Ndacha barikiwa sana mwalimu hakika ROHO wa MUNGU anakaa ndani yako ubarikiwe mno
@kelvinaherimutula12073 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu ndacha kwa tibu na elimisha watu ili wa mjiye Yesu kristo
@ramadhanchenga46062 жыл бұрын
Yesu hafananishwi na nabii yoyote
@triuneapologeticsevangelis59123 жыл бұрын
I can't stop watching ur videos as u counter Islam with ease,the gospel of Christ must be preached to everyone till muslims see the truth
@olengonelson7453 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Ndacha kwa kazi hii unayoifanya. Bwana ukuziwdishie afya njema na uzima.
@rosemawia42394 жыл бұрын
Amen,amen, barikiwa mwalimu dacha, roho wa mungu na azidi kuishi ndani yako, Yusuf we okoka na ubatizwe, uache kutapatapa kama unji,
@jamilshisia59294 жыл бұрын
Ailkuwa mkristo akasilim aliona haki ndio akafwata ukristo ni biashara
@brianmathias68542 жыл бұрын
@@jamilshisia5929 waaa ulipotea ndugu yangu
@user-rm1os9bm8i4 жыл бұрын
wow,from saudi aki Ndacha we hunitia nguvu,endelea kuwapa ukweli
@ipyanapaul82682 жыл бұрын
Hallelujah ndacha barikiwa sana
@emoalembe4790 Жыл бұрын
Huyu ndacha uta waacha watu hoyi kweli kweli Mungu akubariki kabisa.
@enosbahati223 Жыл бұрын
Ndacha mungu akubariki
@jamesombaso9493 Жыл бұрын
God bless you ndacha
@erickangima970 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa maisha marefu hulete kondoo waliopotea
@MsDantoz Жыл бұрын
I am the way, the truth and the life NOBODY goes to the father except through me.
@isaacsilomba Жыл бұрын
May God touch our hearts to follow Jesus the only true way
@hotnews6887 Жыл бұрын
Amin amin
@enosbahati223 Жыл бұрын
Nimefurahia kwa majibu ya mwalimu ndacha
@sammunialo54633 жыл бұрын
Yusufu alichanganyikiwa na mada, hata akasahau aya ya Quran. Jibu alipewa kutoka kwenye Bibilia na mwalimu Ndacha. Yusuf abatizwe alivyo sema mwenyewe.
@danielernest85884 жыл бұрын
Waislam siku zote ni watu wa kushindwa tu,hata wafanye nn hawawezi,Yesu ndio kimbilio letu
@sammunialo54633 жыл бұрын
Pastor Ndacha, wewe ni Mwalimu wa kweli. Ubarikiwe sana kwa kufundisha hali halisi ya Bibilia na Kristo. Mwenye maskio amesikia.
@olisecharo61282 жыл бұрын
Kuwa mkristo raha sana
@enosbahati223 Жыл бұрын
Yusufu wewe 'ndawa yako ni mwalimu ndacha
@user-sj3di5wy9p4 жыл бұрын
May the lord bless u mwalimu
@jabalimikechi77504 жыл бұрын
Kweli Wewe ni muchaguliwa wa Mungu, Mungu azi kukuzidishiya hekima wape dawa yao.........to God be the glory
@fatmafaraj94352 жыл бұрын
In the
@edwinkaris96022 жыл бұрын
tell them the truth,for they shall know the truth and the truth shall set them free....
@agneskhakali20694 жыл бұрын
Hongera mwalimu Ndacha you never disappoint Christians we are happy of you let God empower you much more.Uarabuni ndani nakupata vilivyo mwalimu
@tarimowakweli Жыл бұрын
Siku maikitini watatumia jina la Yesu Kristo badala ya issa, hata mimi nitawaunga mkono, issa wa kuruani si Yesu wa Biblia, wao hawaanini Yesu Kristo ni mwana wa Mungu, sasa issa yeye siyo mwana wa Mungu kutokana na kuruani
@STEPHENAUNGO26 күн бұрын
Mbona mahubiri yakifikia kwa Ndacha inaruka? I want to hear good response from Ndacha
@ipyanapaul82682 жыл бұрын
Yusufu wewe uwezi shindana na wakristo kwani wapo juu sana kimaadiko
@johnamos80863 жыл бұрын
Yesu no yeye Yule Jana leo na hata milele
@johnamos80863 жыл бұрын
Hakuna aliyetumwa duniani kuokoa watu duniani dhambini isipokua Yesu peke yake
@mosesbarasa5134 Жыл бұрын
Very wonderful
@rachealnazi9115 Жыл бұрын
Jamani Yusuf kaumbuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rajukpino14293 жыл бұрын
Asante mwalim
@banlincoln56462 жыл бұрын
Huu ulikuwa mkutano wa wapi
@christophermotonyi2547 Жыл бұрын
Ndacha kiboko yao may God bless u
@7evenlyrics1542 жыл бұрын
Can i get these pastor or apostle
@patrickndaro3724 жыл бұрын
Sasa kumbe munamuamini yesu kupitia Quran ata sio Muhammad 😂😂 sasa na bado unaenda muskitini hyu anaabu kweli aki
@BibliaMwangawaDunia8 ай бұрын
Safiiii kabisa
@janenjenga56394 жыл бұрын
Barikiwa pastor ndacha kwa kuwapatia dawa
@joelgodia40002 жыл бұрын
Yesu kristo diye kweli na jia pekee hakuna jia ya mwigine
@emanuelmsaky8074 Жыл бұрын
Ukweli wa Mungu utaendelea mbele Kati ya mdahalo Bora huu nao Bora zaidi akili za wengi zifunguke January 2023
@FuadHamed58044 ай бұрын
Sasa hapa ndacha kuna kitu cha kusifiwa nacho kweli? Ndacha hajielewi anarukaruka maana ukweli anaujua ila ako kupinga ajili ya pesa ..... Pesa ni Shetani mkubwa
@bienvenueitangishaka7015 Жыл бұрын
Yusufu abatizwe tu.
@anwarKhan-gn6yt Жыл бұрын
Wewe ndacha ni msanii Sana,yaani unasoma kifungu bila KUMALIZA sentensi na wakristo wenzako wanashangilia bila kujua hahahhahahaha.
@peternduati8877 Жыл бұрын
Ndacha hoja zake zii wazi jmeni
@abdimoge3839 Жыл бұрын
Mtu akijibiwa swali anaaibika wapi ama vipi?
@ndikumanainnnocent7796 Жыл бұрын
Safi sheikh Yusuf uko vizuri tatizo ya makafiri nikuerewa kidogo
@Bongolink4 жыл бұрын
Quran 5:46 Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu. Quran 5:47 Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu.
@juliusabraham84992 жыл бұрын
Kwanza ujue Quran si kitabu Cha mungu,Quran ni ya shetani Quran 2:97,kwa hivyo hayo maandiko ilikuwa imeandikwa na nani?????na ili uamini,,,,Quran 72:1 wakati majini waliskia Quran walisema ((((it is amazing na wameiamini)) Mimi nikisema majini waliamini Quran yao kutoka kwa shetani kosa ni gani?????
@sammunialo54632 ай бұрын
Waislamu lazima watumie uongo.
@vincentlion7487 Жыл бұрын
Nawabenda Sasa bwana onyango na francois
@MohamedHassan-yo7rt4 жыл бұрын
Mungu atuhifadhi Amir Yussuf Wambugu maana anajua ukweli
@ntandujunior12042 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🙌😂
@Bongolink4 жыл бұрын
Wanaso mfuata Issa (Yesu Kristo) Watawekwa Juu ya watu wengine hadi siku ya kiama Quran 3:55 Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
@hilalhilal84004 жыл бұрын
Kasome tena usisomee redioni
@intercontinental82034 жыл бұрын
@@hilalhilal8400 Una macho lakini hauoni, Unaikana Qura'n maana imesema "Walio mfuata Issa Bin Maryam Watawekwa Juu ya watu wengine hadi siku ya Kiyama"
@emmyndunge6406 Жыл бұрын
Ndacha kiboko yao
@joelgodia40002 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@intercontinental82034 жыл бұрын
Watu wana sali kwa Allah Lakini Allah naye ana Sali, Ana Sali kwa nani? Au ana muomba nani kama yeye ndo Mungu? Kama ana sali basi kuna anaye Muomba Quran 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Mtume. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
@profs.a54124 жыл бұрын
Hili swala inatakiwa lingie kwenye maajabu 7 ya dunia🤠🤠🤠.......yan allah wao anamsalia mtume......🤠🤠🤠🤠............bora ukae kwanza mpagani kuliko kwenda uislam aiseee
@janenjenga56394 жыл бұрын
Vituko vitaisha hii dunia
@bictonykeraryo39002 жыл бұрын
Mbona hujasilimu mwongo wewe wambungu?. Na uliomba andiko umepewa!.
@janetkahada52063 жыл бұрын
Isreal my brother siyo taifa kwenye Bible lsreal ni Yakobo mwanzo 32:28
@sulehassanshall61403 жыл бұрын
Tunamuombea shetan ndacha .mungu Amzidishie uchizi wake.Amezid ujinga wake kumtukana mungu nanabii wake nabblia naquraan.ndacha Shetan Hana akili a Na Atazidi kukosa Akili ...Ata piga kelele zaid uciku mchna Akisema mungu nimejuta kwann nilikutakana. ...Namusitafute ninani Alie mroga ndacha bali niombi waislam Tunamuombea Akae ciku nyingi Akiwa chizi Kila mtu Amshuhudie uovu wake Aluotenda...
Huu ndio ukristo sasa Leo mumeamua kumtangaza yesu katumwa na Mungu ila siku zingine yesu ni Mungu inalilah wa inalilah rajuni, na ndio maana wakristo wanasilimu kwa wingi , ndacha wewe huwezani na ustadhi yusuf! wewe kwa dini yenu hakuna unacho changia ilah kwetu ustadhi Yusuf amesilimisha makafiri wengi mno kwako n pang'ang'a tu elimu huna marifa huna , njo usilimu upate rehema
@sarahabdulatif73914 жыл бұрын
Yusufu ana LAANA huyo .naasipobadilika atakufa kifo kibaya sana
@patrickndaro3724 жыл бұрын
😂😂😂
@MohamedHassan-yo7rt4 жыл бұрын
Kama we utajua njia yko
@Hopewavinya5672 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@edwardchomba97332 жыл бұрын
Wacha makasiriko bana..😂😂😂
@paulmutisya38424 жыл бұрын
pasaka ya wakristo ulikataa kubatizwa.unamchezo wambugu
@lileoh38932 жыл бұрын
Wewe ndacha acha kufanya maandiko kama tim ya yanga na simba intakiwa tafakali maneno je nikweli. Maneno ya baybo nakuruani yap yanasema ukweli
@MohamedHassan-yo7rt4 жыл бұрын
Unaupload Nusu watu ni wasome si kama wewe unafikiria kama kuku😂😂
@hilalhilal84004 жыл бұрын
SIJAONA ALIPO AIBIKA. NIMEONA MCHUNGAJI KAFANYA KAZI YAKE YA KICHUNGAJI KUPOTEZA WATU. HAKUNA SEHEMU YESU KASEMA ATAOMBEA ULIMWENGU. WAAMBIENI WAKUONYESHENI ANDIKO NYIE WAKIRISTO MNAPACHIKIWA UJINGA MNAAMINI TU. YESU HAWEZ SEMA ATAOMBEA ULIMWENGU. HALAFU WAKIRISTO MNAMAAJABU SANA. KWANZA MNAMUITA YESU MUNGU PILI MNASEMA ATAOMBEA ULIMWENGU!!! YAANI HUYO MLOMUITA MUNGU JE ATAOMBEA KWA MUNGU GANI SI ANGESEMA NTAWASAMEHE ULIMWENGU! KUMBE ATAWAOMBEA KWANANI?. WAKIRISTO ACHENYI UJINGA KILA NENO KUITIKIA NDIO TU KAMA MLIOROGWAA!!! UJINGA HATA HAMFIKIRI
@edwinelyone31004 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Amen ndacha.
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
Kaabika wapi ndacha wenu hanampango
@kingplumber3849 Жыл бұрын
Wambogu aki wewe
@TruthMustBeTold_911.2 жыл бұрын
There is only one God,His Name is Jehovah.Bible is His Word.We will never worship any other gods or idols whether they use knives,swords,gun,bombs or suicide bombers.
@intercontinental82034 жыл бұрын
Allah ni Muhammad asiye onekana. Allah = Muhammad Quran 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Mtume. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu. Quran 4:80 Mwenye kumtii Mtume basi ndio amemtii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.
@hilalhilal84004 жыл бұрын
Wewe bakia na UJINGA WAKO. Lakini hakuna andiko lilosema Muhammad =Allah. Hakuna hilo andiko kwaio hizo kutoa tafsiri kwenye tafsiri ni upumbavu wako kadanganyaneni hukohuko kanisani mlipozoea uongo na upumbavu. Hizo tafsiri zipo ivo zilivo ndio ivo ivo wala Mungu hakusahau kuandika hio = . Kwaio usiiweke haipo. Wewe bakia tu na upumbavu uliokujaa
@hilalhilal84004 жыл бұрын
Sisi waislamu tushafahamu andiko wala hakuna andiko lilosema Allah ni Muhammad. HILO andiko hakuna ila ni kufuru za midomo yenu mkayatoa maneno ya Allah.sw. na mkatunga maneno teni. Allah.sw. hasahau wala hakosei kuandika kwaio msizidishe yasio kuwepo
@intercontinental82034 жыл бұрын
@@hilalhilal8400 Allah akosei? Nenda kasome Qura'n 19:27,19:28 na 66:12 Uone uongo wa Allah, Maryam mama yake ISSA (Yesu) ni dada yake Harun na Musa kwa baba na mama mmoja? Kuna Tofauti ya miaka 1300 kati ya Musa na Maryam mama yake ISSA, inawezekanaje wawe Kaka na Dada? Alicho kifanya Allah kafikiri Miriam wa Kwenye biblia ndio Mariam bikira mama yake Yesu, Kamchukua Miriam Dada yake Harun na Musa na kumpachikia stori ya Maryam mama yake ISSA. Soma, 1 Mambo ya Nyakati 6:3 Imran ni baba yake Miriam sio Maryam mama yake ISSA, Mariam bikira /Maryam Baba yake ni Yoachim. Alafu anajiita mjuzi wa yote, mjuzi wa yote hajui hata historia? Qura'n 4:82 Allah anasema Kama Qura'n haitoki kwa Mwenyezi Mungu utakuta kuna Khitilafu nyingi. Ndio maana Surat Yunus 94 ana waagiza Waislam kama wana Maswali wawaulize wasomao Kitabu kabla yenu (Wakristo na Wayahudi) kwasababu anajua ukikisoma vizuri lazima utaona kuna matatizo na wa kutatua matatizo ni Wakristo na Wayahudi.
@intercontinental82034 жыл бұрын
@@hilalhilal8400 Ndo maana Allah ame waruhusu kutumia Uongo (TAQIYYA) Jami` at-Tirmidhi 1939 Wakristo hakuna kupindisha maneno; Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu. Mathayo 5:37 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo. Yohana 8:44
@janenjenga56394 жыл бұрын
Tupe habari
@jamilshisia59294 жыл бұрын
Hapo sijaona chochote ju hujatoa majibu, wewe ndacha ndio uliaibika sana mpaka ukavalishwa kofia baada ya kutoa hoja eti itoke andiko yesu anaita mamake mama utasilimu walivunja hiyo hoja yako ukaibika
@michaelvicem63232 жыл бұрын
Wew ni acha ushabiki maandazi sis tunaangalia points Yusuf kauliza ujinga mtupu na kajibiwa safi,
@hilalhilal84004 жыл бұрын
We
@ramazecha28772 жыл бұрын
Yusuph wambogo ni kiboko ya ndacha
@jamesombaso9493 Жыл бұрын
Kweli mmerogwa yaani mtu ameshindwa na bado unamtetea??
@josephdavid9859 Жыл бұрын
@@jamesombaso9493 Achan nae hjui asemalo huyu😂😂
@juliusabraham84992 жыл бұрын
Yusuf ni kafiri
@godisgreat18454 жыл бұрын
Yani wakristo hamna jipya yani huyu NDACHA anaigiza comedy hapa mnamwita mwalim kwali Allah anaapa hata kwa nafsi yake Sasa mnashangaa kwa Hilo nahii basi au ya qur'an Aya hii Amos 6:8 nyie kuna siku mtajuta mtakapooneshwa njia yenu Leo mnawadharau walimu wa Kiislamu kwa jitihada zao za kukuepusheni na adhabu za Allah siku ya kiama
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Ndacha Yusuf wambughu kaaibika wapi sasa. Au unajfariji.huna hoja.
@angelinekinandaofficial95413 жыл бұрын
Yesu ohhyeee
@angelinekinandaofficial95413 жыл бұрын
Yesu njuu njuu shetani chini
@estherkanini46272 жыл бұрын
Wacha kukasirika bro
@suleimanali83174 жыл бұрын
masikini kondoo wanapotea kwa sababu hawajui mandiko msishabikie tu kuna hukumu kesho mtakuja lia na wala Ndasha hataweza kuwaokoa
@Bongolink4 жыл бұрын
Quran 5:46 Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu. Quran 5:47 Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu.
@CK-ii5cc4 жыл бұрын
ole wenu waislamu mtalia lakini itakua too late.moto ya kuzimu inawangoja
@davidsolomon52403 жыл бұрын
Kundi la Mashetani limesikiliza Koran na kuiamini(surah Al jinn ) 72
@jamilshisia59294 жыл бұрын
Mimi nilidhania kuna hoja kubw sana kumbe nkuweka viraka, kiswahili ndio shida kwako ukipewa mamulaka haimanishi umepewa mamulaka dunia mzima kwa mfano rahisi wetu ako na mamulaka hapa kenya mbali akienda nchi ingine hawezi kuwa na mamulaka,wewe rudi shulen ukasome acha kuleta sarakasi,
@intercontinental82034 жыл бұрын
Allah anaapa kwa Ardhi na kwa aliye itandaza, kwa mbingu na kwa aliye ijenga, Kwa Nafsi na kwa aliye itengeneza. Kama anaapa kwa Nafsi na kwa aliye itengeneza, kwa ardhi na kwa aliye itandaza, kwa mbingu na kwa aliye ijenga ina maana sio yeye kuna mwingine aliye vitengeneza hivyo ndo maana anaapa kwake. Qura'n 91:1 Naapa kwa jua na mwangaza wake! Qura'n 91:2 Na kwa mwezi unapo lifuatia! Qura'n 91:3 Na kwa mchana unapo lidhihirisha! Qura'n 91:4 Na kwa usiku unapo lifunika! Qura'n 91:5 Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga! Qura'n 91:6 Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza! Qura'n 91:7 Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza!