No video

BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 9

  Рет қаралды 8,099

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 53
@Rosepeter001
@Rosepeter001 Ай бұрын
4:50 Janelle kauliza swali la msingi ❤
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Diva yan ww kila kitu sifa mara una nyota mara ww brand mara ww huwez kaa magomen uswahili yan kiufup hujielew kuna watu wanaish magomen na wana maisha mazur kuliko ww chizi
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Ай бұрын
Diva. Anapenda sifaa sana ,hapo hulipo umetok kazin hujaonga tangu asubihi na wigi lako ilo na joto la dar es salaam Kaz kuongea English kuonga ahaa😂😂😂😂
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 Ай бұрын
😁😁😁😁😁 nihatari kweli diva anani chekeshaga vituko vyake kweli nashindwa kumu helewa
@upendomsuya8961
@upendomsuya8961 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 Ай бұрын
😂
@Tuu2019
@Tuu2019 Ай бұрын
Divaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anaitaji msaada hapa nacheka km mazuri
@Sunshine0222
@Sunshine0222 Ай бұрын
Mi napenda hichi kipindi cha diva ananichekesha
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 Ай бұрын
Tunaomba ya kajala na paulah huku mnazngua
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Ай бұрын
Yaani uyu wakiachana na mumewe hapati tena mtu wa maana atakevumilia huu ujinga wake labda awe muhuni km mastaa wengine
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Abdul apewe 👑
@cdeleo9336
@cdeleo9336 24 күн бұрын
Wamekutana wote wana mambo ya hovyo. Hakuna mume hapo wala mke
@funnyVids_001
@funnyVids_001 Ай бұрын
Mbona amuweki mom&daughter nyie mnazingua
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Ай бұрын
diva hajiamini na ndoa yake anapenda kusikiliza ya watu
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 Ай бұрын
Hadi rafiki yake ameshamchoka
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Abdul pia ameshamchoka
@StellahErick-wx5tw
@StellahErick-wx5tw Ай бұрын
Ila diva bna akili zako bana akili za usiku chinzi fresh😂😂😂😂😂
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 Ай бұрын
@@faridalihondo3322anachekesha😂
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 yani mutani huwa nacheko nilizani ni mimwewe na honaga ilo
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 Ай бұрын
@@ingabireshakira9631 sanaa😂🙌
@naifathassan2607
@naifathassan2607 Ай бұрын
Plate namba ya South Africa hiyo gari
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 Ай бұрын
Diva me nakupendaga Bure,you are so real,I love that
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂😂real ipi mamiwani ya jua kama j Martin unavaa ndani usiku, mawigi mpaka muda wa kulala real ipi unayoisemea shori
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 Ай бұрын
Diva eti alfatha😂😂😂😂😂😂❤
@cutehappy3984
@cutehappy3984 Ай бұрын
😂😂😂😂😂khaaaa diva
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 күн бұрын
Hivi Diva kwanini hujiamini mawani yanini usiku !😢
@floraflora9490
@floraflora9490 Ай бұрын
Kufunga usiku 😂😂😂😂
@GlorySamwel-qq6wq
@GlorySamwel-qq6wq Ай бұрын
Jannel❤
@Noor-qq9ut
@Noor-qq9ut Ай бұрын
Ya kajala tunataka
@jme5822
@jme5822 Ай бұрын
Kisha anajina wa saman sana yani diva swahili kizungu cha kimbeya
@trapqueen7885
@trapqueen7885 Ай бұрын
Kwahiyo hii huwa wanaigiza maisha yao yaliyopita?
@floraflora9490
@floraflora9490 24 күн бұрын
Usiku miwani
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Ай бұрын
Ushamba wawazungu
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Ай бұрын
Eti politics 😂😂😂😂ambaye hajui hata Kama hospital ya muhimbili ni ya miaka mingi
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Ай бұрын
😂😂😂😂😂tanga mbunge wenu mmemuona eti anamzungu 😂😂😂
@aminaali792
@aminaali792 Ай бұрын
😂😂😂😂
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 Ай бұрын
Huwezi ukaita mume/mke wako mshenzi mshenzi mbele za watu khaaa
@Daniella249
@Daniella249 Ай бұрын
Yani ndyo nmejua kumbe yule devis wa juakali ndyo huyu bwana wa diva nilikua najiuliza au namfananisha au bado namfananisha mwenzenu 😅
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi Ай бұрын
Why embarrasse your husband like that? You luck home training period
@brendajulius2995
@brendajulius2995 Ай бұрын
Imebidi Leo niccoment yani diva Hilo wigi na anavyotembea ni km Bibi aga mana hata mchawi kalaba anapendezaga. Na huyu mganga ndo anamfaa amroge mpka akili zikae sawa
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Ma ant tumeshamchoka diva🇰🇪
@jme5822
@jme5822 Ай бұрын
Mtyan yan uyu napenda kubishana mwanamke awi ivi
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 Ай бұрын
Mke hajafika anapopataka
@user-gc3yt5gn3p
@user-gc3yt5gn3p Ай бұрын
The whole 21 minutes you just talking about your husband ?? So childish 😏
@Ajijji12
@Ajijji12 Ай бұрын
Hana akili huyu
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
unakula huku unashika manywele duh manywele yenyewe uchafu tu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Kama kuoa ni huku? 😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Abdul alijichanganya sana kuoa diva
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Huyu Abdul akirudi kwa diva anamoyo
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Ай бұрын
Is this girl okay
@funnyVids_001
@funnyVids_001 Ай бұрын
Mbona amuweki mom&daughter nyie mnazingua
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Afadhali hiyo
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 10
27:48
ZamaradiTV
Рет қаралды 7 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 47 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,2 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 235 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 11
22:13
ZamaradiTV
Рет қаралды 8 М.
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 23 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 8
23:49
ZamaradiTV
Рет қаралды 10 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 47 МЛН