ZIARA YA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI MKOANI NJOMBE

  Рет қаралды 9,797

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

5 жыл бұрын

RAis wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe - Makete yenye Urefu wa Km 110.
Pia anafungua hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe.
Aidha Mhe.Rais anazungumza na Wananchi wa Njombe katika Uwanja wa Saba Saba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Yupo Mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku Tatu

Пікірлер: 5
@ambrosekituyi2199
@ambrosekituyi2199 5 жыл бұрын
Kama unamkubali jembe la taifa gonga like! Magufuli Hoyee!
@modestusndunguru4479
@modestusndunguru4479 5 жыл бұрын
jpm waambieee... waache uchawi.. 😁😁😁😁😁😁👍😁😁😁😁👍👍
@modestusndunguru4479
@modestusndunguru4479 5 жыл бұрын
Karibu mbeya mzee baba jpm...👍😁 tunakukubal.... nyosha nchi mzee
@modestusndunguru4479
@modestusndunguru4479 5 жыл бұрын
nyinyi mawaziri ndio muna muangusha pigeni kaz ka jpm... mwanaume lazima uwe na msimamo ka mzee baba
@agapthokifyoga3999
@agapthokifyoga3999 5 жыл бұрын
uongozi wake sicoment chochote
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
HOTUBA YA  RAIS DKT.  MAGUFULI  KWENYRE UWANJA WA SABASABA NJOMBE MJINI
1:02:45
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 26 М.
ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI NJOMBE
2:08:06
TBConline
Рет қаралды 3,2 М.
Developmentalism & Welfarism - Dr Julius Nyerere
1:47
Africa Social Work & Development Network ASWDNet
Рет қаралды 276
MAGUFULI Amekutana na Jamaa Anayemuigiza Sauti Yake!
6:20
Global TV Online
Рет қаралды 121 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН