MTOTO ALIYEKATALIWA NA MZEE YUSUFU AONGEA KWA UCHUNGU - "TUKAPIME DNA, NIKO TAYARI KWENDA JELA"

  Рет қаралды 246,000

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MTOTO ALIYEKATALIWA NA MZEE YUSUFU AONGEA KWA UCHUNGU - "TUKAPIME DNA, NIKO TAYARI KWENDA JELA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 000
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 Жыл бұрын
Mungu atakupa maisha mazuri saaaana mudogo wangu achana nailo lize lijaa lana mungu amulani
@janetchinga695
@janetchinga695 Жыл бұрын
Kijana muombe mungu basi niwengi watu walioishi dunian bila baba😢😢
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Kwasababu unaye baba
@aminaseha5043
@aminaseha5043 3 ай бұрын
Ushukuru mungu kama ni kweli atalaanika
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
Mimi sipendi sana kuandika comments lakini huyi Mzee Yusufu ana maneno mengi sana ya ovyo, yote haya ni kwa sababu hataki kufanya DNA. Vibaya sana kwa wazazi kama hawa, bora kufanya maisha yako kijana. God is on your side son, you don't need such kind of people in your life.
@hatujuanisalum9354
@hatujuanisalum9354 Жыл бұрын
Wamefanana vibaya mno
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
P
@maryw2157
@maryw2157 Жыл бұрын
Do the DNA so he can have peace of mind.
@llucylful
@llucylful Жыл бұрын
Wamefanana kabisaa
@user-bu1dn4or5b
@user-bu1dn4or5b Жыл бұрын
Ina onekana alikua na wanawake wengi adi hawa kumbuki
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Yani fanya maisha yako tu mdogo wangu, huna aja ya kupoteza gharama, uyo mzee kama nimuungwana angekuwa tu Mpole.
@zahraswalehe1853
@zahraswalehe1853 Жыл бұрын
Angekuwa ana maisha asingemkana ila Mungu analipa achana naye huyo si baba anakana damu yake
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@fatumasaid7421
@fatumasaid7421 Жыл бұрын
Mh vichekesho anajifanya mtu wa Sheria yamungu kweny hili mbona alimkana mungu akarudi Kwa ibilisi nyia hamshangai dadida?kamkana munguwake itakua mtoto
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 Жыл бұрын
Dogo tafuta hela zako, maisha yako yakiwa safi hakuna wakukubabaisha. Baba ako ni Mungu.
@zomasamweli
@zomasamweli Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@dorisebennezer8462
@dorisebennezer8462 Жыл бұрын
Hilo ni neno nimekukubali
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@user-ns4oj9cw1j
@user-ns4oj9cw1j Жыл бұрын
Niko nawe from Yemen yanetukuta
@user-ns4oj9cw1j
@user-ns4oj9cw1j Жыл бұрын
Baba no mungu bwanaaaa
@chaurembo9379
@chaurembo9379 Жыл бұрын
Mtoto wake lkn kwa jinsi avomkataa bora kijana afanye maisha yake tuu
@hiddenbway_
@hiddenbway_ Жыл бұрын
Shida watoto wakitoboa wakiwakataa wazee kama hao mnaanza kuwa simanga😢
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Yani mzee muongo sana na inaelekea anawatoto wengi sana🤣🤣
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Yeah!!
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Halafu hataki kisikiliza anajifanya mkali balaaaa anajikuta anakimbilia sheria🤣🤣🤣
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Mzee utasema anaimba taarabu🤣 hataki kiskiza watu wanaongea nn
@TwahaMukhsin
@TwahaMukhsin 2 ай бұрын
Pole xn kaka angu ww mwachie mungu atakuinexha njia mzuli uyo mzee amexhindikana kwa kwer mumefanana xn
@RasulyOthuman-bb6mm
@RasulyOthuman-bb6mm Жыл бұрын
Huyu mzee yusuph mshenzi sana kama alienda kuhiji na akaapa kuacha mziki matokeo yake ameludi kwenye mziki, ina maana kamuasi mwenyezi mungu na ashindwi kumkana mtoto
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
Umeonaeeeee
@maryharoun2853
@maryharoun2853 Жыл бұрын
Kwani huyo mwanamke alimtaja Mzee Yusuph maana msilaumu tuu.
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Mungu amuonyeshe baba yake sahii nae afurahie maisha yake
@Eaglemedia-o6i
@Eaglemedia-o6i Жыл бұрын
Mzee yusuph,hauelewi chenye unafanya,huyu mwenye unamkana,utamwiitaji siku Moja,nakuombea Mungu akupe maisha marefu ya uzee ndio ithihirishwe waasi
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Kuwa na moyo kama wamondy tu mwanangu kuwa bize na maisha yako!
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Naam upo sahihi maneno yako inshaallah kher
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Ila vijana wa tz
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Huyu anamtafuta mzee yusuph kisa njaaa DNA Sawa mwanangu kaaa mbali
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Alafu akishapata DNA ndio nini sasa
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
@@dottomsuya6597 mzee mwenyewe hana mpunga ndiyo maana hasira nyingi anajua majukumu yataongezeka🤣🤣🤣
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Mzee maneno mengi uongo mwingi Mungu yupo
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Mzee amepanik
@fatmaomari7824
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Atamwamini nani kipindi kile alienda hijja mwisho kasema kaacha mziki lkn karud kwenye ufusika tena
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Ewa anaongea kwa hasira hajui mwisho wa ubaya aibu, anajuwa kila kitu kwenye moyo wake bas tu hakumpenda uyo mtto na hata ikikubalika km ni wa kwake bas atamchukia ndan ya moyo wake.
@DotoSimbe-de6ir
@DotoSimbe-de6ir Жыл бұрын
Kuma wewe Mzee Yusuf motoni kataa Malaya sio mtoto
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 6 күн бұрын
Achana nae mie Mt wangu pia baba mtt wangu hamtaki mwanangu nimempotezea anaitwa ussi ali ussi nimemuwachia mungu anisaidie to
@user-gv1op1oh2c
@user-gv1op1oh2c Жыл бұрын
Mzee yusufu mungu anakuona umeniliza sn leo
@FloranceLuqman-cg7qm
@FloranceLuqman-cg7qm Жыл бұрын
Nimesikia uchungu jaman huyu kaka anadhalilika pasipo na sababu amwachie Mungu tu atamlipia hamna haja ya kudhalilika namna hii 😭😭😭😭😭😭
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Anayedhalilika Ni baba wa mtt,😂😂😂
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@josephinenkembo2648
@josephinenkembo2648 Жыл бұрын
Yani dah,😭😭😭
@MwanamasAli
@MwanamasAli Жыл бұрын
😢😢😢
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Kweli vo lkn😢😢😢😢
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg Жыл бұрын
Mimi nakushauli tafuta maisha yako silazima umtafute baba wakati ujazaliwa ndani ya ndowa achana nae awezikuku bali mtoto wamnje anakuwa wamama tu
@HappyHiker-nz9vg
@HappyHiker-nz9vg 3 ай бұрын
Subuhanaallah 😢😢😢 mitihani wallahi
@user-mf7tz4go2x
@user-mf7tz4go2x Жыл бұрын
Kama mtu kamhadaa mungu kuwa haimbi tena mbona kumkataa mtt ni kawaida tu
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Kbs
@rukiamasayanyika2284
@rukiamasayanyika2284 Жыл бұрын
Ukweli ni kwamba familiar ni tamu na ndo maana huyo mtoto anajaribu kutafuta utamu wa baba jamani, Mzee aYusuph Mwenyezi mungu anatuamlisha tuwarendee wema hao watoto
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
HUYU MTOTO ANAFANANA SANA NA MZEE YUSUPH.
@aloycelucas1823
@aloycelucas1823 Жыл бұрын
Ujana maji ya Moto na mimba haiingii kwa cku mbili, ukweli upo kwenye kupima DNA boss kubali kupima ili yaishe!!!!!!👩‍🚀👩‍🚀👩‍🚀👩‍🚀💗
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 Жыл бұрын
Huyo mtoto angekuwa tajiri alafu amtafute mzee ange sem ni wangu ALLAH ndiye anajua bx kija ww muacha kam hakutaki usifosi fanya maisha yk
@user-lz7zl9mw7u
@user-lz7zl9mw7u 2 ай бұрын
Duuh
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Kuna watu wanajiweza hiv baba asinijali utotoni Nije kumtafuta ukubwan wa Kaz gani
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Kwasababu unaye baba
@happymakala7216
@happymakala7216 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana una mawazo mazuri .
@happymakala7216
@happymakala7216 2 ай бұрын
Safi sana
@trillionthamani
@trillionthamani Жыл бұрын
Kujikuta katika hali hiyo,unachokihitaji cha kwanza ni kuhitaji kuijua vizuri history yako ya kweli.boy anabusara sana
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 3 ай бұрын
Yeah, nilitaka kusema kuwa huyo dogo yuko makini na ndio ana busara, anakwenda na points
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Angeenda kupima nae DNA issue ya kufanana haimfanyi mtu kuwa mtoto wake kufanana watu wanafanana na watu ambao hata hawajawahi kuonana nao kabisa wakapime DNA kupata uhakika
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 Жыл бұрын
Damu ni nzito mno na Mungu hatakuacha ufurahie maisha maana kwa kuikana damu yako
@AishaSaid-yg1ou
@AishaSaid-yg1ou Ай бұрын
Huyu si kufanana tu..yeye kaambiwa na mama yake..na mama ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto..
@user-tv1tl7ln1q
@user-tv1tl7ln1q 11 күн бұрын
Achana naye pana mungu ATA Kupa Maisha baba inshallah
@user-cl9hg3uc8e
@user-cl9hg3uc8e Жыл бұрын
Mimi ni mama wa mtoto 1 nanimetelekezewa mtoto wangu nalea mwenyewe ina ninachojisikia juu ya huyu kijana wallah mzee yusufu kama anamfanyia uyu mtoto ukatili namuomba mwenyezi mungu amzalilishe hapahapa dunian na ata akhera laana mkubwa uyu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Huyu mtoto niheri afanye maisha yake tu mbona umeshakuwa mkubwa wewe fanya mambo yako
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Жыл бұрын
Mzee Yusuf acha unafki una mdogo wako wa kiume yupo kama huyo mwanao unaemkana mdogo wako michenzani pale yupo km huyo tena bora mwanao anaongea naeleweka mdogo hawezi kuongea vzr hat akiongea umuelew muogope Mungu mwanaume ww umeenda maka umekuja kuharbu duniani unamdanganya had Mungu
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Kumbe Kuna ndg yake anaongea Kama dogo huyu
@happypiusi3801
@happypiusi3801 Жыл бұрын
Inamaana yusuph.malaya Sana Hadi hajui wanawake aliolala nao
@zaramunir8238
@zaramunir8238 Жыл бұрын
Kwa nini wakilii??? Huyu siyo muislam kwanini ana roho ngumu hivi Subhanallah 😢
@fridageorge2809
@fridageorge2809 Жыл бұрын
Jamani ni shida za ulimwengu ndio zinazomzalilisha huyo kijana angekuwa anajiweza asingemtafuta mtu anayemkataa msaidieni huyo kijana anachokitaka ili aishi kwa utulivu! Mwnyezi Mungu amsaidie!
@mchinatz9335
@mchinatz9335 Жыл бұрын
Wewe mzee ulaaniwe na mungu
@BashiruSelemani-sk5rs
@BashiruSelemani-sk5rs 3 ай бұрын
Picha za ngono
@FaridaIsaya
@FaridaIsaya 2 ай бұрын
Naumia sana starehe wafanye wao mtoto ateseke kwani hata kama co wake wanafanana amchukue tu hayo ni maisha 2 mi hata ckuelewi mzee yusuph tena hata anachokiongea ni utumbo tu na mungu wetu sote atamfungulia motor njia one love mdogo wanguuuuuu
@eliasmanyama7874
@eliasmanyama7874 Жыл бұрын
Ani we mzee Ni mjinga kweli, mungu akiamua kuwapukutisha wanao wote uliozaa kwa ndoa, si utakuja kumpigia magoti huyu unaemkataa, maana hata haujui mwanao atakaekuzika Ni yupi
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Subhanallah, mtihani, Mungu akufanyie wepes mtto wangu hii dunia inamengi.
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
Uhu,!!🙆‍♀️Sura tu inajieleza haina haja ya DNA, Mzee Yusufu Anajichanganya,Mungu tupe uhai tulee Watoto wetu tuliotelekezewa Had Wakue Duh!!! Inaumaa Sn😢
@maryharoun2853
@maryharoun2853 Жыл бұрын
Duniani wawili wawili Mimi nimefanana na mtu Muhimbili na Wala hatuna mahusiano.
@godlovemahenge7448
@godlovemahenge7448 Жыл бұрын
Fanya mambo yako ndugu yangu achana naalie kukana mungu hamtupi mja wake
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 Жыл бұрын
Mzee Yusuf, hivi ulitaka picha yanini wakati mtoto huyu unafanana nae? Wanaume acheni kukataa watoto wenu ni aibu! Ni shida ni kichefu chefu.
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Mungu wangu wamefanana sana .mzee yusuphu hii ni aibu kwako namungu atakuuliza tu .
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we Жыл бұрын
dogo achana na huyo mzee yusuph ni mwanaume kama wanaume wengine ila hafai kuwa babako,we kaza tafuta pesa umri bado ipo siku utampata baba hata wa bandia kwani baba kitu gani?baba mwenyewe ana watoto dunia nzima hana jipya kwa sasa unamng,ang,ania wa nini? fanya kama alishakufa tu.Nimesikia uchungu jaman ila wanaumeeee 😢
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Mimi ningekuwa mawe Yusufu,ningekubali mtoto wangu ,maskini thawabu hiyo ,hata siyo wako,mleye thawabu Allah atakupa, it is so sad 😞
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og Жыл бұрын
Ndugu yangu 2pambane mm mwenywe nilikataliwa na mzee wangu ila maisha2 2pambane
@hawahawa8441
@hawahawa8441 Жыл бұрын
Mtoto wake kweli wanafanana kilakitu jmn
@damianmalley8675
@damianmalley8675 Жыл бұрын
Hahhhhah😂😂😂😂😂 Nmecheka kweli😂😂😂😂😅😅
@LucyHuseni
@LucyHuseni Жыл бұрын
Jaman namuomba mwenyezi mungu Hawa watoto wanaokataliea nawazazi wao wawe matajir kupita maelezo amina
@user-dg4zc2un1y
@user-dg4zc2un1y 3 ай бұрын
Amiin
@user-bd8ss6sp1e
@user-bd8ss6sp1e Жыл бұрын
Mungu ndio anajua hivi kweli hiyo sura anakataa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Aibu kweli mzee yusuph acha ujinga Mungu hawez kukusaodia Wala kukubariki hiyo damu ykoo
@deeruta9894
@deeruta9894 Жыл бұрын
Its so sad kabsa
@trizereve3386
@trizereve3386 Жыл бұрын
Maskini so sad vile kutafuta ujauzito nishida
@user-gb1oh9vk9f
@user-gb1oh9vk9f Жыл бұрын
Kuwa na roho ya chibu mungu ata ku bless😢😢
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Jaman 😢
@deeruta9894
@deeruta9894 Жыл бұрын
Kitanda hakizai haramu na mtoto hana makosa yoyote hapo, so sad mzee yusufu mpumbavu tu😢😢😢😢. Unakataa vp damu yako
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Turekebishana kwenye msemo wa kitanda hakizai haramu, maana yake mke na mume waliooana ikatokea mwanamke akazaa mtoto akiwa ndani ya ndoa na sio wa mume wa ndoa ndio wazee wakija kusuluhisha wanamwambia yule mume kitanda hakizai haramu kwa maana huyu Mke wako mnalala kitanda kimoja na mtoto mkubali kitanda hakizai haramu, msipotoshe msemo
@deeruta9894
@deeruta9894 Жыл бұрын
@@darajalakidatukilomgi2362 but hakuna mwana haramu bali kuna kitendo cha haramu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@darajalakidatukilomgi2362. Kweli. Nawazee hutumia kitanda hakizai haram kwa sbbu kidini ya kiisilam mke alokua ndani ya ndoa akipata uja uzito wa nje na ushahidi uwepo mpaka wa DNA lkn sheria ya kiisilam ni wake. Na Yule alompa mkewe ujauzito hua mtto si wake hata km DNA itaonyesha kua ni wake.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
@@deeruta9894 kweli hakuna mwana haramu, umezaliwa msafi waliotenda kitendo cha uharamu sio mtoto
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
@@Fear_Allah394 Asante umeelezea vizuri sana, sheria imekwenda mbali hata mke akiondoka bila Talaka wale watoto wa mume wa ndoa
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 Жыл бұрын
huo muda wakumtafuta baba asokutaka nibora ungetafakari nn ufanye mdogo wangu
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Nafikir anataka kujua ukoo wake
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Жыл бұрын
Saa nyingine waitafuta ukoo kumbe waitafuta balaa yani kama ni nimsikivu wa maoni ya watu angewachana na huyu Mzee
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Ss wazanzibar mtt ukizaliwa nje ya ndoa mama hiyo ni zawadi yako dogo pambana na hali yako kuliko kupita Maredio kumzalilisha mzee wa wezio
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
@@rizikiabdalla2501 kumbe Zanzibar sio Tanzania
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Жыл бұрын
Kama wazanzibar ni hivyo mtoto wa nje ya. Ndoa hakuhusu lakin zinaa inamhusu alilima akapanda mbegu hayo mavumo yake kina na akhera nayo yatungoja Allah atuongonze
@pacchoamasitv
@pacchoamasitv Жыл бұрын
Hao wanajuana tuu 😂😂😂 mpaka kamsaidia kumbe😂😂
@CharlesNdege-om5oe
@CharlesNdege-om5oe Жыл бұрын
Duh!! Wanafanana sana, Mzee Yusuph achukue mwanae huyo ni damu yake
@stelayunami7779
@stelayunami7779 Жыл бұрын
🥲🥲Anavyomkana jamani mbona kafanana nae sana tyuu,,,
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MBONA UNA HEPA DNA MZINIFU WEWE.
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 Жыл бұрын
Mambo juu ya meza. Mbwa. Mbwa. Mbwa, mzinifu mkumbwa hiyo. Hahahaha.
@user-dg4zc2un1y
@user-dg4zc2un1y 3 ай бұрын
😂😂😂😂ATI mizinifu
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 2 ай бұрын
huyu mzee alikuwa kipindi kile moto sana wanawake walikuwa wanakuja wenyewe wanakupa utamu huyu dogo wako
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Dah kijana fanya maisha yako mzee hakutaki kwasababu huyo mzee kasema hata dna haitasaidia kitu
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Kijana Muachie Mungu Ndie Akimu WA Yote Uzima Ndio Muimu Sana Pambana Na Mungu Atakupigania Insha Allah
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Tafuta pesa mwanangu yeye ndio akutafute lakini huyo Mzee yusuph ni Baba yako
@amanichidyboy2900
@amanichidyboy2900 Жыл бұрын
Mzee anajua km ni mwanae kbs
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 18 күн бұрын
Kijana mungu atakusaidia hachana nailolizee lipumbavu hinamaana ww lizee kwani kawaacha wanaume wangapi kuja kwako
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
Mtoto fedhuliiiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lydialidike3029
@lydialidike3029 Жыл бұрын
😭😭😭pole sana kaka yangu hata mimi sina papa nakuelewa sana 😭😭😭😭😭
@rushdamohammedi
@rushdamohammedi Жыл бұрын
Achananae nibola mama co baba we w nimtoto wakiume ni babatosha
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Mzee Yusufu mbona unatoka kipovu mtoto ni wako hata DNA aipindishi
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
😂😂lake hili
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Mzee Yussuf ana maneno mengi ila huyu mtoto ni wake wanafanana sanaaaaa
@FatumaBakari-qo6up
@FatumaBakari-qo6up 2 ай бұрын
Mnapozini sheria dini hamuioni kwenye matokeo mnaona maandiko ya mungu
@abdallahmkubwa1796
@abdallahmkubwa1796 Жыл бұрын
Tatizo ww mzee Yusuf umeritad na ndio maana hapana mtu atakae kuamini
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Sasa Dida wewe si mke mtarajiwa wa Mzee Yusufu mpokee mtoto wa mume wako mtarajiwa😂😂
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Жыл бұрын
🤣🤣 Alaa kumbe da dida Hana neno kama kina ukweli hapo in sha allah atamshaur atamsikiza
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
Makubwaa
@yusuphmatinya8560
@yusuphmatinya8560 Ай бұрын
Fatamaishayakodogo mungu yupo wengi hawana baba
@user-dr1pf3hx2e
@user-dr1pf3hx2e 4 ай бұрын
Mdoko wangu potezea mungu ndo baba usijali,wanaume ndo walivyo
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Reila inamana humuoni huyo mtoto naukamshauli huyo mzee yusuphu kuwa mtoto ni wake .mh .hii aibu mzee yusuphu mtoto ni wako jamani.mmefanana sana zaidi ya sana
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Watu wa Taarabu mnatuangusha kukataa watoto, wenzenu wanakesha kutafuta hata wa kusingiziwa nyie mnakataa kwa ukali, juzi alihojiwa mjukuu wa Malkia Kopa naye sijui imeishia wapi
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Mimi ningelikuwa na namba ya mzee Yusuf ningemuelekeza kwao uyo mtoto kwa babu yake mzaa baba anaitwa anaitwa mzee mashuguli
@LeahdidasDidas-pq3yq
@LeahdidasDidas-pq3yq 3 ай бұрын
Mzee yusuphu mungu anakuona
@josephndunguru6290
@josephndunguru6290 Жыл бұрын
Kama mm nakiburi changu hichi siwezii kujikomba Kwa baba ambaye Hana upendo na mm, dogo Fanya maishaa yakoo unafeli nn achaa kijazilirishaa,
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
😀😀😀wenye vibur tuko wengi
@jacklineisack133
@jacklineisack133 Жыл бұрын
Wew ni mim kabisa😂😂
@jestinaluvanda-jm4tc
@jestinaluvanda-jm4tc Жыл бұрын
Sasa mkondo wa wa sheriia wa nini kwani mtoto hajui ameambiwa tu na mama. Kama sio baba basi yaishe DNA iseme
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Uyu mtoto Ana dhambi sana yani shutuma Anazo zipata mzee Yusuf mungu atamuukumu uyu mtoto
@juliethgerald3730
@juliethgerald3730 Жыл бұрын
We nilijinga ase
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
@@juliethgerald3730 Sawa mjanja ww unaye amini kudanganywa
@fatmaomari7824
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Ndio limwehu hili huyu mtoto asingejiamini kupima DNA hili zee linaishi maeneo ya charambe
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Жыл бұрын
Mzee yusuph ni mnafiki sana
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Жыл бұрын
Mpaka nimejisikia vibaya mtoto mtiifu na anaongea kwa machungu jomon😢 Mungu atakutetea
@tato8979
@tato8979 Жыл бұрын
Acha nicheke kama mzuri 😂😂
@EdiltrudesMalivata
@EdiltrudesMalivata 3 ай бұрын
Mzee Yusuph Una dhambi kumkataa huyo mtoto,kama bado hujatengeneza nae tengeneza mapema,kabla hayajakukuta Mambo. Maana mtoto huyo ni wako,duniani hata mbinguni. TENGENEZA 🙏🙏
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s 18 күн бұрын
Kijana usisumbuke sana maadamu umentafuta mwenyewe na amekukataa Mungu hajakukataa bado Mungu atakuinua siku moja atakutafuta yeye kwa gharama na hayakupata.
@nasrahassan8067
@nasrahassan8067 Жыл бұрын
Wamefanana uyo mzee Allah atamlipa
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Dida weee mmbea sana wallah*
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Watoto ni baraka, mpokee mtt na umuombe Mungu utakuwa na amani, hivihivi hilo litakusumbua maisha yako yote mzee Yusuf
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Wanaume wanapenda kuchepuka mwisho wasiku wanajidai sio wachepukaji wanona fedheha kiukweli nimwanae hata akimkataa lakini nimwanake
@sechemaguha7262
@sechemaguha7262 Жыл бұрын
Mzee yusuph anamkataa mtoto period
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
HUYU MZEE ATAHONGA ILI AONEKANE CY MTOTO MTOTO WAKE KWAKUKWEPA AIBU. SERIKALI SIMAMIENI HILI.
@user-bg2rp2gd3t
@user-bg2rp2gd3t 3 ай бұрын
Mwenyez mung awalahani sana mwanaume wanae wakataa,,damu zao moto unawares
@user-cu5jr7yc8n
@user-cu5jr7yc8n 3 ай бұрын
Wallah tena watalaniwa mpaka basi wamenisinyiya jitu nikirango alafu yukana mwanae YA ALLAH waume waina hii walani mpaka siku ya kiama😢😢😢😢😢
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Жыл бұрын
Mhuuu inauma sana pole sana kijana wangu mungu atakusaiidia utapata maisha uako
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
Daaah !!! Mzee Yusuph, wee nyoko sana mbona unafanana sana na huyo mtoto? Acha usenge mkubali mwanao kitanda hakizai haramu ! 🥺🥺😳😳
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 Жыл бұрын
Kosa ni la Mama ake Mwenyewe kwa kumnyima haki mtoto wake kama angemzaa ndani ya Ndoa leo mtoto asingetanganga na Kwa sheria ya Muumba huyo si mtoto wake hawawezi kurithiana
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 Жыл бұрын
Haswaa ni kweli kabisa kaka yangu tuwe makin kwamaana hapo mtoto ni wamama nasiwababa kwahyo makosa ni yamama
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
Maskini hata ikitokea niwake hamnaraha
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Жыл бұрын
Lakini kinana huyo mzee halikukataa tangia mda tuu lakini mungu adhidi kukulinda 👏👏👏👏🖤🖤🖤😢😢
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mtihani 😢unakataa damu yako dah!
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Nomaaa sana2 jmn
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Sio yake
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Waislamu mna shida sana, Ati damu yake.
@ShizaAlly
@ShizaAlly 3 ай бұрын
Hii n laana kukataa damu yako
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Mdomo pua usemaji kichwa macho na anasema kwa usahihi Mzee Yusufu wewe unaleta Usani tu ni mtoto wako
@tatukingi2543
@tatukingi2543 Жыл бұрын
Mzee Yusuf ana leta mashahiri kwa hili Jambo mtt amesema vzr tu nimemuelewa yeye aliambiwa na mmke Baba alokua anaishi nae c bbke . Bbke ni MTU fulani SASA hayuko duniani mbona kama huyu mtt c wake asikubali Tu DNA analeta maneno mengi
@EmmanuelMasanja-zj4pn
@EmmanuelMasanja-zj4pn 3 ай бұрын
Pole sana
@paulcosmas7941
@paulcosmas7941 2 ай бұрын
Pole kwako kaka fanya maisha yako unless uniambie kuwa unashida ya kiafya achana na huyo mzee
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Kumbe huyu mzee hana akili hivi .mtoto wakwako bado unakana kweli .mzee unamkosea mungu .loo haya huna
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 26 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 488 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
ABAB NAMWAMBA RETAINS SPORTS DOCKET
13:03
Lucky Herriano
Рет қаралды 16
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 33 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 19 МЛН
С топором нельзя #ссср #история
1:00
MOTIVATION
Рет қаралды 2 МЛН
С топором нельзя #ссср #история
1:00
MOTIVATION
Рет қаралды 2 МЛН