GHOROFA LA KIFAHARI LABOMOLEWA MBEZI BEACH MCHANA KWEUPE

  Рет қаралды 193,813

Millard Ayo

Millard Ayo

4 ай бұрын

Пікірлер: 573
@lydiabochela9363
@lydiabochela9363 4 ай бұрын
Safi sanaaa, kuna watu jeuri ya vihela vyao inawazidi wanasahau kuwa kuna MUNGU mtetezi wa wa nyonge.
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 3 ай бұрын
Ongea machache mungu yupo
@user-ry2ix2pv4q
@user-ry2ix2pv4q 4 ай бұрын
Duuu! Huyu mwenye gorofa angekaa tu aelewane na mwenye kiwanja
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 4 ай бұрын
Asante sana Mkuu hakikisha unabomolea wote wanaovamia aridhi za watu.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Kwa hasara hii, tukiona kiwanja kina mgogoro tusitishe ujenzi.
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
Kwakweli
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Point mkuu
@Maryc2G
@Maryc2G 4 ай бұрын
Kweli kabisa, tusijenge mpaka mahajana au serikali iamue hiyo kesi
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 ай бұрын
Wakati inajengwa walikuwap?
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 2 ай бұрын
​@@alibachirofficial3939ushaambiwa Mama alikuwa anafatilia haki yake,kwa kipindi cha miaka 20 hadi kupata haki yake! Hivyo inawezekana kesi iko mahakamani,yeye bado anaendelea na ujenzi
@divaidachboy2339
@divaidachboy2339 4 ай бұрын
Jmn hap sawa nimeewaelea viongozi kaz nzuri
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 ай бұрын
Msiseme ni wanadamu wamebomoa! Hapo ni Mungu kabomoa.Asanteni Sn.
@SportsRaha
@SportsRaha 4 ай бұрын
Weeeee Mungu ndo anaendesha tingatinga 😂😂😂😂
@nasranasra5348
@nasranasra5348 4 ай бұрын
Lp1😊q​@@SportsRaha¹
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg 4 ай бұрын
​@@SportsRaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani ww
@user-rx4wj3bs8z
@user-rx4wj3bs8z 4 ай бұрын
Safi sana fantastic 👏
@user-lz5it9yn4q
@user-lz5it9yn4q 4 ай бұрын
Huyu si mtu bali ni malaika mlinzi katumwa dunian na MUNGU ❤🙏
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Nimempenda mbomoaji yuko vzr anabomoa palepale panapouma😅jamani Jerry ungeniuliza nikakuchagulia pakubomoa yani umebomoa panapouma😅❤❤❤❤
@ndongojrjr1808
@ndongojrjr1808 4 ай бұрын
Nimekupenda bure
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@kudratkadawi6881
@kudratkadawi6881 4 ай бұрын
❤❤😂
@SmilingBirdBath-uj3cg
@SmilingBirdBath-uj3cg 4 ай бұрын
Hahaaaa lazima tu abomoe pale pale panapouma
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 ай бұрын
Mungu akubariki waziri wenye hela wana dhulumu sana watu uku kisa pesa zao na ukipeleka kesi mahakamani hakuna ufuatiliaji wowote kisa kupewa rushwa 😢😢😢
@geofreykayombo401
@geofreykayombo401 4 ай бұрын
Toa namba yakukupata waziri,na ucheki na pugu kinyamwezi kuna matatizo mengi sana ya ardhi,shida ni mjumbe na mwenyekiti wanausika kwa uuzaji wa mara mbili mbili wa viwanja.kuna baadhi ya wenye viwanja wanashirikiana na hawa wenyekiti kufanya mambo sio,sababu watu wale wale wanasaini hati ya manunuzi,kwa kiwanja kilekile na kipo karibu na office ya serikali ya mtaa,na mjumbe anajua kasaini hati hiyo kwa mnunuzi wa kwanza na mnunuzi wa pili anasaini tena.
@user-mf9tu4yu3p
@user-mf9tu4yu3p 4 ай бұрын
Nahawa wenyeviti wa serikari za mtaa ni chanzo cha migogoro kabisa
@athumanfuko199
@athumanfuko199 4 ай бұрын
huko anakujua sana alikuwa mkurugenzi wa jiji,akawa mbunge,akawa now waziri
@MerLasway
@MerLasway 4 ай бұрын
Z😊Z😅zz😅😊D😊😅😅😅z😅Z😅😊😊😊zz😊z😊😊SXz😊zza😅@@😅😅😅-😅😅Xz😅Azs😊😅😅😊ds😅😊z😅😊z😅Ad😅😅aaaA°°Aaa•°X@☆☆22😊@~😅@😅@😊😊😊#😊😊😊○😊😊😊😊😊😊😊😊‐😊😊😊☆☆😅😊😊😅☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆##☆😊😊😊😊😊😊😊😊😊☆😊😊#😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊-------------------------------‐-------------😊☆☆☆☆☆☆-==☆😮☆😅😊😮○••😅😅😅😅😅😅☆☆•○•😅😅😅😊○☆○○😅😅▪︎~~▪︎~☆😊#№---@😅@@-😅@----😅☆😅😅😊😊•○😅@#-😊😅•-😅--@#-😅•@---😊#@😊☆••9​@@user-mf9tu4yu3p
@AminaAminjay-dv8tr
@AminaAminjay-dv8tr 4 ай бұрын
Safi sana ,nataman hata mimi nifikiwe kwenyehili maana nimezibiwa hadi mlango sijui nipae ama ila naimani mungu atatenda kwa wakati
@fundikilafundi6985
@fundikilafundi6985 4 ай бұрын
SAFI SANA Wazir jer kila la kher kwako Bado Dodoma Jiji.
@happykimaya6631
@happykimaya6631 4 ай бұрын
Asante. Iwe fundisho Kwa matajiri wengine
@edlumala9428
@edlumala9428 4 ай бұрын
Hongera sana Mh Jerry Silaa, kaza
@aminangombo7048
@aminangombo7048 4 ай бұрын
Asante baba mlezi, mkeo Bi. Hadija kafurahi mno kupata haki yake
@user-lk9fy9is5s
@user-lk9fy9is5s 4 ай бұрын
Ahsante sana mkuu 🤝🤝
@user-oe6du3ne3t
@user-oe6du3ne3t 4 ай бұрын
Hongela Sana mku malipo yako yapo kwamung
@user-pq1hy4gh4n
@user-pq1hy4gh4n 4 ай бұрын
Hongera sana iwefundisho kwa wengine,
@fadymoses4994
@fadymoses4994 4 ай бұрын
Nakubali Mr Operator 😅 kivunja vunja ni rahisi sana
@mshanibeatrice7449
@mshanibeatrice7449 4 ай бұрын
Daa nilivyoona linabomolewa moyo wangu uliumia sana kumbe huyu mtu ni mzulumaji ? Hongera wazir ww ndie Rais ujae big up
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 ай бұрын
WAZIRI NJOO MSUMI KUNA WAHUNI WAMEVAMIA SHMAB LA MTU NA KUJENNGA NGOME YA UHALIFU
@sadokikitankula3005
@sadokikitankula3005 4 ай бұрын
Msumi sehemu gani boss
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 4 ай бұрын
Mungu akulinde jerry slaa kazi nikubwa na njema
@safiaothman5175
@safiaothman5175 4 ай бұрын
Hongera Mh.Waziri nami nimevamiwa kiwanja changu Makole Dodoma Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamepandikiza hati katika kiwanja cha mmiliki mwingine wakidai eti CDA ndo walompa na c kweli kwani CDA ilivunjwa mwaka 2017 na kiwanja hicho kilikuwepo hadi mwaka 2020. Hapo kuna mianya ya Rushwa .
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 ай бұрын
Hongera waziri
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 4 ай бұрын
safi sana mkuu wanyooshe wapumbafu wachache wanahalibu sifa ya Tanzania
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe 4 ай бұрын
Nimeipenda
@user-jg5yc9jn1u
@user-jg5yc9jn1u 4 ай бұрын
Hongereni San haki saw Kwa wote
@ashanziku3498
@ashanziku3498 4 ай бұрын
Safi sana. Wanasumbua. Sana na vihela vyao
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kwel kabisaa safi sanaaa
@SalumSleiman
@SalumSleiman 4 ай бұрын
Asante Mama Samia Suluhu kwa kutugombania sisi wanyonge na kupata haki zetu
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 4 ай бұрын
Kakugombia kwa kipi hapo Ovyooo
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Mmmmh😢😢😢unaweza ukafa,Kwa Jin's ninavyofahamu gharama za ujenz
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y 4 ай бұрын
Demolition siyo sawa kwani watoa hati ni watumishi ndani ya wizard yako
@GersboyOfficial
@GersboyOfficial 4 ай бұрын
Kuna viboss uwa vinadhani pesa inafanya kila kitu Sasa kazi ndo hii hapa
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 4 ай бұрын
Hawatosheki na halali halamu pia haitofaa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 4 ай бұрын
Haswaa awatoshekii
@Yusudav
@Yusudav 4 ай бұрын
Mgeomba alipe pesa ya kiwanja ila sio kubomoa nyumba😢
@hamisaally968
@hamisaally968 4 ай бұрын
Miaka karibia 20 anapigania haki yake kwa nini alijengaa kwenye kiwanja chenye matatizo
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 4 ай бұрын
Ameshaambiwa amegoma
@MasatuElly-kr4hj
@MasatuElly-kr4hj 2 ай бұрын
Shida Nini tena🎉😊
@chidi_don
@chidi_don 4 ай бұрын
Dah sio poa kabisa bro 😮
@kheirdulla9046
@kheirdulla9046 4 ай бұрын
Kwann wasingekubaliana akamlipa pesa kuliko kutiana hasara hivi
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 4 ай бұрын
That's true"vitu vingine vinahtaji busara sio kukurupukaa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 ай бұрын
No .. alitumwa ajenge?? Alivamia kiwanja akatumia ubabe akajenga bila kibali wala kujali haki ya mwenzake .. na hapo saa hizi amesharaiwa sana pengine wayamalize kama wewe ulivyo shauri ila itakuwa ameendelea kuonyesha ubabe na kutotoa ushirikiano na kutishia watu maisha .. mwache alinywe alilolikoroga.
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 4 ай бұрын
@@badmanno.1650 kwa upande mwngine ni sawa kabsaa
@hancemagembe6260
@hancemagembe6260 2 ай бұрын
Hataki hela anataka eneo lake ili ajenge akae kwenye ardhi yake
@issalyanali4119
@issalyanali4119 4 ай бұрын
Safi sana
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini 2 ай бұрын
Jamani si wange msettle huyo Naomi wamlipe...kweli mnavunja nyumba yote hiyo duh😢
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 4 ай бұрын
Hongera wazir kumbuka pia uchawi upo afrika
@johnbenedicto8935
@johnbenedicto8935 4 ай бұрын
Uchawi unadunda
@deodadeo2016
@deodadeo2016 4 ай бұрын
Mbona Tenesko hawajatoa nyaya za umeme....😂😂😂😂😂....uuwii
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Ngoja kiwalambe
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 4 ай бұрын
Umemewenyee umezima😂😂😂
@user-yv1dw6cu9k
@user-yv1dw6cu9k 4 ай бұрын
👋👋👋👋👊👊safi sana waziri safi sana
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 4 ай бұрын
Safi sana!! Waziri ,I see the return of JPM💪💪 ,Piga kazi Baba maombi yetu yako na wewe.
@jacklinemolleli5238
@jacklinemolleli5238 4 ай бұрын
Jpm alivunja nyumba ngap
@mwanawetuamiri6747
@mwanawetuamiri6747 4 ай бұрын
Safi sana kiongozi wetu sasa hivi hakuna tena janja janja
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 4 ай бұрын
Yaan ingekuwaga hv Kila siku. Watu wangeacha kudhurumu watu
@vickysteven1172
@vickysteven1172 4 ай бұрын
Kweli
@123kerim23
@123kerim23 4 ай бұрын
Hio miak ishirin serikal ilikuw wapi kam sio rushwa zilikuw zinapita tu
@aminitu3766
@aminitu3766 4 ай бұрын
Duh ningependa maridhiano kati ya aliyejenga na mwenye eneo Sijui Kama Mlitoa tangazo Kama serikal kwamba tofauti Kati ya mwenye eneo na mjengaji kwamba jengo lake litabomolewa asipokubalikuridhiana na mwenye eneo ndipo ichukuliwe hatua ya kubomoa (serikali iwe ni hakimu kwa pande mbili maana hawa wte ni WA Tanzania Kama amekataa kuridhiana na mwenye eneo ndiposa hatua ka hizo zichikuliwe wazir nashauri Sana kwa waziri pande mbili zenye mgogoro wa ardhi ni vyema kuwakutanisha hao watu na mwenye Haki akibainika bac asiyehaki aombwe kuridhiana na mwenye Haki akikataaa bac zichikuliwe hatua hizo making tukiona majengo yanabomolewa hatusikii vizur tunapenda maridhiano kuliko hatua hizo maridhiano yakishndikana bac serial ifanye yake
@hamisaally968
@hamisaally968 4 ай бұрын
Inaonekana watakuwa walimpa taarifa alavyo inavyoonekana ndo tabia yake sehemu zote tatu
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 4 ай бұрын
Hawawezi kuvunja nyumba bila kukaa meza Moja:huenda majeuri
@Maryc2G
@Maryc2G 4 ай бұрын
Mimi nafikiri Kingę fantoma kitu kingine zaidi ya kubomoa nyumba hiyo, for economical reasons kuna mambo mengi yangefanwa, hiyo haikuwa right decision kabisa, solution ziko nyingi sana, kubomoa nyumba ya Ghana I kama hiyo ingekuwa last result. Ni ushauri tu
@GeorgeMushi-ft4xm
@GeorgeMushi-ft4xm 4 ай бұрын
Kwanini ukajenge kwamtu alafu utake Suluhu
@mgonasipapune1383
@mgonasipapune1383 4 ай бұрын
Na huyo mtu inaonekana ni kawaida yake.
@hallin9561
@hallin9561 4 ай бұрын
Bado sijaona ghorofa la kifahari apo, sema nyumba ya ghorofa moja
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 4 ай бұрын
Sawa tajiri!
@wisperfect5320
@wisperfect5320 4 ай бұрын
Kwa ww mwenye pesa ndio huoni
@njiaya6833
@njiaya6833 4 ай бұрын
kwa hili Mungu akubariki maana MUNGU apendezwi na dhuruma na dhuruma ni nyingi katika ameneo ya nchi hii hasa watu wanyonge wanaonewa na wenye nacho
@luizavankilasi9030
@luizavankilasi9030 3 ай бұрын
Mungu akubariki waziri
@chackym4416
@chackym4416 4 ай бұрын
Kwan broo hujaenda msibani
@Dipeson700
@Dipeson700 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@vikramlufunyo5832
@vikramlufunyo5832 4 ай бұрын
Tunamshukuru mh rais
@user-qm3pi7vx9u
@user-qm3pi7vx9u 4 ай бұрын
Daaah siyo poa kbx aisee
@user-ou8sp5bb7n
@user-ou8sp5bb7n 4 ай бұрын
Kwa kweli wenye nguvu wametuumiza sana
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 4 ай бұрын
Mungu amemsikia mweny kiwanja chake
@aneth520
@aneth520 3 ай бұрын
Mungu mkali sana, hasiye haki hataishi eneo hilo, maana litakuwa mateso na laana, Maana Mungu ndiye anayemjua mwenye haki
@jumatamimu6841
@jumatamimu6841 4 ай бұрын
Pole kwa dhuruma
@Immahjr
@Immahjr 4 ай бұрын
Duh mungu awasimamie 🙌
@Zaburi-
@Zaburi- 4 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@EmmanuelMajele-ny2hk
@EmmanuelMajele-ny2hk 4 ай бұрын
Good sana
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 4 ай бұрын
Safi sanaMunguhakulinde
@user-xr5xx7bq3p
@user-xr5xx7bq3p 4 ай бұрын
❤viziri,,sana,❤❤❤❤
@samsonkisanga8587
@samsonkisanga8587 3 ай бұрын
Msibomoe nyuma yanguu...😂😂😂 ole wake
@bonabonala5559
@bonabonala5559 4 ай бұрын
safi jisafisheni ccm inchi imekua ya matajiri mwenye psa atishwi na sheria za leo ndio maana tunaitaji katiba mpya mihimili iwe imara kuriko leo kuna memo wana sema unanijua mimi nani?? sababu mtu wa ccm inakua shida kama huku kinondoni kuna mama anasumbuliwa na try agein kiwanja chake
@yusuphjafarijr7583
@yusuphjafarijr7583 4 ай бұрын
hiii serikali niya ajabu sana tena sana
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 4 ай бұрын
Ulitaka nin kifanyike apa.
@abujafarshaban6830
@abujafarshaban6830 4 ай бұрын
The Next president of Tanzania ❤SILAA
@saidipara4134
@saidipara4134 2 ай бұрын
Tunajua na wewe watakuuwa.lakini habali wameipata 👍
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 ай бұрын
Safiiii, nimefrahi sana,kuna watu wamedhulumiwa mali zao jamani 😢😢😢
@user-mn5us5ln7t
@user-mn5us5ln7t 4 ай бұрын
Habari mkuu tunaomba uje uku mtaa wa darajani.mikocheniA ccm Kuna mtu amejenga katikati ya njia anasema ni kwake na mahakama imempa na ni barabara ya maji mvua zikinyesha saizi mvua zikinyesha maji yanaingia majumbani kwetu..kisa ana ela.
@JumaSetumbi-sq9hr
@JumaSetumbi-sq9hr 4 ай бұрын
Safi sana iyooooimeenda kabisa
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 4 ай бұрын
Jamani greda si mngeongea akawanunulia enjoy nyingine😢😢
@user-ct1qv5cr6w
@user-ct1qv5cr6w 4 ай бұрын
Ongera Tanzania. Kenya kama hauna pesa utateswa mpaka utoroke 😂
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 4 ай бұрын
Nakweli 😂😂
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr 4 ай бұрын
Msaada mimi nishaga poteza eneo la marehem mzee wangu huku mkoa wa shinyanga maeneo ya chembeli didia naomba msaada wenu niweze pata haki yangu pia mzee wangu aliwawa na watu miaka ya nyuma naomba msaada jamani please 😢😢
@tomasjilundumo865
@tomasjilundumo865 4 ай бұрын
Noma sana
@peterwanjohiwangirasta8734
@peterwanjohiwangirasta8734 4 ай бұрын
Bomoa nyumba kama izo kabisa Mataji wanajifanya juu wako na pesa uyo masiki amepa haki 🙏🙏🙏
@user-rr8sd2gx2e
@user-rr8sd2gx2e 4 ай бұрын
Binafsi nafikili kingesaminishwa kwa fedha na kumlipa huyo mama mmiliki halali sio kubomoa, bora hata iuzwe na pesa akapewa mmiliki halali. Maana mwishoni mwa siku hata huyo mama naamini atakiuza hawezi kukaa hapo kwahicho kinachoendelea, maana mtu anaweza kupanga kisasi cha ulimwengu huu wa mwili au ulimwengu wa giza. Dunia hii.
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
Sasa nani analipa?
@user-rr8sd2gx2e
@user-rr8sd2gx2e 4 ай бұрын
@@Zuu673 Mmiliki aliyevamia amlipe mmiliki halali.
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
@user-rr8sd2gx2e yani hatua ya kuvunja kitu ni yamwisho kati ya zote ikiwemo na vikao vy maelewano na muhusik kuto ikubali hatma sheria zote zinafatwa,anko wangu kibosho alijenga kwenye shamba la watu tangu mwaka 2016 vikao walikaa sana lkn yeye hakutaka chochote zaidi yakuendelea kuishi pale meisho hadi kwenye vikao vingine hakufika kabisaaa na serikali ilichukuwa sheria na ilivunjwa mmiliki akapewa haki yake ndo ivyo iyo ya miaka mingi ivyo walizungushana saaana ivyo wamemchoka hataki kushirikiana na wenzake
@yokimrossie3536
@yokimrossie3536 4 ай бұрын
Naumia 😢japo Hana haki😂
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 4 ай бұрын
Jamani singeongea mkalimaliza maisha yalivyo magumu nyumba ya vyumba vitatu naijenga kwa miaka nasijaimaliza 😢😢
@user-mz6lq3gr9l
@user-mz6lq3gr9l 4 ай бұрын
Weeh Acha tu mimi nina kiwanja tu nataka tofali mia8 na sizipati japo nipate chumba na sebule
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 4 ай бұрын
Hapo Jerry inaonekana ana bifu na huyo aliyenga nyumba
@vickysteven1172
@vickysteven1172 4 ай бұрын
Sio kweli ​@@ananiamwatebela3159
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 ай бұрын
Hujadhulumiwa ndugu kwa miaka 20 mtu kang'ang'ania mali yako halali?hapana kwakweli hapo haki imetendeka @@ananiamwatebela3159
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 ай бұрын
​@@ananiamwatebela3159hakuna cha bifu kuna waporaji makatili wakivunjiwa mnajifanya kulia huruma na kusema bifu mfikirie aliyeporwa kabla hujasema
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Waziri upo sahihi sana wenye pesa wengi wananyanyasa wanyonge
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 4 ай бұрын
Watu wamedhulumiwa sna viwanja hasa wajane mbezi beach
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 ай бұрын
Mwalobaini umefika lilikuwa swala la mda ,
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 4 ай бұрын
@@salumjumaruhaga2513 sana
@p.phareskalalu5924
@p.phareskalalu5924 4 ай бұрын
Waziri ana mamulaka ayo ni mahakama pekee
@njemamehuna9821
@njemamehuna9821 4 ай бұрын
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana
@user-rl8ft3cu2q
@user-rl8ft3cu2q 4 ай бұрын
uwi
@patriciamakoye1546
@patriciamakoye1546 4 ай бұрын
Mfalme suleimani aliomba apewe hekima,waziri angetafuta suruhu
@ireneanania9714
@ireneanania9714 3 ай бұрын
Sasa na ww hapo kwa akili zako ulitaka afanyaje 🙄
@directordelpierrofilmz
@directordelpierrofilmz 4 ай бұрын
Wengine tunataka nyumba kama hizi wengine wanabomoa😢😢😢😢
@mariandesario6468
@mariandesario6468 4 ай бұрын
😂😂😂 yaani ingekuwa inabebeka😅
@vibetz9991
@vibetz9991 4 ай бұрын
Huyu katumwa na mungu kabisa
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 4 ай бұрын
Jiongeze uchaguzi huo acha wapate uone kama watatembea sehem nimekaa pale😢😢😢😢
@barakanatus5676
@barakanatus5676 4 ай бұрын
Tumuombee
@lucynyalagu3799
@lucynyalagu3799 4 ай бұрын
Mh.Waziri Jerry Slaa Barikiwa sana kwa kutenda haki ,karibu Kata ya Kwembe mtaa wa Kwembe kati kuna madudu Wilaya ya Ubungo ninakusubiri kwa hamu asante Mkuu
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 4 ай бұрын
Hiyo ni laana ni bola wangekubaliana tu . Kuliko kibomoa
@hassanbukambu931
@hassanbukambu931 4 ай бұрын
Wakati anajenga kadhulumu ilikuwa anafanya baraka
@Joliegal834
@Joliegal834 4 ай бұрын
Jaman mama emmmy pole sana
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 4 ай бұрын
Awo wananyumba zaidi ya 20 ani apo ata plesha hana😂😂😂😂
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Mama alivochanganyikiwa hivo, hata uwe na noti hiyo ni hasara.
@dudemussa6715
@dudemussa6715 4 ай бұрын
Ya Kaisari apewe haki yake, na pilato pia apewe haki yake.
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Subhanallah
@martinwangwe8966
@martinwangwe8966 4 ай бұрын
Tatizo linaanza kwenye sheria sio mtu.Mbona ulaya hatuoni mtu anaingia tu eneo la mtu
@Happy-yk3lv
@Happy-yk3lv 3 ай бұрын
Ulaya kuna viwanja dada 😂😂😂 U
@mtotowamanka
@mtotowamanka 4 ай бұрын
nasikia bunju, tegeta kasisitiza tena anarudi bunju na bado ila kinondoni lakini kwa sisi,huku mikoani hakuna😢😢😢
@joneydomin6708
@joneydomin6708 4 ай бұрын
Hatimae shangazi yangu Naomi kwayu kapata haki yake .MUME wake ambaye ni MAREHEMU alinunua kiwanja MIAKA mingi mno .
@SmilingBoaSnake-hx3gp
@SmilingBoaSnake-hx3gp 4 ай бұрын
Waaah! Sio poa walai
@nduwayesuwilson7638
@nduwayesuwilson7638 4 ай бұрын
👏👏👏👏
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 4 ай бұрын
Nimekuelewa mkuu.tenda haki.nilikua sijaeleawa
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 4 ай бұрын
Kesho mmilik wa nyumba akishinda kesi mlipaji ni serikal hawa viongoz huwa wanakurupuka sana nasema me
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Duh hawajaenda mahakamani?
@vampatz7795
@vampatz7795 4 ай бұрын
The power of Jesus❤ haki ya mtu ni ya mtu2
@hbmussa9825
@hbmussa9825 4 ай бұрын
UYO DADA ANAVO; NGEA ANAFAA KUWA MUIGIZAJI RAMATA AJAMUONA😂
Jumba La Kifahari Lafurumishwa Na Bomoa Bomoa Dar
2:54
SIMU. Tv
Рет қаралды 180 М.
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,8 МЛН