Asante Kwa kuliona hilo Makonda atabaki kuwa Makonda hakuna kama yeye
@BJMKANGALA1Ай бұрын
Mh Waziri umeongea vizuri halafu maongezi yako umeyatia dosari pale ulipobadilisha lugha ya kiswahili na kuongea lugha ya kiingereza pasi umuhimu wowote! Ulishawahi kumsikia kwa mfano, Rais wa Urusi au China anaongea kiingereza ? Kwa nini basi hatupendi kujisikia fahari tunapoongea lugha ya kiswahili?! Mdharau kwao ni mtumwa wahenga wamesema!
@FunnyAnimalMoments2024Ай бұрын
👋🏼👋🏼👋🏼🇹🇿
@stevenmwagowa1258Ай бұрын
Wale walio andikiwa barua ya kutibiwa bado wataendelea kutibiwa au ndo iliishia pale uwanjani