafahamu hayo
@LucasMatonya3 ай бұрын
Acha ushamba wewe hiyo gari ni aina ya MARCEDES BENZ inamudu hiyo route
@edwardouma16309 ай бұрын
Hongereni nduguzangu watanzani wenzangu kwa hatua ya kimaendeleo tunayoyapiga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪👏
@SophlaJackson-nt1nc9 ай бұрын
Sijui kama ataweza vumilia mbona royer tour arichemka
@SalamaAkilimali-ly3bu9 ай бұрын
Kwa kuwaibiwa pesa zenu na hiyo gari Kwa faida ya aliyewaibia na familia yake
Congrats to them but kenya hiyo gari mbona iko yatoka msa mpaka kisumu
@SophlaJackson-nt1nc9 ай бұрын
@@yasminoluoch169 nyamazeni tuu Kenya Tanzania ote hamna mabasi mazuri nitakataka njoo south Africa uone 🥰
@IamRaySmartTz9 ай бұрын
Tunafurah kwa hili Ayo kutuletea new update Wale wa south tulio fika Gonga like
@gracekagoma32319 ай бұрын
Lakini jmni overtaking marufuku ili kuzuia ajali..Karibuni nitakuwa mteja wenu..Hongera❤
@lusajomwaipopo50429 ай бұрын
Hongera sana mkombe luxury, serikali jitahidini kuongeza upana barabara ya dar mpaka tunduma coz ndiyo njia kuu ya safishaji Tanzania
@milogrouplimited16289 ай бұрын
Mkandarasi yupo site , vipi hauna taarifa ? na fedha tayari zilishatengwa kwa ajili ya kipande kutoka Igawa-mbeya-songwe hadi tunduma karibu kilomita 167.
Serikali ya Zambia ndio inafeli sana Barbara toka nakonde kuelekea Lusaka hivyo sana
@mikesamba84657 ай бұрын
Good job...may Allah bless that company to go far and helping East Africa people
@thelastship24559 ай бұрын
That's awesome we need this from Tanzania to Mozambique maputo
@maureenn.canhandula23819 ай бұрын
Via Tete Mozambique👍🏾
@bernard76894 ай бұрын
I highly respect the state of Tanzania. Bernard from central Kenya.
@sarahrashidabdallah31099 ай бұрын
Naiona hiyo south Africa soon inshallah 😅😅
@FoxJr-lh4fe9 ай бұрын
Ndo moja wapo yamaendeleo mungu ambalik milik🎉🎉🎉
@happynesbaemuhappynes88139 ай бұрын
Ameen
@nyabyendajeanpaul2649 ай бұрын
Congratulations brothers from Tanzania. Make sure you connect the company to the rest of East Africa Rwanda, DRC Burundi. More customers are coming , by the way tell us what is required for a non SADC citizen
@user-qj9dd7tb9n9 ай бұрын
Hongera sana .Mtanzania🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@lenakassian-pr3dy9 ай бұрын
Wale tulio safili 2019 ,2020 na taqwa ya kuunga unga tujuane kwa like 😂😂😂😂
@zainabwage46589 ай бұрын
Mbona taqwa iko powa tu kipind kile
@ramamrutu49149 ай бұрын
Ivi sa kuna nini mbona watu wanaenda sana
@FredMwamgogwa-td6ni9 ай бұрын
@@ramamrutu4914 kuzuri
@Zainab-sq1tc9 ай бұрын
Hahaha mm hapa
@raheemamoosa52249 ай бұрын
😂😂😂 tupo
@bahatimwakabenga28089 ай бұрын
Nimewapenda nimefurahia kazi yenu, nimesafiri kwa kuenda pitia Malawi na Zambia, sasa ni safi,asante kutuinua Wa TANZANIA.
@shijandobehe49539 ай бұрын
Safi Sana jaman hakika huyu ndio kaupiga mwingi
@josephvenus32599 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Tushindwe ndege, meli, hata Kwa basi eh!
Good job na wapata nikiwa kenya kwakweli nasikia raha nikiona nchi yangu ina piga hatua asanteni sana viongozi wa nchi kwakutoa vibari hivyo naiwe chachu yawatanzania walio wengi kupanua mawazo kwani tuta kuwanyuma mpaka lin Tanzania tuchanga mkeni jamani
Iliwahi kiepo Matema Beach Slipping Coach miaka ya tisini mwishoni route ya Dar Joberg
@lissamsalu123459 ай бұрын
Big congratulations brother pigeni kazi jaman
@mussamtupa9 ай бұрын
Niona tangazo lenu Tiktok nika pingia ndugu ya ngu Akaja kukata Tkt Kafika Jobek Salama kabisa Asanteni sana Sikuamini mwanzo.
