No video

VIDEO ZA DRONE: UNALIJUA DARAJA LA MKAPA,DARAJA REFU ZAIDI TANZANIA

  Рет қаралды 149,767

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 127
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Kazi nzuri. Millard Ayo like Kwa Millard ayo
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 жыл бұрын
Safi sana Milard Ayo, yaani tokea hilo daraja lizunduliwe sijawahi kuliona kwa vizuri kama ulivyofanya leo, wewe ndio umekio kioo chetu kwenye miradi msingi sana ya serikali, vyombo vyengine vya habari vipo kwa ajili ya umbea hakika umeviacha mbali sana, on a ulivyofanya coverage ya stand ya Dodoma hakuna chombo chochote kimefanya hivyo
@ommimg2467
@ommimg2467 4 жыл бұрын
Nami namuona jamaa kaanguka kwa hofu sijui alifikir mdudu gani wakupaa anamjia😀
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 жыл бұрын
Inshaallah Kuna mengine mengi marefu zaidi yanakuja ni swala la muda na utulivu ...Ila wangapi wameona uyo Jamaa 1:39 aliyedondoka baada ya kuogopa drone
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Alijua ni bom?
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@lucasmwaja3401
@lucasmwaja3401 4 жыл бұрын
Mimi hapa
@polloz77
@polloz77 4 жыл бұрын
Mimi mwenyewe sijui Kama tuna daraja tefu TANZANIA na la Tisa Africa Big up CCM lazima wa Tanzania wafahamishwe maendeleo ya liyoletwa na viongozi wa chama cha mapinduzi . Kuwa na kipindi mahalumu kuhusu maendeleo yetu
@FoxeTv
@FoxeTv 4 жыл бұрын
NIMEMLIPA PESA ENOCK BELA LAKINI AMEKIMBIA KUSHILIKII VIDEO AMENIOMBA SANA ELA ZA VOCHA KILA SIKU|NAIMBA KAMA MBOSSO LAKINI ANIWEZI PAMOJA NA ZUCHU NAWAKALISHA|KUTAZAMA FULL INTERVIEW CLICK LINK CHINI APO #SHARE 👇👇🙏 kzfaq.info/get/bejne/n8mpedeoxM_YZWg.html
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Doh’ aisee hiki kipande kimetesa sana Watu kipindi hicho’ mkapa alicheza hapa Zaidi ya PELE...!...yaani SALUTI kwake’...!
@shaqirhassan2352
@shaqirhassan2352 4 жыл бұрын
Hilo daraja noma mzeee Ayo
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 жыл бұрын
1:37 Jamaa kaona drone kidogo aanguke 😂😂😂😂😂
@Nufaila442
@Nufaila442 4 жыл бұрын
😂😂😂😂🤓
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 4 жыл бұрын
Ni yeyee....
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 4 жыл бұрын
Akitaka kukikmmbia asee
@bongosmart
@bongosmart 4 жыл бұрын
ilikua bado kidogo mwana arukie mtoni
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 5 ай бұрын
Tanzania mzuri Sana kweli 💖💕💖💕
@AbdallahHassan-vq9wq
@AbdallahHassan-vq9wq 2 ай бұрын
mashaallah zuri
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Katika Jambo mkapa alilowafanyia watu wa kusini ni hilo daraja
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
HILO DARAJA SI LA MKAPA,DARAJA ALIJENGA MFALME WA SAUDIA ARABIA,LILIFAA LITEE KING ABDALLAH BRIDGE!! KILICHOFANYIKA NI WIZI WA FADHILA!!
