No video

WAVAA PETE ZA NDOA MAPAPA NILIWAONA KUZIMU USHUHUDA WA DOUFLE KOKOU GABRIEL

  Рет қаралды 25,932

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Жыл бұрын

Пікірлер: 108
@hamzalsadiki4284
@hamzalsadiki4284 Жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda nzuri mwenye masikio na asikie Yesu tuokoe
@syliakuslaurian4217
@syliakuslaurian4217 Жыл бұрын
Huu ni ukweli mtupu!, Bwana YESU akubariki sana
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 19 күн бұрын
EE BWANA YESU TUREHEMU WATOTO WAKO...TUSAIDIE EE BWANA TUWEZE KUUSHINDA ULIMWENGU
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Tumepokea shuhuda hizi tunasipenda na tunataka nyingi Sana mbarikiwe Sana
@ktlm8787
@ktlm8787 11 ай бұрын
Amen brother
@easibwoy636
@easibwoy636 Жыл бұрын
Yesu atusamee dhambi zetu
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
YESU nisaidieeee😢😢niingie mbngun
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 NIMEKUELEWA KABISAA AMEN MUNGU ATUSAIDIE SANA WATU WAKE
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amina
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 Жыл бұрын
Amina Amina MUNGU atukuzwe milele Asante kwa ujumbe ubarikiwe
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Жыл бұрын
Kila shuhuda iendayo na neno la Mungu, kwangu ni AMINA SANA. Barikiwa
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Tutasikia mengi yaani Kila mtu atakuja atasema nimekutana na Yesu jamani Mungu tunusulu na kizazi hiiki
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 10 ай бұрын
Asante Yesu kristo kwa kutufunuliya ili ilitujuwe ukweli Mungu atusaidiye sana
@Maluda_richard
@Maluda_richard 5 ай бұрын
Amen na iwe hivyo tumuombe mungu san ndugu zangu katika kristo
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 Жыл бұрын
Singida mnapatikana wapi? na je kama mtu anahitaji kujifunza zaidi tukuulize kupitia hapa kwene comment au kwa no ulozitaja? nashukuru sana kwa mafundisho ambayo cjawahi kuyackia toka nizaliwe, tusaidie kusambaza kila sehemu maana makanisani huwa hatufundishwi hizi mambo
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Unaweza kusaidiwa kujibiwa kupitia namba ya sm ndio
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 6 ай бұрын
Yaani kila nikisikiliza hizi shuhuda naogopa na kuzidi kumsihi Mungu anibadilishe na kunifunza zaidi
@user-yy8ol9ch4q
@user-yy8ol9ch4q 7 ай бұрын
Asante BWANA YESU KRISTO KWA UFUNUO HUU
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Neno la mungu liabutiwe....niko na furaha sana kuuzikia ujumbe huu
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Mungu akubari amen dadangu
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Жыл бұрын
Mungu anipe hekima maana akili zangu pekee hazielewi lengo la ushuhuda huu 😢😢
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
huelewi nia ya ushuhuda huu pole sana nia ni kutubu dhambi kwa njia ya Yesu Kristo lkn c sanamu
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Жыл бұрын
@@mariamswedi1140 ndo maana naomba hekima Kwa Mungu kwani hata wewe sikuelewi
@daddysalha5883
@daddysalha5883 Жыл бұрын
Mungu atusaidiye sana Ili tufike Salama
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Barikiwa na mungu
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Asante sana mumetusaitia sana kiroho
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Yesu nipe mwisho mwema
@idrisashaban5671
@idrisashaban5671 Жыл бұрын
barikiwa sana dada napenda sana shuda zako
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen amen barikiwa
@barakabaraka4508
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Amen
@ktlm8787
@ktlm8787 11 ай бұрын
Asante sn
@nellydeborah943
@nellydeborah943 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amina
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 9 ай бұрын
Mungu ni waupendo kwa utupa Siri zilizo ficha
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Aisee Kila mtu atubu n kurud kwa YESU kilichobak
@UwepoTv
@UwepoTv Жыл бұрын
Ni zaidi ya Mahubiri, ni ushuhuda ulioshiba wewe maandiko ya Mungu...nimebarikiwa
@HyasintaShayo-wm9uu
@HyasintaShayo-wm9uu Жыл бұрын
Tangaza neno la Mungu ili watu waache dhambi na wamfuate kirsto,na Wala siyo kusema makanisi y
@SarahSaimon
@SarahSaimon Жыл бұрын
Ubarikiwe
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen
@HyasintaShayo-wm9uu
@HyasintaShayo-wm9uu Жыл бұрын
Ngoja nikuambie,wapo wakatoliki wataingia mbinguni na wapo walokole watakaoenda motoni,kikubwa ni kuacha dhambi na kumwamini kirsto inatosha haijalishi ni mkatoliki au ni mpagani.Mungu ni wa wote wenye mwili na sisi wakatoliki tunamwabudu Mungu muumba mbingu na nchi na Wala siyo huyo mnyama wako unaesema kwa hiyo mwambie huyo roho wako akufunulie neno la Mungu vizuri.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Nina mauwa Yako.Maana Kuna watu ni wapagani lakini wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenda kanisani sio kwamba ndio umemaliza hapana na Kuna walokole wanaojita wameokoka Lani matendo yao yanakataa
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
​@@tinnahagustinolyelu4247 Ni hatar kuangalia Maisha ya mtu mwingine jins yanavyoenenda ktka wokovu wake na Yesu kuliko kuangalia maisha yako na Yesu yakoje,mkubari Yesu awe mwokozi wako akubadilishe uache dhambi uwe na uhakika wamaisha yako mwenyewe kwamba unaingia mbingun Kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake,sote tutasimama mbele za yesu
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
Watakao ingia mbingun Ni wale ambao wamekubali Yesu awaokoe,na wanayafanya mapenzi ya Baba yake wambingun,uku wakijiepusha na dhambi kwa bidii,hawaabudu vitu,watu,dhehebu,wamejazwa Roho Mtakatifu anaewaongoza Nini mapenzi ya Mungu,wakikesha ajiri ya ujio wa Yesu Kristo ili awakute wakiwa Tayar maana atakuja kwa gafra,
@nasrahgdjuma930
@nasrahgdjuma930 6 ай бұрын
No they won’t they worship idols and mother marry that’s adulatory to God. So religion won’t take you to heaven but Following Jesus Christ and do his will. Which means have relationship with Christ himself.
@LucieKayumba-lk3bv
@LucieKayumba-lk3bv Жыл бұрын
Mungu anipe
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Amen
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Hayaaa yoote ni habari za Mwili , mwili ni sheria dhambi ni mauti lakini Roho ni Kristo Yesu hakuna adhabu ya mauti Kwa wote walioko ndani ya Kristo Yesu Kwa kuwa wamemvaaa Kristo Yesu hivyo wamewekwa mbali na hukumu ya sheria dhambi na mauti.
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
Nia ya mwili Ni mauti Nia ya roho Ni uzima na amani,hatutakiw Tena kuenenda kwa kufuata Mambo ya mwili,Bali roho ndie awe kiongoz,na ukiongozwa na roho yeye atakujulisha lipi alitakalo mungu katika miili yetu,usikubar kuutimizia mwili matakwa yake,Nia ya mwili Ni uadui na Mungu warumi8:1-10
@beatricenyaga6647
@beatricenyaga6647 Жыл бұрын
Kindly record in English too,
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa ushuhuda huu nina swali na niko mkoa wa Singida je no ulizotaja naruhisiwa kuuliza swali? nahitaji kujua zaidi mambo ya Mungu
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Sawa kabisa
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Mungu akubariki sn kwkuw unayonia njema sn moyoni mwko,kuliko ungetukana! Hkuna mahali ktk Bblia mtu ALIYEKUWA na shauku na Yesu aliyeachwa au kupitwa,Mungu akupe kupokea haja y moyo wako,akufundshe na kukuongoza ktk njia ielekeayo Sayuni( Zab84:11,Mith8:32)
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Uwe huru tu kuuliza,kwakuwa Kaz ya watumishi wa kweli WA Mungu NI kuwatumikia watu hasa kusimama ktk nafas ya kuwaongoza ktk kweli,maana n agzo " MSIMZUIE NG'OMBE APURAPO NAFAKA" hvyo huwez kosa jibiwa kwakuwa umeionea shauku nyumba ya Bwana Mungu wko Sasa n mtumwa yp yule mwovu atakaekuzuilia mbingu?
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 Жыл бұрын
Nimeona shuhuda zako nyingi za kujenga na kubariki, swali langu je utawasaidiaje wasiojua kutumia mitandao ya kijamii Ili wao nao wapone kupitia shuhuda hizi? watu wengi hawana cm smart, wengine wako vijijini
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 Жыл бұрын
Swali la pili, ktk shuhuda zako kumezungumziwa nguo za thamani hapo sijaelewa vizuri je watu wa Mungu tunatakiwa kuvaa nguo za hali ya chini? maana mapambo yote Mungu amewaonesha kuwa ni dhambi, mavazi tuvae ya hali ya chini?
@paulinajustus887
@paulinajustus887 Жыл бұрын
Nyama zenye damu ni zipi mtumishi
@yohanasanga3371
@yohanasanga3371 Жыл бұрын
Mbeya lini pastor
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Tutafika
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Jamani uovu huu wote nimenda mbele za Mungu ninapaswa kufanyaje na km ni kutubu ninatubu vipi jamani nisaidieni
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Mpigie mchungaji kunanamba hapo
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Endelea kutubu. , zaburi 51 , na Daniel 9-4-9
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Tubu Kwa kimaanisha Mungu atakusamehe
@mabiolojinamakemia9143
@mabiolojinamakemia9143 2 ай бұрын
Nafuatilia
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeen
@zawadivumilia1752
@zawadivumilia1752 Жыл бұрын
0jina Kiza
@rafaelishalua4773
@rafaelishalua4773 Жыл бұрын
Ushuhuda na neno nikweli
@jairusannalo
@jairusannalo Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@estermgata9617
@estermgata9617 Жыл бұрын
Ushindwe na ulegee!
@NeemaAlphred-yw5dx
@NeemaAlphred-yw5dx 9 ай бұрын
Sijakuelewa
@boniphacemwita8920
@boniphacemwita8920 Жыл бұрын
wanawinda wafuasi hawa
@barakabaraka4508
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Marko 16 15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe...
@barakabaraka4508
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Tena hasa wewe tunakutafuta sana uwe mfuasi wa Bwana YESU..ilo usipotelee ziwa la moto
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
duu pole huelewi laiti ungeelewa ungekimbia mbio kumpokea Yesu
@daddysalha5883
@daddysalha5883 Жыл бұрын
Mpokeye yesu leo bila auja chelewa kwa sababu Mungu ni muaminifu siku zote
@daddysalha5883
@daddysalha5883 Жыл бұрын
Nakuoneya huruma na wenye wako jehanamu waliambiwa kama wewe lakini wamefanya roho zao kuwa ngumu leo wako jehanamu wakijuta
@xcaliber8300
@xcaliber8300 Жыл бұрын
Na zumaridi alikuwaga hukohuko kuzimu anakaanga samaki
@mbingusaba9188
@mbingusaba9188 Жыл бұрын
hhahhahahahahahhhahhahah
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Kwa Morogoro mnapatikana? Au mpaka Dar?
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Morogoro bado tutafika kwa neema za Bwana wetu Yesu Kristo
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
@@shuhudazakweli3406 nitajuaje mmefika mtumishi 🙏
@edgartemu8299
@edgartemu8299 Жыл бұрын
Ushuuda WA kishetani kabisa nyie ndo Alina zumaridi
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Жыл бұрын
Shuhuda za vitisho,, kila amwaniye Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake na akajitahid kutenda mema kadiri Biblia inavyoelekeza ataenda mbinguni Kwa neema yake Mungu. Mambo kuattack imani za watu ni kuhukumu
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Жыл бұрын
Kalia hayo hay, shauri yako.
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Manak tuvue ma pete zandowa
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Ndio
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Жыл бұрын
Haswaa nipambo ndoa niwewe namwezi siikwamba Pete ndio kiunganishii nooo nipambo
@ludyonlinetv3116
@ludyonlinetv3116 Жыл бұрын
Wewe ni wakala wa shetani, danganya wajinga. Mtapigana na kanisa katoliki lkn hamtalishinda. Maana Petro ndiye papa wa kwanza wa kanisa katoliki. Yeye alipewa funguo na Yesu na nguvu za kuzimu hazitaweza kumshinda.
@andrewnday9127
@andrewnday9127 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Si kweli unochokisema maana . Apostle Petro alichinjwa mwaka 67. Kabla ya kifo , aliitwa na Bwana Yesu kumtumikia kama mtume au apostle. Ki Biblia hakuna huduma ya papa. Hii huduma ya 《 pontifex maximus》ilianzilishwa na mfalme Justinien mwaka 533. Je inawezekana je mtu alichaguliwa na Bwana wa mabwana, Yesu Kristo wa Nazareth tena kwa karama ya mtume , awe tena papa wa kwanza, yaani huduma ambao hajaileta Mwokozi wetu , Yesu Kristo?Tutafute kweli ya Bwana. Mungu akubariki!
@MeshackAngel-kc2gc
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
Unafikir kwa Nini Petro alipewa funguo,nikwasababu alimjua vizur Yesu Ni Nani,mjue Sana Yesu kuliko kumjua Sana papa, huyo Ni mwanadamu km wew, na hata Petro pia nimwanadam km wew, watasimam pia mbele za hukum kutoa hesabu yamatendo yao, Dini haiwez kumponya mtu na hukumu ya Moto wa Jehanamu,Ila Yesu pekeake ninampenda sana
@andreauisso3225
@andreauisso3225 Жыл бұрын
Nilidhani labda haunadini au umegundua dini mpya kumbe na wewe unasoma biblia shida yenu mlio hasi kutoka kanisa katoliki ni kwa nini mmenyofoa baadhi ya vitabu nakufanya ndiyo vitabu sahii kujeni na biblia yenu tofauti kabisa na ile ambayo kanisani katoliki ilianza kutumia au iliandika achakupotosha watu
@daddysalha5883
@daddysalha5883 Жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli siku zote iyo ni kweli katoliki na waislam wte wanapoteza watu
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Жыл бұрын
Yan Kuna shuhuda ukiangalia vizur zina lengo potofu, kwenda mbinguni ni neema ya Mungu. Tabia mbaya na zisizofaa ni tabia ya mtu binafsi wala siyo kanisa.
@andreauisso3225
@andreauisso3225 Жыл бұрын
@@daddysalha5883 😀😀😀 naona umesha jiesabia haki ya kufika mbinguni nani amekumbia mbinguni ni kwa walokee tuu na mashuda yako ya uongoo ya kutunga na kufikira ambayo hayanateolojia yeyote badala ya kuhubiri injili mmekaa kuponda majungu ya watuu mtandaoni you will never shake the catholic church utakufa kibudu tenaukicheza vibaya hata mbinguni unaweza usifike alafu walae ambao uliwaona kuwa ni waabudu sanamu ukawaona wanasherekea mbinguni
@helenbahati8038
@helenbahati8038 Жыл бұрын
Sawa, lakini kuna siku utakuja kujua yakwamba, kumbe ushuhuda niliousikia kujusi kanisa katoliki na ya kislamu ilikua nikweli,,Yesu akufungue macho😮#dada bety Joseph
@andreauisso3225
@andreauisso3225 Жыл бұрын
@@helenbahati8038 sasa embuniambie utofauti wa kanisa lako unalo amini nila kweli kabisa na kanisa katoliki katoliki ni la uongoo, acheni kupotosha watu kwahiyo unataka kusema mtume petro aliye achiwa kaziya kuanzisha kanisa katoliki yupo motoni soma vizuri historia ya kanisa katokiki kwa undani utagundua lipi ni kanisa ambalo msingi wake umejengwa na petro kama yesu kristo alivyo muagiza
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
PART 3 ONYO VIATU VIREFU NIVYA SHETANI USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI
29:43
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 12 М.
" DALILI " MATHAYO 24:1-4
13:08
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Рет қаралды 109
WANAWAKE NI WACHACHE MBINGUNI USHUHUDA WA DADA FABIOLA
23:35
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 58 М.
PART 19 VITA VYA KIROHO USHUHUDA WA ROBERT KENZO ATSUSH
55:59
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 7 М.
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
PART 15 HUKUMU YA MUNGU KWA WACHUNGAJI USHUHUDA WA ROBERT KENZO ATSUSH
35:17
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН