Рет қаралды 136
Baada ya Baraza la Taifa BASATA kumpatia mwongozo, upande wa Zanzibar wamempiga marufuku Zuchu kufanya kazi za sanaa Zanzibar kwa muda wa miezi 6 ikijumuisha nyimbo zake kutopigwa katika radio na television alikadharika kulipa faini ya Tsh milioni 1.
Baada ya tamko hilo Zuchu ameamua kupost video hii kwa ajiri ya kuomba msamaha kwa mara nyingine.