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 4 ай бұрын
Sawa kwa hy alibun tu kuwa kuna takiwa kujengwa daraja au jitiada zake rais mkpa kipindi hicho
@hussenkyando2320
@hussenkyando2320 4 жыл бұрын
😂😂😂nmemuona mtu anaendesha baiskeli kaanguka kaogopadrone
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Kumbe na ww umeona hahahhahahaha
@yles2220
@yles2220 4 жыл бұрын
Haa haa haa! Itakuwa aliikimbia drone! Ha ha ha
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 4 жыл бұрын
alhamdulilah allah akulinde mkapa
@rehemaconeriocostance9011
@rehemaconeriocostance9011 4 жыл бұрын
Aha kwetu apa jmn karibuni kule samaki wapendwa wte
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Nimefika hapo, Mashallah
@floraantony2508
@floraantony2508 4 жыл бұрын
Daah Alie muona dereva baiskeli kataka kuikimbia camera like tujuane🤣🤣
@Shebbytvs
@Shebbytvs 3 ай бұрын
😂😂Tena cjui alifikiri ni uchawi umemfata
@ibrahimkibela8096
@ibrahimkibela8096 4 жыл бұрын
Dah mzee wawatu aliweka baskeli chini akimbie drone dah
@zayhimid
@zayhimid 2 жыл бұрын
Enzi hizo daraja hakuna tunavuka na mtumbwi hatar sana hofu yangu mamba kiboko
@rebekasembeli2265
@rebekasembeli2265 4 жыл бұрын
R.I.P Mzee Mkapa, we gonna live your legacy.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Nzuri sana
@emanuelmfanga5262
@emanuelmfanga5262 4 жыл бұрын
JONH Aitwe Musa
@elishamussa7261
@elishamussa7261 4 жыл бұрын
Huyo jama mwenye bicycle alifikia kombora au naona alitaka kukumbia
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 4 жыл бұрын
Ahahahahaaaa 😂😂😂😂 drone nzenu zinadondosha watu
@zuwaynamussa5629
@zuwaynamussa5629 4 жыл бұрын
Nimesoma bunguB mwaka 2008 tulichangishwa pesa kwaajil yakwenda kuliona dalaja ilo😁😁
@piusthomas5713
@piusthomas5713 4 жыл бұрын
hili daraja aise nkipita najua tayari nishafika shulen abbey
@esilimwaisango8461
@esilimwaisango8461 4 жыл бұрын
Jamaa wa baiskeli kaogopa drone ma kuanguka
@isamony58
@isamony58 4 жыл бұрын
Mtwara oyoooooo aPana chezeya mkapa ww wandengeleko walitaka kutuchezeya sana kuusu daraja hiko usicheze na wamakuwa kabisa mjipangeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤲🤲🤲🤲🤲😷
@FoxeTv
@FoxeTv 4 жыл бұрын
NIMEMLIPA PESA ENOCK BELA LAKINI AMEKIMBIA KUSHILIKII VIDEO AMENIOMBA SANA ELA ZA VOCHA KILA SIKU|NAIMBA KAMA MBOSSO LAKINI ANIWEZI PAMOJA NA ZUCHU NAWAKALISHA|KUTAZAMA FULL INTERVIEW CLICK LINK CHINI APO #SHARE 👇👇🙏 kzfaq.info/get/bejne/n8mpedeoxM_YZWg.html
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Hahahaa ‘ Kwa hiyo WANDENGE wamezima FEGI Kwenu....hahaaaa WAMAKUA na nyinyi miyayusho....!...Ngoja aje mndenge akusikie hapo...hahahaaaa..!
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
@@ismailyusuph740 yani kipindi cha nyuma wamewapa sana mimba Dada zetu apo kuvuka kutoka kusini kuja dar ilikua ni shida walikua wanajifanya wao ndo mabiti 🤣🤣🤣
@ommyakili552
@ommyakili552 4 жыл бұрын
Nishalipita tamu sana
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Mashalla
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 9 ай бұрын
Hizo mita ni kilometre ngapi???
@musasaid964
@musasaid964 4 жыл бұрын
Ayo kuna majanga mengi sana liwale waatu wadai pesa zao nawajui lini wanazipata korosho zimeuzwa wakulima awajalipwa wengi wao
@batromeonassoro3273
@batromeonassoro3273 4 жыл бұрын
Kama nawewe umemuona mzee wa watu akiangu aka baiskeli tujuane
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Nalijua zamani tulipavuka Kwa kivuko palikuwa panatisha Sana Bora hayo ndo maendeleo kumbe maji yanapunguaga hapo Enzo hizo sasa usipime
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Njia ya home boy nachingwea hiyo
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Huyu jamaa wa baiskeri kaanguka baada ya kuona drone inakuja kwa kasi duuh nimecheka sana
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 жыл бұрын
Janani nafiri isengekua maji upande wa pili angeruka
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
😆😆😆
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@fredducaunt1724
@fredducaunt1724 4 жыл бұрын
Alifikiri mizimu ya mto Rufiji ime-mind
@jambo3751
@jambo3751 4 жыл бұрын
Mndengereko huyo watani zangu hao😂
@abuusix6320
@abuusix6320 4 жыл бұрын
Ametusaidia xan wtu kucni mkapa
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 жыл бұрын
Moja ya kumbukumb kubwa ktk taifa hili ni hilo daraja.
@jimmycroud1027
@jimmycroud1027 4 жыл бұрын
Good
@sultantany6091
@sultantany6091 4 жыл бұрын
Mbona jembamba sana
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 4 жыл бұрын
huyo jamaa wa baiskeli alitaka kuimbia drone
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 3 жыл бұрын
Jamaa alianza kulaza baiskeli chini baada ya kuona drone😂Angejirusha kwenye maji
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 4 жыл бұрын
Lindi na Mtwara hadi songea hiyo! Kusini route
@adamalfred9348
@adamalfred9348 4 жыл бұрын
Du!
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Waendesha baiskeli, njia moja na waendesha magari huyo injinia ❌ ni kihiyoo wa kiwango cha kati.
@shabanishabanii6203
@shabanishabanii6203 4 жыл бұрын
970.5mitre length
@mcpanadol1848
@mcpanadol1848 4 жыл бұрын
Hiv huyo jama a Angeanguka kwenye maj mnge mtoaje
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Walipiga pesa nyingi sana hiyo thamani sio ya Daraja hilo kbisaaa wabongo yaani duuuuuh njia mbili tu moja kwenda moja kurudi ndio Million 30 dólar duuuuuh hatariii mbona enzi hizo wizi mtupu
@mwemezieladius5261
@mwemezieladius5261 2 жыл бұрын
DUH POLE SANA HILO DAARAJA NI REFU UNAJUA KUWEKA NGUZO MOJA MAJINI , HILO NJIA MBILI BIL 50 KWA KIPINDI HICHO , BISIS NJIA 4 UREFU KM 3 LINAJENGWA KWA BIL 730
@augustinomdoe1516
@augustinomdoe1516 4 жыл бұрын
Ok
@lajo.
@lajo. 4 жыл бұрын
Nan kaona kivuli cha drone kama mm
@manubei3574
@manubei3574 4 жыл бұрын
Juhudi za rais magufuri
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Umeambiwa mkapa
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 жыл бұрын
Mkapa
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 жыл бұрын
Acha ujinga kama lingejengwa na magufuli izo sifa tusingelala
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
@@abdhihariabdhallah760 😂😂😂
@devidpanja115
@devidpanja115 4 жыл бұрын
Kweli maaana alikua ni waziri
@Nedjadist
@Nedjadist 3 жыл бұрын
maintainance tuko poor sana, wala si pesa ni utamaduni wa Kimaskini tu. Hata kupaka road marks hatuwezi! Kitu kikijengwa kizuuuuri, rudi baada ya miaka mitatu!
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 жыл бұрын
Zuri
@mtakamaonline7748
@mtakamaonline7748 4 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 22-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 4 жыл бұрын
Du naogopa kupita hapo
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 4 жыл бұрын
Umesahau kama Kuna daraja jipya la salenda lenye urefu wa kilometer 1.3????
@Moresa196
@Moresa196 4 жыл бұрын
Limekamilika? Jibu ni hapana mpaka hilo la salander likamilike la Mkapa Bado linashikilia record. Kuwa Mpole
@user-io4gx5wo1r
@user-io4gx5wo1r Жыл бұрын
Lina mitagapi
@renatusyuda4230
@renatusyuda4230 4 жыл бұрын
Mtu akifa, ndo mnakumbuka kuweka wazi mambo mazur aliyofanya enzi za uhai wake, je! Sifa hizo marehem anapata faida gan ama zinamfikiaje?
@devidpanja115
@devidpanja115 4 жыл бұрын
Kumbukeni Magu alikua waziri alichangia sn lisimame hili
@hemedirajabu9010
@hemedirajabu9010 4 жыл бұрын
Wastaafu(marais wetu) nao walifanya mengi mazuri.:@hawakututangazia (hawakuchi promote kwenye media)
@fredducaunt1724
@fredducaunt1724 4 жыл бұрын
@@hemedirajabu9010 wala magufuli
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 жыл бұрын
Ulinzi unahitajika hapo wa massa 24
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 жыл бұрын
Kwa sababu gn
@listerkongola6872
@listerkongola6872 3 ай бұрын
JE KWA MVUA HIZI NA MAFURIKO HAYA,DARAJA HILI LIPO SALAMA???
@halimahalima1488
@halimahalima1488 3 ай бұрын
Ndio
@saidifundi246
@saidifundi246 4 жыл бұрын
Hahahahaha nimemwona mtani wa kindengeleko ameanguka na baiskeri kwa kuogopa drone
@allymngwaya1369
@allymngwaya1369 4 жыл бұрын
Itakuwa siyo mndengereko huyo, Wandengereko hatuogopagi vitu vidogo vidogo
@eddydoublehd672
@eddydoublehd672 4 жыл бұрын
jama kaanguka na baiskel vp tena
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 4 жыл бұрын
Huyo jamaa wa baiskel hiyo drone alidhani kibuyu Cha wachaw🤣🤣🤣
@floraantony2508
@floraantony2508 4 жыл бұрын
Kabsa yaniii🤣🤣🤣
@abdilahijumanne1415
@abdilahijumanne1415 4 жыл бұрын
Ayo wewe ni mkweli ndo v2 ambavyo watz wanavitaka
@eddybrizzy76
@eddybrizzy76 4 жыл бұрын
hilo daraja haliruhusiwi watu wanaotembea kwa miguu??
@MariaCorneli
@MariaCorneli 3 ай бұрын
Mo
@juliusmaiko9557
@juliusmaiko9557 4 жыл бұрын
Haloo mtaua watu.muwe mnawatahadharisha watu mnapokuwa mnashuti. Vitu hivyo hatujazaliwa navyo , hapo hata ingekuwa mimi ningeshtuka kwa sababu umemtishia makusudi kabisa...Je angejuaje kama ni kamera na sio bomu.? Je angejirusha mtoni mngemsaidiaje? Inachekesha lakini haifurahishi.
@Noname-gg6bx
@Noname-gg6bx 4 жыл бұрын
Mm nikajua kalijenga mjomba magu kumbe mkapa dahh ingekuwa limejengwa enzi hizi za mjomba magu mbona tungekoma
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Lakitambo sana
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Mngekoma nn
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Alikuwa Waziri wa ujenzi na alilipigania sana.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
@@uledimtumwa2406 alipokuwa waziri,ni mambo mengi pia alipigania lkn alifungwa mdomo nahakuwa nasauti aliyaacha yapite
@nyarinkya6102
@nyarinkya6102 4 жыл бұрын
Sipati picha hili daraja kama lingejengwa awamu hii
@frankjoseph6609
@frankjoseph6609 4 жыл бұрын
Awamu ile hata simu hazikuwepo so ni swala la muda tu
@fredducaunt1724
@fredducaunt1724 4 жыл бұрын
Lingekufuata hadi mlangoni kwenu😁
@merrypoullemburistv7742
@merrypoullemburistv7742 3 жыл бұрын
Sema picha ni chafu halafu inamaandishi pembeni Ayo sa ndo nn!? mtu akitaka kuiba video anaiba na pembeni anaandika ivyo hivyo kwenye juu ya hiuo maandish
@salummpango5250
@salummpango5250 Жыл бұрын
Nina kumbukumbu na Hilo daraja, 2012 tuliongezea shoulda za daraja Hilo! Camp tuliweka ikwilili! Na ukiwa katikat ndio unaona pande zote mbili! Ni kiwa Nina drive tipper selela
@sonyniceone9630
@sonyniceone9630 3 жыл бұрын
Niceone
@johnedward2489
@johnedward2489 4 жыл бұрын
Halafu tunaambiwa ni serikali ya awamu ya tano tu ndo imefanya maajabu
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 жыл бұрын
Hilo neno "TU", kwenye sentensi yako ndo limepotosha kile wanachokisema baadhi ya watu juu ya awamu ya tano. Kama unajua logic vizuri hilo neno ni kubwa sana na linaweza kugeuza maana halisi ya Maelezo Fulani. All in all pongez kwa Mkapa (R.I.P) na waziri wa ujenzi wa kipindi hicho Magufuli ( R.I.P).
@isunga1964
@isunga1964 4 жыл бұрын
Mkapa ana bahati sana uwanja kwa mkapa daraja la mkapa vp Kikwete jamni
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
daraja la kigamboni na barabara ya mwendokasi
@devidpanja115
@devidpanja115 4 жыл бұрын
Udom
@jambo3751
@jambo3751 4 жыл бұрын
Mlimani city sina hakika kama ni Kikwete au Magufuli?
@jacobkeleman8001
@jacobkeleman8001 4 жыл бұрын
Taasisi ya Moyo Kikwete
@Nufaila442
@Nufaila442 4 жыл бұрын
MTO Malagarasi kuna daraja kubwa LA kisasa linaitwa ☑Kikwete Bridge mkoa wa Tabora na Kigoma Pia taasisi ya Jakaya MOYO PIA UKUMBI WA KIKWETE CCM Dodoma Na kikwete hill Ikuku Dsm
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 20 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 124 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 28 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Jumba laporomoka Kiamaiko | Watu kadhaa wahofiwa kukwama kwenye vifusi
3:17
HAYA NDIYO MAAJABU YA UJENZI WA FLYOVERS YA TAZARA NA UBUNGO
10:26
Global TV Online
Рет қаралды 189 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 20 МЛН