wafungwa wa maisha wakutana na familia zao baada ya kufungwa maisha ngerezani embu prison

  Рет қаралды 59,611

Kimotho Peter

Kimotho Peter

6 жыл бұрын

Пікірлер: 55
@elizawanarumoro6867
@elizawanarumoro6867 5 жыл бұрын
Mungu wakumbuke wafungwa wote Baba.Sema neno moja tu, na roho zao zitapona😢
@evajohn7001
@evajohn7001 5 жыл бұрын
ndiyo mana mimi huwa nakosa cha kumfanya mtu aliye nikosea.
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu wakumbuke watoto wako nazani watakua wamejifunza nawasio namakosa pia wafikiliwe nimeumia sana ila namlilia mungu awakumbuke Amen
@elizabethmwandoe2426
@elizabethmwandoe2426 4 жыл бұрын
Mungu wasamee..kweli gereza n mahal pa kujirekebisha
@kaymyter7988
@kaymyter7988 4 жыл бұрын
Huyo amefungwa sababu ya shamba anafaa kuachilia asap
@hamishemed9179
@hamishemed9179 5 жыл бұрын
Kusema kweli inahuzunisha ingawa pia nifuraha bali Kenya mnafanya vizuri kuwakumbuka wafungwa
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 жыл бұрын
Jera sio kaburi. hila nimeipenda hiyo kenya ndg zetu hongeren mno.serkali yangu ya tanzania please igeni kupitia kwa wenzetu wafungwa wetu wapate faraja
@lubatikoseme1446
@lubatikoseme1446 5 жыл бұрын
Hongereni sana majurani zetu wakenya.. mna hutu na hofu ya Mungu
@ashab2537
@ashab2537 5 жыл бұрын
Machozi yananitoka, haijulishi walifanya makosa gani, lakini wao wamekubali matokeo
@bethnduta6140
@bethnduta6140 3 жыл бұрын
Oh my God feel mercy on them
@hannahmwaura7130
@hannahmwaura7130 3 жыл бұрын
wuuuie. Mungu sikia kilio cha hawa wafungwa.....Mungu unisaidie nisiwai leta mtu huku na sikwa ubaya wuuuii.
@bnztechnologies2676
@bnztechnologies2676 4 жыл бұрын
JAMANI KENYA NA NYIE MFATE NYAYO ZETU TANZANIA MRELEASE WAFUNGWA JAMANI
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 жыл бұрын
That's a good to be visited by there Families, The Government should build too Special rooms where Couples can have Lugula and except the ones wa mefungwa Maisha! !
@dullahamoud6037
@dullahamoud6037 5 жыл бұрын
Nimependa wamefurahi Sana wanajiskia faraja kwa sbabu wameoana wamewajali na sisi tuige inshallah
@makatym6151
@makatym6151 5 жыл бұрын
God will have A MERCY on them
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 5 жыл бұрын
Eemungu wa mbinguni usiye shindwa jambo..sema kitu kwa raisi kenyata
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 5 жыл бұрын
Yes good idea
@khadijamohammedsheheasemak1334
@khadijamohammedsheheasemak1334 5 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps 11 ай бұрын
Case ya shamba inafunga mtu Maisha
@azariasmercyline5134
@azariasmercyline5134 3 жыл бұрын
God be with u till we meet again
@evanssagala4515
@evanssagala4515 3 жыл бұрын
Woooi mungu ako nanyinyi
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Wakenya ma handsome
@aminahasan3564
@aminahasan3564 5 жыл бұрын
👍Kenyata...ila inauma sana
@anithagilibert6808
@anithagilibert6808 5 жыл бұрын
muuuu!!! Aisha Eliasi umetisha has haaa
@husseininteligence6234
@husseininteligence6234 5 жыл бұрын
Watu wakiwa jela huwa wanajifanya watakatifu sana
@lugomicheal6718
@lugomicheal6718 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@mutabazijustin2487
@mutabazijustin2487 5 жыл бұрын
kbsa vizuri sana Kenya, wakolon waritutesa kweri sasa nasisi tugitese kweri?
@thomasbahati3997
@thomasbahati3997 4 жыл бұрын
Safi sana hiyo
@rukayasalafiyat5230
@rukayasalafiyat5230 4 жыл бұрын
Maskini yaskitisha sana hadi machozi
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 жыл бұрын
Wapewe private rooms wakatombane
@janekikoti2179
@janekikoti2179 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@ashurakambangwa14
@ashurakambangwa14 5 жыл бұрын
Kweli aisee
@alymohd6713
@alymohd6713 5 жыл бұрын
umeongea pwent dada
@mtotonimamainawumsanamct3448
@mtotonimamainawumsanamct3448 5 жыл бұрын
Mungu teteya waja wako wawafunguwe apo nisusu yakifo kifungo chamaisha muwasame nalia sana
@ahmedhassan2619
@ahmedhassan2619 5 жыл бұрын
Daaah asee we Aisha bhn umetisha kwa hio watu waunganishe nyaya umeme uwake sio
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Mh jela mnanenepa hivyo
@allymohamedmkiwa8573
@allymohamedmkiwa8573 5 жыл бұрын
Hongereni serikali ya Kenya, na mm ntamwambia rais wangu JPM mageraza yetu yawe kama kenya
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 жыл бұрын
Kenya wako vizuri saaaana
@agnesvintan1538
@agnesvintan1538 5 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@user-kb6lx6mt1i
@user-kb6lx6mt1i 5 жыл бұрын
Waa niuchugusana
@moodless6506
@moodless6506 5 жыл бұрын
Really 😭 Allah make easy for them
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 5 жыл бұрын
😭😭😭
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Daa muna wakosesha haki zao inafika muda unafil kitu bwana
@suleimanabdalla4594
@suleimanabdalla4594 3 жыл бұрын
Hahaha !!!
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 жыл бұрын
Hadi raha
@ettadamas9781
@ettadamas9781 5 жыл бұрын
Safi sana Kenya mko juu
@tootumsifu6926
@tootumsifu6926 5 жыл бұрын
kumrudisha mpenzi siku 3:0658535229bagamoyo
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
| SEMA NA CITIZEN | Maisha Gerezani [Part 1]
24:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 20 М.
Sankara: Biteye isoni kubona Rusesabagina yihakana ko ari Umunyarwanda
30:42
Watoto Jela
6:38
KTN News Kenya
Рет қаралды 188 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН