Waliowapa Nguvu Mashia hapa Tanzania, ni hawa hapa. Sh. Muhammad Issa

  Рет қаралды 24,496

OBA Online tv

OBA Online tv

Жыл бұрын

OBA online tv

Пікірлер: 242
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad Issa, Baarakallahufiyk, WEWE NI ASADUSSAHAABAH. Namuomba Allah AKUFUFUE NA ABUUBAKAR, UMAR, UTHMAN, WAKIWA NA MTUME SALLALLAHU ALAYHI WASALLAM. NIKO PAMOJA NAWE NA KILA AMPENDAE MTUME NA MASAHABA.
@sharifomar8005
@sharifomar8005 Жыл бұрын
Hunajipya ccm wewe mnafiki
@sharifomar8005
@sharifomar8005 Жыл бұрын
Hunakuratamoja fisafidi wewe
@AzjaZakwan
@AzjaZakwan 2 ай бұрын
Mbna aliy hujamtaja
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Allah akupe her dunia na akhera,mashia sio katika ss
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Жыл бұрын
Ahsante sanaaaaa sheikh Muhammad , Allah akujaze kila la kheri
@husseinbutoyi8675
@husseinbutoyi8675 Жыл бұрын
Mungu Akulipe sheikh wetu, ume play part yako, Umemnusuru ALLAH na bila shakka,ALLAH atakunusuru.
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
BAKWATA SI TOFAUTI NA MANASWARA NA MASHIA
@sizyametals7608
@sizyametals7608 Жыл бұрын
Mungu akulinde sheikh Muhammad issa
@royalhamisi4877
@royalhamisi4877 Жыл бұрын
Na Wala usijenge tabia ya kumuogopa mwanadamu
@allyabdi6165
@allyabdi6165 Жыл бұрын
Sio sahihi kusema amemnusuru Allah.
@samsiakassakangeta1780
@samsiakassakangeta1780 Жыл бұрын
Masha Allah sheikh Allah Akulipe kila la kheri! Sina mimi cha kukupa ila naimani dua hii ndio kitu pekee kwangu ninachomiliki nami nimekutolea!👊👊
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k Жыл бұрын
Shaykh hawa umekosea kuwaita hawa bakwata hawa sio masunni hawa na watu wa Bida'a sio masunni!; Allah awaongoze
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Shukran Shekhe nimekuelewa sana na hy Bakwata ni kweli ndo kawaida yao
@mkude
@mkude Жыл бұрын
MASHA ALLAH , SHEIKH ALLAH ATAKULIPA
@anwaraliakrabi554
@anwaraliakrabi554 Жыл бұрын
Ahsante sheikh mohamed issa umefikisha ujumbe ,
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Allah akuhifadh sheikh letu kwa kusimama na uislam dhidi ya maadui wa uislam na waislam na vibaraka vyao wakina bakwata Allah atawadhalilisha
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Nimekuelewa sheikh. Ni kweli wao watukane maswahaba lakn hawavunj aman lakn wanaowatetea maswahaba na ummul muuminiina ndo wawe wanavunja aman
@binmasoud6237
@binmasoud6237 Жыл бұрын
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kutia propaganda aa kuvunja amani ila sisi alhamdullilah tumeshaujua ushia kwamba sio waisalamu bali ni wavunjani wa uislamu maana mnawatukana maswahaba na wala hamna shida na wakiristo coz ni wenzeni wale
@mbarouksaadhussein290
@mbarouksaadhussein290 Жыл бұрын
Allah akubarik Shekhe MUHAMMED.
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp Жыл бұрын
Allah akuzidishie hekma🤲
@seydouside4081
@seydouside4081 Жыл бұрын
Allah atujalie tufetukiwa waislam..inshaallah
@kondesaidi5728
@kondesaidi5728 Жыл бұрын
Shekh, ww ndo umenifichulia mashia hasaaaa toka nikufuatilie ww ndo umenijuza ushia hasaaaa.🙏🙏🙏🙏
@omaryiddi7454
@omaryiddi7454 Жыл бұрын
INNA LILLAAH WAINA ILAIH RRAJIUUN,
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 Жыл бұрын
Mashekhe acheni njaaa iteteeni sunna mashia ni washenzi washenzi Washenzi.
@husseinbutoyi8675
@husseinbutoyi8675 Жыл бұрын
فتح الله عليك شيخنا، أسأل الله أن يجعل جزاك في ميزان حسناتك يوم القيامة.
@jumaomary8782
@jumaomary8782 Жыл бұрын
Nimemsikia sheikh, anauwezo Mdogo Sana, anasema mashia wanatukana Sasa mbona hasemi hayo matusi.
@ayuburashid9083
@ayuburashid9083 Жыл бұрын
Allah akuwafiqishe sheikh ktk manhaji ya haqi na kalima hii allah akulipe kheri umesema haqi allah akulinde na vitimbwi vya shia
@ayuburashid9083
@ayuburashid9083 Жыл бұрын
Allah akuwafiqishe sheikh ktk manhaji ya haqi na kalima hii allah akulipe kheri umesema haqi allah akulinde na vitimbwi vya shia
@sharifomar8005
@sharifomar8005 Жыл бұрын
Wewe nishe ama mjiga
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 Жыл бұрын
Jazaaka Allaahu Khyra, Aamiyn.
