JEHOVAH...😢😢 Nifanye yote katka yote but mbingu nisiikose haki...hiz shuhuda unifanya niogope kutenda dhambi hak nitamani Kila cku na mm kupata maono ya mbingun.. blessed wote.
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 👏 MUNGU ATUSAIDIE SANA WATU WAKE KWA MAANA MAANDIKO IMESEMA YAMKINI WAKADANGANYA HATA WALIOTEULIWA MUNGU ATUNGOZE TUMALIZE HUU MWWNDO SALAMA AMEN 🙏
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Waimbaji masta mtajulikana duniani mbingu sio yenu ushuhuda unatisha fanyeni makobgamano tozeni pesa mbingu sio yenu Mungu ni mtakatifu sana
@imagepower3641 Жыл бұрын
Mungu hajakataza wanadamu kuwa matajiri isipokuwa msingi ni kuwa usitekwe na mali ukamsahau kwa sababu kuna maisha baada ya kifo na hukumu pia..
@sarahsarai8690 Жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@isayanyingi6387 Жыл бұрын
I'm blessed from heaven,,,,,ubalikiwe mtumishi,,,,
@failaprince9250 Жыл бұрын
Utukufu niwa MUNGU amina
@queenesther2639 Жыл бұрын
Amina mama mwenyewe sauti nzuri ya kushuhudia... NAKUPENDA
@angiemkusa3845 Жыл бұрын
Sio kila shuhuda zina uvuvio wa Roho Mtakatifu, Wengine ni maagent wa shetani ili kukatisha watu tamaa.
@laurentieliasi2496 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@helenbahati8038 Жыл бұрын
Amen Amen Yesu uturehemu😭😭😭
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Sikutegemea keneth Hagen alivyjulikana na huduma yk tuwe makini wachungaji mjulikane duniani na mapesa yenu uzeni vitabu na waimbaji uzeni cd mbingu sio yenu
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Mungu akubarike Sana Dada hakuna dhambi mdogo mbele ya mungu shatani hutesa watu wa mungu wapotea
@emmanulmbembati Жыл бұрын
Jina la bwana yesu kristo liinuliwe kwa ushuhuda huu bwana tuokoe