@loisewanjiku39748 ай бұрын
Their contact ni gani please
@Jmedia_Tv9 ай бұрын
Haya ndio mambo tunataka, sio udaku utawale, ikibidi leteni taarifa za kwenda nje tujue gharama na maisha inaweza kuleta motisha ya kufika mahali flan
@deogratiusyudatadei56589 ай бұрын
Kabisaa yani Kama mm nimesha tamani kwenda south ase naweza kukutana hata na fursa za biashara
@syliviakente94609 ай бұрын
Maisha SA yamepanda sana zamani ilikuwa nafuu uchumi wao ulikuwa juu saa hizi mhh , vitu ni ghali sana pia wana utaratibu wa kulinda viwanda vyao lakini.kutokana na hali ya uchumi kuporomoka mambo mengi yamebadirika, pia na hali ya kiusalama ni mtihani, jipange sio ukurupuke !
@deogratiusyudatadei56589 ай бұрын
@@syliviakente9460 dunia ya Leo ukisema ujipange ndiyo uanze kufanya kile kitu ambacho ndiyo lengo ase utabaki kulia kila siku mfano una plani ya biashara ambayo Ina hita milioni 10 ukisema ukusanya mpaka ifike ndiyo uanza biashara ase kutoboa ni asilimia 5 tu asilimia 95 ni tuombe MUNGU mm Nina ushuhuda wangu mwenyew huu ni mwaka wa 5 natafuta million 15 sija fanikiwa kufikisha hata 10 nakila nikifikisha 5,7,8 inaibuka Vita ambayo sijui inatoka wapi Ila linifanikiwa kupata darasa kidogo na kwasasa najaribu kuanzia chini kabisa yani nafanya mchezo wa Simba kumkamata swala 🤣🤣
Wow nmependa nikipataga mwenyeji ntaendaga au nikiwa na pesa😂😂❤❤❤
@ernestlocken45008 ай бұрын
Mkombe luxury hongereni Sana hicho ndicho watanzania tunatakiwa kufanya tupo pamoja
@SelijusiMalambo-zx8gg9 ай бұрын
Hiyo kampuni mhusika yupo Zambia ila kabila lake ni mmambwe alianza nabasi moja ilikua inaishia nakonde,boda kutokea Lusaka
@najmaalbajun9 ай бұрын
Unaambiwa mtanzania
@sultandihomba43599 ай бұрын
Tatizo abiria amna wa kutosha wa njia iyo Moja kwa Moja ndo waliacha walio jalibu uwezi kwenda bondeni na abiria 15 na kurudi 13 bus la abiria 60 kweli nani anaweza kudumu na biashara ya asara ivyo
@YFM-rq9td8 ай бұрын
Jamaa kacheza sana walau nchi tatu kagusa madereva,,,huyu ma Tanzania anaendesha hadi malawi analala hapo atapitiwa route ya kurudi,,,anakamatia wa Malawi nae ananyonga hadi south mwanzoni anaikamatia msouth anaanza kuchana mikoa ya huko,,,
@fatmakhatib29358 ай бұрын
Zambia njia zake ni mbaya sana zinamilima na kona mbaya ndio 7bu ya kuzuia gari zisitembee usiku kiusalama zaidi Mungu awabariki katika utaftaji wenu
@salmanmagwe2229 ай бұрын
Hizi ndio habari tuzitakazo sio kila wakati ni siasa tu na porojo zao,wa Tz hizi habari zitatusaidia kujua ni wapi kuna fursa ili maisha yaendelee
Why do you have to say your nationality , nobody cares.
@laudadeusredemptorysidinda27507 ай бұрын
@@jaro5603kwani akisema kuna tatizo gani, acha ujinga
@james008BOND76 ай бұрын
@@jaro5603unajibu kama mtu ambae hakuenda shule,,tumia hekima🙏
@mosesbarnabas33799 ай бұрын
Safi sana ila huyo driver anasema watanzania ni wakarimu sana ,ushauri wangu na yy akawe balozi kwa wasouth wenzake waache kuwanyanyasa wageni .
@davidcurtis1759 ай бұрын
Ushauri wako wa bure kabisa wasouth walio wengi wameziba masikio na kazazi cha sasa wamepagawa kabsaaa ila wanajua ukweli kama waTZ tumechangia kwa kiasi kikubwa kwenye uhuru wa nchi yao
@israelkisaila84019 ай бұрын
Leteni na kampala uganda jamani
@blackblue97299 ай бұрын
South Africa raia raia wake wame pagawa yani awasikii lolote
@nareensaleh49579 ай бұрын
Wa south wanajali sasa 😂😂😂 kama hawa weusi bora wacoloured wanautu kidogo lakini weusi ndio kwanza wanakuitwa makwerekwere wakuja😅😅
@AnnoyedLimePie-lc5sw6 ай бұрын
Ameshafariki huyo dereva
@KaroliMagana9 ай бұрын
Kwenye Corona kitambulisho ndo changamoto
@aishaamwalimu28879 ай бұрын
Nipeni Ajira ya kuhudumia Abiriya , kuwapa Vinywaji 🙏.
MERCEDES BENZ HII! KWA SAFARI HII INAMUDU BILA WASIWASI Kwa MABASI YA KICHINA MTIHANI LINAWAKA NJIANI KUCHEMSHA!
@marabtourssafariszanzibar10402 ай бұрын
Big up sana kwa maelezo - nafikiria kufanya safari yangu ya kwanza kwa basi mwezi October kwa ajili ya utaliii, je natakiwa lazima kuwa na invitation letter
@Official836409 ай бұрын
Kaka zetu wanazidi kupigwa bunduki kwa wizi wao wanaouendekeza na hii sasa ndy watazidi kufa maana nchi ishaharibika wanachomwa hovyo aisee wawe pole
@magrethemanuel93729 ай бұрын
Ww sema tu siku nne ndugu yangu naujua huo mwendo wa basi kiulweli ni siku nne kabisa
@abdullatifhassan93999 ай бұрын
Masha Allah...... Safi Sana.... Hebu tuambieni hii Gari inapita wapi mpk kufika south africa.... Mm nipo limpopo nahitaji kusafiri nanyi
@christinewomanoffaith54798 ай бұрын
Kutokana na maelezo Yao,wanapita Lusaka,Zambia,Harare Zimbabwe
Yani sauzi siendi washaanza kufukuza wageni uko operation dudula
@Mpakauseme5 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-db4xu7vv1z9 ай бұрын
Mm nakumbuka nilisafili na bas today dar hadi South afrika siku 5 ndo nafika South
@africanqueenmo8 ай бұрын
Amen so proud of TZ
@niyonkurufadhoulillah49169 ай бұрын
Atakae potea south africa aseme alekezwe mimi naishi around end street🇿🇦
@labanbishirabandi37409 ай бұрын
Mh! Kweli?
@niyonkurufadhoulillah49169 ай бұрын
@@labanbishirabandi3740 yeah kweli
@labanbishirabandi37409 ай бұрын
Nitumie namba yako ya Whatsapp
@shubejimison62889 ай бұрын
nasikia fursa kidogo ni pw
@deogratius85018 ай бұрын
Number zako za WhatsApp please
@luganomwaigomole74419 ай бұрын
SIO HIYO TUU KUNA ROYAL LUXURY BUANA WW VP..KWA HIYO NI KAMPUNI MBILI ..TUNAPOKENGEZA HUU UWEKEZAJI.
@AnicetGatera9 ай бұрын
Congratulations, fanya mipango ya Dar-Kigali
@ellybrown59899 ай бұрын
Hongereni sana mkombe...👍
@shilagijisandu31019 ай бұрын
Nilitoka dar mpaka msoma mgongo ulikuwa Kama umegongelewa misumali,nawaza south Africa itakuaje🤔
@christinewomanoffaith54798 ай бұрын
Km gari ni luxury sio issue Shida kibongo ma basi mengi sio luxury Kwa maana ya luxury! Luxury ni basi ambalo ukichoka unaweza rudisha nyuma kiti kiwe kama Kitanda
@ukhutfatumah11549 ай бұрын
Yaaaa tunao piga trp dar to south Africa tujuane kheir hii Laki Tatu na nusu NDEGE GHALI MNOO LAKI 7 MBK LAKI8 KHEIR NIPANDE GALI UKU NA ENJOY UTALII
@user-go3du6or5v9 ай бұрын
Tafuta hera usafili wa basi sio utalii,utalii utalii na usafili ni usafili,
@ukhutfatumah11549 ай бұрын
@@user-go3du6or5v IVI WEWE UNA COMMENT HAPA USHAWAI KUMILIK HATA PASSPORT KWELI 😁 NENDA KWANZA KATAFUTE PASSPORT NDIO UJE KUCOMMENT MAANA NIMESHAKUACHA MBALI SNA,, MWENZAKO SIGOMBANII UGALI WA LENGELE TOKA MIAKA 17SASA WEWE MIE SIO MWENZAKO UKISHAZIJUA LAND, RIAL, DINAL, DIRHAM, DOLLAH BASI NDIO UJE TUBISHANE KWA POINT BADO MTOTO MDOGO KWANGU
Hii imeenda😂😂😂😅😅 lazma nipande hii siwez kuikosa hii kabisa
@albertkatuga24349 ай бұрын
Uwe na milioni mbili mfukonia
@michaelkauzeni89039 ай бұрын
Twataizya mkombee ❤❤😊
@dominamabebe66919 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤hii nzuri sana aisee
@kekiplus1andonly9 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉🎉nitapanda iyo,
@vero579 ай бұрын
Kwahivyo sisi Tanzania ndiyo hamucheki viza munaruhusu tuu watu kuingia Tanzania
@jeremiaaugustino71877 ай бұрын
Hata Mtz haitaji visa kuingia south
@abubakarisaac47059 ай бұрын
Man Sha ALLAH tabaraka ALLAH 💕❤️💕💕❤️ I'm going next time
@ahz69079 ай бұрын
Masha allah sio man sha allah
@hallin95619 ай бұрын
taabu yote iyo kwan ndege hakuna, Siku tatu upo safarini. hapana lwakwel
@viousa9 ай бұрын
Ndege $247 one way
@habibuhabibu97289 ай бұрын
Aisee nitaenda kumbe lack 7 nitaenda Inshaallah
@powerplus19339 ай бұрын
Congratulations tz.
@shanimhanga78969 ай бұрын
Tanzania yetu inazidi kusonga mbele hongera sana
@mishlay81648 ай бұрын
Kwakweli mjipange sana . Na Mungu atawabariki sana
@aminatanzanya74759 ай бұрын
Bei chee kabisa tutamic mashalome Zambia to South mabs noma hayo
@TijoboyMzungumweisi-qb8yi8 ай бұрын
Tunaitaji namba zenu jamaniii
@shabanikitula6459 ай бұрын
Mtangazaji naomba niombee kazi
@Fantsonmpango-uz3jw9 ай бұрын
Mkombe, walindaulii . Hiyo ni mpanda ufipa. Hongera sana
@user-rh3gz1sx6m9 ай бұрын
Good,I like it
@CathyPeter-zu1jw9 ай бұрын
Wow congratulations 🎉
@user-gg4xj1yt3r9 ай бұрын
Jamani mie nina taka kwenda kutembea tu na kurudi na ruhusiwa au kuna vigezo gani? Nina nauli yangu na porket maney na asport ninayo tafadhali nijuzeni
@user-ed6fd4sy4v7 ай бұрын
Upo kama mimi jamniiii sina ndugu,jamaaa au rafiki ila nimetamani kutembea je wanaruhusu?
@Mpakauseme5 ай бұрын
kwani amsikilizi maelezo dah wabongo mnamatatuzo sana
Passport hizi mpya vip zimeeksipayi hii sio kweli maana tz mwaka 2020 ilikua mwisho
@christinewomanoffaith54798 ай бұрын
Labda ilikuwa ya zamani,km ni mpya basi kulikuwa na shida nyingine
@hamisihassankengejr43758 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 Lakini ujue kua hilo basi limeanza safari mwaka huu hivyo huwezi kutumia passport ya zamani kwenda mahali labda kurudi kwa sababu kabla safari haijaanza konda lazima akague riketi na passport huo ndio utaratibu VIP iwe hivyo
@simbawateranga70209 ай бұрын
Hongera Dotto Biteko
@noahlaizer-ll2ri7 ай бұрын
Hongera sana mkombe luxury
@alizanzibar15869 ай бұрын
Allah Akusimimiyeni wafanyakazi na mmiliki
@simonchambo12309 ай бұрын
Well done this is massively investment indeed
@musababazy19419 ай бұрын
Kuna gari inatoka johanesbag hadi tz hta me nimekuja nayo juz inaitwa bubele inapita botswana
@malikzafarani1729 ай бұрын
Woow amazing sana 🇶🇦
@user-gn6jz4qf7o9 ай бұрын
Mie niko all rayan hebu nitafute tubonge kiswahili kidogo