@Bilal70965
@Bilal70965 Жыл бұрын
BID’A. YA, MASHIA. Baadh: ya mashia kwa kweli, hawaizingatiy! Hii Qur'an. Tuta jiuliza haya; maombolezo ya kujidhuru na visu hadi kujitowa na damu eti kwa sababu ya kifo cha mjukuu wa Mtume (s.a.w) Hussein (r.a) Wame yatowa katika kitabu gani? Maana: katika Qur'an tumesha fundishwa namna ya kufanya pindi tunapo patwa na msiba au, kifo na mengineyo. Anasema! Allah: (sw) na wapashe habari njema (waislam) wanaosubiri. [kuchukua hatuwa yoyote] Ambao: uwapatapo msiba (wowote wawo); husema! Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea. [Sio kujidhuru na visu na kujitoa damu na kusema maneno yasio mpendeza Mola wetu. acheni hayo nyie, mtakosa barka za Allah: na rehma zake. [Uongofu Sahihi ni kusema tu, INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUN.] Hao, (ndio) juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao na rehma, na (hao) ndio wenye kuongoka. [Qur’an-2:155/157] [Walio uwawa wema ni wengi tu jaman, kuna...] 1-Habil. (r.a) 2-Yahya. (a.s) 3-Zakaria. (S.w) 4-Ali. (r.a) 5-Hassan. (r.a) Na kadhalika. [Bona hao hatuoni mnavyo jidunga visu na kujitowa damu kwa ajili yawo kwani wawo hawa kufia haki? Aaah! bana, achenu uzushi nyie. Anasema! Allah: (sw) Wala! Msiseme kuwa wale walio uwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu ni wafu (laa hasha!) bali hao ni wahai lakini nyinyi hamtambui. [Qur’an-2:154] [Mnajidunga dunga tu visu vya bure na kujitowa damu za kinafiki.]
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Nimepima nikaona wengi ktk Waislam hawawajui mashia, na nahisi bi kwa sbb Mashekhe hawajaamua kuwazungumzia mashia khasa walivyo, itikadi zao potofu na ibada zao feki za jisaniisanii tu, na dini yao ya mchongo. Hivyo basi Mashekhe kazi ianze ya kubainisha maovu ya na uadui wao kwa Waislam na zaidi Ahlissunnati Wal-athar.
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Sahih
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 Жыл бұрын
Safi sana uyu sheikh ,yuko wapi? Sh sema ucjali maneno ya wapotoshaji sote tuko pmoja nawe kuhusu ubabaifu w mashia na washirika wao
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 Жыл бұрын
Mufti achana na mashia,
@salimuismaily693
@salimuismaily693 Жыл бұрын
MASHEIKH MNAGOMBANIA VITU VYA AJABU SANA HAYO MNAYO GOMBANIA HAYASAIDII CHOCHOTE SPIRITUAL (KIROHO) NI UJINGA MNAFANYA MASHEKHE MNAFANYA DINI INAONEKANA YA AJABU SANA
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Hawagombani ila wantoa elimu Kwa Uma wewe kama unaona ugomv shia
@athumansimba115
@athumansimba115 Жыл бұрын
Safi sana sheikh, haqi lazma isemwe bila kujali ni nani anaeambiwa, Mashia sio waislam Tena Bora uwe na ukaribu na wakiristo kuliko hao Mashia Laana tu llah
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Ukijuwa Ushia utafurahi. Lakini kwaza tafuta kama Mtume Alichagua HALIFA
@binhussain3445
@binhussain3445 Жыл бұрын
@@athmanidi7388 Wewe ni shiaa??
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema allahuma aamiin
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Жыл бұрын
MashaAllah Sheikh MUHAMMAD isa Tupo pamoja na nyie
@mohammedjumaa8038
@mohammedjumaa8038 Жыл бұрын
Mashaa Allah Tabaraka Allah Shukuran Jazillah
@ibrahimuhincha1457
@ibrahimuhincha1457 Жыл бұрын
Shukran sheikh hawa mashia sio katika sisi
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kila mwenye kutana yupo mbali na Rehema za ALLAH SUBHANAHU WATAALA.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam Amtuachia Uislamu,tujiandae kwenda kujibu maswali:sijui mimi wahabi,mimi twariqa,n.k.Leteni aya au hadithi kuhusu kujiita kinyume na Uislamu.
@ramadhanmwinyi8856
@ramadhanmwinyi8856 Жыл бұрын
Mashaalah Allah akulipe
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
ahsante shekh
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Masheikh wa Bakwata ni munafiqiyna baina dhaalika, laa ila haulai wala ila haulai.
