WANANCHI Wachanganyikiwa na HOTUBA ya MAGUFULI , Wajuta Wamuomba MSAMAHA...

  Рет қаралды 76,301

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

WANANCHI Wachanganyikiwa na HOTUBA ya MAGUFULI , Wajuta Wamuomba MSAMAHA...
Baada ya Rais Magufuli kuhutubia na Kulivunja Bunge leo Juni 16, Wananchi wametoa Maoni yao juu ya ya hotuba hiyo....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 292
@katherinesubira2724
@katherinesubira2724 4 жыл бұрын
Raisi magufuli haitaji kampeni.kura yangu nilishampatia kitambo sana .wanaoniunga mkono likes hapa👇tujuane
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Wa Tanzania 🇹🇿 wame anza kujitambua sasa asante sana Rais John Pombe Magufuli Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu endelea kuongoza Nchi yetu ha miaka 💯
@mariamali1887
@mariamali1887 4 жыл бұрын
Hongera magufuli. Mimi naishi ulaya. Juzi tulikua tunakikao kazini. Wazungu wakawa wanamuongelea magufuli. Wakawa wanasema.waafrika kama wanaakili wamshikilie huyo rais kwa mikono 2 ataikomboa afrika vile anasema itakua kama ulaya ni kweli .wazungu wenyewe wanamfagilia.
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Safi tunaelewa Sana'a
@holyangel4896
@holyangel4896 4 жыл бұрын
Usidanganywe kabisa. Hakuna mzungu anaependa maendeleo ya Afrika. Ndio maana akitikea kiongozi mwenye upeo wa kuona mbali atapigwa vita na kutafutiwa visa. Angalia kilichotokea Libya, Egypt n.k
@martinhinda5233
@martinhinda5233 4 жыл бұрын
Mkuu uko ulaya nchi gani??
@holyangel4896
@holyangel4896 4 жыл бұрын
Watakwambia hivyo hapo usoni. Kwani Afrika ikiendelea wao wanafaidika nini?. Mbinu zao zinafuniliwa taratibu tuu, tuendelee kusali kwa Mungu wetu
@belindamadata7862
@belindamadata7862 4 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu wakati wote,Mungu ibariki Tanzania,Mungu tupe afya njema tushuhudie maono makubwa
@christopherkashumba350
@christopherkashumba350 4 жыл бұрын
MAGUFULI NI RAIS WA KIKWELIKWELI UMPENDE UMCHUKIE HISTORIA ITAJIANDIKA YENYEWE.
@reginapaschali1148
@reginapaschali1148 4 жыл бұрын
Huyu ni baba yetu nampenda Sana mungu akupe maisha marefu miaka ,1000
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Naamini wapinzani wanakufa na tai shingoni, ila nawashauri kuwa “kheri lawama kuliko fedheha”;watamke tu kuwa MAGUFULI BABA LAO🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@deussamson293
@deussamson293 4 жыл бұрын
Mwaka huuu kuna watu wataaibika baada ya kura kupigwa
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Awa wanangoja akitoka madarakani utaskia alikua the best we subiri tuu
@remigiusmwageni6274
@remigiusmwageni6274 4 жыл бұрын
Mimi nishatamka kuwa magufuli baba lao next time kura yangu haipotei Tena
@djmeza411a58
@djmeza411a58 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣👌wambie watarudi tu aibu wanayo mbowe bado anapata ya hangover
@tanzanian8847
@tanzanian8847 4 жыл бұрын
Daaah! It amazing. Kwanza watu wanavyo chambua mambo ya rais magufuli. Mpaka raha yaani. Jamaa kasema. ' anajilaumu kwanini hakumpa kura'🤣
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Kabsaaaa kuna nguvu ndan yake viva JPM vivaaaa
@joshuamatagane8105
@joshuamatagane8105 4 жыл бұрын
Hongereni sana Watanzania kwa kuwa na Rais mcha Mungu, mshukuruni Mungu.
@evodiusmbilla
@evodiusmbilla 4 жыл бұрын
The Best President ever in this world, full of purity in His heart
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
The best president?? ame create ajira ngapi kwa wananchi walio wasomi na wasio wasomi!! na je walioajiriwa ktk mashirika binafsi wametetewa je coz tunajua wanafanya kazi ktk viwanda hali zao ni duni sn na wala hawana mikataba wengi wao, ss unaposema ni raisi bora hebu jaribu kujustify msiendeshwe na media kumpamba mtu ilihali watu wana hali mbaya but wanahofia kuongea tatizo kubwa pia la watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kuelewa mambo huwezi kusema ni raisi bora wakati watu still wana hali mbaya
@saidjuma9389
@saidjuma9389 4 жыл бұрын
Ni bora magufuli aongoze tanzania hadi mwisho wa dunia mana huyu mtu ni talent sana congratulation baba lao JPM
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Acheni mungu aitwe mungu.kuna nguvu ndani yk magufuli,mie kula yangu haikupotea.Hakiyamungu nilihisi tu aataiweka Ichi yetu vizuri .naleo tunashuhidia .kwakweli tumshukuru mungu,nakumuombea dua njema.Nakupenda mno rais wangu kipenzi.
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 4 жыл бұрын
Jpm 100%
@dianaanyova4026
@dianaanyova4026 4 жыл бұрын
Magufuli,hongera,Rais wa Wanyonge, Heri ungekuwa huku kwetu Kenya..Nakupenda bure.
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Najua wakenya mnamuitaji Sana'a pamoja muombeni mungu atawapaa
@dianaanyova4026
@dianaanyova4026 4 жыл бұрын
Heri nihamie tu Tanzania
@abuufauzan8620
@abuufauzan8620 4 жыл бұрын
@@dianaanyova4026 hbr
@dullybattestz826
@dullybattestz826 4 жыл бұрын
Actually, nawapenda sana wakenya kama wewe. Tupendane tu coz hakuna anayeishi peponi kati yetu
@philipoinzag2379
@philipoinzag2379 4 жыл бұрын
Mie sio CCM lakini kwa jpm aedelee kuongoza hata miaka kumi 10 Tena sifikirii kama tutapata Rais kama makufuli Tena
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 жыл бұрын
Ww ni mzalendo kwanza sio ccm lkn umeongea vyema mpendwa
@shikaneno8861
@shikaneno8861 4 жыл бұрын
Sio endapo tutamchagua achaguliwe asichaguliwe lazima aongoze hakna mjadala atakaye mkwamisha atakwamishwa
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Hakuna mwingine ni magufuli
@henryndosi1114
@henryndosi1114 4 жыл бұрын
Wapinzani uchwara kina zitto na genge lake wapate salam
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 4 жыл бұрын
Huyu jamaa akae tu km Mugabe
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Tanzania wenye akili ni wengi Sana, safi sana JPM juuuuuuuu
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
Nimewasikiliza watu mnaojitambuwa Asante sana.
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
Watu wa arusha mmenifurahisha sana yaani rais wetu Mungu akubariki sana watu wa ar umetufurahisha sana kura za nďio baba huna mpinzani hao wengine wanachechemea tu
@florashauri9228
@florashauri9228 4 жыл бұрын
Hakika tuna takiwa tumshukuru sanaaa Mungu kwa kutupa Rais mwenye weledi na upeo wa hali ya juu.Naomba tumpe miaka mingine mitano atufanyie mambo makubwa zaidi katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti,Mungu aendelee kumlinda na kumpigania
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Naona aibu, najisikia vibaya kwanini sikumpa kura yangu enzi za mabadiliko. Inamaana sikuyaona mabadiliko ya nchi yangu yapo wapi??? 😟😟😟😞. Rais Magufuli nisamehe sana. Mwaka huu sitofanya makosa lazima upite kwa kishindo. Unatujali sana Raia wako. Unatupenda mno na sisi tunakupenda Dad.
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Chadema kwisha habari yake .mpaka watu wa chuga wamemkubali jpm mambo ni motoooooo
@hamyou2579
@hamyou2579 4 жыл бұрын
Wadugu zangu wa tazania mm siko mtazania ila kwa raisi JPM na mm na mkubali
@jacobgasper8623
@jacobgasper8623 4 жыл бұрын
Anafanya kaz nzur kaka
@eliajoseph6865
@eliajoseph6865 4 жыл бұрын
Sijaona raise wa kumfananisha na JPMdunia mzima MNGU akubaliki
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Kiukweli kwenye Dini kwenye serkali kwa ninaowajua mm mungu hajawahi kutujalia anayefana a na magufuli yani kila jambo alilolifanya naiona ni kubwa mno sioni Hata dogo nikitafakari amepata wapi hakili ya kufanya pesa za sherehe ya uhuru zitumike kujenga taifa badili ya Kula watu wachache Nashangaa nikitafakari anaweza je kupambana na wazungu wanaomzidi kila kitu pesa mabunduki kwaajili ya chawote wa tz na shangaa eee yani anatupenda anatupenda mno ajabu
@mohamedissa6017
@mohamedissa6017 4 жыл бұрын
Ivo ni raisi gani kama magu?.magufuli uko juu. Mzee huna haja ya kumaliza pesa kwenye kampeni. Umepita subili tu kaapishwa.
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
No one like JPM in the word safii akunaga
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Huyu ni Elia Joseph nnayemjua au
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 4 жыл бұрын
nngemwomba mheshimiwa Rais asizunguke kuomba kura sisi Watanzania Mzee ni Msomi kuliko wote Duniani maana anatuaminisha kwa Mungu
@oman7710
@oman7710 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu wabarik viongozi wetu
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 4 жыл бұрын
Msijute 2020 mpeni kura zenu ni rais mzuri sana tujivunie tumchague magufuli kwa kishindo kikubwa
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Viva magu vivaaa
@jacobgasper8623
@jacobgasper8623 4 жыл бұрын
Huyo ndo raix wetu John uko juu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Kweli kabisa. Kaka Acha mungu aitwe mungu kiukweli hata mm 2015 nilikua sipo tz kwahiyo siku chagua pia ktk watu wa serikali nilikua sijui mtu aitwae magufuli lkn baada ya uchaguzi nilichungulia tz nilipo oona aliyeshinda ni CCM ingawa siku jua nilikasilika sana lkn kumbe mawazo anayotuwazia mungu ni mawazo ya amani wala sia mabaya nawashukuru wote waliyoongozwa kumchagua jpm wakati huo
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 4 жыл бұрын
Magufuli MUNGU AKULINDE
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 4 жыл бұрын
Amiin
@henryndosi1114
@henryndosi1114 4 жыл бұрын
MAGUFULI BABA LAO kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿
@saidsimba8586
@saidsimba8586 4 жыл бұрын
Mwaka 2015 kurayangu haikupotea,pia namwakahuu 2020 haitapoea kamweeeeeeeee!
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 4 жыл бұрын
Ntapiga kula kwa jpm mapema sana
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Safi Sana'a chukua hatuaa
@piuskusekwa3128
@piuskusekwa3128 4 жыл бұрын
Hongera jpm
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 жыл бұрын
Wapinzani ikiwa mtaendesha siasa za ustaarabu na mkiwa wazalendo wakati wa furaha hamtakuwa na fadhaa.
@robertterry8909
@robertterry8909 4 жыл бұрын
Diamond Geyser point sana kiongozi
@imunyapato4319
@imunyapato4319 4 жыл бұрын
Apewe 100 kwa 100 Niko kenya
@tanzanian8847
@tanzanian8847 4 жыл бұрын
Naomba watu tusiishie tu kumsifia JPM. Naomba twende tukampigie kura hiyo October.
@stanslausangelus8714
@stanslausangelus8714 4 жыл бұрын
Hata Mimi najuta huyu Rais amefanya makibwa
@saimonjulius1319
@saimonjulius1319 4 жыл бұрын
Una rais anautubia masaa mawili bila kusoma yote yapo kichwani hadi namba za samaki waliopo baharini na ziwani.
@beatricenicholausiwasa7601
@beatricenicholausiwasa7601 4 жыл бұрын
Jamani kwa nini asitawale moja kwa moja
@lilymandari9872
@lilymandari9872 4 жыл бұрын
Haiwezekani
@hanifahassan9138
@hanifahassan9138 4 жыл бұрын
Ila hongera Sana KWA kuwa Rais makini kura yangu nitakupa si lazima unilipe kitu Amani ya nchi yatosha kuwa malipo tuhangaikie kazi tz tumekosa ajira baba
@allymuy965
@allymuy965 4 жыл бұрын
Tubalisheni katiba afanye Kama robati Mugabe. Nazani uchumi wetu tunaweza kuishinda sauzi na naijeria tukawa wa kwanza afrika
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 4 жыл бұрын
Chuma letu
@johnkairithia9713
@johnkairithia9713 4 жыл бұрын
kweli huyu ni raid was watu kabisa kabisa nikipata fursa ningekata nauli nine nimupigie kura ,nirundi kwetu Kenya tena .hongera raisi mafukuli.!!!
@sedriqueira3383
@sedriqueira3383 4 жыл бұрын
Hebu mturuhusu na sisi wakaao chiii za ije tumuchague .
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Hahahaha umenichekesha
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Irankunda Sedrique :Kama wewe ni raia wa Tanzania, unaenda ubalozini wa chi uliyopo kwenda kupiga kura
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 жыл бұрын
😃 aah nyie mtamuibaa
@martinjohn8139
@martinjohn8139 4 жыл бұрын
JPM Jembe
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 4 жыл бұрын
Huyu JPM lazima apate bonus ya miaka mingine mi5 ili atusogeze kidogo kisha ndo astaafu, katiba sio msaafu, kwanza zipo nchi zinaongozwa bila katiba na zinakimbia kiuchumi.
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Katiba ni mawazo yetu tukiamua inawezekana
@abdillahiyusuf9557
@abdillahiyusuf9557 4 жыл бұрын
Sio aongeze mitano peke. Ni andele mpka amri ya Allah utakapo kuja kumchukuwa roho yake. Hakuna kusataafu. Hata bba wanyumba huendekeza uwongozi wa family yke mpka kufariki. Xx yy ni baba wanchi asiwache mke na watto wakafedheheka.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Ata 20
@eugenwalisindo9293
@eugenwalisindo9293 4 жыл бұрын
Kura yangu haikwenda bure
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 жыл бұрын
Najuuta kutokumchagua JPM, naumia sana mpaka chozi linanitoka.Sifanyi upuuzi tena.
@geofreymhina1821
@geofreymhina1821 4 жыл бұрын
Mungu ambariki huyu dingii
@veronicamollel8975
@veronicamollel8975 4 жыл бұрын
Mheshimiwa jpm tunakukubali hakika tumeamini tuna Jembe toka chato Zaidi ya askofu
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 4 жыл бұрын
JPM ni hatari....tambueni, tumuelewe ili hata tukiona anafaa kukaa zaidi ya miaka kumi tujue kwa nini tunafanya hivyo! Tutengeneze utaratibu wetu tu!
@daudisaid6198
@daudisaid6198 4 жыл бұрын
Mc nguli upo vizuri mkuu wangu God bless you
@frolencemkongwis2461
@frolencemkongwis2461 4 жыл бұрын
Magufuli safiiiiiii kabisa wewe ndiye tuliekusubili
@mussandekezi491
@mussandekezi491 4 жыл бұрын
Hakuna Kama Magufuri, anaebeza shughuri alizofanya ni msaliti na sio mzalendo. Mungu ampe maisha mema na matefu
@munajafu3080
@munajafu3080 4 жыл бұрын
Mimi nilimpa kulangu kwiukweli sikukosea kumpa
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Kula ni kula chakula sema kura
@hoseamtiro4439
@hoseamtiro4439 4 жыл бұрын
Huyo ndie mzee baba
@shadowhatory154
@shadowhatory154 4 жыл бұрын
JPM baba lao👏👏👏👏
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Yani nacheka sana nikiona eti kina Msigwa ndio wanataka kuwa Raisi yani kwa ufupi upinzani umeishiwa
@Kisaboleonards
@Kisaboleonards 4 жыл бұрын
Najivunia utanzania kumpata jpm
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 4 жыл бұрын
Heshima katujengea tunaenda kifua mbele
@faustinefesto7705
@faustinefesto7705 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Safi sana.
@bobochieng8026
@bobochieng8026 4 жыл бұрын
Kenyans watch out. We may not be the largest economy in the region in a few years time if we continue burying our heads in the sand.
@rogerslaurence2235
@rogerslaurence2235 4 жыл бұрын
Asante asante! Huyo ndiye jpm mtumishi wa Mungu
@joycekarim9184
@joycekarim9184 4 жыл бұрын
Sìna cha kusema bali nashukuru mungu kwa kukuleta wakati unaokubarika Raisi wangu usiogope mungu yuko nawe usiku na mchana🙏
@hanifahassan9138
@hanifahassan9138 4 жыл бұрын
Kma uko pamoja na mawazo yangu gonga like twende pmja
@polloz77
@polloz77 4 жыл бұрын
Safi
@hanifahassan9138
@hanifahassan9138 4 жыл бұрын
Mm nasema ya moyoni mwangu kuwa asiwazidishie mishahara wafanyakazi ila awajiri waliokuwa Hawana kazi kwani tupo wengi mtani tunazuga zuga baba litizame Sana hili
@abdillahiyusuf9557
@abdillahiyusuf9557 4 жыл бұрын
Mm ni Abdillahi Salim.kutoka Mombasa Kenya. Niko naswali. Jee naweza kumpigia kura raisi MAGUFULI?
@dullybattestz826
@dullybattestz826 4 жыл бұрын
Bro tunashukuru kwa upendo wako. Bahati mbaya haitawezekana, but we love you KENYANS
@saluma.m.el-harthy9265
@saluma.m.el-harthy9265 4 жыл бұрын
Tahadhari: Raisi wetu ni Raisi wa kujivunia lakini tusimpe sifa za unabii Tukajitia matatizoni
@mariamika2834
@mariamika2834 4 жыл бұрын
Oooyooooo piga kelele kwa raisi wetuuuu ,chezea anko magu ww nakuombea uishi miaka mingi kwanza tunaendelea kupiga kura za nn wakati tunamkombozi wetu hakuna kama magufuli ....
@remigiusmwageni6274
@remigiusmwageni6274 4 жыл бұрын
Ndio jpm wangu
@eliajoseph6865
@eliajoseph6865 4 жыл бұрын
Kula YANGU haikwenda bule nilichagua jembe hongera sana Raisi wangu MUNGU Akulinde
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 4 жыл бұрын
Kufanya kosa sio kosa, kosa nikurudia kosa. Oct 2020 mpigie kura ya ndio JPM.
@rashidchid2067
@rashidchid2067 4 жыл бұрын
Safi sana jpm
@edsboresha2571
@edsboresha2571 4 жыл бұрын
Huyu mwamba anaeitwa Magufuli Anabalaa, alipoizima corona kibabe nimemkubali,me namuelewa
@apt9620
@apt9620 4 жыл бұрын
Hapa kaz tuu
@weshibmabula9430
@weshibmabula9430 4 жыл бұрын
Chadema kwishaaa
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Kama Arusha wanasema hivi , kuna nini tena ???
@maryambarayan7599
@maryambarayan7599 4 жыл бұрын
Mbona cc majirani zenu twawaonea wivu mzuri tuu. Atakua rais wakwanza kushinda bila kampeni kwani hahitaji aliyofanya yanaonekana ni mchapa kazi na nyinyi ni watu wakutumia bongo sio vibaraka wa wamagharibi kama cc. Peace be with you guys but pray for US too
@dullybattestz826
@dullybattestz826 4 жыл бұрын
In Sha Allah Atawajaalieni mnachokitaka. Sisi hatujafika 100% but we are trying, Alhamdulillah
@masumbukogusha6568
@masumbukogusha6568 4 жыл бұрын
Watanzania tujiukize Nani kamleta magufuli CNA Malibu nampenda sana raise yangu
@amanijolam4140
@amanijolam4140 4 жыл бұрын
MUNGU ibariki Tanzania bairiki Rais wetu
@tanzanian8847
@tanzanian8847 4 жыл бұрын
In fact yaaan kama ndugu zangu wa Arusha mnakubali rais magufuli , basi naamini huu mwaka atapata asimilia nyingi sana kunako uchuguzi. Maana watu wa Arusha mlikua upande wa mlengo wa kushoto miaka ming. Nimefurahi kwakweli. JPM ni rais wa dunia kwa Sasa.
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 жыл бұрын
JPM ni baba lao. Mungu aendelee kumlinda dhindi ya maadui wa ndani na nje. Atatufikisha mbali
@neemamussa1745
@neemamussa1745 4 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya Rais wetu.
@khamisiiddi9321
@khamisiiddi9321 4 жыл бұрын
Aisee
@saimonjulius1319
@saimonjulius1319 4 жыл бұрын
Nina nenepa niposikia hayo maneno kijiweni kwetu nilipigwa nikimtetea magufuli leo nikifika kijiweni naitwa profesa wa siasa
@essaumlange2079
@essaumlange2079 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 4 жыл бұрын
Ila magufuli hakuna wakufananishwa naye ni mtu wa pekee duniani mungu ambariki nampenda sana my precedent
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 жыл бұрын
Mm namuombea rais wetu mpendwa mungu ampe maisha marefu azid kutuongoza daima
@masatumanyama6782
@masatumanyama6782 4 жыл бұрын
Mimi nipo Marekani, Yani watu tunashangaa jinsi raisi anavyofanya miradi mingi kwa muda mufupi sana kama sgr, ndege, bwawa rufiji, hosipital na flyovers me nashauri asizunguke kupiga kampein, aombe tu kura kupitia tv na redio kama juzi alivyofunga bunge, watu wote watasikia sera zake
@tanzanian8847
@tanzanian8847 4 жыл бұрын
Wewe ndo una akili sana. Hongera sana. Sio kama Mange kima, na wapinzani wenzake. Kila siku kupinga tu
@shenkitv8670
@shenkitv8670 4 жыл бұрын
Hata mimi siishi bongo ila JPM ningekuwa m bongo kura yangu ingekuwa kwake kabisa hana ata wa pili wake nazhani pia mwaka huu atajiongeza muhula wake wapili na pia atatekeleza iyo njia ya treni ya kisasa itafika mpaka uku kwetu Bujumbura kama jinsi alivyovitamka ajili ni mtu ambaye anatenda sio kutamka tu
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 жыл бұрын
JPM umetisha sana RAIS wangu
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 4 жыл бұрын
Ni Raisi wa Dunia kweli. Umesema kinachotokea moyoni
@vdhjhdhdhhhd9332
@vdhjhdhdhhhd9332 4 жыл бұрын
Ni kweli yasemwayo..t unakupenda rais wetu..naye pia anatupenda..mzalendo
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 4 жыл бұрын
Kwa nn wanamsumbua Magufuri si akae tu nyumbani akuna cha fomu wala kampeni akuna wakumpinga..... Yani kafanya mambo mpaka wapinzani wakitoa sera wanaonekana vichaa...
@rahelimgalla9225
@rahelimgalla9225 4 жыл бұрын
Aise chuga mmemkubali magu basi mwaka. Huu 💯 anazo
@mamafadila7806
@mamafadila7806 4 жыл бұрын
Mungu mbariki rahis wetu mungu mpe maisha marefu jpm
@robertambrose1231
@robertambrose1231 4 жыл бұрын
God is good for you jpm
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 4 жыл бұрын
Jamani JPM ata mmja wa kupinga hayupo 🙏🙏🙏
@robertkasanula5728
@robertkasanula5728 4 жыл бұрын
Well done
@mariamika2834
@mariamika2834 4 жыл бұрын
Wapinzan mnakufa na tai shingon ,awamu hii sidhani kama mtapata hata madiwan .
@felixchale9691
@felixchale9691 4 жыл бұрын
Minaomba nopate jinsi yakumuizisha uyu mzee ili aweze kutuongoza angalau kwa miaka 30 mungu tusaidie tufanikishe litimie
@iddyaziz1440
@iddyaziz1440 4 жыл бұрын
Kula yangu iko poa kwako
@christophersamatta8924
@christophersamatta8924 4 жыл бұрын
Magufuli baba lao Mungu aendelee kukutetea baba angu
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 51 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 280 М.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 62 М.
Raila, Orengo arrive in Siaya for the burial of Engineer Joel Mudhune
8:12
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 2,3 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН