VIJANA Wapigwa 'CHANGA la MACHO' Kwa AJIRA FEKI - "WALITUAMBIA MSHAHARA ni LAKI 3"

  Рет қаралды 15,754

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

VIJANA Wapigwa 'CHANGA la MACHO' Kwa AJIRA FEKI - "WALITUAMBIA MSHAHARA ni LAKI 3"
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 45
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
Naomba kujua level zao za elimu hawa wanafunzi! 😂😂😂 Hawa global alliance wamesambaa mno,na wanawapenda kweli wanafunzi!
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 2 жыл бұрын
Hahahaha global in motion alliance wezi kishenz hawa jmaa na n wazur mnoo kuwaotea wanafunz hasa hawa wa first yr,kuwen makin vijana mnapigwa😄😄
@mtuwagu7121
@mtuwagu7121 7 ай бұрын
Oooh my God watapeli sana global motion Mungu tyu ndo atawalipa acheni kudanganya watoto wa watu😅
@saidmanjuti7441
@saidmanjuti7441 2 жыл бұрын
Wajabu dada anguuu wew mbona majanga sana
@emmanuelkiwango6638
@emmanuelkiwango6638 2 жыл бұрын
Pole
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 2 жыл бұрын
Apo tatizo ni Akili kuwaza kuajiriwa,, vijana tujiajiri jamani mbona tunaweza.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 2 жыл бұрын
Utajiajiri nisaidie njia maana nami ni mhanga nimesoma ajira hamna nimeonekana mzigo kwenye familia ya kwetu. Kilichokuwepo nilisomea kikaisha nimerudi tupu yani niponipo tu.
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 2 жыл бұрын
Ujengewe sanamu yako mkuu umetisha sana
@shamsamuhammad3677
@shamsamuhammad3677 2 жыл бұрын
aah hikamun noma sawa mm mwenyew nishashauriwa sanaa mpk leo bado wanifatilia sina hata muda nao
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 2 жыл бұрын
@@pitargamba9208 umesomea nn
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
asee james, niko na kipesa kidogo hapa nipe mchongo wa kujiajir frusa gan iko pow!?
@mtuwagu7121
@mtuwagu7121 7 ай бұрын
Kahama usiseme vijana wanatapeliwa kila kukicha eeh Mungu turehemu waja wako
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 жыл бұрын
Yaan Hawa global motion wametapel weng Sana box dogo hlo wanataka utoe lak tano kwanza
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 жыл бұрын
Yani hyo hali iliwahi mtokea mwanangu na walidanganywa hivyo na waliambiwa watoe 60000 na walitoa walikuwa kama watoto 8 vile , nilifatilia had police walikamatwa matokeo yke wakaachiwa tu.
@mayalayella7663
@mayalayella7663 2 жыл бұрын
My godness mimi mwenyw walinishawish nikagoma washenz
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Hawa matapeli wapo tena huwa wanavizia miezi ile ambayo kuna wanafunzi ambao wameshindwa kwenda a level, wameshindwa kwenda chuo hata veta na wapo nyumbani tu
@selesitinramashan7
@selesitinramashan7 2 жыл бұрын
Wanauza madawa ya presha kisukari nk wakati wao wakiumwa wanakwenda hospitali kutibiwa
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
😭😭😭
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Jamani matapeli nao ni majambazi wakikamatwa wamwagiwe tindikali na familia zao
@eliudiezekieli6293
@eliudiezekieli6293 2 жыл бұрын
Mjiari nyie hamna kazi hapo wizi
@geofreyj.1986
@geofreyj.1986 2 жыл бұрын
Wamenidhulumu laki 3 na nusu Hawa watu walinidanganya sana
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Aisee hii kampuni itakuwa imetapeli watu wengi sana wa nje hasa wadada wa Oman maana walikuwa wanarukwa akili na hii kampuni iliwaingiza maneno mno watafute watu wakuwaingiza watapa hela jaman mie nilishawishiwa kwa kufosiwa lkn msimamo wng nilikataa siwezi lipa hela Tz mwenyewe np Oman ni ujinga mtupu
@daynmengjamloo9719
@daynmengjamloo9719 2 жыл бұрын
Yani dada mm wamenibembereza nimekataa niujinga ite pesa inazaa bora nikaee napesa zangu mbka nikilud maana3haziniwashi
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
@@daynmengjamloo9719 wapumbavu wengi waliingia
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
@@daynmengjamloo9719 walikuwa wanawashawishi kupitia nn sasa halafu mm sijajua wanajihusisha na Nini.
@daynmengjamloo9719
@daynmengjamloo9719 2 жыл бұрын
@@MtuSafi yani kwa ss tuliopo ugaibuni wanakeambiya hii katuni ukifungua akaunti moja pesa yako inazaa nakuzaa kwake mbka utafute mtu umlete ndio pesa inazaa zaid kira unapo leta mtu ndio pesa yako inazid zaid
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
@@daynmengjamloo9719 oooh ni kweli hata mm wakat nipo Oman nilikutana na Hyo kitu na niliporudi Tz nilienda kwenye kikao Chao pale Kilimanjaro hotel nikaambiwa niingize laki9 Ili niwepewe baadhi ya bidhaa nikauze kama machinga na nikiwa naleta watu kujiunga na company Yao basi mm naanza kupanda daraja la cheo..nilichofanya nikaenda Korea kusini kufuata vitu vya electronic Ili nifanye biashara now nipo good kabisa.
@jacksonrwechungula9479
@jacksonrwechungula9479 2 жыл бұрын
WAPO KAGERA WILAYA YA KARAGWE wamezagaa tu wanatapeli watu
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Mm wamenitapeli hawa sbr cku nirudi tz watanijua mm nan
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Ndio hawazitaki hizofursa warudishieni pesa zao
@annahndete8961
@annahndete8961 2 жыл бұрын
Hapana jaman watu mbona wanaendelea wengi tuuu
@husseinmiraji124
@husseinmiraji124 2 жыл бұрын
Pesa za Nini mnawaomba mpumbavu wewe?
@ummutaswaufi3980
@ummutaswaufi3980 2 жыл бұрын
Wadada wa Oman mlopigwa laki 5 mkuje mdai na nyie
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 жыл бұрын
Wapo dar huku wanawalagai wanafunz
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
Haya mapromoshen pumbavu waongo sana
@deojohn2372
@deojohn2372 2 жыл бұрын
Hawa matapeli washafika uku daresalam wametapakaa kweli kweli
@justingenda6960
@justingenda6960 2 жыл бұрын
Walishafika huku Hangw Mwezi Mei mwaka huu wakawatapeli vijana wenye kutafuta ajira wakiwa wametoa fomu ya kujaza yenye namba zao. Wakatoa na namba ya simu ili kulipia ada ya fomu. Baada ya muda simu hazipstikani.
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Жыл бұрын
Kinacho nishangaza inamaana serekali haiwajui hawa panya road au hata kuwa sikia ili wafutiwe kibali yaani wanaudhi sana
Watuhumiwa 23 wa utapeli wa ajira wadakwa Tabora
9:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,1 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 31 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 12 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
RAISI MAGUFULI ARUDISHA WANYAMAPORI IKULU
2:58
Global TV Online
Рет қаралды 215 М.
Rejected total Orphan with family living alone in the forest
18:22
Bosongo Vibes
Рет қаралды 1,3 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 280 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 31 МЛН