@abuulukman4394
@abuulukman4394 Жыл бұрын
Safi Sana shekhe
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Mashehe wa zanzibar Allah awabarik wametulia
@kondesaidi5728
@kondesaidi5728 Жыл бұрын
🤣
@kondesaidi5728
@kondesaidi5728 Жыл бұрын
Waache waendelee kula urojo
@kichachu6391
@kichachu6391 Жыл бұрын
Wametulia kuhusu wanaomtukana mke wa mtu na kukufurisha maswahaba zako pole ndugu yangu hiyo sio sifa
@binbaya923
@binbaya923 Жыл бұрын
Maa shaa llah
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Muanzilishi wa Ushia NI Allah SWT anamwabia Mtume Muhammad s,a,w,w hai kwa muumini ambaye Mwenyezi Mungu na MTUME wake wameamuwa Jambo hakuna hiyari
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Shenzi ww allah kaanzisha ushia wapi
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
@@pavillioncry5241 Nini maana ya kumfata Mtume ama Neno kufuata ina maana gani. Bila shaka mana ya fata NI SHIA
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
@@pavillioncry5241 NI na umri wa miaka 69 na unanitusi mshezi
@ramaspain5024
@ramaspain5024 Жыл бұрын
@@athmanidi7388 unaweza kuwa na umri lakini hovyo
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Lete ushahidi wa Allah kwa kuanzi ushia wacha ukafiri wako wewe
@answaryhussein256
@answaryhussein256 Жыл бұрын
Wew siyo Ahlu sunnat waljamaa wew ni muhabi kwa hiyo wew na mashiya mko sawa tu
@gulamomar6394
@gulamomar6394 Жыл бұрын
Hongera sana 🙏
@mzeewa6999
@mzeewa6999 Жыл бұрын
kwanza mashia wabaguzi wahindi wanasali mjini weusi wanasali kigogo dini gani hiyo .arusha wahindi metropole weusi wanasali pangani wabaguzi
@mahdy011
@mahdy011 Жыл бұрын
Kabisa umenena sheikh ni kweli
@jumasalafi9886
@jumasalafi9886 Жыл бұрын
Fikisha ustadh hivyo hivyo
@khalefally9818
@khalefally9818 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah akupe nguvu na afya njema na ujasiri huwo huwo ,
@itangishakasaidsalumu4307
@itangishakasaidsalumu4307 Жыл бұрын
Sheikh Allah akulipe na namuomba akutizima jico la huruma wewe n'a waislam wote wenye msimamo wa kuteteya dini yake insha'Allah. Nashukuru sana sheikh wangu naridhika moyoni mwangu kutoka Burundi naomba izidishe clips zakutuelimisha ya sheikh
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Жыл бұрын
Bakwat ndiyo nini mbele ya Allah namtume wak Mimi siamin wal kuijuw kuwa kuna Bakwat
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Hogera uisilamu haujafundisha uoga ila umefudisha adabu na kusema kweli mahali inapo takikana kusema
@alisalum8908
@alisalum8908 Жыл бұрын
PAMBANENI NA USHOGA HALI NIMBAYA KIZAZI KINAANGAMIA
@kichachu6391
@kichachu6391 Жыл бұрын
Ushoga ni lazima upigwe vita lkn hilo hlizuii kuwatahadharisha waislamu kuhusu mashia ambao wanawakufurisha maswahaba na kumkashifu mkewe
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Ali. fahamu kua (ushia) ni hatari ktk dini hii kuliko ushoga
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Bakwata kweli sio
@KabandaIssa
@KabandaIssa 16 күн бұрын
Mimi Sina dhehebu lolote zaidi ya lah illah illa allah hayo mengine mtajijuwa wenyewe ! But mimi naona hafadhali hata hao mashia kuliko nyie masuni Saudia huko bar zinajengwa kila siku mbona hamlisemi toeni njaa zenu huko yote kwa yote tutaonana kwenye uwanja wa hukum
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Kwanza mnamtaka mujuwe Shiwapo makund 23
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 4 ай бұрын
MASUNI HAWAN AKILI
@khalidshabanisaidi3681
@khalidshabanisaidi3681 Жыл бұрын
Mungu akulaaani eweee Mzee wa kiwahabi
@kichachu6391
@kichachu6391 Жыл бұрын
Laana za Allah kwa wanaowatukana Maseahaba na kumkashifu wake za mtume
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Elewa kua hiyo ni dua
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Hafai
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Tuna Maimamu. ALI bin Abitwalib Hassan, Hussen zainabidin Muhammad Bakir Jafar swadik etc
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Yani maimamu watatu tu hiyo ndiyo dini?
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
We chenga unafuata upepo
@fikiriniadam301
@fikiriniadam301 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad Issa umesema Mashia wanamuabudu Hussein hebu eleza ushahidi tupatefaida siokueleza hoja za watunaakilizao
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Wewe husiki wala huoni sasa utaonyeshwa ushahidi gani huo ukatao uamini? Baki na ukiziwi wako
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 Жыл бұрын
Jembe
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 Жыл бұрын
Shekhe nipo pamoja nawe ktk hakki unayosema nikweli kabisa.
@alisalum8908
@alisalum8908 Жыл бұрын
KULIKONI??
@azizbashir
@azizbashir Жыл бұрын
MUNGU HATAKULIPA SHIA NI MWIZI AMBAYE YUKO NDANI YA NYUMBA NA FU YA NASWRA UKIMFUNDISHA BIBBLE ANAMKUBAL MUNGU MOJA KULIKO MASHIA AMBAYE WANASEMA KWAMBA HUYU IMAMU WA MWISHO IMAMU MAHADI KINYESI CHAKE SIO NAJISI WAKATI MTUME WETU AKIJISAFISHA NAJISI LEO IMAMU MAHADI HATAKUWA BORA KULIKO MTUME MUHAMMAD RDH HAWA NI MASHAI NI MAHADI WA KUBWA WAISLAM NA BAKWATA NI MAHADUI WA WAISLAM WA TANZANIA
@saidishalako
@saidishalako Жыл бұрын
Hilo jikofia la Al Hadi limemkaje? La Catholic ama?
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Shehena TUKO NA MISIKITI YETU NDUGU ZANGU . Na walimu wetu
@salmaabdallah1362
@salmaabdallah1362 Жыл бұрын
Sasaiv ukitaka kutrend ongeleaaa ushiaaa 🤣🤣🤣mashekh wengine ata walikuwa awajulikanii lkn sasaiv bhn Alhamdulillah bhn mkono unaenda kinywani mungu angemshusha siku moja malaika wakee aje aondoeee hiizi vituu atudhihilishiee ukwel kwa sisi vizazi vya 2004 tusiojuaa kitu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Kweli kabisa maana mashia walikuwa hata hawajulikani Tanzania zilivyoanza kuja hela kutoka Iran ndo balaaa,
@ibrahimuhincha1457
@ibrahimuhincha1457 Жыл бұрын
Kwani Quran si ipo mtume kasema mpaka kiama yatakuwepo makundi 40 nakundi moja tu ndio litakua sahihi
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
@@ibrahimuhincha1457 shekh makund 40 ktk hadith gani?
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Tanganyika baadhi ya mashehe si mashehe ni watafuta dunia
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Tanganyika ndo wapi
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Жыл бұрын
Wasikilizaji muwe Malini na upotoshaji mkubwa wa mitandaoni. Elimu ya Uislamu ni Taaluma na kwa hiyo ujipime ujuzi wako binafsi kabla ya kuunga au kutounga mkono. Kuna mengi wasiyoyajua waislamu wa kawaida.
@athumanmeru2153
@athumanmeru2153 Жыл бұрын
wewe si muislam wakawaida???
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Tupomakini Sana ndio mana tunamsikiliza kila shekh tunasoma uislam kupitia mashekh wewe kama Una shekh wako Hilo ni tatizo
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 Жыл бұрын
Au mufti naye kawa shia
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 2 ай бұрын
Baba vipi surrat kahf ikowapi ? Mbora wa mwenyezimungu ni mchamungu jipinde na ucha mungu haya yote yataisha mtizame hizl ana kila aina ya ufumbuzi kwa ilimu na mbora wa mwenyezimungu ni mchamungu haswa kwe ilimu usitaje kabisa madhhabu taja dini islamu
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Kuna watu wanaswali nyuma yako. Mtume Muhammad s,a,w,w Amesema alama za MTU mnafik NI tatu
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Huja eleweka ulicho kiandika
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
We chenga kweli
@khalidshabanisaidi3681
@khalidshabanisaidi3681 Жыл бұрын
Hauna elimu yoyote juu ya ushia unaropoka tuu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
We unayo kuhusu usuni
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Жыл бұрын
Huyu wahabi mzigo
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Hakuna haki ya kuwakumbatia mashia wala mawahabi watu watarika tume kufanini tunaletahaya?
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
LAKINI HII INALETA FAIDA GANI KULETA MVUTANO KWENYE MITANDAO, KWANINI MSIHEMIANE MKAKUTANA NAKUZUNGUMZA, KWANINI MSIONYESHE KHESHIMA KWA MUFT AMBAE MKIWA NA SHIDA ZENU MNAENDA KUMUOMBA MSAANDA...
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
nduguyangu faida ni kubwa sana kama utaangalia clp Kwa (kujifunza) utaelimika
@selemanisalumusalumumarko1274
@selemanisalumusalumumarko1274 Жыл бұрын
Tatizo viongozi wenyewe hawana elimi kubwa ndio shida inaanzia apo
@pkjaffarsadiq7052
@pkjaffarsadiq7052 Жыл бұрын
Wachana na ushia hakuna elimu uko nayo washia Wana elimu ya kweli wacha kuropoka rudi shule
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Kumwendea kinyume mkeo ndio elimu?
@KakaKaka-pr4bn
@KakaKaka-pr4bn Жыл бұрын
Masikini anaitwa shehe Mohammad Issa hajui hata kiarabu kinasemwaje eti أشهد أن عليُ ولي الله hajui hata إن inafanya kazi gani kwenye jina pole sana sheikh njoo usome kiarabu kwa Mashia. Wewe siyo Ahli Sunna wewe ni wahabi wacha kujipachika majina ambayo siyo yako toka lini wewe ukasoma maulidi wapi ulisoma maulidi wewe wacha kudanganya watu. Ni kazi yenu kupora misikiti ya watu jengeni ya kwenu. Mwaka huo wa 1990 Arusha nilikuwepo mlikuwa mnateka msikiti wa masunni, sheikh Siraji na sheikh Mahmood ndiyo waliowatoa kamasi msikitini na wala siyo mashia. Kumbuka yule mzee wa kisomali aliyekuwa anahifaďhi funguo za msikiti alikuwa anafanya nini, hakuwa anakula mirungi msikitini? Utawadanganya watoto waliozaliwa juzi na jana lakini ukweli utabaki ukweli. Rudi tena ukasome ili uitwe sheikh wailaa wewe ni mshika viatu tu.
@mkijilukali2010
@mkijilukali2010 Жыл бұрын
Wewe ni mjinga uelewi chocho nimchochezi
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Sisi hua tunaelimika kupitia hawa unaowaita wachochez
@answaryhussein256
@answaryhussein256 Жыл бұрын
Tokea lini muhabi mujassima awe ni Ahlu sunnat waljamaa?acha kudanganya wew
@ismailnasibu49
@ismailnasibu49 Жыл бұрын
Kila mnapo zidi kuwa raddi mashia ndivo wanavo zidi kuongezeka kila kona ya nchi, wengi wanapata fursa ya kuusoma ushia na kuuelewa vizuri. Mambo ya kupiga kelele mitandaoni hayana maana, ili tuwafanye watu wasiwe mashia ni kudeal na madrasa zetu kuwaandaa vijana wa kizaz cha badae, hawa mashia wanatumia mantiki kubwa katika tabligh zao naamini kamwe hamtawaweza maana tayar washajizatiti katika elim kuanzia madrasa zao, hauza zao miskiti yao na waumini wao wanazid kuongezeka,
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Unaongea upuuzi hawatawaweza vipi
@jumaa2856
@jumaa2856 Жыл бұрын
Toka awepo muft huyu wa ss mtihan sn
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Hicho kikundi cha bakwata usikute tayari wamesha hongwa nama shiha🤮🤦‍♀️ kikundi hicho cha bakwata mi sikikubali na kwenye uislam hawanitowi na hawana uwezo wakunitowa
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abuusaid3297
@abuusaid3297 Жыл бұрын
Ajabu iliyopo, kwani viongozi wabakwata wanachaguliw nanani na wanawakilisha dinigani?,mbona viongozi wadini zingine wanachaguliwa kupitia dinizao,nasis waislam tuchague viongozi wetu watakao tuongoza kwauadilifu!!
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Abuu saidi Huwezi kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Bakwata bila ridhaa ya serikali
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Жыл бұрын
Nchi nimaliyako?kwani hao mashia sio waTanzania
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Wanao kufuru siyo wenzetu ndivyo anavyomaanisha kama hukumwelewa
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Elewa mada usikurupule,
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 Жыл бұрын
Kwa utanzania ni wananch lakini ktk (uislam hawamo kumbuka ALLAH ameahid kulinda dini yake mwenyewe
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Жыл бұрын
Mtaje shia hata mmoja alie mtukana sahaba.
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Rejea kwenye vitabu vya kishia utapata habari zote
@yassinhamisi922
@yassinhamisi922 Жыл бұрын
Usipinge kuwatetea mashia maana huwajui ila pitia vitabu vyao utawajua. Ukiwauliza mashia kuhusu kuwatukana baadhi ya maswahaba na mengineyo mengi hawatokwambia ukweli kwa sabb wanatumia (takiya) wanajificha ila huo ndo uhalisia.
@binmasoud6237
@binmasoud6237 Жыл бұрын
Rejea tafsiri ya shekhe wako mayunga matusi kama jarida la wiki
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Unafuata upepo
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Жыл бұрын
Mm nimeishi na waislam wa kutoka sehemu mbali2 Duniani. Yaani tena hawapendwi kutokana na sera zao za kijinga za kutukana na wanawaita makafiri wazi bila ya chenga
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
sijakuelewa hukutaka wawepo nchini toa hoja ya kielimu na siyo kuweka chuki . wewe unataka tuwe kama Yemen wanavyopigana sababu ya marekani. sijui kama unajua . mashia watapata watu kama mawaidha yenyewe. kama wahabi ndiyo islamic states ni magaid
@hemedali4910
@hemedali4910 Жыл бұрын
Rudi ukasome tena wewe,ushia upo to enzi za Imam Ali(a.s)Hiyo histori yako ianzie baada ya kifo cha mtume,elezea yaliotokea yooooote,mpk tufike hapa leo.huna ilm wewe,unabwatabwata tu...
@aishahassan3214
@aishahassan3214 Жыл бұрын
Shetani mkubwa ww shetani amekutia upofu huoni wala husikii ndo maana unaona shekhe anabwata
@hemedali4910
@hemedali4910 Жыл бұрын
@@aishahassan3214 muulize sheikh wako akwambie chanzo cha kuzuka haya matha"habi!?hawa wanaotukanwa leo mashia wapo toka enzi hizooo.tena kwa faida yako tu,hata hawa maimam wetu(Hanafi na malik)wamesoma kwa imam wa shia jaafar...ndio naama namwambia huyo anapayuka tu!!hata taarekh haijui huyo.
@hamiduathumani985
@hamiduathumani985 Жыл бұрын
Muft Ni mwanachuoni mkubwa Sana kwa namna Mimi nilivyosikia kwa wanachuoni wa kisunni Ila kwa hili Kuna jambo linawatafuta mle ndani. Mimi naona tuungane na wenzetu wahabi dhidi ya Shia tukishamaliza huu mjadalla dhini ya makafir Shia,turudi Sasa mezani tuongee na waislam wenzetu (wahabi)tujadili tofauti zetu ndogo za maulid na hitma.
@hamzamaarufu1358
@hamzamaarufu1358 Жыл бұрын
Kusoma muhim sana kk
@hamiduathumani985
@hamiduathumani985 Жыл бұрын
@@hamzamaarufu1358 ndio Ila Soma uombe mungu akujalie msmamo usiwe Kama muft
@pilimohammed3163
@pilimohammed3163 Жыл бұрын
Duh mashekh mnaaibishana hivi mnaangalia ni jopo gani linawaandama mashiaa sijui mnachokihitaj ninini kwa baadae yaa rabbywasowaislam wanawasomaje viongozi wa kiislam jaman siiko lakum dinu kum jamani
@zainabonlinetv2210
@zainabonlinetv2210 Жыл бұрын
Huyu hana hojja anapiga kelele tu
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Hoja wanazo kina Jalala na mashia kama nyinyi ambao hampigi kelele kazi yenu kutukana maswahab
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Wafuasi wa ushia ni wakristo pure kwani hata vitabu vya kishia hamvisomi.
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Pumbavu Sana huu jamaa...
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Hatushangai kutukana mmeleleka hivyo,mnawatukana maswahaba na wake za mtume s a w.
@gessanabuu2099
@gessanabuu2099 Жыл бұрын
Mpumbavu ww na ushia wko.
@ibrahimlugaila5606
@ibrahimlugaila5606 Жыл бұрын
Ikiwa mumeweza kuwatusi maswahaba sembuse watu baki!!
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Mpumbavu ni wewe kujibu hoja siyo mnatukana
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Nani muanzilishi wa Sunni ? ? ? Imam Shafi , Malik, na Hambari , na Hanafi. Na MAWAHBI NI nani
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Babu nenda kale wajukuu anacha na mitandao utakuja kutukanwa
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Unafuata upepo
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Na kama Pepo NI yalo Basi hatuji
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Hiyo pepo inamasharti si kwa matashi yako
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Жыл бұрын
Tafuta nchi yako uwanzishe UWAHABI wako. Hata kwenye chimbuko la UWAHABI wenyewe uislamu umewashinda tumeona yanayo fanyika huko saudia itakua wewe hapo Tanzania huna uwezo wakuumaliza ushia utaucha kama ulivyo. Maana hata huko uliko chukulia hiyo itikadi mashia pia niwengi mnoo madina qatwif ahswa. Hata makka wapo we vipi.
@zubery9379
@zubery9379 Жыл бұрын
Mazungumzo yako yamemlenga mufti moja kwa moja kana kwamba unavita nae tusio ijua,kilichofanya mm nikushangae ni kusema muft kaweka kemeo kwa kutetea mashia ,mm sikuona hiyo clip ,lkn ninayo clip ya samaha mufti akikemea mashia na kuwaambia mashekhe wasiache kuwajibu na kuelemisha watu,tena siku anasema hayo na mm nipo,na clip ninayo,huon nakuona muongo?tunaomba ushahidi wa hizo clip ya mufti akitoa kauli ya kua wapinga mashia wanavunja amani ,kama huna usifitini mashekhe kwa kutumia dini.
@mbarakbinzoo
@mbarakbinzoo Жыл бұрын
Clip ipo anayozungumza shekh kweli
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Inafika wakati waisilamu tuwe wakweli mfuti pya nimbinadamu ana weza akakosea ila mutu mwema niyule ambaye akikosea anakubali kukosolewa kusemakweli nimeona clip ambayo ipo niya shekhe wa mkoa wa dareselamuakiwauliza mashia kama kweli wanatukana maswahaba swali ni ukiletewa mwizi alafu umuulize eti kama ameiba ww unategemea jibu gani kama siyo kukataa ila kwaroho yake anajua anacho kifanya cha musigi tufanye utafiti alafu badae jibu liparikane bila kuwa na uoga
@mbarouksaadhussein290
@mbarouksaadhussein290 Жыл бұрын
We ndugu ni shia nn? Shekhe Khamis, Shekhe Abu Idd amewatetea tafuta izo clips utavipata.
@scotatv2442
@scotatv2442 Жыл бұрын
Zubery we ni pumbafu mkuu.
@kondesaidi5728
@kondesaidi5728 Жыл бұрын
Bado hujamuelewa huyu shekh, Yuko sahihi Sana saaaaana tena Sana?
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Huyu ni gsidi kabisa anachochea ubaguzi na fujo nchini...
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Katika suala la kuwatukana masahaba katu hatutokaa kimya, nyie si lolote si chochote kwa masahaba na kama huo ubaguzi ni nyie mnaobagua masahaba ikisha mnajisema ni waislamu, mnawajua masahaba nyie?? Mtume makafiri walitaka kumuua mnajuwa masahaba walimlinda vipi, wewe unaitwa muislmu unajuwa kuwa wao masahaba ndio walioulinda uislamu, unajuwa masahaba walipoteza maisha yao kwa kuusimamisha uislamu? Nyie vipi bhana ikisha mkiambiwa mnaleta zenu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Mnao watukana maswahaba nyinyi ndo mnasababisha Fujo, sheikh yupo sawa
@khaalidi3503
@khaalidi3503 Жыл бұрын
Acha upumbavu unajua kuchochea fujo na ubaguzi kama hutaki ubaguzi nenda kanisani au nenda kaabudu ng'ombe na kama baniani ili usiwe mbaguzi
@khaalidi3503
@khaalidi3503 Жыл бұрын
Eti ubaguzi kumbe kuna watu vichwa vyao kama box tupu
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
@@khaalidi3503 naam nakukubali
@shamterashidi726
@shamterashidi726 2 ай бұрын
Waislamu tuunganishe nguvu zetu dhidi ya maadui zetu. Farka ya Shia na Sunni inatudhoofisha.
@abdul7935
@abdul7935 Жыл бұрын
😅POROJO NI NYINGI KULIKO ELIMU.. MZEE ALLAH AKUONGOZEE.. VITABU VYENU VIMETHIBITISHA KUWA MUAWIYYAH ALIKUWA AKIMTUKANA IMAM ALLY AS MTOENI NA MUAWIYYAH KATIKA DINI.. IBN TAYMIYYAH PIA KATHIBITISHA KATIKA KITABU CHAKE CHA MINHAJU SUNNAH KUWA WENGI KATIKA SAHABA NA TABIINA WALIKUWA WAKIMTUKANA NA KUMPIGA VITA IMAM ALLY MBONA HAMUWATOI KATIKA UISLAMU ?? TUMIENI AKILI NYIE ACHENI KUKURUPUKA..
@KakaKaka-pr4bn
@KakaKaka-pr4bn Жыл бұрын
أبهذا السفلى neno hili unamuambia mufti wewe mrangi usiyojitambua
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Neno hili mnaambiwa nyinyi mashia mnaowatukana maswahaba mnaosababisha fujo
@zainabonlinetv2210
@zainabonlinetv2210 Жыл бұрын
Hana lolote ni kama kasuku
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Usiyejitambua ni wewe uliyedangawa ukafua mkumbo kwa ajili ya nyama ya mbuzi
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Shia ni kikundi cha washenzi
@daudkindy8062
@daudkindy8062 Жыл бұрын
Huyo sio shekhe wamchongo wala sio wale mashekhe washirikina
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 Жыл бұрын
Wewe sheikh Muhammad issa ni pimbi kabisa. Hujui unachokisema. عليك أن تكون واعيا. من قال لك أن الشيعة يعبدون الإمام الحسين؟؟
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g Жыл бұрын
Mashia munaongopewa sana ....vitabu vyenu vinawabainisha ila kwa sababu ya ujinga uliowajaa katika kupenda mut'a, khumus,i'aaratul farji na nyengine kama kuhalalisha kuingilia wanawake kinyume na maumbile hivi hiii ndio dini؟!!
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g Жыл бұрын
Mcheni ALLAAH ushia ni ukafiri zaidi ya ukristo na uyahudi
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 Жыл бұрын
@@user-bk4dz1sj3g abuu taimiya, ukafiri wa Mashia umetoka wapi?? Na nani aliyekupa ruhusa ya kuwakufurisha?? Unachokisema au unachokifanya utaulizwa na Allah kesho siku ya kiyama.
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 Жыл бұрын
@@user-bk4dz1sj3g Mashia ni watu wa qibla, wakristo ni ahlul kitaab. Vipi shia wawe makafiri zaidi ya wakristo?? Hivi hujui kuwa Mashia wanasema kuwa Allah ndiye Mungu wao?? Na Muhammad bin abdillahi ndiye mtume wao?? Vipi wawe kafiri??
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 Жыл бұрын
@@user-bk4dz1sj3g wewe waonekana kuwa umechizika, wafuata kauli za majihabi.
@KakaKaka-pr4bn
@KakaKaka-pr4bn Жыл бұрын
Kama mashia walianza kusikika mwaka 1979 je mawahabi wameanza kusikika lini? Kasome tena historia ya waislamu Tanzania, mashia wapo Tanzania kabla ya baba yako na babu yako kuzaliwa. Waislamu wakwanza walioingia Tanzania na kuleta uislamu miaka zaidi ya mia tisa iliyopita ni mashia, wewe Mohammad Issa na wenzako mtabaki ni mawahabi tu ambao mnapingana na uislamu sahihi wa Bwana mtume. Serikali ya Tanzania inajua kuwa nyinyi ni magaidi mnajua serikali imepambana na nani kule kibiti na kule Tanga na kule Arusha kwani wale walikuwa ni Mashia? Tunajua nini mmefanya kule syria Iraq Lebanon Yameni Afghanistan na kwingineko Duniani ni mawahabi. Kelele zote hizo unapiga ni uwahabi unakusumbua. Wewe siyo sunni wal jamaa wacha kujipachika jina sio lako wewe na mziwanda na wengine kama nyinyi ni mawahabi tu. Nyinyi mnahatarisha amani kama mlivyohatarisha amani za nchi za Syria na Iraq. Mashia hawawatukani maswahaba bali kuna vitabu vya waislamu vikiwepo Bukhari na Muslimu vimeandika baadhi ya mambo yaliyofanywa na maswahaba ambayo ni nje ya uislamu sahihi. Na huyo ndiyo msimamo wa Mashia.
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Acha dawa ikuingie, eti mashia hawawatukani maswahaba utamfanyia nani taqiyyah sasa hivi waislamu karibu wengi wameshaujua ubaya wa mashia na wanazidi kuujua,jalala alivosema eti Omar r a, alivyokwenda kuvunja nyumba ya Fatma mtoto wa mtume akagonga mlango ukamuangukia na mimba kuharibika, eti na mtoto alikuwa apewe jina LA mohsin sasa wakati huo sijui walikuwa wanajuaje mtoto aliekuwepo tumboni,hoja yangu huoni hapo mnawatukana maswahaba.
@mirajiwenge
@mirajiwenge Жыл бұрын
Wewe 0+0=0 pole sana matusi + matusi= mitusi
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 Жыл бұрын
Ndugu zangu suara la kutukanwa maswahaba hili halina wahabi wala salaf wala sufi wote sis ni Ahlusunna waljamaa kwahyo nilazima kuatetea maswahaba
@yusuphsasamalo504
@yusuphsasamalo504 Жыл бұрын
Hajui historia mashia wameanza kuingia miaka mingi sana
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
We pungu kweli
@abuulukman4394
@abuulukman4394 Жыл бұрын
Safi Sana shekhe
@saadallah6287
@saadallah6287 Жыл бұрын
Napitia comenti wapo mashia watatu wanatuma sms mala nyingi kutetea ukafiri wakishia ili waonekane wengi sheikh huyu yupo sawa
@jaffermukhtar1326
@jaffermukhtar1326 Жыл бұрын
Kapolei huyu, HATA kutamka Inna lillah shida pole ,
@zainabonlinetv2210
@zainabonlinetv2210 Жыл бұрын
Alisha pitwa na wakati anadhani kipindi hiki ni cha kubwabwaja kama enzi hizo kipindi hiki ni cha elimu kauze Maji kondoa au kalime mahindi kibaigwa da,wah imekushinda hata kiarabu hujui Wewe mufti utamuingia wewe simbeba viatu tu Hupati kiki
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 Жыл бұрын
Mufti ana elimu gani asimuingie si watu wote tunamjua kama mgaga na elimu zero
@waziriabubakari8677
@waziriabubakari8677 Жыл бұрын
Wew bado uko gizani na kama mjinga ni mjinga kwekweli elimu ya Shekh Muhamadi Issa na mufti mufti hana elimu
@waziriabubakari8677
@waziriabubakari8677 Жыл бұрын
Shekh Muhamadi Issa anadigree ya misitu na serikali inajua na ktk Dini amemaliza Jamia jaamia The univasity of Madina - SAUDI ARABIA mufti kasoma chuo kikuu kipi dunian
@middlemamba6062
@middlemamba6062 Жыл бұрын
Fuata upepo
@mzeewa6999
@mzeewa6999 Жыл бұрын
ukiwa shia unateseka tu. mashia hamuwezi kuipinga haki mmefeli mashia
MOHAMMAD ISSA   UISLAMU NA UMAGHARIBI
1:24:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 94 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 134 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023.
51:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 47 М.
MASHEIKH WA BAKWATA WANAWASAPOTI MASHIA TANZANIA sheikh Mohammed Issa
43:46
EPISODE; 78 MSAFIRI ANARUHUSIWA KUACHA SWALAH GANI?
33:01
Kishki Online TV
Рет қаралды 9 М.
Mikakati ya free Manson...Na sheirk Muhammad issa.
1:26:50
DEEN TV KENYA
Рет қаралды 2,7 М.
1 FAIDA ZA SWAUM SH NASSOR BACHU
42:47
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 41 М.
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART II)
31:57
BABDEO MILADU
Рет қаралды 61 М.
Full Video. MOHAMMAD SHAIKH  And Mufti Abdul Baqi Jamea Banauri Town.
2:58:29
Naeem Adam Khan
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 20 МЛН
A young mother couldn't calm down her baby at the lesson #shorts
0:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН