WALIDHANI WANATUKIMBIZA KUMBE WANATUSINDIKIZA - AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

  Рет қаралды 1,213,873

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

5 жыл бұрын

Ambwene Mwasongwe presents the Official Music for "Walidhani Wanatukimbiza Kumbe Wanatusindika"
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
#AmbweneMwasongwe #WalidhaniWanatukimbiza

Пікірлер: 1 000
@maris6876
@maris6876 2 жыл бұрын
Nimejikuta nasoma comment zote 789 nikiangalia ipi iko tofauti na what i felt nimekugundua holy spirit works the same kwa watu wake ......naombeni mlike na kuweka comment hapa ili nirudi kuisikiliza tena hi nyimbo
@wafabian8116
@wafabian8116 10 ай бұрын
Kuja usikize huu wimbo Tena pia Mimi nasikiza nikisoma hallelujah
@NovatusShao
@NovatusShao 2 күн бұрын
❤❤
@laurabenson1918
@laurabenson1918 3 жыл бұрын
Kama umebarikiwa na huu wimbo gonga like 🙏🏽❤️
@fradngabo9335
@fradngabo9335 3 жыл бұрын
Bless you
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 3 жыл бұрын
Bless wote wanasiikiliza huh wimbo
@merquinengusa7030
@merquinengusa7030 3 жыл бұрын
Nimebalikiwa
@elishasheban4781
@elishasheban4781 3 жыл бұрын
Awesome
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏
@johnnyingi1263
@johnnyingi1263 2 күн бұрын
Mwaka ni 2024.. kama ulikuja hapa 2042 likw hii comment tujue kama bado nitakuwa hai.
@AnnaJunior-ni4tj
@AnnaJunior-ni4tj 5 ай бұрын
18.2.2024 still watching😢 Mungu akubariki Ambwene
@LovelyFishingRod-ij7mk
@LovelyFishingRod-ij7mk 4 ай бұрын
I'm still watching 10.03.2024 , i need the comments if you want to be blessed for this year and accept the power of God
@issasamir2319
@issasamir2319 7 ай бұрын
Mungu akubaliki sana uimbe zaidi
@neemasapiyo5494
@neemasapiyo5494 3 жыл бұрын
Waliponituppa shimoni nikaibukia Ikulu, walijua wananikimbiza kumbe wananisindikiza JINA LA YESU LIBARIKIWE, AMBWENE MUNGU aendelee kukuinua kwa VIWANGO vya tofauti
@JosueKihumulendi
@JosueKihumulendi 2 күн бұрын
Abwene mungu akupe maicha marefu
@user-wo3bb3ow3g
@user-wo3bb3ow3g 11 ай бұрын
Walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu glory to the most high God
@kedmochilewa761
@kedmochilewa761 4 жыл бұрын
Ni kati ya nyimbo bora sana nyakati zote waweza kuusikiliza na ukafarijika ukajikuta umekubalika mbele za Mungu kimaono na ukakumbuka ulipo kosea na ukashuka kutubu ili mradi uwe family ya Mungu
@mahende9944
@mahende9944 3 жыл бұрын
Yaan huo wimbo unanibariki kupita maelezo na Mungu akubariki sana
@romankitimo420
@romankitimo420 3 жыл бұрын
Mungu kweli amekuwa Mwaminifu zaidi
@eveeddah6310
@eveeddah6310 3 ай бұрын
I found myself here today and I can't get enough of this song
@ev.johnkay9383
@ev.johnkay9383 Жыл бұрын
The republic of Tanzania is blessed to have this servant of God. Much love from kenya.
