ZINGATIENI KUWAHI KANISANI KIPNDI CHA KWARESMA ;;ASKOFU EUSEBIO KYANDO''

  Рет қаралды 1,674

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

5 ай бұрын

//Njombe waaswa kuacha ulevi kipindi cha kwaresma//
WAAMII WA KANISA KATHOLIKI WAMEASWA KUACHA TABIA ZA ULEVI NA MATENDO MENGINE YANAYOPELEKEA KUTENDA DHAMBI PAMOJA NA KUJINYIMA KWAAJILI YA WAHITAJI KATIKA KIPINDI CHA MFUNGO WA KWARESMA AMBAO UTADUMU KWA MUDA WA SIKU AROBAINI.
TAARIFA ZAIDI NA PROSPER MFUGALE NJOMBE NJOMBE
KATIKA MAHUBIRI ASKOFU WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA NJOMBE EUSEBIUS KYANDO KWENYE MISA YA JUMATANO YA MJIVU AMESEMA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU NI MWANZO WA KUELEKEA KIPINDI CHA MFUNGO UNAOTAKIWA KUWA NA MATENDO MEMA.
Cue in EUSEBIO KYANDO askofu jimbo katoliki njombe
MKUU WA MKOA WA NJOMBE ANTONY MTAKA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI KATIKA IBADA HIYO AMEISA JAMII KUACHA UNYWAJI POMBE KUPINDUKIA WATU WAZIMA NA WATOTO.
Cue in Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Njombe
KWA UPANDE WAO WAAMINI WA JIMBO KATOLIKI NJOMBE WAMESEMA KUWA KIPNDI CHA KWARESMA KIWAKUMBUSHA MATESO YA YESU KRISTU.
Cue in Ivan mbelwa na Happens Sanga Waumini

Пікірлер: 3
@zawadikitime233
@zawadikitime233 5 ай бұрын
Amina Baba mtumishi wa Mungu tunategemea kujitahidi kusali na kushiriki matendo Mema Amina Baba askofu.
@eliahkayombo7029
@eliahkayombo7029 5 ай бұрын
Nimefurahi askofu amesema ni kipindi cha kufanya mazoezi kama wacheza mpira kwamba tujizoeze kuishi maisha ya matendo mema
@njbtv2982
@njbtv2982 5 ай бұрын
Thank you for your love to our channel
Maaskofu Wote Tanzania Wakutana na Papa Francis Leo Vatican
0:25
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
'ROHO YA MUNGU IMEUJAZA ULIMWENGU''ASKOFU LAGWEN AKITOA UPADRISHO JIMBO KATOLIKI MBULU
3:00
Rais Magufuli atinga kanisani kwa Wasabato Magomeni, awapa pesa
12:33
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН