No video

BABA LEVO "SIWEZI MUACHA ASMAH KISA MAMA RUBBY KASEMA,WOTE WAKE ZANGU HAKUNA MCHEPUKO"

  Рет қаралды 63,584

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 209
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 ай бұрын
Baba levo leo nimekuheshimu kumbe mtu mwenye busara sana maashallah upo sawa kabisa
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 7 ай бұрын
Sahihi kabisa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 7 ай бұрын
Jitu na nusu hili
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 7 ай бұрын
Woooooooooyo kumbe ndume zipo bado duniani nimeghairi mwaka huu naolewa nimechange mind.much love baba levo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😚
@niz21idi59
@niz21idi59 7 ай бұрын
Baba levo ni mtuu maana sana ni wanaume wachach sana wanaweza kumrudish danga ndani ya maisha yak
@NuruNgole
@NuruNgole 7 ай бұрын
Ba levo unaakili mno .Mungu akupe hekima na maarifa zaidi
@hamisiismaili6342
@hamisiismaili6342 7 ай бұрын
Tena baba levo nimuungwana sana na pia ana moyo wa kibinaadam ingengekua mmi asingerud kweny nyumba yangu na angenizingua ningemfanya kitu hammna haiwezekani uondoke uende nisipo pajua ala maisha yakikushinda urud kwangu kwangu isingewezekana
@kilimaone3632
@kilimaone3632 7 ай бұрын
Baba levo respect Sana ni maamuzi sahihi umefanya, Shida wanataka kuleta mfumo jike ili uonekane mwanaume una makosa, Lakini hawajui mazoea yanatabu moyo huwa unakuwa na shukrani hata ya mwezi mmoja, Alichofanya Asma kulea watoto zaid ya mwezi na watoto wakawa mabest mpaka @Babalevo anampost Kuna bond apo tayr ilitengenezwa huwezi toa maamuzi tu eti muache, Hapan Asma sio mwiz, pia nae Ana moyo, Kwenye Bible hakuna sehem imesema mkiristo aoe mke 1 tu, Bali mwanamke awe wa mke mmoja na wanaume tuwe na kiasi, MAONI yangu @Babalevo endelea na Asma na mama Rubi pia mradi uwezo upo
@bahatijuma6769
@bahatijuma6769 7 ай бұрын
Yani baba levo yuko tofauti na ninae mjua mm jamaa yuko sahihi sna ila ww mshikaji uelewi kabisa Kama mama ruby aliondoka akapiga mpunga kaumaliza na kaona jamaa anaendelea kupiga mpunga kaludi Tena achote mm ningekuwa baba levo kesho ningetangaza ndoa ya uyo wanaemuita mchepuko
@user-bl3ti5tu4n
@user-bl3ti5tu4n 7 ай бұрын
Nakubaliana sana tena sana na baba levo Tena katika wanaume wenye msi.mamo basi ni baba levo nampa hongera sana
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 5 күн бұрын
Daar kwanza baba level anamoyo sana kumrudisha mwanamke aliekukimbia!
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 7 ай бұрын
Kiukwel mama ruby alikosea,aliondoka akaacha watoto inainekana huko alikotoka maisha magumu yamemshinda yasingemshinda asingerud,,,,,baba levo upon sahihi bhna
@bushkingtourssafaris8970
@bushkingtourssafaris8970 6 ай бұрын
Aisee sijawahi kukucoment mwana levo na kuukiri ukweli hadharani ni jambo gumu sana duniani ila kwa hili BIG UP SANA BABA LEVO.Q
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 7 ай бұрын
Hahaha babalevo rijali yaani kidume haswa 🙌🙌🙌ungeingia kuwa muislam ingependeza sana wewe ni kidume n'a nusu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 7 ай бұрын
Mimi niko na Babalevo kwenye hili🎉🎉🎉
@judynanyama6250
@judynanyama6250 7 ай бұрын
Baba Levo yupo sahihi,
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 7 ай бұрын
Big up babalevo huyo mama Rubby hata hukungemkabali. Amekushushia heshima kabisa amekupeleka kila mahali
@SARAHKATAGIRA
@SARAHKATAGIRA 7 ай бұрын
Uko sawa ba levo sema watu wanao kubeza hawajawai kupitia Hali kama iyo watanzania muelewe ba levo pia kuwa makin sn ba levo
@Neema182
@Neema182 7 ай бұрын
)ll99ll)locally 99ooo[[]]Bless [to p
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Wewe mchaga fala Sana,,,Yan unashindwa kuelewa Yan baba levo anawapenda wote,,,wewe mchaga acha usenge usiwalazimishe watu wafuate mawazo yako au moyo wako...uyo baba levo atakuwa muislam inabidi awaoe wote Kwasababu baba levo anawapenda wote na wote hawez kuwaacha na baba levo anakisasi au hasira na mama rubi kwaaliyomfanyia ila Bado anampemda mama rubi
@saidchombo5952
@saidchombo5952 7 ай бұрын
Huyu anaitwa B LEVO BA FUNDI MAJUMBA💪
@officiallnobystar
@officiallnobystar 7 ай бұрын
Mama Ruby Ni Malaya To Mm Kama Mwanaume Nabaki Na Asma Baba Levo Yuko Sahihi To
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 7 ай бұрын
Baba levo yuko sawa ,wanawake sometimes tunasumbua yeye angejenga penzi lake na baba mtoto wake angekua muaminifu sana kwa familia yake nahis huyo asma angeachwa lakin kama mbish mama Luby acha ateseke
@Zuu673
@Zuu673 7 ай бұрын
Hayajakukuta😂mwali
@mohamedisaidi8444
@mohamedisaidi8444 7 ай бұрын
Yes
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 ай бұрын
Ropokwa tu
@Zuu673
@Zuu673 7 ай бұрын
@@najmasalim-rg6ow meonae
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 7 ай бұрын
Nimekuelewa baba LEVO
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 7 ай бұрын
Simameni kwa haki watangazaji ,..baba levo Ako sawa💯 kuzaa ndilo akuonyeshe mazarau
@queenmilan2024
@queenmilan2024 7 ай бұрын
Babalebo yuko sawa na anaakili. Apewe maua yake. Sisi wanawake tusijifanye hatuelewi
@Kidotii
@Kidotii 7 ай бұрын
Baba Levo tuna ku Salute! Weraaa
@user-xw9wl4gy7x
@user-xw9wl4gy7x 7 ай бұрын
Sijawahi Kusuport Bt Leo Nakupongeza..Huyu mama Anafaa kurudi Pahali Alikua Mshenzi huyo
@user-qc4nr5dz9j
@user-qc4nr5dz9j 7 ай бұрын
baba revo Yuko sawa ila watu wanarazimisha baba Levo abaki na mama rubi lakini mwenyewe kaamua kuishi nao wote nawote anawahudumia Mimi sioni kosa lake ingekuwa amehamia Kwa asma alafu kwamama rubi huduma aziendi ingekuwa babarevo anamakosa lakini Mimi kama kawapenda nahuduma kila sehemu zinaenda sioni ko
@abdhuliddie296
@abdhuliddie296 7 ай бұрын
Siwezi kumsaport mke wa babalevo sababu watu wana jifanya wajuzi wa ku judge bt ngoja yakufike utaelewa
@gamosoro
@gamosoro 7 ай бұрын
Nakuhunga mkono
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 7 ай бұрын
Hata Mimi
@CodeWithCrescent
@CodeWithCrescent 7 ай бұрын
MNATOA USHAURI WA KIFALA. B LEVO BA YUKO SAHIHI
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 7 ай бұрын
Inshort Mama Ruby ameyaTIMBA😂😂
@luogaphilowin5923
@luogaphilowin5923 7 ай бұрын
Kinachoonekana hapo Asma ndiye mwanamke mwenye utayari wa kuishi maisha ya kifamilia kwa baba levo, lkn huyo mama R haaminiki na bado anajitafuta pa kuolewa ila bado hajapapata na hatapapata, hivyo ninachoweza kusema baba levo uko sahihi ktk hilo, asikuwepo na chake hakipo, kwanza kama ni mtu mwingige wala asingempokea kabisa, yaani amekuja kuharibu mapozi ya watu tu, HAFAI.
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 7 ай бұрын
Wanaume wote wangekua ivi tusingekua tunagombana wanawake baba levo Yuko sawa kabisa
@tlaqsy9938
@tlaqsy9938 7 ай бұрын
Baba level yuko sawaaa
@user-oo5sj8hb5m
@user-oo5sj8hb5m 6 ай бұрын
Japo kuwa babalevo asaiv anasema ameachana na asma Kwa kifupi Baba levo hawez kumuacha asma kwa maelezo yake tu anaonesha anampenda uyo mwanamke na hataki asma aitwe mchepuko nisahih Kabisa Kwa sbb hata mama lubi hajamuo Kwa iyo kila mtu ana haki
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 7 ай бұрын
Uyooo anaye hoji atakuwa shoga au mdangaji bba levo ypo gud
@karloladislaus45
@karloladislaus45 7 ай бұрын
Baba Levo hakumwacha Mama Ruby... Bali Mama Ruby alimwacha Baba Levo. Why ana laumiwa Baba Levo??
@subirajohn728
@subirajohn728 7 ай бұрын
Baba Revo yupo sahihi❤️❤️❤️
@lovesallu5292
@lovesallu5292 7 ай бұрын
Ila maisha duuuh...mke anapaswa kuwa na akili kubwaaa Sana apa
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 7 ай бұрын
Heshim mawazo ya mtu ww mke awe mmoja ni mama uyo baba levo upo sawa
@saimongilala8938
@saimongilala8938 7 ай бұрын
Mimi nasimama na baba Revo Yuko sawa
@abdulazizimashaka3275
@abdulazizimashaka3275 7 ай бұрын
Mwanangu atakae kuona ww ni mjinga basi mwambie ingekua yy angefanya nn
@john_1trader
@john_1trader 7 ай бұрын
Aende mahakamani
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kazi ipo,jamani 2024 bado tunagombea mabwana au waume😂😂😂😂zingatia maokoto tu..mwanaume anakupa kila kila kitu wivu wa nini jamani..mbona wanawake tunafeli vibaya,ZINGATIA MAOKOTO TU,mapenzi achieni wahindi Women dont lose focus. Dunia ya leo wanaume ni atm tu,hawana uwezo wa kupenda,tuwatumie kupata pesa kama wao wanavyotutumia sisi kujiburudisha..basi,KAZI IENDELEE
@user-xk2wc8ro3b
@user-xk2wc8ro3b 7 ай бұрын
Yaani baba levo nimekupenda bule
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 7 ай бұрын
Kaka anguuu baba leo hujalewaaa 😂😂😂
@williamshingwenda577
@williamshingwenda577 7 ай бұрын
Baba levo heshima kwako kaka.... umethibitisha kitu kinaitwa msimamo wa maisha
@fathimamct232
@fathimamct232 7 ай бұрын
Ni sawa kwa sababu wote ni mahawara hakuna mke na kama Angekuwa muislam ningemshauri Awaowe wote kwa sababu dini inamruhusu ila Kwa pande.zote mbili hatuwezi kumuingilia sababu wote SI wake wa ndowa hapo wende mwendonwa Mila tu
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Wakristo wanaruhusiwa kuoa mke Zaid ya mmoja? Kama nikweli hivyo ndivyo ilivyo baba levo kichwan akili pia nguvu kisoda🤝🤝🤲
@omarmwanja319
@omarmwanja319 7 ай бұрын
Huyu jamaa pamoja na ukichaa wake wote ila kwa hili yuko sahii sana na inahitaji utulivu kulifatilia na kumsikiliza ili ulielewe vzr sema sehemu ninayoona alikosea ni kumruhusu huyo mama ruby kurudi yeye kukataa kumuacha au kumchukia Asma ni sahihi lkn nikama alikubali kumrudisha mama ruby ili amnyooshe kutokana na ujinga aliomfanyia mwanzo
@user-re9vx1rj8u
@user-re9vx1rj8u 7 ай бұрын
Baba levo usiruhusu halmashauri nyingi wewe ndo muamuzi bhana wote wewe ndo unawajua tusijifanye tunakushauri kama tunakusaidia kuhudumia
@mussahamisi1191
@mussahamisi1191 7 ай бұрын
Hiii! Ivi mmeskia neno kinyungutu 😂😂😂😂
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 7 ай бұрын
Baba levo 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🌹🌹🌹
@amanidjuma2580
@amanidjuma2580 7 ай бұрын
Kama binadamu nisio Sahau wema NAMUELEWA BABA LEVO NIKO pamoja naye.Na mama Ruby nimzazi mwenzake alie poteza uaminifu kwa baba Levo.kwa hio walee watoto tu .ila swala la kumuingilia baba levo kwa Asma ajikaze
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 7 ай бұрын
Sikia baba levo mahisiano ya wanawake wawili SIO sahihi ila mama rubu YUKO sahihi KUNA Maumivu Kuona Mtu Wako anamahusioano heshimu Maumivu ya mama ruby
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 7 ай бұрын
HATA U UKIWA NA MCHEPUKO USIMUONYESHE MTU WAKO
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 7 ай бұрын
Baba levo Yuko sawa ukitumia akili ya ziada kulitafakari Hilo. Na baba levo alimoubali arudi ili aje kumsafisha kwasababu alimchafua ndio maana akamwambia aombe msamaha social media alikomchafua lakini upendo ulishasepa. Kilichobaki hapo ni ile hali ya wao kuwa wazazi wengine wanaonea huruma watoto hasa kulelewa na mama ambaye si wakwao
@louislusekelo3147
@louislusekelo3147 7 ай бұрын
Sasa mnamlaumu bi dada kuweka mambo ake Social media and on the same kipindi chenu kina dig stori za maisha ya watu ..sasa hii stori mngeipata wapi?? Ur blaming something which is bringing you mileage 😃🤷‍♀
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 7 ай бұрын
Mchaga big up kwa hili
@kajanksimon7432
@kajanksimon7432 7 ай бұрын
safi sana baba levo nimekukubal
@arushalivetv4021
@arushalivetv4021 7 ай бұрын
Ukweli ni Huu, Baba levo ana huruma, ndo maana alikubali msamaha wa Mama Ruby, lakini hana mapenzi tena kwake, mapenzi yake yapo kwa Asmah,
@sashalove-tz1369
@sashalove-tz1369 7 ай бұрын
Baba levo Yuko sawa mama rubby akae kwa kutulia hata hivyo amemuheshim mno ni mwanaume Gani anaweza kubali uende kudanga then yakushinde urud na akupokee baba levo anajua anachokifanya
@maujanjatzonline4724
@maujanjatzonline4724 7 ай бұрын
babalevo ame nyooka sama sim pingiii 😊
@MulkuMassos-um1ix
@MulkuMassos-um1ix 7 ай бұрын
Babalevo ni muislam sana hanaga kutawaliwa
@user-qt5kn7nt7u
@user-qt5kn7nt7u 7 ай бұрын
Baadhi ya wanawake ni pasua vichwa,Baba Levo upo sawa,yaan mama Ruby kaenda kufanya yake huko amekwama ndo anarudi, mmmmmh.Hata mm ningumu kumrudisha,hata hivo Baba Levo ana moyo wa huruma na utu.Baba Levo ameuliza swali zuri kama ni ww ungefanyaje(mwanamke amekushitaki,amekukimbia),daaah.
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 7 ай бұрын
Ninacho kiona Baba levo analipa kisasi kwa yale aliyo fanyiwa
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 7 ай бұрын
Sio kisasi ila wanawake Wana njia nyingi anaweza karud Kwa wivu aje amtoe Asma then akimuacha na yeye anaanza vurugu zake tena akitaka apate aman asimuache Asma tena aoe kbs
@aby.beka1630
@aby.beka1630 7 ай бұрын
sasa wew ulitak amtelekez mwanamk ambae alimfaa wakat wa magumu au~
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 7 ай бұрын
@@aby.beka1630 mama Ruby kapoteza sifa ya mwanamke akiondoka kw kumkomoa kw kujua atapata taaaab ko atulie tu
@linah6565
@linah6565 7 ай бұрын
Sionkukomoa mwanamke anaporud tena kwenye maisha yako tena anatud kubomoa
@nururaymond5
@nururaymond5 7 ай бұрын
Wanaume hawasamehi kweli
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 7 ай бұрын
Baba levo Unamoyo kweli.....Mimi ninavyojijuwa...Wala Asingenisogelea.
@augustinofedrick6446
@augustinofedrick6446 7 ай бұрын
Kwa nilivyo msikiliza baba levo naona yupo sahihi,, na hata mm siwezi kumuacha mwanamke ambaye amenistili kipindi ww umeniacha na watoto kwenda kudanga,, then baadae urudi useme niachane nae,, vpi jee? Baada ya muda akirudia tabia yake,,
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 7 ай бұрын
Mm hapo mama rub kakosea mambo ya familia yanamalizwa kifamilia sio kwenye media maana ninkuanika makosa ambayo sio sawa kuwa huko
@nicholauschemka7426
@nicholauschemka7426 7 ай бұрын
Kweny maisha kila mtu ana principal zake na jinsi ya kutatua matatizo, so baba levo kaamua hivyo msilazimishe afanye mnavyotaka nyie
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 7 ай бұрын
Mimi nipo kwa Baba levo kwakweli
@cdeleo9336
@cdeleo9336 7 ай бұрын
Huyo mama ruby itakuwa hana kazi wala lolote maana sio kwa kudharauliwa hivyo na yupo tu
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 7 ай бұрын
Dah unaweza kukuta huyo Asma anavimba kichwa kuskia hivi kumbe anaharibiwa CV maskini kwanza mdogo
@babalao3250
@babalao3250 7 ай бұрын
Big up baba levo
@user-oq6hb9hh2b
@user-oq6hb9hh2b 7 ай бұрын
Usema ukweli mama rubi ndiyo kalogwa na huyo mchepuko wake baba levo kachukuliwa nyota y kupendwa mama rubi kw huyo mchepuko wake akaa chini mama rubi arudishe nyita yke y kupendwa alafu tuone je baba levo ataendekea nae huyo mchepuko wake mama rubi rudisha nyota yko y kupendwa usipambane na mchepuko wa mme wako jichunguze kwanza ujue kwasababu gani ynakua hivi , kunasababishwa na nini ? Ukishajua fuatilia uyatatue kwa wakati kimya kimya kama unaweza kuya haribu mahusiano yharibu uku ukitabasamu wenzako hawalii wanasubiri ulalamike ili wajue dawa zao zimefanya kazi ndiyo maana wakijua dawa walizo loga zimefanya kazi utaona wanakaa kimya wakifurahi sasa nawe mana rubi usimweteke
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 7 ай бұрын
UZINZI TU! PONENI UZINZI KWANZA HAYO YOTE HAYAWEZI KUTOKEA! BABA LEVO NI MZINZI! FORGIVE😢
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 7 ай бұрын
Hapo baba levo analipa aliyofanyiwa na mama ruby ndan ya mwaka mzima,,,ndo wanaume walivyo,na hv keshamzalisha Tena mwanamke mwenzetu kayakanyaga😂😂😂😂😂
@user-qq4wg7ib4k
@user-qq4wg7ib4k 7 ай бұрын
Baba levo yuko swa hta naona anapoteza muda wake kwa mama lave mana atapelekwe tena polish na kutoa pesa mara mbili na yale ya kwanza mama pumbavu kumbe baba leo yuko na hekma
@ofreyking5975
@ofreyking5975 7 ай бұрын
We mchaga cjui og hayajakukuta mama Ruby apray part yake
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 ай бұрын
Kwanini ulikubali kurudiana na mama ruby ijapokuwa tayari mrishaachana?kwanini usingeendelea na maisha yako pamoja na huyo asmah?hapo babá levo umepuyanga.yaani kwa kifupi huna kifua cha mwanaume.kwa kifupi hujui utakacho
@MsAggie5
@MsAggie5 7 ай бұрын
Wanawake nasi tuna njaa huyo Asma Kwa nini anakubali kuendelea na dume kama hili
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 7 ай бұрын
Interview imemgeukia mchaga tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@daimondelfina5689
@daimondelfina5689 7 ай бұрын
Kwanza baba Levo UMEKOSEA kumuondoa Asma nyumbani😅😅😅
@stephenisalano1239
@stephenisalano1239 7 ай бұрын
Baba levo bei gani?mbona sawa tu
@henryjoseph7036
@henryjoseph7036 7 ай бұрын
Yupo sahihi
@Iampanther_
@Iampanther_ 7 ай бұрын
BLevo yuko sahihi. Na muambieni hasira za mama R, zimemcost mara ya 2 sasa anasurvive📌mara ya 3 atapoteza mazima abaki historia. Awe makin na huyo mwanamke. Asma hana kosa na apewe heshima yake maana wote mnamkandia Asma asiyenahatia yeyote ile.
@lucaisaac9022
@lucaisaac9022 7 ай бұрын
Wew bishow cku ukio utamwwlewa baba levo..kaaa kimia achakushauri hakuna unachojua...baba levo ni mwanaume sio wa kiume.
@mery149
@mery149 7 ай бұрын
Msitiri Sana mkeo hizo ishu za familia mngemalizana wenyewe
@user-fi2qs6om2p
@user-fi2qs6om2p 7 ай бұрын
Jamaa makin sana
@user-jc1cj6rj5o
@user-jc1cj6rj5o 7 ай бұрын
Duuu dogo hujaowa wew acha hizo huyo karud kakwam asma aish kama mke bora kama je baba levo angeugua angerudi kwa nani asma kampa tulizo bab levo acheni maneno hongera san bab levo tumekuheshm san kak
@Suwajibosumail-wf2hh
@Suwajibosumail-wf2hh 7 ай бұрын
Mimi ni mwanamke nikiwa mozambique ila kwa hili Nipo na Babalevo, maana huyo mama Riby ndo kayataka haya yote kwaivo atulie na asimchukie Hasmah maana Asmah anashili heshima kubwa saaaana
@milkaaloyce197
@milkaaloyce197 7 ай бұрын
Huyo baba levo mwehu tu hawezi mzalilisha mkewe kisa mchepuko kamuolini nitamaa zake mbwa huyo
@SmilingBeaver-rf6sf
@SmilingBeaver-rf6sf 7 ай бұрын
Kwanza ningekua mimi ni babalevo ninge mtimua mama Rubi
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Mwanamke aondoke akuache na watoto afike huko aliko kwenda mambo hayajaenda anarudi halafu umpokee!!!? Bimaana yangemnyokea angerudi?hata kama tumezaa nae inahitaji uwe na moyo kweli kitendo Cha kumuacha asma nidhambi kubwa.kama mapua alimtenda mamarubi na Anajua yeye ndio sababu ya mama rubi kuondoka.ni hali ampokee ila adimuache mpaka siku ya kiyaaama.
@machetebogota4218
@machetebogota4218 7 ай бұрын
Ila ni funzo kubwa Sana kwa wanawake mjifunze jamaa smart Sana me mama ingetoka hiyo
@fatmamansour676
@fatmamansour676 7 ай бұрын
We mchaga atamuachaje asma na hakufanyi kosa lolote na angeamua ha bila kosa asingekuwa kaenda utu na wangejenga chuki kwa asma kama asma hajakosea anastahili kupenda na kufanyiwa wema wote
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 ай бұрын
Ni sawa. Kwanza kumrudisha mama Ruby ilikuwa ni huruma tu. Asma hana kosa.
@MsAggie5
@MsAggie5 7 ай бұрын
Kati Yao wote hamna ndoa Kwa hiyo hamna mwenye kusema yeye ndo mwenye haki
@salomekisanga560
@salomekisanga560 7 ай бұрын
Hatujui sisi wanawake ww mchana ingia uone ngoma inavyochezwa mt anawez kubadilik Kwasabab anatakiw kuonekan mwema ili ndoa ipite ikishapit hiyo ule msemo wa ndoa n fumbo ndio linapoanzia
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
Ndy maana Ndaro anakucheka tu anakuona boya unaliwa vi pesa vyako wenzio nzio ndy watumiajinwe mbaba unajimaliza kwa Muhaya yule utakuja kujuta mbele Mama Ruby aliondoka kwa hasira za mambo yako unayoyafanya dahrau nyingi unamdharau
@issawafula7932
@issawafula7932 7 ай бұрын
Mama Ruby amekosea kwasababu bado sio mke halali wa baba levo and anytime baba levo can get married to any woman that he wants to be with mama ruby remains a side chick to baba levo,meanwhile Mama ruby she has to submit na baba levo ndicho kitu anachokitaka kwa Mama ruby basi...
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 7 ай бұрын
Kama na kulogwa basi mama Rubby ndio kalogwa, kwa sababu akitekeleza familia na akaruhusiwa kurudi.
@nuruosward8161
@nuruosward8161 7 ай бұрын
Baba ww ni mtu na nusu tena unamsimamo wa haki ila tuu Mungu akusaidie
@celeminkyl2273
@celeminkyl2273 7 ай бұрын
Baba levo anaongea sasa kama kirandage 😂
@user-zv3oe4wp6s
@user-zv3oe4wp6s 7 ай бұрын
Baba levu huna levu ya kujenga family. unajiskilizaga unavyo ongea kaka. unatoka kwenye .........
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 7 ай бұрын
Huyu anavyonekana hamtaki mm Ruby anaishi nae tu kwa sababu ya mtoto
@monicajohn2515
@monicajohn2515 7 ай бұрын
Mimi Niko na babalebo
@michubukaberia
@michubukaberia 7 ай бұрын
Baba levo is right
CAREN SIMBA AWAPA USHAURI MZITO MANARA NA ZAIYLISA
15:02
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,1 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 52 МЛН