Wanaocheza wakibeba jeneza kuwatumbuiza waombolezaji

  Рет қаралды 6,066

DW Kiswahili

DW Kiswahili

3 жыл бұрын

Wamejizolea sifa na umaarufu kwa kucheza densi wakiwa wamebeba jeneza kwenye misiba. Na sasa muasisi ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi hili nchini Ghana ataka kufungua matawi katika mataifa mengine ili kutoa huduma zao. Je uko tayari kwa huduma zao? #VijanaMubashara #77Asilimia

Пікірлер: 10
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Jamaa wali trend sana hawa wazee
@Kiswahili
@Kiswahili 3 жыл бұрын
Bunduki TV sana !
@hancykinshaga5650
@hancykinshaga5650 3 жыл бұрын
😂😂😂🇹🇿🙏🙏very creative
@Kiswahili
@Kiswahili 3 жыл бұрын
@Hancy Kinshaga 😂😂 wabunifu sana!
@mbandelandbrand6963
@mbandelandbrand6963 3 жыл бұрын
😂😂hawa jamaa wabunifu sana sana kwakweli kila kitu kinawezekana kikubwa maamuzi tuu.
@Kiswahili
@Kiswahili 3 жыл бұрын
@katina Online TV 😂 😂 ndio kila kitu kinawezekana!
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ila hawa watu Mungu anawaona...sema the guy seems to enjoy his business
@Kiswahili
@Kiswahili 3 жыл бұрын
Sarah Hassan huwa ni vizuri mtu akiwa na furaha anapofanya kazi yake au?
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 3 жыл бұрын
Ni vizuri ila nature ya kazi yake ndo changamoto,,..ila maadam anapata hela na anafuraha,acha tu afanye
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Afrimax Swahili
Рет қаралды 167 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 14 МЛН
Historia ya Kilwa na sarafu yake
37:10
ITV Tanzania
Рет қаралды 7 М.
Biashara ya majeneza Tanzania
2:12
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,4 М.
Vyakula maarufu vya mitaa ya Kinshasa
5:03
DW Kiswahili
Рет қаралды 352
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, ..Julai 22, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 215
How to recover from depression | Dr. Don Wood (The Anxiety Doctor)
4:43:12
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15