Рет қаралды 4,724
Ni Muhimu saana kujipanga vizuri katika maandalizi ya kuanza safari ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kwani Ni Miongoni mwa miradi inayohitaji umakini mkubwa saana mwanzo na na hata katika mwendelezo wake ili kujihakikishaia matokeo yenye Tija kwa mfugaji.
kwa mahitaji ya ushauri zaidi Tupigie Simu 0654484175.
Island by Luke Bergs | / bergscloud
Music promoted by www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons CC BY-SA 3.0
creativecommons.org/licenses/...