MASHIA Ndio Waliosababisha Msikiti wa Aqaswa Kutekwa. Sh. Muhammad Issa

  Рет қаралды 5,524

OBA Online tv

OBA Online tv

Жыл бұрын

OBA online tv (Omar Bakari Almasi)

Пікірлер: 35
@omarymkundi3045
@omarymkundi3045 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu ili uendelee kutuelimisha
@omarymkundi3045
@omarymkundi3045 Жыл бұрын
Mashaallah tupe vitu adimu shekhe
@omarymkundi3045
@omarymkundi3045 Жыл бұрын
Swadakta
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 Жыл бұрын
Mashaallah uzinduzi mzuri
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Mashalah mungu akuzidishiye akili
@user-ze8yq8jr2b
@user-ze8yq8jr2b 6 ай бұрын
Wewe mwenyewe mavuno ya baniiumayya t
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 3 ай бұрын
Hiyo vita ilikuwa ya mchongo
@almusawyusuf2608
@almusawyusuf2608 Жыл бұрын
Alafu pia hujielewi hawa nia ithna asharii
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Жыл бұрын
Sheikh naomba namba yako ya simu please
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Жыл бұрын
Sio taifa za kiislam ni za kiyarabu, Dola ya kiislam ipo kwa sasa iss (Islamic State)
@abdulkadershariff1720
@abdulkadershariff1720 7 ай бұрын
Wewe shee acha uongo
@almusawyusuf2608
@almusawyusuf2608 Жыл бұрын
Naopia ndio walio ukomboa leo
@alternativeislamicmedicine8396
@alternativeislamicmedicine8396 Жыл бұрын
Mawahabi wanawakufurisha waislamu woote. kzfaq.info/get/bejne/mKybdtx8psfQkaM.html
@allenshetuli9100
@allenshetuli9100 7 ай бұрын
Kabla ya uwo msikiti palikua na jengo gani ? Nalilikua lakina nani? Tujuze
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 3 ай бұрын
Mbona sasa hivi hao saudi ndiyo wanafiki wawazi kabisa. Kuliko hata iran
@omaryhassan8430
@omaryhassan8430 Жыл бұрын
Umeizungumzia historia ya kuchukuliwa masjid Al aqsa na Salahuddin Ayyubi ambayo ilikuwa ni mwaka 1187 kisha unasema Mashia wakasaidia maadui masjid Al aqsa kurejea Kwa maadui. Hapo hapo unazungumzia historia haswa ya kutekwa Kwa masjid Al aqsa ambayo ni zaidi ya miaka 700 ilikuwa imepita tangu iwe chini ya waislamu. Kisha unaeleza kuwa ni waislamu waliopelekea masjid Al aqsa kutekwa na ndani ya maelezo hayo hayaonyeshi kuwa ni Mashia bali ni wale walioahidiwa dola yao ya kiarabu na wanajulikana. Bila shaka katika maelezo yako kuna jambo unalolificha aidha ni kusudi au kutokujua.
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g Жыл бұрын
Lete ushahidi?
@dhannunimkwama1101
@dhannunimkwama1101 Жыл бұрын
@@user-bk4dz1sj3g unataka ushahidi gani. Hao mashia anaosema yeye sio mashia hawa unaowajua wewe ! Kama anakusudia Ismailiya hawa ni Ithanaesheria. Nikama wahabi na suni waljamaa. Wote mnajiita masuni kumbe hampo sawa
@omaryhassan8430
@omaryhassan8430 Жыл бұрын
@@user-bk4dz1sj3g maybe wewe huna akili vizuri, kwani hicho nilichocomment si kimetoka kinywani mwa huyo mzungumzaji hapo.
@makwali4854
@makwali4854 Жыл бұрын
Hayo ya kutekwa msikiti wa al aqsa ukitaka kujua nani anahusika we angalia leo hii ni kina nani wanashirikiana na hao wenye huo msikiti na ni nini kinachofanya usirudi katika himaya ya Waisilamu. Mwenye macho haambiwi tazama mambo yako wazi kwa mwenye kutaka kuyajua.
@omaryhassan8430
@omaryhassan8430 Жыл бұрын
@@makwali4854 Saudi Arabia
@ramygichero1016
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Waarabu kama wana laana fulani ivi yani usikiliza historia
@seydouside4081
@seydouside4081 Жыл бұрын
Haya mashabiki wa Shia...mnamuonea sheikh mziwanda akiongea midomo juuu.haya mjibuni na huyo..hata mimi ninaesikiliza tu nimebaini kuwa mashia ni makafiri..imeisha hiyo..matumbo yatatuponza..nipopaleee nasubiri kiyamaa
@almusawyusuf2608
@almusawyusuf2608 Жыл бұрын
Nandio pia walio ukomboa uo msikitii leo
@bakarikitenge4768
@bakarikitenge4768 Жыл бұрын
Kafiri ni wewe Sheikh
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Жыл бұрын
Shekhe fahamu kuwa siyo kila SHIA Ni SHIA lthnaashariyyah.Vizuri utenganishe usichanganye mambo. Lakini vyovyote vile fahamu kuwa USHIA JAAFRIYYA ndio Uislamu ASILIA miongoni mwa Madhehebu ( Qur'aan ............. (6: 153/159) .Wewe kweli ni msomi huwa nakupata Sana lakini Kama utarejea vitabu vya kutegemewa na Waislamu wote wasomi na WAAMINIFU hakika Uislamu Ni mmoja tu na siyo Madhehebu kubwa au ndogo, Bali ni hoja za kielimu toka vitabu vya kutegemewa na waislamu wote toka vitabu hivyo vilivyoandikwa miaka Kati ya 800 Hadi 1200 iliyopita. Kumbuka siyo kila elimu ni sahihi. Hata Hadithi siyo zote zilizo sahihi. Mfano hao wanataaluma wa Historia na tamaduni za mataifa (Mustashirqi) (Orientalists) baadhi ya Elimu zao sio sahihi. Uwe Makini kwani Dini siyo siasa.Tutawajibika kesho AKHERA kwa mapungufu yetu. In general wewe ni msomi.
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g Жыл бұрын
Acha talbiis muogope ALLAAH mashia Hawa ni ithna ash' riyyah tupe dalili inayo wavua الأسماء لا تغير الحقائق Hamna tofauti ya hwa الامامية جعفرية اثنا عشرية الدروز باطنية فاطمية كلهم كفار Wote ni makafiri
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Maandalizi yote ya umma anayosema sh. Mohammed Issa tayari Iran imefanya na kuthubutu kufanya hivyo,
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Sheikh kuna uongo mwingi kwenye historia anayoiwasilisha... Ufalme wa Saudia ni zao la mipango ya Uingereza,,
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Uongo upo kwa mashia
@user-bk4dz1sj3g
@user-bk4dz1sj3g Жыл бұрын
Lete ushahidi!!!
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Kama vile dola ya Khomeini ya IRAN ni zao LA ufaransa
@ankaldally2734
@ankaldally2734 Жыл бұрын
We mjinga kweli dah unasoma history yako wapi. Uingereza wanataka kitabu na sunnah ahhh we mjinga kiwango cha juu sana
MOHAMMAD ISSA   UISLAMU NA UMAGHARIBI
1:24:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 94 М.
Waliowapa Nguvu Mashia hapa Tanzania, ni hawa hapa. Sh. Muhammad Issa
43:36
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 134 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
SHUHUDIA SHEIKHE PONDA ALIVYOKAMATWA NA POLISI KISA MAANDAMANO
3:13
MOHAMMAD ISSA   MIKAKATI YA FREEMASON
1:26:50
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 194 М.
Sheikh Muhammad Issa - Kadhia Ya PALESTINA
4:29
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 1,8 М.
SHEIKH JAFARI AMJIA JUU MZIWANDA
5:28
Asadiqmedia
Рет қаралды 7 М.
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 13 МЛН
Старший брат хотел ее защитить 😭🥺😱 #shorts
0:37
Принципы...
0:23
Это точно смешно
Рет қаралды 2,6 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
0:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН