Рет қаралды 12,343
BBC News Swahili
Kwa miaka mingi katika maeneo mengi barani Afrika kilimo huonekana kama ni kazi ya watu wenye umri mkubwa, huku vijana kote wakielekea mijini kutafuta kazi za ofisini.