Nakubar sana fund nimejifunza vitu vingi sana kupitia darasa lako
@MmangaHamad-eq6ho6 ай бұрын
Nimekuelewa sana Fundi wangu
@EliasAwandaOduor8 ай бұрын
Niceone
@changarawemichael55567 ай бұрын
Shukrani teacher
@ramadhaniabdulabi40356 ай бұрын
❤
@PlasRuziga-fh4rj10 ай бұрын
Nakukubali Sana Dorctor Mtema.hivi nikijifunzia you tube unaweza kunipa chet?
@michugoba73728 күн бұрын
Samahani tichaa niko na swali. Maji yakijaa pampu itazima . Kwamaana pampu haitakua na umeme kutoka output ya pressure pump. Kwaiyooo pressure pamp itaendelea na kazi hata kama pampu ya kupandisha maji imezima?