ZUCHU Ataka Kumwaga MACHOZI "Napigwa sana VITA/NACHUKIWA/Naumia Sana MOYONI"

  Рет қаралды 61,324

Rick Media

Rick Media

4 ай бұрын

Mwanamuziki @officialzuchu amefunguka kuwa miezi kadhaa amekuwa akipitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yake, si kwasababu ya mapenzi ila ni maisha kwa ujumla
.
Zuchu anasema kuwa amekuwa anachukiwa na baadhi ya watu bila sababu za msingi, amekuwa akijitahidi kuonesha kuwa mwenye furaha lakini ndani ya moyo kuna mengi anayapitia
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Zuchu #Diamondplatnumz

Пікірлер: 122
@rashidfatma2137
@rashidfatma2137 4 ай бұрын
Emotion nyingi saana Mpaka Na Mwaga Machozi. Tunasubiri Ndowa Allahumma 🤲❤❤❤❤
@eunydave
@eunydave 4 ай бұрын
Zuu, you sing so well well fir God. Add another Gospel album
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
Zuchu you are already there,they will never pull you down.The number of people who support you is Massive.
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 4 ай бұрын
Sijui kwanini WA Tanzania mnamchukia sana huu mtoto😢she is natural beautiful,nice body.Diamond already said she is unique.stop hating her
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 4 ай бұрын
Huyu mtoto anajua sana mpaka ananikera❤❤❤❤❤
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Komaa nao mwanangu. Huwezi kupendwa na wote wewe sio PESA. Watashindana sana lakini hawatashinda!❤❤❤❤❤❤
@user-gv2un4jl3m
@user-gv2un4jl3m 4 ай бұрын
Doroth msuya nimekupenda sana,komet yako imenikosha tupo pamoja na Zuchu wetu pambana kuwa makini na hao wanaojifanya mashostika upuzi mtupu,🎧🎸🎤🌹🌹🌹🌹
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
@@user-gv2un4jl3m umeonae! Mtoto anapambana wao wanamchimbia mashimo! Watatumbukia wenyewe! Mondi kawakomesha saa hizi kimyaaaa!
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 4 ай бұрын
Mimi nampenda mno zuchu alipo nipo hata iweje nitakufa nae
@channyanjen9047
@channyanjen9047 4 ай бұрын
Unatuma na😭😭😭😭zuchu, Allah azidi kukupa kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen ❤
@jackywambua917
@jackywambua917 4 ай бұрын
Zuchu I love your confidence 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@princesumary7356
@princesumary7356 4 ай бұрын
Ukimba live zuchu unaimba vizuri Sana l like it❤❤
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 4 ай бұрын
Pambana zuchu wewe ni mtoto wakike ❤❤❤❤❤
@theshindikasfun5198
@theshindikasfun5198 4 ай бұрын
This is our favorite song ..We love you girl, keep shining ❤🤲🏼🙏🏿
@priv524
@priv524 4 ай бұрын
She killed this song 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KoneyxWiskes-ec3wz
@KoneyxWiskes-ec3wz 4 ай бұрын
Zuhura is strong ❤❤❤I love this song
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 4 ай бұрын
she was full of emotions kwa kweli, this song carries her deep message
@user-od6uw2tl7h
@user-od6uw2tl7h 4 ай бұрын
Nakupenda sana zuuu, unajua afu unajua tena
@graceamadi1096
@graceamadi1096 4 ай бұрын
Zuchu keep on moving on and don't rely on haters remember not everybody will love you. Work on your tumbo unless you are pregnant
@user-gu4sg1lf6m
@user-gu4sg1lf6m 4 ай бұрын
Nakupenda zuchu❤ love so much endlea kupambana
@TuyishimePelagie
@TuyishimePelagie 4 ай бұрын
Niko Rwanda!! Nasikiliza mambo Yako yote kweliii nakupenda sana!!! Wewe ni katoto kamungu!!! Kuwa namani unapendwa!! Ule mama acana nayeee anazehekaaa
@princesumary7356
@princesumary7356 4 ай бұрын
Kuimbia Mungu nikutamu jamani!!! Zuchu karibu atoe machozi!!
@LilianAchieng-bo9xo
@LilianAchieng-bo9xo 4 ай бұрын
Much love zuchu ❤
@hybrid603
@hybrid603 4 ай бұрын
Well done Zuhura❤❤❤ keep it up Babe una kipaji kikubwa sana. Simama na Mungu Girl.Pokea maua ysko🎉🎉🎉
@veronicachuwa3595
@veronicachuwa3595 4 ай бұрын
Nakupenda jmn we mtoto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-dw8qq2qi3d
@user-dw8qq2qi3d 4 ай бұрын
Be strong mummy 💓
@evesilayo740
@evesilayo740 4 ай бұрын
Acheni wivu jamani zuchu mzuri sana mlitaka ajichubue? Acheni roho mbaya
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 4 ай бұрын
Zuchuuuu❤❤❤❤❤❤, from Holland
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 4 ай бұрын
Love you zuu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Amina-ig3jw
@Amina-ig3jw 4 ай бұрын
Ringa zuu huna baya ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-lo8ef9qn2r
@user-lo8ef9qn2r 4 ай бұрын
Alafu Uyo akimbiwa awe mtoa tangazo la pombe eti muislamu ivyo kukaa kitovu nje ndio uwislam
@user-rk8wp9no8d
@user-rk8wp9no8d 4 ай бұрын
Take heart my dear usijali ya watu mungu anakupenda pigana vita na uringe kukosea ni wajibu
@user-gd3kh7lz1i
@user-gd3kh7lz1i 4 ай бұрын
Tunakupenda my dear ❤️❤️
@MaryamHajj-ds8hl
@MaryamHajj-ds8hl 4 ай бұрын
Zuchu ❤
@user-gw7qi7bv9g
@user-gw7qi7bv9g 4 ай бұрын
Mimi love tuu kwako zuchu
@Makena-zt3zb
@Makena-zt3zb 4 ай бұрын
Yaani Da zuu nakupenda sana
@MrsA179
@MrsA179 4 ай бұрын
But why do they give her hate it's her choice to date dee people should let her be
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 ай бұрын
She is in public we are involve in her business
@louloubika8603
@louloubika8603 4 ай бұрын
They people who waste their time to hate Zuchu needs to get a life. It's nobody business. We love Zuchu ❤️ from Canada 🇨🇦
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j 4 ай бұрын
Walitaka diamond awe na hamisa,hao ni mange na timu hamisa,Sasa wanashangaa asiye na weupe na mitako ya sajari anawezaje kumiliki mondo hivyo roho zinawakaba wanamtukana zuchu kumpunguzia mahangaiko Yao!
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 4 ай бұрын
​@user-te1ggsema tu na wew una chuki na hamisa wew tako 8uj7j
@janeobure3006
@janeobure3006 Ай бұрын
Love u zuhura
@user-gw7qi7bv9g
@user-gw7qi7bv9g 4 ай бұрын
Nyimbo zako uwaga zinanimaliza sana nakupenda
@louloubika8603
@louloubika8603 4 ай бұрын
Love it ❤❤❤❤❤❤
@user-xj2xr2sc5q
@user-xj2xr2sc5q 4 ай бұрын
😢Kweli huyu mtoto sijui mnachukia Aki
@fitinakipita6813
@fitinakipita6813 4 ай бұрын
Archana nao makuma ao ❤❤❤❤❤❤❤
@upendofredrick8687
@upendofredrick8687 4 ай бұрын
Daa zuchu pambana nakupenda sana
@user-mw8cp6yk3e
@user-mw8cp6yk3e 4 ай бұрын
Huyu hata wakikataa wote mie nakupenda ❤❤❤❤❤ mamy
@sharonamboka
@sharonamboka 4 ай бұрын
You made me cry
@janeobure3006
@janeobure3006 Ай бұрын
Zuchu we ni mzuri achana nao wanakuonea wivu tu hawana lolote mashenzi hayo ni mashetani.
@azizamohammed583
@azizamohammed583 4 ай бұрын
wanakuchukia umewazidi
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 4 ай бұрын
Jina zuhura nickname ZUZU😅😅😅
@louloubika8603
@louloubika8603 4 ай бұрын
Zuchu keep your head up!❤❤❤❤❤❤❤❤
@debrawayua3152
@debrawayua3152 4 ай бұрын
Kumbe anakitambi 😂😂😂
@salha.d5060
@salha.d5060 4 ай бұрын
Wabongo bwana Sasa kutiwa atiwe yeye wewe umchukue huo ni upumbavu fateni burudani sio maisha yake binafisi
@ZuhuraO
@ZuhuraO 4 ай бұрын
Hii comment iwekwe msisitizo sana. Ni comment imemaliza na ku sum up kila kitu. Yaani mapenzi yake mwenyewe alafu mumchukie mtu kama umemzaa wewe. Wa bongo mna invest na life ya watu kama hamna life zenu. OMG! Mnamchukia mtu so hard kama wachawi......
@andrewkazura4222
@andrewkazura4222 4 ай бұрын
Unapedwa na me❤❤❤
@sultansallah8772
@sultansallah8772 4 ай бұрын
Tumbo nimeona vibaya au
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 4 ай бұрын
Yawakosaji Zuchu Utasemwa tu Shida Unawazidi
@user-sc1pz3dr4x
@user-sc1pz3dr4x 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@dijasaid2994
@dijasaid2994 4 ай бұрын
Mti wenye matunda hauishi kupigwa mawe..... roho mbaya na chuki zimewajaa achana nao jiangalie mwenyewe , Mama yako na familia yako ongeza wanao kupenda wasio kupenda tupaa kuleeèee
@floradii1964
@floradii1964 4 ай бұрын
Nifuzo kwa wezako haifai kufanya mapenzi na boss wako mweishoe ni madharau
@abdalababu6157
@abdalababu6157 4 ай бұрын
Unalima jukwaan kwa ajili ya uzinifu ww nitahira utasalitiwa Kila kukicha
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 4 ай бұрын
TUMBO UNALIACHIA HILO
@mariamsimba-cn1yy
@mariamsimba-cn1yy 4 ай бұрын
Kweli zuchu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 ай бұрын
Kaimba kama.mlokole hadi kurukaruka Bwana ni mwokozi halelujah
@Shaidaaa
@Shaidaaa 4 ай бұрын
😂😂😂
@margaretbirenge4081
@margaretbirenge4081 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@neemajames5137
@neemajames5137 4 ай бұрын
Zuchu tumbo limekuaje sijalielewa
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 4 ай бұрын
Kunenepa si kawaida tu jamani
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 ай бұрын
Kalikata na mkanda wa chupi😅
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@princesshappy6019
@princesshappy6019 4 ай бұрын
Olewa tuonee ndo tutajuw kwer daimond anakupend xn
@Ali-ui7qh
@Ali-ui7qh 3 ай бұрын
WAFUATA WAZUNGU MAISHA MAPITO ULICHOPANDA NDIO UTAKACHOVUNA
@user-ed5xy5ce6k
@user-ed5xy5ce6k 4 ай бұрын
Wacha wakuchukie sisi wanaume ndo tunakukubal balaa
@floradii1964
@floradii1964 4 ай бұрын
Uliyajua kutokea mwazo mambo kama hayo yatatokea Sasa pambana mama
@swafiya254
@swafiya254 4 ай бұрын
Ramadhan inakaribia muanze kuvaa vzr sasa 😂😂nauza abaya 5500 tu😂😂😂 delivery unalipia 500😂😂
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@swafiya254
@swafiya254 4 ай бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 natangaza biashara mwenzangu 😄
@isamony58
@isamony58 4 ай бұрын
Kiboko yako raziii
@user-ny3ls9qp9i
@user-ny3ls9qp9i 4 ай бұрын
Tafuwako ushabata pesa kwa Simba unamnganya watu wanume wao tafuta wako mwanamuke wewe
@user-uc2mr3gr5h
@user-uc2mr3gr5h 4 ай бұрын
Achana nao,ukiona hivyo umewazidi
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 ай бұрын
Katoto kazuri sana ukisikia petit ndo hii
@saumbliz8983
@saumbliz8983 4 ай бұрын
Apendwe na Kila mtu yeye mungu kwani
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 4 ай бұрын
Sasa jifunze kitu ona unavyodharirisha na mahusiano ambayo hata hayana baraka, wenzio wanateseka kwenye ndoa wewe unateseke na boyfriend. Hebu chukua hatua kama anakupenda akuoe kuliko kukuchezea jukwaani na kukudharirisha kwa wanawake wengine. Hebu amka basi
@jamilarajab6352
@jamilarajab6352 4 ай бұрын
Mwachane mtoto wa wenyewe jameni na maisha yake. Ana wazazi wake wakum shauri. Kila mtu ajishugulishe na ya kwake.
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j 4 ай бұрын
Kwani hata akichezewa wewe inakupunguziwa Nini??je atakuwa yeye ndio wa kwanza tz nzima kuchezewa??au yupo kwenye ukoo wako kusema anakuaibisha wewe??Sasa nyo nyo nyo za Nini??
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 4 ай бұрын
Kwani aliyesema kuolewa ndo thamani Kwa Dunia hii ya Sasa nani? Siku hizi Unaweza kuolewa na Bado usipendwe
@user-nb3fb9wr3v
@user-nb3fb9wr3v 4 ай бұрын
Kwendar
@ismailissa3996
@ismailissa3996 4 ай бұрын
Vita akupige nani ww na hiyo laana uliyonayo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 ай бұрын
Hilo tumbo vepee?😂😂😂😂
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 4 ай бұрын
Yaani mm ndo nilikuwa naangalia
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 4 ай бұрын
Pambio
@jkifutu7936
@jkifutu7936 4 ай бұрын
Ulichokosea wewe kutembea na boss wako umechanganya mapenz na kaz daah
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j 4 ай бұрын
Wewe unafata mziki wake au maisha yake?kwani akitembea na bosi wake kipi Cha ajabu??au mlitaka bosi wake awe na hamisa wenu ndio mfurahi??ila muelewe juhudi zenu kupitia mange kuwachafua zari na zuchu KARMA anaona!
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 4 ай бұрын
Ngoswe😂😂😂
@user-ny3ls9qp9i
@user-ny3ls9qp9i 4 ай бұрын
Nipesatu utatafuta kwa Simba
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 ай бұрын
Zuchu tulikupenda sana ulichotuuzi wengi nikuacha kazi iliyokupeleka ing'are ukaingia kutifua mapenzi ya watu na kukaa wewe .ukafukuza madancer mahouse girl sasa unategemea watunzie nini familia zao.machozi yao ndio yanaku hunt.zuchu tunakupenda ila achana na diamond utakuja lia machozi ya damu
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 4 ай бұрын
na wanao sema kwamba anaonewa wivu basi hawampendi wakat dai katembea na meneja wake ,lakin malipo ni hapa hapa si kamnyakua kwa shoga ake aliya 😂😂😂
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
Na kama anakupenda wew kuliko alio zaa nao SI akuweke ndan
@user-ny3ls9qp9i
@user-ny3ls9qp9i 4 ай бұрын
Tafuta mumewako wewe
@townkidallnight
@townkidallnight 4 ай бұрын
Hilo jitumbo kma mzee
@oman1oman179
@oman1oman179 4 ай бұрын
ACHA wivu lako lizuri liko wapi
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
Ni lakwake linakuuma nn
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j 4 ай бұрын
Timu hamisa huyo,alitaka na zuchu afanye sajari awe zombi au katuni kama bosi wake!
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 4 ай бұрын
Hakuna mwenye tumbo jamn anajiamini ndomn ypo na mwilo wake❤
@isamony58
@isamony58 4 ай бұрын
Jumbile nimbaya sana hata sura huna 😅😅😅😅
@jowaness
@jowaness 4 ай бұрын
Useless wewe
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 ай бұрын
Vibaya Mungu hakosei
@aminamarie2387
@aminamarie2387 4 ай бұрын
Kendal uko kinganga wewe
@user-qr5bm9uy1s
@user-qr5bm9uy1s 4 ай бұрын
Matako yako wewe mbwa
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 ай бұрын
Kajifunze kuandika kwanza then ukishajua jinyonge maana zuchu humuwezi
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 ай бұрын
Kajifunze kuandika kwanza then ukishajua jinyonge maana zuchu anaendelea kufanikiwa huo wivu utaishia kuwa mwanga
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
Alafu hakujui buza uliko uko😂😂😂
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j 4 ай бұрын
Tatizo mlitaka diamond atembea na hamisa ndio mfurahi, Sasa mmeona Yuko na zuchu ndio mmamuandama kumchafua Kila siku!
@user-kf5ms6rz9y
@user-kf5ms6rz9y 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@zuwenaissa3088
@zuwenaissa3088 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 7 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Fally ipupa Mayday STUDIO SESSION
7:53
Mc Moyo comedian
Рет қаралды 23 М.
Harmonize - Live Performance In Mbagala Zakhiem
10:06
Harmonize
Рет қаралды 80 М.
HADI RAHA ALIKIBA ALIVYOCHANGANYA KUIMBA AJE, MBIO NA NAKSHI NAKSHI
7:33
Zuchu - Full Performance On Simba Day At Mkapa Stadium
31:45
Zuchu
Рет қаралды 4,2 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
0:33
Topper Guild
Рет қаралды 29 МЛН
BABY Comedy : Gift for baby💔
0:41
BABY Comedy
Рет қаралды 6 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
0:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 46 МЛН