Zaiiiii🤣🤣🤣🤣 nikweli kabisa mimi huwa nawaona wadada kwenye boda boda😂😂😂
@dggxxxxfgff38763 жыл бұрын
Kusema ukweli mimi ni mburundi niko warabuni lakini kitu peke kinaconipaga furaha niki kipindicako yani naweza kurudia video ilopita hata mara 3vili nitowe stress Allah akupekila lakher
@nrwawanndeny73943 жыл бұрын
Karibu jamaa.Hiyo ndio raha ya Tanzania bhana . Sema mrundi sio mburundi Uarabuni si warabuni
@oscaroscaroscar79743 жыл бұрын
Jamani uyu da zai..Eti kiapo cha mkopo😂😂😂dah da zai umejua kunichekesha
@ummyhasheem22453 жыл бұрын
Tungeona kwa vitendo jmn 😂
@christianmartin39543 жыл бұрын
😂😂😂😂aisee ntakufa kwakucheka zai hapana
@thresherjordan68293 жыл бұрын
Uyu nyie anafurahishagaaa🤣🤣🤣🤣🤣👌etiii kambinulià polis watu hawaelew yan
@tausihasheem51692 жыл бұрын
Eti kiapo cha mikopo jmn🤣🤣
@didamsellem26792 жыл бұрын
Eti flat screen 😃😃😃😃
@minormine44173 жыл бұрын
Jamani nimecheka ile mbaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@romeocyrill66353 жыл бұрын
Huyu dem anaitwa nani maana ni noma aisee😂😂. Eti kifua mbele kama ndezi
@marydaffa82053 жыл бұрын
Wa kwanza mie👌👌👌👌🤪🤪🤪🤪
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Zai sio mzm walah🤣🤣
@maliharajabu89173 жыл бұрын
😃😃😃😃
@rahmaomar96463 жыл бұрын
😂😂😂😂nacheka
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mume pandikizwa hixo ni mateka mumetwekwa mutafuteni mungu
Hii SHUSHA bado inahit tu kzfaq.info/get/bejne/r65-nM6d2NrPnX0.html
@nadrahassan52413 жыл бұрын
Hiki kipindi sikipendi kama hekaheka
@aksamayuni9113 жыл бұрын
kam hukipend usiangalie mbon una koment
@didamsellem26792 жыл бұрын
Unateseka ukiwa pande zipi? Toka humu
@rosendile82352 жыл бұрын
Kama ukipendi tunakuomba sana uache kufunguwa hii page na pole sana Kwa kukosa kucheka na Zai anayetu fanya tuepukane na makundi ya wasengenyaji bora nichekeeeee na Zai wetu.
@nadrahassan52412 жыл бұрын
@@rosendile8235 comment ina mwaka leo ndo umekuja kunijibu!😅siku hizi nakipenda mwaya kipindi hico nilikuwa sikifatilii kwa umakini😂
@rosendile82352 жыл бұрын
🙈 Nadra Hassan poleee nimekuwa busy sana toka Mwaka juzi huu Mwaka Mungu kanifanyia wepesi hivyo ndiyo naangalia pages 💯