Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika na Mungu(Official Music Video)

  Рет қаралды 557,165

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Жыл бұрын

Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
Mwasongwe presents the Official Music Video for TUMEKUBALIKA NA MUNGU.
Maelezo ya wimbo wa "Tumekubalika Na Mungu"
"Tumekubalika Na Mungu" ambao Roho Mtakatifu alinipa mwaka 2018 nilipoitoa audio yake mwaka huohuo... na sasa namshukuru Mungu kwa kibali chake nimeweza kutoa video yake hii.
Nyuma ya ya wimbo huu Kuna Siri kubwa Sana ya Taifa la Israel ambalo mwaka 2018 lilikuwa linatimiza miaka 70 tangu warejee toka utawanyiko duniani kote mwaka 1948.
Israel ni taifa la Mungu kama yasemavyo maandiko matakatifu yaani Biblia. Na ni taifa limepitia vipindi vingi vizuri na vigumu....
Taifa hili limewahi Kaa utumwani Misri zaidi ya miaka 430, Mungu akalikumbuka likarejea chini ya Musa... baada ya Miaka 1500 Tena likaenda utumwani Babeli Israel (makabila 10 yakianza) Kisha Yuda (Makabila mawili)yakifuata miaka 130 baadaye...
lakini baada ya miaka 70 baadaye Mungu aliwarejesha lakini wakiwa Bado koloni la wamedi. kabla hawajapata uhuru wao.
Baadaye Warumi wakaja wakawatawala kwa miaka mingi, Kisha wakatawanywa duniani kote kwa muda wa miaka 1400+ mpaka waliporejea mwaka 1948 na kuwa Taifa tena.
Ndani ya miaka hii 70 wamekuwa wakitishwa sana na mataifa yaliwazunguka na msemo maarufu ni "Kuifuta Israel isiwepo juu ya uso wa Dunia".
Siku moja nikiwa nafuatilia hotuba ya waziri wao mkuu akijibu hivyo vitisho, aliongea maneno mazuri na mazito ambayo ndiyo yaliamsha tafakari, na nilipoingia kuisoma Biblia Roho Mtakatifu akanisemesha kuhusu huu wimbo ukiwa umebebwa na maneno ya 1 Petro :2:9
Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;
Maneno ya Waziri mkuu yaliyonigusa ni vile aliwakumbusha maadui zao kuwa wao Israel wanalindwa na kutunzwa na Mungu, Walisurvive Misri, Babeli na Walisurvive kutawanyika wakikumbwa na majaribio ya kuuwawa genocide nchi mbalimbali kwa sababu ya Yehova...
Akasema ni wao peke yao wamewahi shinda vita kwa nyimbo na mapambio, ni wao ambao wamekula chakula Cha mbinguni kilichodondoka jangwani, ni wao wamekunywa maji ya mwambani Tena jangwani, ni wao wamepona hatari ya magonjwa kwa mkono wa Mungu pasipo dawa, ni wao wamesafiri miaka 40 bila nguo na viatu kuchakaa.... na ni kwa sababu Moja kubwa ambayo Iko Zaburi 121:4
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
Kisha akauliza yako wapi mataifa yenye nguvu, wako wapi watawala wababe, yako wapi majeshi makubwa, yote yamepotea lakini Israel Bado yupo atakuwepo kwa sababu ya Mungu...
SASA ISRAEL NI PICHA YA MFANO WA KANISA... KWA SABABU HIYO TUNAYO KILA SABABU KUMWAMINI YESU NA KUISHI KWA UJASIRI NA USHINDI BILA KUJALI TUMEZUNGUKWA NA VITISHO GANI...
NAKUALIKA KUTAZAMA WIMBO HUU KWA JICHO NA SIKIO LA ROHONI ILI UWEZE KUHUDUMIWA NA ROHO MTAKATIFU ALIYENIHUDUMIA TANGU NAUANDAA MPAKA SASA.... USIACHE KUSHARE NA WENGINE USIACHE KUWATIA MOYO KWA BARAKA HIZI.
MUNGU AKUBARIKI SANA, NA KAZI YAKE IZIDI KUSONGA MBELE.
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika Na Yesu (Lyrics)
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tu uzao mteule aaah aah aah
Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
Taifa takatifu aah aah ooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati
Watawavunja adui mifupa
Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
Yeye kawabariki nani aawalaani,
Mungu kawabariki nani wakuwapinga
Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,

Пікірлер: 611
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Tumekubalika Na Bwana kweli Uzao wa kifalme. Ubalikiwe sana Kaka umekuwa Baraka sana kwenye maisha yatu
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa sana
@upendokambi1845
@upendokambi1845 Жыл бұрын
Barikiwa mno mpendwa kaka yangu,
@DavidJustin7
@DavidJustin7 11 ай бұрын
I’m Proud In Building and Investing in the Kingdom Of GOD
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 9 ай бұрын
Nyie watu Mungu anawatumia mnoooh
@P.R.O919
@P.R.O919 9 ай бұрын
Amen❤
@abigaelkamau1075
@abigaelkamau1075 11 күн бұрын
Nyie huu wimbo ni historia ya maisha yangu nilipitia kıpindi kigumu mwezi wa 2-6/2024 .Nataka nikuhakikishie wewe unayepitia wakati mgumu utavuka na utasahau kama uliwahi pitia kipindi kigumu.Amini tu.Mimi nimesahau yote ya misri saivi niko ikulu.
@olivaclara
@olivaclara 3 ай бұрын
Ambwene is so dope. I can't stop watching this track again and again. I am sure he will be #1 soon due to 💖 a u t h e n t I c v i e w s 💖
@NeemaLukondya-xi3pg
@NeemaLukondya-xi3pg Жыл бұрын
Wimbo unahitaji tafsiri ya kiroho ili kupata haidroliki za kiroho zilizomo ndani yake. Ambwene ongeza kunyenyekea mbele za Kristo, atakupa neema zaidi.
@pastorymadale1529
@pastorymadale1529 Жыл бұрын
Kabisaa mtumishi
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Жыл бұрын
+MUNGU+ azidi KUKUBARIKI kwa kila eneo siku zote za ujana, uzee na uzao wako kwa ajili ya UTUKUFU wake hata MILELE 1 WAKORINTO 1:8-9💯🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@washirakesaga7189
@washirakesaga7189 Жыл бұрын
SIO UZAO TU BARI WAZAWA WATEULE .ASANTE MY SPIRTUAL BRATHER
@paulinenjogu9529
@paulinenjogu9529 11 ай бұрын
Kenyans 🇰🇪🇰🇪let's gather here... Tumekubalika na Mungu na hii uchumi ngumu tuna nguvu za kifalme...He knows us ❤❤... Our LIVING GOD not a leaving god.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@helenoneya
@helenoneya Жыл бұрын
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao,hatukupambwa kama wao....
@kenntungaraza
@kenntungaraza Жыл бұрын
"Tulishinda upweke tukiwa tumeachwa" 💪
@cdeleo9336
@cdeleo9336 11 ай бұрын
Huu wimbo huwa unanibariki sana maana Mungu aliponitoa na hapa nilipo ni neema ya Mungu. Mungu asantesana 🙏🏽🙏🏽
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 Жыл бұрын
Tulikula mtama kwa maji tukanawili kuliko wao hatukupambwa kama wao tukpndeza zaid yao. Mungu alikuwepo hatukuwa peke yetu💪🤩🙏🙏🙏🙏
@deboramsangi360
@deboramsangi360 6 ай бұрын
Tulikula mtama kwa maji tukanenepa kuliko woa, hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili hatima, walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, kule walipotusukumia ndiko Mungu hupumzikia walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza. Safi sana huu wimbo miaka mia haupoi
@yustomgaya3953
@yustomgaya3953 6 ай бұрын
best verses
@babucleva2785
@babucleva2785 Жыл бұрын
Mtumishi isizidi hata dk1 tafadhal maana sio kwa kusubiri huku 😱😱
@nikeveek
@nikeveek 11 ай бұрын
Wednesday 16/08/2023 Tumekubalika 😊💯
@theMarangafamily
@theMarangafamily 16 күн бұрын
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tu uzao mteule aaah aah aah Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah Taifa takatifu aah aah ooh ooh Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh Nimemwona Mungu amewaleta kutoka Misri wana nguvu kama za nyati Watawavunja adui mifupa Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale Yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki nani wakuwapinga Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande, katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah Tumekubalika Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za ki-falme ametuchora Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah aaah Usiye lala aah Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, Walitubadilisha majina hawakubadili Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, Kule walipotusukumia Ndiko Mungu hupumzikia, Walidhani wanatukimbiza kumbe Wanatusindikiza Bwana wangu, Yesu Yesu Yesu Shindii, Yesu Mwamba, Yesu Wewe, Yesu Aah haaa aah Jiwe langu Yesu Ngome Yesu Mwamba aaah Bwana Yesu Ooh uuh Jiwe langu Yesu Mwaminifu Yesu Haki Yesu Ngome Yesu Nguzo Yesu Aah aah Jina lako Yesu Yesu Yesu Haki Yesu Mwaminifu Yesu Wewe Yesu Aah aah Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za kifalme Ametuchora kweli moyoni mwake tu
@patriciamukopi7585
@patriciamukopi7585 Жыл бұрын
To the person reading this ,,I pray that God elevates you and gives you a great testimony 🙏
@carolinemsuva4341
@carolinemsuva4341 Жыл бұрын
Amen
@fidesinimahye5376
@fidesinimahye5376 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏❤️💞
@stevennchambi3212
@stevennchambi3212 Жыл бұрын
Amen
@staciekimath9522
@staciekimath9522 Жыл бұрын
Amen
@mapendomonique9719
@mapendomonique9719 Жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda nakuzidishiye nguvu naujasiri wakuendelesha kaziyake kwauwaminifu
@user-ex7es6fe3c
@user-ex7es6fe3c 8 ай бұрын
Huu wimbo Kila nikiimba nasisimuka mwili mzima nahisi kama nipo na MUNGU pembeni duuu!!!! We acha2 ubalikiwe mtumishi❤❤
@Imma402
@Imma402 Жыл бұрын
Tuliweza maisha tukiwa hatuna Hela🥺
@juliusngwila7343
@juliusngwila7343 Жыл бұрын
Aisee...Nimeelewa ukubwa wa huu Wimbo baada ya kusoma hapa.
@kinjiwe5828
@kinjiwe5828 3 ай бұрын
Asante Yesu, nakukiri kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Hakika wewe ni mwaminifu na hakuna mwingine wa kulinganishwa nawe.
@lightnessmathew6377
@lightnessmathew6377 2 ай бұрын
Hakika nimemuona Mungu asiye lala akinisaidia pale adui zang walipo inuka walikutan nguv ya Mungu
@user-hu2bo3bt8y
@user-hu2bo3bt8y Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na huu wimbo...naona unaongea na Maisha yangu Sana..huwa nausikiliza Mara mbili mbili na kuangalia nilikopitia ninakopititia na ninakoelekea . Asante Yesu kutumia Mtumishi Huyu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@aaronswai6935
@aaronswai6935 Жыл бұрын
Pasina shaka "TUMEKUBALIKA NA MUNGU"!. Mungu akiwa upande wetu hatutaogipa, mwanadamu atatufanyani? Mungu akubariki, akutunze na kukuinua zaidi Ambwene.
@vanessakimaro9528
@vanessakimaro9528 Жыл бұрын
Tumekubalikaaaaa🙌🙌🥳
@freddieM93
@freddieM93 9 ай бұрын
Tumekubalika; kutoka nchi ya utumwa, akatuingiza kwenye Ufalme wake✊
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 Жыл бұрын
Hata wakati hakuna mtu anayeamini utafanikiwa. Mtu mmoja bado yuko. Wanakuona kama nyota! Hata kila mtu anapokuita umeshindwa huyo mtu bado anaona mafanikio ndani yako! Mtu huyo ni mama yako. Upendo wa mama ni nguvu sana! Mungu awabariki kina mama wote mliopo! Mifuko yao isikauke kwa jina la Mungu.
@silyvya2408
@silyvya2408 Жыл бұрын
Tulipona mawifi ndoa zikiwa Tete.Bwana wangu Yesu mshindi,mwamba mwamini aaaaa
@user-gd5ge7oj9f
@user-gd5ge7oj9f Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA. Kweli tumekubalika na Mungu wetu. Hahaha.furaha iliojee jamani tuliondani ya KRISTO
@felisthermathew332
@felisthermathew332 Жыл бұрын
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao😊😊
@osiahlwinga2489
@osiahlwinga2489 Жыл бұрын
"...tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao, hatukupambwa kama wao tukapendeza kuliko wao... walidhani wanatukimbizs kumbe wanatusindikiza..."🔥🔥🔥🔥
@jael2450
@jael2450 Жыл бұрын
The words are so powerful
@mwalwibabaraka
@mwalwibabaraka Жыл бұрын
Naam songs tamu sana Mungu akubariki Yesu mwamba Yesu ngome Yesu aahaaaa Jiwe langu Haki yangu Yesu Yesu Yesu Tumekubarika na Mungu tuna nguvu za kifalme
@juliustinala4372
@juliustinala4372 Жыл бұрын
nani mwingine amekumbuka kitabu cha nabii Danieli hapa?......MUNGU azidi kubariki huduma yako Ambwene
@janety1933
@janety1933 Жыл бұрын
Mimi nimemkumbuka yusuphu alivyotupwa shimon
@furahagabriel4053
@furahagabriel4053 Жыл бұрын
Verse ya mwisho kwakweli
@williammbatilo4603
@williammbatilo4603 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi naitwa william Mbatilo naomba uangalie kazi yangu nitajisikia amani nafuraha kama utaangalia
@harumukizaD
@harumukizaD Жыл бұрын
Nyimbo yangu,inanifariji sana.Ubarikiwe Mtu wa Mungu.👏👏👏
@maggiemkombe957
@maggiemkombe957 Жыл бұрын
Walitubadilisha majina hawakubadili hatima......Utukufu kwa Mungu
@estonlukanga2942
@estonlukanga2942 Жыл бұрын
Barikiwa mkuu Hongera sana utukufu hadi utukufu
@super_boy_tz
@super_boy_tz Жыл бұрын
Hakika tumekubalika na mungu tunanguvu Zaki falme
@MERCYMUGO
@MERCYMUGO 11 ай бұрын
Kule walitusukumia ndiko mungu hupumzikia.... aaah I Love God! The enemy has no choice but to surrender!
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Жыл бұрын
Mungu akupe ufunuo zaidi uzidi kutubaliki mtumishi wamungu nyimbo nzuli sana ubalikiwe
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 Жыл бұрын
Atupambwa kama wao lakini tukapendeza kuliko waoa walitutupa shimoni tukaibukia Ikulu walikuwa wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza barikiwa Ambwene
@emmaandrew3298
@emmaandrew3298 Жыл бұрын
Utukufu kwake Yesu Hakika tumekubaliwa na Mungu
@nyamingoxamwita8431
@nyamingoxamwita8431 Жыл бұрын
Nabakiwa sana sana na hii nymbo u Barikiwa san🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@emanuelnicarios
@emanuelnicarios Жыл бұрын
Tumekubalika🙏
@peterernest
@peterernest Жыл бұрын
Hakika tumekubalika katika yeye, tu wake, miliki ya kifalme, na uweza wake umeandamana nasi
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Жыл бұрын
Wow wow wow mwe nasubiri kwa hamu kumbe tumekubalika isiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu wee tulikula mtama kwa Maji tukanawili kuwazidi nasubiri mbalaka Huu. Because ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@fredrickwachira
@fredrickwachira Жыл бұрын
Yaani huu wimbo hunibariki kweli kweli... Mungu akubariki pia Kaka
@siekumary4895
@siekumary4895 2 ай бұрын
Here from Tiktok and I'm really blessed 🙏
@kaleboemanuel7430
@kaleboemanuel7430 Жыл бұрын
Hujawahi fanya vibaya katika tasnia hii ya Muziki Wa Injili, nakukubari sana Mtu Wa Mungu, Hongersa sana na Mungu akubariki sana
@phellowmmbunitv6077
@phellowmmbunitv6077 Жыл бұрын
Feeling blessed with many others from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
@KibibiMtuhi-xg8ju
@KibibiMtuhi-xg8ju Жыл бұрын
Asante Wewe YESU ulietukubali na unyonge wetu ,Asante kwakuwa hatima yetu ni juu yako .”WALITUNADILI MAJINA HAWAKUBADILI HATIMA “”🙏🏼🙏🏼
@shila9887
@shila9887 Жыл бұрын
Huduma yako ni njema sana mtumishi,,bado ule 'jifunze kwa tai 'nasubiria kwa hamu..
@apostlekepha3328
@apostlekepha3328 Жыл бұрын
Tumekubaliwa na MUNGU MKUU MFALME WA WAFALME
@Would436
@Would436 Жыл бұрын
Mimi mwimbaji wanyimbo ya kidunia ila napenda kuwafatiliyaa mungu wabariki watumishi wamungu🙌🙌🙌🙌🙌🙌♥️
@arkei4003
@arkei4003 16 күн бұрын
Very soon this song will hit million views ❤
@faridaefesi3177
@faridaefesi3177 Жыл бұрын
hakika tumekubalika na MUNGU .Ubarikiwe sana Kwa utumishi huu Mtumishi
@noelayubu6728
@noelayubu6728 Жыл бұрын
Ameni Ameni Ameni MUNGU azidi kukutumia mtumishi nabarikiwa sana kupitia wewe
@moseswilliam1854
@moseswilliam1854 Жыл бұрын
your the best my brother, kwa ajili ya Utukufu wa Mungu Wetu Amen.
@davidngailo7966
@davidngailo7966 Жыл бұрын
Hakika tumekubalika na Mungu ,ubarikiwe Sana Mtumishi,zaidi Mungu aendelee kukutumia ili tuendelee kupata mafuta ambayo Mungu kayaweka kwako.💥💥
@rtlusungu
@rtlusungu Жыл бұрын
Hesabu 23:22 Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama nguvu za nyati. 1 Petro 2:9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; Daniel 1:12 Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe. 15 Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.
@rtlusungu
@rtlusungu Жыл бұрын
Zaburi 121:4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
@linusgodwin60
@linusgodwin60 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu aliyekupa karama hii, maana unatufanya hadi tuliokata tamaa kuamka na kujiona kuwa tuko na Mungu awezaye🙏
@emmanuelisocelsongolo8539
@emmanuelisocelsongolo8539 Жыл бұрын
Tulikula mtama kwa maji,tukanawili kuliko wao ,hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi Yao,walitubadili majina hawatukubadili hatima ,walipo tutuapa shimoni tukaibukia ikulu,.....
@mariamnjagi2493
@mariamnjagi2493 Жыл бұрын
I remember 2021 August 22 Sunday 10:30am when my dad developed angel wings ..... It was difficult for us , since no one was their for us . I miss you daily dad . Today I testify that God has been faithful to us . A blessing touching heart song .
@gilijacob3787
@gilijacob3787 Жыл бұрын
Hakika mtumishi Mungu aendlee kukutumia kwa nyimbo nzur za kutufariji na kututia moyo🙏🏻🙏💪🏻💪🏻
@alejikunetv4113
@alejikunetv4113 Жыл бұрын
Safi sanaa
@Lusekelo98
@Lusekelo98 Жыл бұрын
Waiting for it
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Tumekubalika na bwana ❤❤❤❤
@VictoriaAllen-fj1zf
@VictoriaAllen-fj1zf 11 ай бұрын
Sifa na utukifu nizako mungu
@josuekanku5400
@josuekanku5400 Жыл бұрын
I feel always strong by listening this song. I discovered that I'm the child of God. Oh lord let me feel your presence through this heaven message. We're proud to be in your kingdom lord
@wordsofhopewestpalzab4875
@wordsofhopewestpalzab4875 Жыл бұрын
Nawapenda sana ninyi wenye kuutangaza ukuu wa muumba. Ambwene, may God bless you and your mystery
@victorprinceh
@victorprinceh Жыл бұрын
Ninaposikiliza nyimbo kama hizi zilizojaa uwepo, nashikamana na ulimwengu wa roho nikitazama na kusema ukweli wa ukweli wa Mungu!! Hii ni Rhema tu na logos. Ninasadiki sana kwamba Mtu huyu amebeba mafuta ya kale, yale yanayokuja na lahaja ya bei ghali lakini inayobeba urahisi wa Kristo. Anatufunulia huduma ya Mungu, kwa hakika wimbo huu unahudumia moyo wangu. Neema ikuzidie ,katika huduma!! @ambweneMwasongwe
@paulmajo9870
@paulmajo9870 Жыл бұрын
Amina mtumishi MUNGU azidi kukubariki na kukuinua zaid katika huduma yako.
@jayzeem14
@jayzeem14 Жыл бұрын
Another great worship song Ambwene Mungu amekubariki sana endelea Kumtukuza Huyu Mungu wetu anaestahili utukufu na mwenye adhama! Bwana Yesu Asifiwe!!
@annejackline7352
@annejackline7352 9 ай бұрын
Not me discovering this song on TikTok....can't stop listening... Thank you for sharing with the world...
@user-dp6ze5gm4u
@user-dp6ze5gm4u 4 ай бұрын
Nimeupenda sana wimbo huu ila nimeskia mtumishi akiimba kama kurap sasa hiyo kidog haijanipendeza kidog Jaman kaka ang ambwene napenda Sana uimbaji wako naomba jamani kuchana usiiweke kwenye nyimbo yeyote adui asije akaona tunaiga kutoka kwake bali tumeridhika na uimbaji wetu nakupenda San umenibariki Sana.
@brendaaswani6463
@brendaaswani6463 3 ай бұрын
Hmm the righteous of the righteous😮
@ProphetDrAivan
@ProphetDrAivan Жыл бұрын
Na tutazidi kukubalika Duniani na Mbinguni. Shalom Shalom family of God.
@jessygoldnambua3590
@jessygoldnambua3590 Жыл бұрын
Listening to your songs, minister Ambwene, is like listening to prophesy right from the mouth of God. This song is my life story, to God be all the glory and honor 🙏
@mcibralipuli640
@mcibralipuli640 Жыл бұрын
Hakika tumekubalika na Mungu
@jemsedikabonge5786
@jemsedikabonge5786 9 ай бұрын
Chief God love brought me here.
@ingozescopion
@ingozescopion 9 ай бұрын
Hata mimi
@naomycherono5540
@naomycherono5540 Жыл бұрын
Powerful powerful song more blessings full anointing from heaven hallelujah may God lift you up in Jesus mighty am blessed 🙏🏻🙏🏻🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@godfreynghwasa6467
@godfreynghwasa6467 Жыл бұрын
Hongela sana ndugu yangu Ambwene nyimbo zako zinagusa Roho, zimebeba ujumbe wakutosha
@user-ih4jt4il7y
@user-ih4jt4il7y 8 ай бұрын
Tumebalikiwa sana 😮
@jesuslovesyou.repent.4473
@jesuslovesyou.repent.4473 Жыл бұрын
Messi wa gospel songs.. Nakubali sana nyimbo zako lakini ile ya live ina sound more spiritual and real ❤️❤️.. I'll keep that one..
@januarysambo2074
@januarysambo2074 Жыл бұрын
Mungu akubarki muno hakika tumekubarka
@sifamartin5651
@sifamartin5651 Жыл бұрын
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao, nguvu zetu zipo kwa Bwana🥳🥳🥳
@jael2450
@jael2450 Жыл бұрын
🥰🥰
@davidmtima773
@davidmtima773 Жыл бұрын
Powerfully. MUNGU aendelee kukutumia kueneza neno lake Kaka.🎵🎵Bwana wangu Yesu yesu aaaah.
@miriammaro4238
@miriammaro4238 Жыл бұрын
Balikiwa sana mtumishi wa MUNGU huwanabarimiwa sana kwa nyimbo zako
@mrchebii1849
@mrchebii1849 3 ай бұрын
Powerfull song hearing it for the first time and iam blessed
@mrchebii1849
@mrchebii1849 3 ай бұрын
Someone to comment also
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Hatimae tumekubalika video🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akubariki zaidi azidi kukuweka kwa ajili yetuu
@ADOKINGDIGITALSATELLITE
@ADOKINGDIGITALSATELLITE Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa na kuzitelemsha Baraka kupitia uwimbaji
@gregorygesusumsamba8528
@gregorygesusumsamba8528 Жыл бұрын
Sasa umefanya video Kari Sana MUNGU akizidishie ufike mbari
@chungabrand9838
@chungabrand9838 Жыл бұрын
Tulikula mtama kwa Maji na tukanawili kuliko wao🔥🔥🔥
@trinitytatu3
@trinitytatu3 Жыл бұрын
Huu NI wimbo wa kujitambua, Mimi ni nani ata adui aje nitamvunja vipande vipande .wimbo unaonipa ujasiiri ndani ya Kristo Yesu, kwamba aliyeniwezeaha kuyashinda Yale niliyopitia ataniwezesha nifike salama anakonipeleka. asante sana Mtumishi Ambwene.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@justinemagige1439
@justinemagige1439 Ай бұрын
Kule walipotusukumia ndio Mungu hupumzikia❤
@esperanceruziga1990
@esperanceruziga1990 Жыл бұрын
Amen kaka Mungu akuzidishiye mafuta ya upako. kweli wewe ni jembe la Yesu kristo
@josuekanku5400
@josuekanku5400 Жыл бұрын
Really this is the highest revelation from heaven. To be among the chosen people of God is a privilege. I listened this song often. Be blessed dear bro pastor. I'm josue from DRC.
@EmmanuelKwayu
@EmmanuelKwayu Жыл бұрын
Walitubalisha majina hawakubadilisha hatima... Tumekubalika na Mungu
@Mjenzi
@Mjenzi 10 ай бұрын
Hii ni Zawadi yako kwangu Mimi Mlengwa wa wimbo
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 Жыл бұрын
Huu wimbo nausikiliza mara kwa mara. "WALIZANI WANATUKIMBIZA KUMBE WANATUSINDIKIZA"
@neypaul6416
@neypaul6416 Жыл бұрын
Usiyelala ❤️🙏 walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza😃
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1 МЛН
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 231 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
The Mafik - Tunaanza na Mungu ( Official Music Video )
4:33
The Mafik
Рет қаралды 700 М.
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 1,1 МЛН
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,1 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 172 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 11 МЛН
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 59 М.
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 204 М.
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 219 М.