@timothymwendaofficial1538
@timothymwendaofficial1538 Жыл бұрын
Sir you are also a blessing In Kenya,,, your ministry stirs something from within me
@lysterrichard8417
@lysterrichard8417 26 күн бұрын
❤❤❤❤nataman kumbatia Mungu ila ndio simuoni ila anajua navyojiskia juu yake kweli n mwema ❤
@davidmuli896
@davidmuli896 3 ай бұрын
This makes me feel so high when am down.....it makes me to remember whom I am ...."watu wa miliki ya Mungu
@Ntwarihappy20025
@Ntwarihappy20025 3 ай бұрын
Ubalikiwe sana tunakupenda Burundi nyimbo nzuri sana inavutiya mpaka machozi yanatoka Mungu akubaliki uzidi kusonga mbele brother 🙏
@bensonmramba6960
@bensonmramba6960 2 жыл бұрын
Tengeneza live performance ya hii wimbo na uweke subtitle ya kiingereza utatazamwa hadi nigeria. Very powerful and Lifting up song. God bless you
@manenosiforiyana1903
@manenosiforiyana1903 2 жыл бұрын
Sichoki kusikia nyimbo hii kipaji chako mngu ikiongoze na maisha mpendwa
@marthakingu4756
@marthakingu4756 2 жыл бұрын
Tumekubalika na Mungu 'tumebarikiwa na Mungu 🕊
@christinasamo4677
@christinasamo4677 8 ай бұрын
Mwalimu wangu ,this song is incredible....Mungu ni mwema ,na azidi kukufunulia zaidi🙏🙏
@linustumwesige4805
@linustumwesige4805 4 жыл бұрын
Ni kati ya nyimbo ambazo siwezi kuforward! Nasikiliza mpaka mwisho na wakati mwingine naurudiarudia! Ujumbe ni mzito mno!!! Kwa aliye rohoni hawezi kushindwa kuuimba wimbo huu tena kwa roho! Barikiwa mtumishi!
@francocosafrica9148
@francocosafrica9148 4 жыл бұрын
Linus Tumwesige kweli kabisa kaka
@kitingamellah7447
@kitingamellah7447 4 жыл бұрын
Kbs bro
@mhinajohn1224
@mhinajohn1224 4 жыл бұрын
Mung akubaliki xn
@roberttende9796
@roberttende9796 4 жыл бұрын
Amen
@hidayamitti6014
@hidayamitti6014 4 жыл бұрын
Haichoshi kabisa
@flosha1
@flosha1 3 жыл бұрын
Uzao wa agano....this just ministers to me. Hatakufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu.....Amen!!
@bestinerblessy35
@bestinerblessy35 3 жыл бұрын
Walitubadili majina hawakubadili hatima wapi like yako kwa ambwene
@stewartmbeselambesela909
@stewartmbeselambesela909 4 жыл бұрын
“Usiwachokoze walio na Mungu, wamebarikiwa na Mungu Wakitupwa Jangwani wateseke wafe, huigeuza bustani”
@abbykina3039
@abbykina3039 4 жыл бұрын
Amen
@thadeouschuwa8156
@thadeouschuwa8156 4 жыл бұрын
Amina
@rosekatunge8416
@rosekatunge8416 4 жыл бұрын
Amen, asante kwake Mungu hasiyewaacha watu wake
@thambulilucia9898
@thambulilucia9898 3 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ruthmwasomola3907
@ruthmwasomola3907 3 жыл бұрын
Kwakweli
@godsaviourchristopher5548
@godsaviourchristopher5548 3 жыл бұрын
Huyu ndo mtu anafanya muziki wa injili kama karama na sio biashara. Ni mahubiri ya kutia moyo na kuinua, kututaka tusikatishwe tamaa na hali tunazopitia. Ubarikiwe sana Ambwene.... your songs are always inspiring and drawing us closer to God!
@monsterviper6507
@monsterviper6507 4 жыл бұрын
Kule waliko tusukumia ndiko mungu upumzikia walizani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza
@inriayotz4900
@inriayotz4900 3 жыл бұрын
Naisi nime funguliwa kupitia wimbo huu Amina
@user-og5xq1is1i
@user-og5xq1is1i 5 ай бұрын
Mungu abariki kazi za mikono yako mtumishi wa Bwana Ambwene
@nehemiahlermy7432
@nehemiahlermy7432 4 ай бұрын
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tu uzao mteule aaah aah aah Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah Taifa takatifu aah aah ooh ooh Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh Nimemwona Mungu amewaleta kutoka Misri wana nguvu kama za nyati Watawavunja adui mifupa Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale Yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki nani wakuwapinga Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande, katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah Tumekubalika Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za ki-falme ametuchora Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah aaah Usiye lala aah Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, Walitubadilisha majina hawakubadili Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, Kule walipotusukumia Ndiko Mungu hupumzikia, Walidhani wanatukimbiza kumbe Wanatusindikiza Bwana wangu, Yesu Yesu Yesu Shindii, Yesu Mwamba, Yesu Wewe, Yesu Aah haaa aah Jiwe langu Yesu Ngome Yesu Mwamba aaah Bwana Yesu Ooh uuh Jiwe langu Yesu Mwaminifu Yesu Haki Yesu Ngome Yesu Nguzo Yesu Aah aah Jina lako Yesu Yesu Yesu Haki Yesu Mwaminifu Yesu Wewe Yesu Aah aah Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za kifalme Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano
@elsachimwani5018
@elsachimwani5018 3 жыл бұрын
Walitubadili majina hawakubadili hatima! Hallelujah!
@barakawerema3920
@barakawerema3920 3 жыл бұрын
Dah yan et bado kuna watu wana unlike sijui wana kajini gan jaman
@FlorahBethuel
@FlorahBethuel 6 ай бұрын
2024 still gospel best song ever
@user-he5nd4hm7l
@user-he5nd4hm7l 10 ай бұрын
Tunahitaji kukubalika na Mungu pekee ambaye habadiliki ,tutafute kukubalika na yeye ,wanadamu wanabadilika .Amen powerful song
@renatuskanuthy5743
@renatuskanuthy5743 2 жыл бұрын
kule walikotusukumizia kumbe ndiko Mungu hupumzika
@joycepeter1994
@joycepeter1994 3 жыл бұрын
Naniiii yupooo 2021jamniiii walizaniiii wanatukimbizaaaaa Kumbe wanatusndkza
@hildamwankuga5719
@hildamwankuga5719 3 жыл бұрын
Mungu atubariki Sana wote tunaoendelea kusikiliza wimbo huu 2021
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏
@DavidJustin7
@DavidJustin7 11 ай бұрын
❤️ KIBALI NEEMA BARAKA SISI NA UZAO WETU NA VIZAZI VYETU SISI TU UZAO WA AGANO.
@jacklinelaswai4686
@jacklinelaswai4686 3 жыл бұрын
Wimbo wa faraja sana huu. 2021 bado nabarikiwa nao! Mungu akuinue
@flaviamsaki9654
@flaviamsaki9654 3 жыл бұрын
Wakikuacha, mungu hakuachi. Wakibadilika mungu habadiliki. I love the song.....
@afitv9077
@afitv9077 4 жыл бұрын
nyimbo zako nadhani huwa zinaombewa kabla hazijatungwa.....nyimbo zako zanifanya nimtafute Mungu kwa ukaribu
@esperanceruziga1990
@esperanceruziga1990 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@jacobomwiru9517
@jacobomwiru9517 2 жыл бұрын
Kabxa
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
@@esperanceruziga1990 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
@@jacobomwiru9517 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@Aloysmalon
@Aloysmalon 7 ай бұрын
Ambwene mwasongwe naomba nisife bila kukuona
@teddydavid4051
@teddydavid4051 3 жыл бұрын
Tumekubalika na mungu Ametuchora kweli moyoni mwake
@barakakulwa3089
@barakakulwa3089 3 жыл бұрын
Mmoja Kati ya waimbaji bora wanaoimba katika roho na kweli
@melabimbunjai9689
@melabimbunjai9689 4 жыл бұрын
Wimbo huwa unanibariki mnoo hakika walidhan wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza
@lilianprosper9440
@lilianprosper9440 3 жыл бұрын
Acha t nainjoy,hatuwez tishwa kwa maneno yao,
@nancembaga43
@nancembaga43 11 ай бұрын
Nimekuja kuufwata huu wimbo tu jaman
@yasintaisaya7526
@yasintaisaya7526 3 жыл бұрын
Hatuwezi tishwa kwa maneno,nguvu zetu zipo kwa mungu
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 2 жыл бұрын
Who love this song,,, thumbs up here
@makariusbushiry181
@makariusbushiry181 4 жыл бұрын
Ukiamin kupitia wimbo huu mungu atakufanikixha katika kila jambo unaloliitaji
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 4 жыл бұрын
Hatukupambwa kama wao tukapendeza kuliko wao!Mungu ni Mungu.
@frolasanga633
@frolasanga633 3 жыл бұрын
Uu wimbo ni mzr Sana umenibariki Sana 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Sana
@mariamthomas9354
@mariamthomas9354 3 жыл бұрын
Wimbo mxuri sn ninabarikiwa ninapousikilizaa barikiwa sn
@elishaparadiso5345
@elishaparadiso5345 4 жыл бұрын
Mda mwingine Mungu huongea nasi kupitia vinywa vya watu. Amen
@J_Jeromy
@J_Jeromy 4 ай бұрын
Nimerud 2024 kuckiliza
@lightnessyohhanah3243
@lightnessyohhanah3243 2 жыл бұрын
Nampenda bure huyu baba ❤❤
@jeannendume8337
@jeannendume8337 2 жыл бұрын
tumekubaliwa na mungu na kujibu maombi yetu
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 жыл бұрын
"Walipotutupa shimoni, tukaibukia Ikulu". Barikiwa mtumishi Ambwene.
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏
@wezssee4134
@wezssee4134 2 жыл бұрын
Wahbil
@adembajunior5969
@adembajunior5969 3 жыл бұрын
THE REPUBLIC OF TANZANIA IS BLESSED WITH VERY POWERFUL,TRUE AND DEDICATED MINISTERS OF THE GOSPEL.YOUR TIME TO SHINE ALL AND ACROSS THE WORLD IS RIPE.MAY YOU SHINE LIKE JESUS IN WHATEVER YOU DO FOREVER AND EVER.THANK YOU MY BROTHER AMBWENE MWASONGWE.I DO MINISTER YOUR SONGS IN CHURCH SERVICES,CONFERENCES AND ANY RELATED CHRISTIAN ACTIVITIES.AM GRATEFUL AND HAPPY FOR.MAY YOU TAP MORE ANNOINTING EXCEEDINGLY AND ABUNDANTLY.
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏
@neemapeter8656
@neemapeter8656 2 жыл бұрын
Tulipona kwa Farao tukiwa ugenini, hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, tulinusurika vita,....... tulipona magonjwa,......... tulishinda upweke,.......... Mungu alikuwepo hatukua peke yetu...... 🙏🙏 Mungu,, am inspired to move on despite all the difficulties God is with us
@tegemeaemanuel9811
@tegemeaemanuel9811 3 жыл бұрын
Wananguvu mungu kawapa aisee uwimbo unaujumbe mzito sana
@mwakasegeshukuru3720
@mwakasegeshukuru3720 4 жыл бұрын
Walidhan wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza,Jina la bwana Yesu libalikiwe sn
@manyilizupaschal1817
@manyilizupaschal1817 4 жыл бұрын
Amen
@scolaboniphace532
@scolaboniphace532 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@erizaalex9027
@erizaalex9027 4 жыл бұрын
Amina
@pendolyimo4109
@pendolyimo4109 4 жыл бұрын
Walijua wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza 😘🙏🙏🙏 Asante
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@mwakanyokixsagala4491
@mwakanyokixsagala4491 2 жыл бұрын
Tulipona magonjwa tukiwa hatuna dawa, nyimbo ya kiroho kabca naomba hii nyimbo iingizwe kwenye rist ya nyimbo za sifa God bless you #ambwene
@meshackdaudi9887
@meshackdaudi9887 2 жыл бұрын
Mungu nijalie ju ya kalama yangu yeyte ndan yangu
@boscojmseso7072
@boscojmseso7072 4 жыл бұрын
We ambwene kiboko ya injil
@lucyjohn6885
@lucyjohn6885 4 жыл бұрын
Wimbo wa faraja na ushindi utubariki kwa pamoja tunao usikilza 2020 Amen. 🙏
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Amina
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Amina
@tausimfinanga5016
@tausimfinanga5016 3 жыл бұрын
Wimbo huu unanifariji sana
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 3 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@mkizomsafi6956
@mkizomsafi6956 3 жыл бұрын
À
@muthonimuinde6951
@muthonimuinde6951 3 жыл бұрын
Amen.tulishida kesi bila ya mtetezi.
@kikande4399
@kikande4399 3 жыл бұрын
Wimbo umekaa powa sana kwer mug ametuchora muyon mwake
@jujabejaphety4587
@jujabejaphety4587 3 жыл бұрын
Walio karibu na ww ni rahis sana kuiyona pepo, mungu akubarki san bro Ambwene
@hasaniramadhani6366
@hasaniramadhani6366 Жыл бұрын
Japo niko katikamagu nikonabarikiwa.kabisa
@rosemaryjohn5971
@rosemaryjohn5971 2 жыл бұрын
Tume kubaliwa na mungu tuna nguvu
@VIVIEN.WAMBUI_OFFICIAL
@VIVIEN.WAMBUI_OFFICIAL Жыл бұрын
Nimeskia huu wimbo kwa mara ya kwanza imebidi nimtafute mwenye huu wimbo....
@user-hx7vj3ni6p
@user-hx7vj3ni6p 11 ай бұрын
Very powerful song,,, nimeishi kutafuta huu wimbo ,, nilikuwa nasikia tu tiktok chorus finaly am here rewinding and rewinding
@wizzydenoble_2254
@wizzydenoble_2254 4 жыл бұрын
sijui kwanini i love this song,so emotional n annoited.i feel like crying.....God bless you.nani ameguswa kama mimi?
@deboramoffat6301
@deboramoffat6301 2 жыл бұрын
Tupo wengi
@felixnyagaka1237
@felixnyagaka1237 2 жыл бұрын
It's such a powerful song
@merquinengusa7030
@merquinengusa7030 2 жыл бұрын
Mimi pia nimeguswa
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
@@deboramoffat6301 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏
@harundicksonkilupa8152
@harundicksonkilupa8152 3 жыл бұрын
Mungu akulinde na akuzidishie baraka nyimbo zako zatugusa sana
@elsachimwani5018
@elsachimwani5018 3 жыл бұрын
Tu uzao wa agano kweli! Wamiliki wa Mungu hakika!
@mariapetro5029
@mariapetro5029 3 жыл бұрын
Tulipona mangonjwa tukiwa hatuna dawa. Mungu akuinue zaidi ,nyimbo zako ni za faraja kwa walio kata tamaa.
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j 10 ай бұрын
God I love you so much
@kevooambakisye7018
@kevooambakisye7018 4 жыл бұрын
Katutoa misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipandee... Praise the lord God who liveth forever.
@omarynjelamoto7200
@omarynjelamoto7200 3 жыл бұрын
Tumekubariwa na mungu tu!!!!!!
@josykogei7647
@josykogei7647 11 ай бұрын
Bless you man of God gaaii beautiful song
@josephchibelenje7788
@josephchibelenje7788 3 жыл бұрын
KAMA UNAAMINI MISTARI ALIYOIMBA MTUMISHI 2020 NLDONDOSHA LIKE
@rehemamilawi2809
@rehemamilawi2809 3 жыл бұрын
Amen Mungu kanibariki hakuna wa kupinga
@happinessnaiman2761
@happinessnaiman2761 2 жыл бұрын
Naupenda sana huu wa wimbo kwani unaakisi historia ya maisha yangu kabisa,Mungu akubariki sana mtumishi.
@methiusFidel
@methiusFidel 6 ай бұрын
Nyimbo nzuri hadi raha
@doriszephania3503
@doriszephania3503 4 жыл бұрын
,,Tulipona upweke tukiwa tumeachwa !! Aliyeona hii adondoshe like hapaaa!! 💪💪💪💪💪💪💥💥💥💥💥
@jannysamson6550
@jannysamson6550 4 жыл бұрын
Naelewa sana tupo pamoja
@priscaleonard4487
@priscaleonard4487 3 жыл бұрын
@@jannysamson6550 4u7088765
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Dear umesikia hiyo tu, natania
@reinaulomi1408
@reinaulomi1408 3 жыл бұрын
hakika
@y.n.g_gamer6055
@y.n.g_gamer6055 3 жыл бұрын
Asifiwe MwenyEnzi Mungu na mwanaee Yesu Kristo Muumba wa kila kitu nyimbo imenibariki Sana na kunitia Nguvu mpya
@anisalha6624
@anisalha6624 3 жыл бұрын
Asante baba mungu ekuzidishie baraka.
@suzanndosi6541
@suzanndosi6541 4 жыл бұрын
Wimbo wa kutukumbusha kuwa kwa Mungu yote yanawezekana
@hobokelakaminyoge8789
@hobokelakaminyoge8789 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo, Nimebarikiwa na huu wimbo kwa kweli
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 3 жыл бұрын
Ambwene hakuna kama yeye 🇹🇿
@MauwaEdward
@MauwaEdward 2 ай бұрын
Unatikiwe San mtimish wa Mung kikubwa wew upungue Mungu apande juuu ❤❤❤
@sonko-13
@sonko-13 2 ай бұрын
andika vizur
@MaleiSila-pc2vx
@MaleiSila-pc2vx 11 ай бұрын
Multi-talent..Ambwene is a man with misuli ya IMANI♨♨😊🙌
@kabobojunior1268
@kabobojunior1268 4 жыл бұрын
Kweli Ndani Ya Nyimbo Kuna Kuna Maneno Ya Kifalme Yenye Ujumbe Mtakatifu Mwenyezi MUNGU Akipendezwa Azidi Kukubariki Mtumishi Waje
@neemapaulo1416
@neemapaulo1416 3 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki Sana "tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao"
@janethmoshiro6153
@janethmoshiro6153 3 жыл бұрын
Tulipona mawifi...tulipona upweke tulipokua tumeachwa ...nyimbo kubwa Sana hii
@anithakaijage9078
@anithakaijage9078 4 жыл бұрын
This song....Is real inspired by the Spirit of God.Wana wa Nyumban mwake Mungu hawaguswi.. JUST KNOW WHO YOU'RE NENO LINASEMA WENYE HAKI WATAKOMBOLEWA KWA MAARIFA...SO FIND YOU IN CHRIST.
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html Barikiwa 🙏
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Nani amebarikiwa na Wimbo huu mpka Leo hii 15/5/2020 naomba like zenu maana ndio sifa yetu mbele za MUNGU wetu
@user-ik5kz6gh7n
@user-ik5kz6gh7n 6 ай бұрын
Usiwachokoze walio n'a mungu
@rewardalexzanda873
@rewardalexzanda873 3 жыл бұрын
barikiwa sana napenda unavyo imba kwakutupa amani mioyoni mwetu
Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika na Mungu(Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 557 М.
MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
8:06
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 87 МЛН
Nikumbushe (Cover song) - Nandy
5:05
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 15 МЛН
Solomon Mkubwa   Mungu Mwenye Nguvu Official Video
7:33
Solomon Mkubwa
Рет қаралды 4 МЛН
ASHLEY NASSARY - SINA JINA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:03
ASHLEY NASSARY
Рет қаралды 1,1 МЛН
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,1 МЛН
Lini Utapita Kwangu
10:20
MCH. ABIUD MISHOLI - Topic
Рет қаралды 114 М.
Barnaba feat Joel Lwaga - SAYUNI (Official Music Video)
3:56
BarnabaClassic
Рет қаралды 3,3 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 177 М.
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 62 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 839 М.