🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Пікірлер: 86
@asaarashid34244 күн бұрын
Tatizo la Kenya ni hali ya maisha kwa watu wasio na kipato au walio na kipato cha chini. Sawa na Tanzania. Ajira ziko kisiasa zaidi.
@jumannerizimbura67504 күн бұрын
Labda n Dr wa Mwarobaini na sarago
@deohaule2 күн бұрын
Mzee Dr.Muchunguzi Hongera kwa uchambuzi wako mzuri. Deogratias John Haule.
@margarethpolepole74384 күн бұрын
Kenya Ukabila umezidi ndiyo maana fujo nyingi sanaaaa
@justinesorwa-soudo41773 күн бұрын
Dr. Uko vizuri sana hongera sana .
@hemedmwipopo7804 күн бұрын
Mhe. Umeeleweka sana, bigup
@EDWINKISIERO2 күн бұрын
sasa ikiwa raia wanawasaidia polisi waliozidiwa,raia wana utu au laa na mulisikia ikiwa kuna polisi aliyepoteza maisha..kuna yule aliyekuwa yuajaribu kutendea raia maovu lakini mungu aliye hai kampa majibu kwa kupoteza mikono yake..mungu anatupenda sote ila polisi wanakuja kwa unyama
@RugakiMsingoКүн бұрын
Dr elim yako aina msahada kwa watanzania maisha yale ayako ivo.
@emmanuelopiyo640817 сағат бұрын
The biggest problem of kenya is corruptions
@albertinamichael61232 күн бұрын
Kwa kuwa umeshiba hujui kama kuna watu wana lala njaa.
@sidneybaraza35116 сағат бұрын
🤣🤣🤣Kama huyu ndio political analyst then Tz has a long way to go
@paulndosa26493 күн бұрын
Umetumwa na serikali ututie woga? Nyie ndo mtasababisha hayo yatokee kwa kutunyima katiba kwa makusudi. Kuna nini hapo kwenye katiba wakati mlitumia mabilioni ya shilingi kupata mapendekezo halafu mnayaweka kapuni bila sababu mnategemea watanzania tuendelee kukaa kimya?
@christinenyagiro66623 күн бұрын
Wewe ni CCM tu huna cha maana hapa CCM wametutenge wanainchi wa Tanganyika vibaya sana. Kwa sababu siku hizi Inchi yetu imekuwa ya wanaccm kabisa. Wewe unashiba lakini wako wasio shiba kabisa. Kwa mfano Arusha Makonda anashinda kila siku anashinda kusikiliza shida za watu ambayo hawashibi na walionashida kubwa.
@EDWINKISIERO2 күн бұрын
sasa ikiwa mseveni ndiye anayempa ruto ushauri eti awatume jeshi waje wapambane na raia wasiobeba silaha ili wasitetee haki zao kiongozi kama huyo ni wakumpenda kweli alivyo na rekodi mbaya kwa nchi yake,mama samia heri amejawa na hekima kwa hawa viongozi wote ambao umewataja katika region hii yetu
@user-ii3xo5jw9y3 күн бұрын
Mchunhizi ni wale Takataka mla matapishi kuhadi wa CCM. Hana la maana zaidi ya kuwa mbweha.
@christinenyagiro66623 күн бұрын
Kwa nkni KATIBA ingoje kumaliza uchaguzi ili mkaibe kura kuingia serikali ili samia aweze kuibiwa kura aweze kuingia ikulu tena aweze kupata nafasi ya kumaliza miaka mingi.
@user-xc8en4yi9g4 күн бұрын
We chawa tu
@JacksonMtese-gn4so3 күн бұрын
Nawe toa maoni yako tuyasikie
@christinenyagiro66623 күн бұрын
Huyu Mchunguzi nadhani anajipendekeza ili raisi ampe cho chote katika hiki kubadirisha na panguwa panguwa aweze kupewa cho chote. Wewe hujaona watanganyika wanao lala njaa?
@user-zq1bl3wi1zКүн бұрын
Sasa, kama unataka mambo ya Kenya tuwaachie wao, wewe unayachambua ili iweje??! Mzee una jambo nje ya haya unayoyazungumza!
@malkavoice25702 күн бұрын
Watanzania hatuelewi vitu vingi we mzee acha uchawa,hizo ni njaa. Lazima na sisi tuitafute haki barabarani.
@alexnato30864 күн бұрын
Naona wewe naona unatafuta uteuzi huna jipya
@EDWINKISIERO2 күн бұрын
mumshauri ruto dhidi ya kutumia vyombo vya usalama kufanya kamata kamata watu wanapopinga uongozi mbaya,raia ni walipa ushuru tukufu wala sio wa kuwanyanyasa na kuwatishia maana tunamachungu na twaomboleza..kenya ni yetu sote sio ya wachache wadhalimu
@NardhisMhagama-sy3eq2 күн бұрын
Maneno hayo Kawa ambie wamasai wa loliondo kuwa Kuna amani wasaidie wahaya wenzio kahawa imeshuka bei mtwara huko inatoka haitoki gesi
@margarethpolepole74384 күн бұрын
Hakuna kabisa anaelala njaa Tanzania tina raha ya ajabu Mungu atuendelee kutulea
@DeusPaschal-g5q3 күн бұрын
Una uwezo mkubwa Kaka!
@ellymartin93434 күн бұрын
mimi nashauri ukae kimya, unaziweza siasa la kusifia sifia tu, acha kuingilia watu wenye akili kubwa, huwa Huna hoja huru wewe.
@helencyprian87454 күн бұрын
Hujawahi kuongea point, viongozi wale wasikivu waache kiburi ,don't round the bush
@nkwazigatsha4 күн бұрын
Nanyi Mwanahalisi mmeishiwa. Mnatuletea huyu bweege ili iweje au ndiyo uwezo wenu wa kufikiri. Kenya ina ukubwa gani ikilinganishwa na Tanzania? Anaongea upuuzi ambao hata kuku wanaujua. Usomi mwingine ni aibu. Hiyo Sirari na Kirimanjalo ziko nchi gani? Eti wakenya ni taifa tulivu! Hili bweege halikumbuki PEV 2007/08.
@christinenyagiro66623 күн бұрын
Hao wanaomba omba ni wakenya? Wewe umetwmembelea masikini wote wana shmba? Wote wabaombaomba kweli watanganyika wanakula wote? Wewe figure za hapa watanganyika wote wanazipata mfukoni?
@GodyMussa-sc9fj4 күн бұрын
Wasomì wetu shida ni wanafiki kenya inatuhusu nìni mi nazan ongelea ya kwetu bandari kutitili wa kodi na mgomo wa wafanya biashara
@ramdanmbara85003 күн бұрын
Dr Muchunguzi nakuomba upunguze Uchawa, haipendezi mtu wa taaluma yako kuwa Chawa....
@DevothaLighton-dl6zi4 күн бұрын
Hicho kitabu Hamna wa kusoma kwakuwa hakina mvuto,hata mwenyewe huna kauli za kuirekebisha fisiem.angalia waziri unamtaja wa fedha.unamaliza mbs zetu
@EDWINKISIERO2 күн бұрын
ule nimwigizaji na yuapenda mzaha nafikiri mwamwelewa
@cosmasmilanzi71174 күн бұрын
"Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama"-Kenya inahitaji kujenga misingi ya Umoja wa kitaifa; nyufa za ubinafsi zinatesa sana taifa la Kenya
@Wiittole4 күн бұрын
Ushauri wa huyu mzee umeegemea uccm na uchawa zaidi .anaorodhesha changamoto zilizopelekea mgogoro uliopo kenya na kusema haitatokea tz huku akisema pia changamoto hizo ziko tz na kuomba viongozi wakae sasa tunakwepaje hali ya kenya huku changamoto zinafanana?
@thabitngangila85623 күн бұрын
Nauwona ukuu wa mkoa kwako zidisha juhudi dk
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Hakuna Mtanzania anaelala njaa? Kwa hilo sikuelewi kabisa we Mzee Chawa
@user-um5xx5ct7q9 сағат бұрын
Nipo pamoja na wewe ila katiba mpya iwe kabla ya uchaguzi
@hubertmroso16644 күн бұрын
Vijana wamepoteza matumaini Kwa tawala hizi zisizo na utu, bila haki hakuna ustawi WA Taifa!
@ambokileasheengai11404 күн бұрын
WW MZEE HUONI PIA TANZANIA WASOMI VIJANA KAZI'''
@sylvestercameo62634 күн бұрын
Sijawahi kuona msomi aliyeshindwa kujikomboa kifikra kama huyu! Ni aibu na sumu katika jamii kuwa na wanaojiita wanataaluma wa kariba hii!
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Wakenya wapelekewe nini sela za machinga kuvamiya barabara na kupika barabarani hao watakua zaidi ya kenya
@lameckbalekere19623 күн бұрын
Amani ya Tanzania wananufaika nayo mawaziri tu
@mohamedmwatuwano55264 күн бұрын
Kenya hakuna matata, tunajua kujipanga, hatuhitaji watu kutoka nje. Vijana wamesikika wazee waendelea kujenga taifa.
@mossessimon24934 күн бұрын
Huyu huwa kuazi tu
@user-wz2gn1jx2h3 күн бұрын
Chama kimoja na wewe ukiwemo kwaiyo razima usifie sifie tu
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Ccm wako sahihi kuishiya shule za kata umesema kweli covid wako sahihi elimu siyo kitu spika ni doctor covid wa namaliza mika 5 wajadili na takataka bunge gani na kuheshimu achia hapo tuna uchungu sana
@bonifacekalima52734 күн бұрын
Mzee waangu huyu nahisi ni eale wachumia mtumbo yaao,anasela lakini zina kaale kakujipendekaza
@TabataKinyelezi14 сағат бұрын
Uchawa unakusumbua, mbwa we mafisadi kibao hapo
@jochachallengetv70614 күн бұрын
Chawa promax, huwez kuchambua KWA hoja mgongano
@emmanuelmziray10734 күн бұрын
Wewe ni CHAWA
@SM-fu1yv4 күн бұрын
Ruto ata kwenda American kuomba tena msaada ruto sio mtu mzuri
@alisaadmohammed4 күн бұрын
Wewe hata Rais wa kenya humjui wasema uhuru kenyata
@user-oy5dz5xl8s4 күн бұрын
Kama udokta ni watu kama huyu basi hatuhitaji kiwango cha aina ya taaluma hii
@emanuelnisetas75103 күн бұрын
Weni ngombe tu
@user-wz2gn1jx2h3 күн бұрын
Ongea yote wakenya wanauthubutu awaburuzwi
@omaryyusuph78773 күн бұрын
Mduanziiiiiiii
@SylivesterKasikila4 күн бұрын
Huyu huwa mpumbavu siku zote. Huwa Hana Cha maana chochote.
@user-oy5dz5xl8s4 күн бұрын
Umechangiaje tz kuondokana na ukosefu wa ajira
@husseinkonde73483 күн бұрын
😂😂alisomea wapi uyu
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Nikuulize covid19 bungeni sawa wasila kuwa kazini nisawa
@maggiehiza58844 күн бұрын
Wewe si mkweli! Tatizo ni finance bill..sawasawa na Tz. Kwanini yametokea hayo sasa ??? Uchawa tu
@maggiehiza58844 күн бұрын
Ua shida !! Lazima kila mara ujisifie umesoma nini....thats nothing!!
@zuhuramohammed377214 сағат бұрын
Wewe😂
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Acha uonga unashiba utakuja kutueleza wewe musomi au kada wa ccm mwambie nape na janwary na kinana
@lordymawoiya58184 күн бұрын
My brother am sorry your so confused
@aloycempiri41614 күн бұрын
Huyu mzee haaminiki kwa uchambuzi wake.
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Wakenya wapelekewe nini sela za machinga
@frankurio99064 күн бұрын
Huyu ni chawa siku zote
@Mima-cl2im3 күн бұрын
Yaani wewe unajuwa kuwadanganya watanzania
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Tumieni wasila kinana na nape nchimbi makala chalamila
@user-kl8xf1yk2b4 күн бұрын
Mtakoko yako tuu
@nurdinkisaria94764 күн бұрын
Holili haipo Tanga😂
@JacksonNyaikoba4 күн бұрын
We unataka cheo
@SeverinepauloPeterКүн бұрын
Acha kutupanga chawa wewe
@laulianmeneja59234 күн бұрын
Wewe ni chawa wa ccm
@user-sw7tf1ob1b4 күн бұрын
Nilikua na kuheshimu sana kumbe wewe kijani
@margarethpolepole74384 күн бұрын
Kwa Tanzania hakuna hayo tuko vizuri sisi Wazalendo hatukupata Uhuru kwa kumwaga damu