Рет қаралды 35
Ayubu Drones
Kongamano la wanawake shupavu jimbo la ushetu lililofanyika ukumbi wa Dakama sekondari na kukusanya wanawake shupavu kata 20 za jimbo hilo pia na wadau wengine kutoka maeneo mbalimbali chini ya Mbunge Cherehani.