NABII MSWAHILI: WEMA SEPETU NA GABO, MIMI NIMEFURAHI/ KINGEREZA KINGI/ MKEWANGU ALITABIRI

  Рет қаралды 276,781

Wasafi Media

Wasafi Media

5 жыл бұрын

#Wasafitv #SZIFF #Tuzo

Пікірлер: 412
@mnyamaalvisdj7617
@mnyamaalvisdj7617 5 жыл бұрын
Nime furai #madebelidai kupata tunzo asinge pata ninge jisikia vibaya
@omanmuscat3267
@omanmuscat3267 5 жыл бұрын
Usinge patatunzo hata moja ningeandamana like kama unamkubali madebe
@luckyhaonga553
@luckyhaonga553 5 жыл бұрын
Jamaa angu hatamm huyu jama namkubali SNA ila kale katoto kamecheza muvi gani.sjaelewa Lidai namkubali saaana
@sakinasheidhan4642
@sakinasheidhan4642 5 жыл бұрын
Madebe na gabo wangekosa tuzo mm pia ningeumia
@aishamohammed3547
@aishamohammed3547 5 жыл бұрын
@@luckyhaonga553 ingia instagram kuna video imepostiwa na tanasha Mond daily
@dinnahnyoni3188
@dinnahnyoni3188 5 жыл бұрын
Namkubali madebe
@kasimmukhenge8912
@kasimmukhenge8912 5 жыл бұрын
Napempenda madebe jinzi anavyo andaa filamu zake, anasitahili hiyo tuzo, Kenya watoto wangu uita filamu ya mwendaa
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
Nina Furahi kuona Madebe nae Alipata Tuzo 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@mwanashazingas3977
@mwanashazingas3977 5 жыл бұрын
Mmi mwenzio
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
@@mwanashazingas3977 Huyu jama Akilizake sio za Tz 😂😂😂
@mwanashazingas3977
@mwanashazingas3977 5 жыл бұрын
@@zaynsalma3466 bila shaka nakumbia nimelala vizuri nilipo ona amepewa tuzo
@ashminhaabdullah4963
@ashminhaabdullah4963 5 жыл бұрын
Kweli
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
@@mwanashazingas3977 hahaaaa
@victorjunior2073
@victorjunior2073 5 жыл бұрын
"Ukiolewa na mchekeshaji haitakufanya kuwa na furaha ya kudumu ".. Km umemsikia lidai mmakonde gonga like twende sawa ..
@yussufpeter4169
@yussufpeter4169 5 жыл бұрын
Ss Kenya mombasa tukushabikia sana Tema mashallah kwa uswail I lyk dat
@yussufpeter4169
@yussufpeter4169 5 жыл бұрын
+254 madebe wwe sio best comedian, plz hio iangalie sana wwe Ni best actor, hao wanakuita comedian ndio uache kufundisha uchekeshe ndio wachukue nafas plz hao wanakuuwa plz mm nakushauri kuwa kama twiga ona mbali
@yussufpeter4169
@yussufpeter4169 5 жыл бұрын
Makomedia wapo bongo, eg mafund, bwakila, kipupwe, tiny, Ringo, jengua, tabu, wapo kibao tuzo ingestail hata stanbakora, wapo wengi wwe Ni best actor madebe sio comedian chunga kuna mbinu nyingi zakuua mtu naeza kukusifu kwa mfano nikuite wwe mkali kama ngurue je nisifa nzur hio........ Amka baba madebe acha kushabikia ujinga
@yussufpeter4169
@yussufpeter4169 5 жыл бұрын
Omari makame #yes bro sifa au tuzo zingine nizakuvunja mtu moyo, kwa Wana fasihi hii sio tuzo hii Ni mtuso
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Ushauri mzuri madede yafanyie kazi, mtazo wangu wanakushusha kisanaa coz wewe comedian
@hasheem2554
@hasheem2554 5 жыл бұрын
Huyo sio comedian ila hiyo movie ilioshinda ndio ya comedy..Alright?
@hamadathuman6939
@hamadathuman6939 5 жыл бұрын
@@yussufpeter4169 Sikupingi Brozee
@sangoyaniyamati8008
@sangoyaniyamati8008 5 жыл бұрын
Safi sana nabii mswahili hongera kwa tuzo
@kadijahhussen7072
@kadijahhussen7072 5 жыл бұрын
Madebe unamke mzuri ivo mashallah mungu ailinde ndoa yko hongera pia kwa kupata tuzo ongeza bidii zaidi
@ayshabayun9014
@ayshabayun9014 4 жыл бұрын
Sema nini hawaridhiki kajikita kwa kimwanamke kibayaaa
@daprince7545
@daprince7545 5 жыл бұрын
Madebe big up bro your comedy always amazing . We learn more things in your comedy. Mungu akupe maisha marefu na family yako. Halafu life style yako iko simple sio Kama wengine wako na marigo na ma bodyguard kabisa. God bless you madebe .
@Mtumish_sam
@Mtumish_sam 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema daim Kama umefuraishwa na mdebe kubeba tuzo lak apa
@rehemajohn2588
@rehemajohn2588 5 жыл бұрын
Safi sana
@morningfloe2983
@morningfloe2983 5 жыл бұрын
Vizuri sana
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Unahaki ya kushinda madebe ww na gabo
@kelivincharles226
@kelivincharles226 5 жыл бұрын
Salut
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@makasittt16
@makasittt16 5 жыл бұрын
Wallah nimefurahi sana madebe hongera sana mungu akuongoze zaidi🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
waaaa na ana mke mzuri wallwahi hongereni mnoo
@fatmaomar7624
@fatmaomar7624 5 жыл бұрын
Walai yko simple tu....nawapenda na nawatakia maisha mema
@muddyville
@muddyville 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anajuaaa yaani anajua sana... Hongera sana Madebe...
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
Kweli
@jumamchapwaya7922
@jumamchapwaya7922 5 жыл бұрын
Ongera madebe
@georgempuya7623
@georgempuya7623 5 жыл бұрын
Huko vizuri sana ila walikua wanambania
@moniedwese5778
@moniedwese5778 5 жыл бұрын
Nakupenda cz unatufundisha mengi... Ongera Sana nimefurahi ulivo chukua tuzo🤞😍
@josephinemndolwa7783
@josephinemndolwa7783 5 жыл бұрын
Your da best actor not comedian; I love you kept it
@gakwayatresor2097
@gakwayatresor2097 5 жыл бұрын
Madebe best actor kwanini best comedian?
@babamuratyiddy5858
@babamuratyiddy5858 5 жыл бұрын
frakwetu kwa kupa tzo badebe
@witineskikiwa1906
@witineskikiwa1906 4 жыл бұрын
Nampenda sana madebe Yani ukiangalia movie za madebe unajifunza kitu👍👍👊👊👏👏sana
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 5 жыл бұрын
Nimefurahi mzee baba kapata tuzo
@missyabdull142
@missyabdull142 5 жыл бұрын
hapo nimefurahi madebe kupata tuzo❤
@khadijasalum8164
@khadijasalum8164 5 жыл бұрын
hongera jembe usikate tamaa Fanya makubwa sisi mashabiki zako tutaendelea kuwa pmoja usiogope kulogwaa nakupenda sana saa daah ila siyo mbaya ilimladi umeambulia
@dianamwakitega6111
@dianamwakitega6111 5 жыл бұрын
akili kubwa hongera madebe
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 жыл бұрын
Bishost pembeni yuko vizuri
@frolencerugaimukamu6099
@frolencerugaimukamu6099 5 жыл бұрын
p w
@kakamau0384
@kakamau0384 5 жыл бұрын
Ninampenda sana huyu jamaa
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😁 _pale unapogundua kuwa sio comedian ila kumbe muvi zako zinachekesha_
@tatuatut7542
@tatuatut7542 5 жыл бұрын
Usingeshinda ningeshangaa
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abduraufuyasini3396
@abduraufuyasini3396 5 жыл бұрын
Big point, akili mingi Madebe
@rahmaseleman1628
@rahmaseleman1628 5 жыл бұрын
Hupitwi🙄
@salumabdallah9200
@salumabdallah9200 5 жыл бұрын
asinge shinda madebe tungeri andamana tanzania mzima ongela kaka madebe enderea kupambana zaidi uweze kutufulaisha bay salum mganga
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 5 жыл бұрын
Wamakonde kwenye jambo lao Ni hatari,,,, watu wengi hawajui kama Gabo pia Ni mmakonde ahhhaa Ni hatari kusini Moja,,
@justinanicolous3822
@justinanicolous3822 5 жыл бұрын
Mmkonde wap uongo uliza vzur uambiwe
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 5 жыл бұрын
Justina Nicolous issue nnn coz mwaka juzi alifanya intavyu pride fm88,1 yeye alisema hv, kiasili wazazi wake wametokea Tandahmba wakafika mikindani hapo mikindani ndpo walipo baadhi. Ya nduguze baadae alikuja DSM maeneo ya Tandka Kwa ajili ya shule Na mambo mengineyo, mwisho wa kunukuu tatizo lenu mnahsi wamakonde hawadizev Kuwa Bora acheni ukabila Na ubinafs Na mkumbuke mmakonde ndyo mtu ambaye hakuuzwa utumwani coz alishajitambua before, maana ya kuchora chale mwilini Na usoni ili asiuzike kabila gan lingine wamekuwa majasiri kushinda wao?
@mwanawetuamiri8426
@mwanawetuamiri8426 5 жыл бұрын
Kama wewe wa kusini mwenzangu fanya kama unajijuna vile
@bakarimashi8711
@bakarimashi8711 5 жыл бұрын
Salvatory Boniface Gabo sio mmakonde ww kama hujui uliza
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Gabo sio mmakonde n mhehe mdigo
@abdulmalickyasin7379
@abdulmalickyasin7379 5 жыл бұрын
Gonga like hapa kwa madebe
@hailatiselemani2292
@hailatiselemani2292 5 жыл бұрын
abdulmalick Yasin hongera nabii mswahili nimefurah sana ww kupata tunzo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Mr$Mrs Hongereni sana Mungu awazidishie zaidi ya hapo.
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 5 жыл бұрын
Doh best comedian 😂😂😂
@nishawangai1178
@nishawangai1178 5 жыл бұрын
Watching from saudia Arab mm mkenya lakini nakupenda sana
@tyeuhsvsy1874
@tyeuhsvsy1874 5 жыл бұрын
Niko Iraq naomba namba yako yangu n 0703181822
@nishawangai1178
@nishawangai1178 5 жыл бұрын
@@tyeuhsvsy1874 +966599337308
@violethsamson502
@violethsamson502 5 жыл бұрын
@@nishawangai1178 yan mwenyewe nmejiuliza hiyo rangi vp?
@nishawangai1178
@nishawangai1178 5 жыл бұрын
@@violethsamson502 rangi gani
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
haahaaa wifi umenena kwel mke ndiye anayecontro akil ya mume ukiwa mwehu utampa tabu ukiwa mnyenyekevu mambo mazur hutokea love you 😚😚😚
@neemamollel7858
@neemamollel7858 5 жыл бұрын
Kwakweli ni mefurahi sana madebe lidai mungu akubariki Nakupenda sana
@kenedynashon9717
@kenedynashon9717 5 жыл бұрын
Hongera madebe,ila shemeji huo mkono ulioshika tuzo mbona kama sio wa kwako 😀😀😀😀😀😀,rangi yake haiendani na sura yake
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Hahahahahahahaah eti best comedian tangia lini
@shabanismaily5777
@shabanismaily5777 5 жыл бұрын
Beneficial
@muddyville
@muddyville 5 жыл бұрын
We si unawajua kina kingwendu..
@razackkaguna9042
@razackkaguna9042 5 жыл бұрын
nakina pembe wataitwaje sasa
@jawadyrasheed6880
@jawadyrasheed6880 5 жыл бұрын
Nice madebe lidaoi am so happy for your trophy stay blessed am from china
@adow9musictz931
@adow9musictz931 5 жыл бұрын
hongera mzazi
@benadolphabiandustan4109
@benadolphabiandustan4109 5 жыл бұрын
hivi kweli ww uwe best comedian na bro k unamuweka wapi?
@rebbylyanga4067
@rebbylyanga4067 5 жыл бұрын
Hongera kaka Ila dada mkono na uso duh Mbona ni tofaut sana.... Hahahahaha
@zakhiamzenji6004
@zakhiamzenji6004 5 жыл бұрын
Sijafurahi Mungu atupe uhai mwakani tukupigie kura ushinde best actor In Shaa Allah
@effiekirui4312
@effiekirui4312 5 жыл бұрын
You deserve kupata tuzo zaidi ya hapo hongera sana nakukubali.
@buruhanimandazi8000
@buruhanimandazi8000 5 жыл бұрын
Congratulations 🎉🎈👏👏👏 mr madebe lidai
@farashuumasuudi9280
@farashuumasuudi9280 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu yenye her na baraka ameeena pamoja na mkeo pia hongera kwa tunzo
@capitainrogers741
@capitainrogers741 5 жыл бұрын
Ongera sana kaka unastahili M.Mungu akuzidishie Kila LA kheri insha Allah
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Nimefurahi sanaaa madebe kushinda pamoja na qabo nazipenda sana kazi zenu 😍😍
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 жыл бұрын
Alhamdullillah kashinda madebe lidai. Hongera
@japharrubbin251
@japharrubbin251 5 жыл бұрын
Nakukubar madebe
@zaiyzairi1107
@zaiyzairi1107 5 жыл бұрын
Kaza baba tupo nyuma yako
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
Pamoja
@bonmarrow492
@bonmarrow492 5 жыл бұрын
Mama mwali
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 жыл бұрын
kama ulipewa tuzo kama best comedia haikufai ila kama ulipewa kama best actor of est africa apo sawa.mau fundi ringo kipupwe tin with wao ni ma comedia
@footballarena5027
@footballarena5027 5 жыл бұрын
Benjamin Fataki hao ni comedian wanaojichekesha wao asilimia kubwa fatilia, comedian gan wanatumia nguvu mpk mishipa inawasimama
@TanzanianStars
@TanzanianStars 5 жыл бұрын
😂😂😂 Best Comedian or Best Misamiati😂😂 Kweli Bongo Bahati Mbaya
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 жыл бұрын
MashaAllah hongera kwa tuzo na kwa mke mzuri kaka Madebe
@fettyRamadhani
@fettyRamadhani 5 жыл бұрын
Mbona Mrs madebe langi mbili uwo mkono vepe hongera sana madebe
@soniacicura1591
@soniacicura1591 5 жыл бұрын
Wewe ulikuwa nastahili kwa kweli madebe Mungu aendeleye nakubariki katika kazi zako kwa kweli
@fidelisyalodrick7049
@fidelisyalodrick7049 5 жыл бұрын
fact ameongea point saana
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Hongera sana.hawakutegemea ila wajue rizki hupewa kila mtu anaajibija na utafutaji wake
@hassanimussa5776
@hassanimussa5776 5 жыл бұрын
Wewe ni best actor mzee baba,,achna na matokeo hayo
@ramzy5280
@ramzy5280 5 жыл бұрын
Kama unaangalia huku unasoma comenti gonga like 👇👇
@huldanjiro7419
@huldanjiro7419 5 жыл бұрын
uko sawa madebe
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
hongera sanaaa nabii mswahili unastair kuchukua tunzo hii
@sadickyusuph969
@sadickyusuph969 5 жыл бұрын
Safi sana bibie mikono kachora piko
@kelvinmkoba3627
@kelvinmkoba3627 5 жыл бұрын
Big up bro
@simonfrancisjr6591
@simonfrancisjr6591 5 жыл бұрын
Huyu jamaa aliongea kipaji kitajionesha chenyewe na alisema wat mashabik xxiv wanatazama vipaji awatak wauza sura wale watoto kushnda awamu hii ni haki yao wat washazoea kuja na matokeo yao kichwan
@mzeebaba6149
@mzeebaba6149 5 жыл бұрын
Umeandika utumbo gani?? xxvi ndio nini??
@simonfrancisjr6591
@simonfrancisjr6591 5 жыл бұрын
@@mzeebaba6149 wa kuku uwo
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 жыл бұрын
@@simonfrancisjr6591 😂😂
@mzeebaba6149
@mzeebaba6149 5 жыл бұрын
Kwelii
@mariyaal5366
@mariyaal5366 5 жыл бұрын
@@mzeebaba6149 🤣🤣🤣🤣🤣
@beatricengonani4640
@beatricengonani4640 5 жыл бұрын
Masebeeeeee nakukubalii sanaa
@bintisuleimani7124
@bintisuleimani7124 5 жыл бұрын
Waaa na mke mzuri mashaallaah hongera sana
@marykates5001
@marykates5001 5 жыл бұрын
Unastahili kaka na twatarajia mengi mazuri,hongera.
@food1573
@food1573 5 жыл бұрын
Good job 👏
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 жыл бұрын
apo sawa kuna master wengi sana enyewe waheshimu watu wengine
@evamganga9698
@evamganga9698 5 жыл бұрын
Madebee we ni the best more than best
@josephkapinga652
@josephkapinga652 5 жыл бұрын
Mzeeee baba hongera msimu ujao tuongeze kura kwa madebe ukitoka na kumi sio mbaya.
@alidingongo443
@alidingongo443 5 жыл бұрын
Best comedia si Sawa, ila kupata ni kupata
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 жыл бұрын
Aaah hongera sana kaka
@nurungangise9802
@nurungangise9802 5 жыл бұрын
Nimeumia san yani tunzo zote lazima ww uchukue zote sio hao watoto bwanaaaaaaa
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Kabisa
@benignakomba611
@benignakomba611 5 жыл бұрын
Wcb show
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 5 жыл бұрын
So nice mmependeza sana hongera kwako madebe
@neemamollel7138
@neemamollel7138 5 жыл бұрын
Huyo Mke wake mbona ana rangi mbili au macho yangu
@genofevamichael6751
@genofevamichael6751 5 жыл бұрын
neema Mollel makeup hiyo
@hamzaseifrwambo5657
@hamzaseifrwambo5657 5 жыл бұрын
neema Mollel mmmh ilo nalo neno...
@manofgodbabazero9237
@manofgodbabazero9237 5 жыл бұрын
neema Mollel hiyo camera
@mariamkaaya214
@mariamkaaya214 5 жыл бұрын
neema Mollel unaona mikononi mmmhhh
@hildababyabdullah5627
@hildababyabdullah5627 5 жыл бұрын
Mikononi kaweka piko iyo angalia vzr
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
Nimefurah sana kuona upeta tuzo hongera sana
@dativapaschal1290
@dativapaschal1290 5 жыл бұрын
hongera sana kaka hakika unaweza
@suleimankiumwa5328
@suleimankiumwa5328 5 жыл бұрын
Madebe unasitahili kaka ongera sanaa kaka
@seifhassan7652
@seifhassan7652 5 жыл бұрын
hio zawadi ni haki yako madebe...hongera sana..+254 twakupenda
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 5 жыл бұрын
Aliyesema Wew ni comedian ndio anastahili hiyo tuzo maana amechekesha balaa....wew sio komedian wew ni muigizaji maarufu na bora.......npo hapa BONGO IN MOTION NAWAONA
@khanadikhadeer2322
@khanadikhadeer2322 5 жыл бұрын
Mashaallah furaha haiwezi kukosekana were kupata tuzo maana unastahili
@shakiraseif8714
@shakiraseif8714 5 жыл бұрын
Mikono na uso wa bi dada different between 🤣(kinge)
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana hongera zange nyingi
@givasmwananzumi5941
@givasmwananzumi5941 5 жыл бұрын
madebe msaniii mkubwa sanaaa na anastahili kupata tuzo kubwa mwakani asipochukua msanii bora dude juuuuuuu but madebe unajua babaaaaaaaa%%%%%%%%%%%%
@hamisikisongo3442
@hamisikisongo3442 5 жыл бұрын
Hongera sana kk madebe lindai
@fabianfaustine444
@fabianfaustine444 5 жыл бұрын
Ulistahili tuzo ya best actor
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Honger sana mungu akuzidishie
@ngoniempire2181
@ngoniempire2181 5 жыл бұрын
Mchekeshaji
@paschalboniface8319
@paschalboniface8319 5 жыл бұрын
Hongera nabihi
@ladyyes4394
@ladyyes4394 3 жыл бұрын
Mmmmm njamani ni mm tuh nimeona ama kuna mwengine hameona. Huyo mke mnzuri. Hila mbona mkono hafanani na uso. Lidai kuja huku uniambiye 😷😷😷
@mikestanslousah1588
@mikestanslousah1588 5 жыл бұрын
Best comedian 😳😳 Duuh
@abdukalembo788
@abdukalembo788 5 жыл бұрын
Madebe wewe unajua sana mungu akuongzee uwezo zaidi
@isayamgeni2014
@isayamgeni2014 5 жыл бұрын
Asande kaka madebe usingepata ningelia munguakulinde kipajichako
@ismailnashon1320
@ismailnashon1320 2 жыл бұрын
Punguza matusi kwenye movie zako broo kumbuka tunatazama na familia zetu
@daudipaulomatanga6479
@daudipaulomatanga6479 5 жыл бұрын
madebe nakukubali sana
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 жыл бұрын
Hongera madebe 👏👏👏
@ndolimanaamani1236
@ndolimanaamani1236 5 жыл бұрын
Hongera sana madebe
@beatricengonani4640
@beatricengonani4640 5 жыл бұрын
Madebeee oyoooooooo yan we nomaaaaa usingepata tuzo ningeandamana
@helmanikomba576
@helmanikomba576 5 жыл бұрын
Wamekuchezesha fldishi , mm sikubaliani nahiyo tuzo,wanakuuwa hao nduguyangu ww ulitakiwa upate hiyo na ya Gabo,2 ziwe, jiangalie.
@mbukishabani3258
@mbukishabani3258 5 жыл бұрын
Nakupenda bure 👌👌🎈
@rayrayroblox5663
@rayrayroblox5663 5 жыл бұрын
Vizuri sana jamani siyo kila siku wema wema wema wengine nawo wapate
@shemurusekwa2985
@shemurusekwa2985 5 жыл бұрын
Binafsi namkubali madebe big up
@saditone7808
@saditone7808 5 жыл бұрын
bongo bana sasa weee comedi khaaaa noma san mahaji mmezinguwa
@hamzaseifrwambo5657
@hamzaseifrwambo5657 5 жыл бұрын
Safi sana ....
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Ila madebe nakumbuka kuna interview moja ulisema kwamba mwanamke anaogaje janaba haliyakua amevaa mfuko kichwani, sasa mbona hapo inaonyesha kabisa kuwa mkeo ndo wale wale wanaovaa mfuko kichwani, alivyo tu inajionyesha, maana sio kwa kujichubua huko, mm nilifikiri una mke mcha mungu mwenye kujistiri, basi upunguzege kutukosoa
@amirsab1158
@amirsab1158 5 жыл бұрын
Huyu ndio mke wake madebe
@injili90
@injili90 5 жыл бұрын
Hapana demu wake/
@theprinceroby8077
@theprinceroby8077 5 жыл бұрын
Hapana Dada ake
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 62 МЛН
MAMA KARUME ATEMA NYONGO | NITAMUADABISHA MZEE MAGOMA
9:09
MATOLE TV
Рет қаралды 75 М.
GHOROFA LA KIFAHARI LABOMOLEWA MBEZI BEACH MCHANA KWEUPE
5:17
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
The Story Book: RIHANNA Ni Mtamu Tangu Utotoni
22:25
Wasafi Media
Рет қаралды 448 М.
Nabii Mswahili: Kuniita chipukizi ni kunitusi
4:33
EastAfricaTV
Рет қаралды 343 М.
great comedy very nice video👻🧚‍♂️♥️
1:01
Gültekin Ailesi
Рет қаралды 5 МЛН
Полыхание №2
18:58
Metal Family Xydownik
Рет қаралды 908 М.
Duy Beni 14. Bölüm
2:22:58
Duy Beni
Рет қаралды 3,6 МЛН
ПИРАМИДА  | 5 серия | bayGUYS
17:01
bayGUYS
Рет қаралды 280 М.
аптека этажом ниже панин
0:48
Shorts Master
Рет қаралды 3,3 МЛН