MBUNGE MWIJAGE Ahoji Serikali Kupandisha Bei ya Gesi Bila Kujali Wananchi Amnyooshea Mwigulu Nchemba

  Рет қаралды 29,268

BM TV TANZANIA

BM TV TANZANIA

Ай бұрын

#BmtvTanzania #Bmtv
Tembelea
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1

Пікірлер: 83
@VotanVotan-gb3hd
@VotanVotan-gb3hd Ай бұрын
Uko vizur mzee salut
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Ай бұрын
Huyu Mzee kama ana vina Saba vya sauti ya Baba wa Taifa hivi au namsikia vibaya😂😂😂
@JosephBWAGIZO-fs5ig
@JosephBWAGIZO-fs5ig Ай бұрын
Kweli aisee hata mimi nilisikia hivyo
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 Ай бұрын
Uko vizur sana mwigulu ni chanzo Cha umasikini kwa wananchi
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 Ай бұрын
Rais tafuta waziri mwingine Mwigulu hana ubunifu kazi kupandisha bei na kodi
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Ай бұрын
Waziri wa fedha anatoka singida waziri wa mipango anatoka singida watanzania tuta kula mlenda hadi tutelezee
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Mhh hilo nalo neno
@byelameshack1039
@byelameshack1039 Ай бұрын
Huyu anatufaa kuwa waziri wa fedha aisee da big up
@hubertmroso1664
@hubertmroso1664 Ай бұрын
Tanzania inaumizwa na Nani tena Kama sio uongozi tawala tangu 1961 mifumo wake mpaka Leo !
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 Ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi mh Magufuli aliona mbali sana alivyompiga chini mwigulu chembe akujali kama alimpigia kampeni
@sss3s867
@sss3s867 Ай бұрын
Kanisaaaaaa Hakika Sana. Mwingulu cherema kaenda shule kucheza kupata vyeti tu
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
CCM milisha feli maneno tu mtatoza malori wakati ni yenu.
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
Hapohapo mnataka tusitumie mkaaa
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Ай бұрын
Natumaini dr mwiguli sio sio mtoto wa maskini uchumi aliousomea nkuhakikisha maskini hapumui kwahy kiburi alicho nacho km vile hajali bali ukweli ndio huo
@MwigaAdam
@MwigaAdam Ай бұрын
Gesi inazalishwa Tanzania ila ipo juu kibei kama unatoka nje hii hatari
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Tanzania hatuna waziri wa fedhav na rais naye yupo tu hali ngumu kwa wananchi kifupi Ccm inatutesa sana
@hakiyangu
@hakiyangu Ай бұрын
Hiyo ni kweli ccm inatutesa sana, wanatufanya wanachi maskini ili waendelee kua madarakani
@harshkirit6780
@harshkirit6780 Ай бұрын
Jamani tumekaribia uchaguzi wanasiasi wakimbushwe kuwa cheo ni dhamana.. serikali ni ya wananchi sio ya mtu binafsi tunaumia sana
@byelameshack1039
@byelameshack1039 Ай бұрын
Hvi mam hajamuona huyu jamaaa jamani da
@khajimsafiri5797
@khajimsafiri5797 29 күн бұрын
90% ya gesi Iko chini ya serikali ya china, na mnalijua Hilo, acheni unafiki, zu gumzeni ukweli na muache uoga, ndungai alisema nchi itauzwa, na sasa mnaona kinaendelea Nini lakini your fear is costing the whole nation
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Ccm haifai Tena jamani
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Mbona anaongea point nzuri halafu wabunge wanacheka
@user-hc5mf7tg9y
@user-hc5mf7tg9y Ай бұрын
Huyu mwigulu anajipigia tuu
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Ай бұрын
Bei ya mkaa imeshuka bei ya gesi tutaipata kwenye soda,,😮
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 Ай бұрын
Mzee anachangia vizuri, ila sijui kama zitafanyiwa kazi
@franknjau5578
@franknjau5578 Ай бұрын
Tozeni Kodi ya Kwa mishahara ya wabunge na wanasiasa Wengine. Wekeni mikataba ya ajira Kwa madereva wa malori, mabasi nk nao walipe Kodi. Bajaji nyingi, na pkpk hazilipiii mapato nako piteni humo.
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j Ай бұрын
Mh! Mwisho wananchi watatoka damu kwa kukamuliwa na Serikali.
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 Ай бұрын
Mimi na pikia mafuta ya taa Sina shaka gezi yetu wenyewe lakini Bei kubwa
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff Ай бұрын
Yani mifumuko ya Bei everywhere!,tozo,Kodi ... Vipato vilevile ....watanganyika Kwa asilimia kubwa hawalimi kibiashara,hawana biashara ya maana,hawana ajira inayoeleweka hii ndo inawepeleka kwenye mikopo kausha damu ...
@WitnessCharles-mp8ri
@WitnessCharles-mp8ri 29 күн бұрын
Unapandisha gas ndio maana tunakata miti
@jamesmwandu9295
@jamesmwandu9295 Ай бұрын
Mwigulu Chemba hafai kuwa waziri wa sekta yoyote anachembechembe za wizi kwa kupitia tozo na kodi zinazomnufaisha kwa namba anazozijua yeye haiwezekani toka ameingia kwenye uwaziri Kila siku kuna tozo na kodi mpya kwa wananchi
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 Ай бұрын
Planning ni muhimu Trudi kwenye vyuo vyetu vifanye research zenye tija zenye ujumuishi wa vyote uchumi , mipango , pamoja na wizara ya ujenzi
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 Ай бұрын
Huyu ndo Mh. Charls Mwijage....mhaya mwenye akili zake
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 25 күн бұрын
Akili ipo hapa sio mchezo...
@brightontibenda2346
@brightontibenda2346 Ай бұрын
Nilitegemea MH. Mwijage atagusia KIKOKOTOO.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 23 күн бұрын
Kadri bei inapopanda mapato ya Serikali yanakuwa Makubwa lakini Hela inashuka thamani, Bora Serikali ikusanye Bilioni 100 Kwa mwaka lakini Hela Ina thamani, Hela ikiwa na thamani mishahara Nchi nzima mnaweza Lipa bilioni 10 tu , lakini Hela iwe na thamani Sasa hata mkusanye matrilioni alafu fedha ikiwa haina thamani inakuwa Ni shida, I wish I noti iwe mwisho sh 100 kama Zamani tulikuwa na mia nyekundu lakini ilikuwa inamaliza mahitaji yote ya nyumbani
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Ай бұрын
Shida ya Watanzania ni kama kondoo, vijana Kenya wanaandamana hapa Tz watu hawana habari mpaka bei zipande, tunahitaji miujiza
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 26 күн бұрын
Mwingulu ni mwizi kabisa hawajali watanzania wanaumiaje hajui yeye anakula watoto wake wanakila kila kitu sisi tunaumia tu😢😢
@ElishaBundalaMMalla
@ElishaBundalaMMalla Ай бұрын
Exactly 💯
@binseif2216
@binseif2216 Ай бұрын
Pia wabunge ongeleeni swala la Ushuru wa magari tunashindwa kuagiza gari kodi kubwa sana hata nchi zingne haziwakandamizi wananchi wake kiasi hichi
@piusmelkizedeck9823
@piusmelkizedeck9823 21 күн бұрын
Mnataka watu wasitumie mkaa na kuni lakini mnaendelea kupamdisha gesi bala ishuke na hali ya maisha ya wananchi kma vile hamzion sababu nyie mnapa kila kitu mnachotaka,huko si kumsaidia mwananchi hta kidogo
@piusmelkizedeck9823
@piusmelkizedeck9823 21 күн бұрын
Unapokuwa na gari linalokusumbu kila siku unatafuta lingine au unaliuza kabisa usilione sas,kinachotuumiza zaidi ni katiba tu,na kubadilisha ni ngumu maana 90%kma siyo100% inawalinda viongozi wetu lakini siyo mwananchi na ndyo maana wanafanya wanavyotaka😢😢
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 25 күн бұрын
Safi sana
@DivNg27
@DivNg27 Ай бұрын
Shikamoo Mzee Mwijage😂
@paulmkai2043
@paulmkai2043 Ай бұрын
Very smart
@HemedNgulangwa
@HemedNgulangwa Ай бұрын
salut akil nying mzee
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc Ай бұрын
HUYU NI HAZINA ILA MWIGULU JANGA UTEUZI USIANGALIE BENDERA JUU KAMA
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 26 күн бұрын
Ndoo maana wenzetu wanaandamana kwa huu utaratibu wa huyu mnyiramba anakula tu
@MOHAMMEDABDI-lb7yp
@MOHAMMEDABDI-lb7yp 27 күн бұрын
Jamani kwenye simu mmeweka tozo sasa mmnaweka kwenye gesi?
@DivNg27
@DivNg27 Ай бұрын
Mama yetu kipenzi Mama Samia,huyu Mwigulu kwani kuna nini kakufanyia Mama yetu,mbona analalamikiwa Sana na anakutia Doa Sana lakini bado unamuacha Tu.😢 Huyu ndio atakaesababisha uchaguzi kua mgumu 2025. wakati hawa wapinzani walikua washalegea tayari..sasa hii mitozo mfululizo hii,halafu na report ya CAG inaonyesha pesa zenyewe zinapigwa hii sio nzuri hii
@tinkybellah6634
@tinkybellah6634 Ай бұрын
Huyo mwigulu kila siku lawama kwake inamaana mnapiga kelele juu yake bila majibu Kwani hivyo vilio vyenye mazingatio Rais haoni wala hasikii?
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Tatzo watanzania hatuna umoja wezetu Kenya vtu vikipanda bei wanaandama mpaka wizara husika lakn cc tunasema ilimladi tunakula tunalala bac tunaishia apo woga Ndo unatuumiza
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Jamani Mwgulu ni janga
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Mwigulu Kilaza hajui KPI na QPM
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 Ай бұрын
Amekosea sana sana Tena sana maana huwezi piga debe la watu watumie gas kwaajili ya kuendelea wewe unawaza PESA ya Kodi unajua vitu vingine havieleweki kabisa haya back up ya mafuta kwa wananchi itatoka wapi
@sss3s867
@sss3s867 Ай бұрын
KWANINI ZAMBIA WATOWE GESI KUUZA KENYA NA TANZANIA ISHINDWE. HII NI WAZI TANZANIA HAIWEKZI KUSHIKA MASOKO NA KUHUSUMIA VIZURI.. imezowea kunyonya watu kodi tu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Mmempa wenyewe ubunge huyo hakuna aliyemchagua,mmempa uwaziri mtulie hivyo hivyo awaburuze ili mnyooke. Huyo Kitila mwenyewe mmepigwa kweupeee,hakuna Professor humo
@user-yd2bo4fn2w
@user-yd2bo4fn2w Ай бұрын
Hivi Ina maana wizara ya fedha imekosa akili ingine ya kuongeza mfuko wao mpk wapandishe gesi !?. Tunu kubwa ya kutuokoa na unasikini dhidi ya mafuta halafu wanatunyonga Tena ! Gesi yenyewe ya magari vituo viwili tz nzina, magari yanateseka kujazia, kweli hii ni vita si Bure ! Aiibuu !
@richardnott4403
@richardnott4403 Ай бұрын
Sasa kama mh wazari mnapandisha gas Kulikuwa na maana gani kuwa taka wananchi wasitumie mkaa watumie gas sasa je watamudu hiyo garama iliyopo inawashinda kwa hili siiungi mkono
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l Ай бұрын
Marori yote yaviongozi hawawezi kukusanya Kodi kazinikuwabana wararahoi mpakawakome kujipendekeza ccm
@johnabery-vn7eb
@johnabery-vn7eb Ай бұрын
Mwigulu alipigw chin na magufuli kilaza samia amemuokota mjinga mwenzie
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Samia nimesema na nitarudia tena mfukuze mwiguru si mtu mzuri kwako usiki matusi yote ni yeye
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 Ай бұрын
Safi
@user-hc5mf7tg9y
@user-hc5mf7tg9y Ай бұрын
Huyu mzee ni mtu kabisa
@hamisikyando8351
@hamisikyando8351 Ай бұрын
Anajitahidi lakini alishindwa kwenda na kasi ya mwamba Magufuli
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Ай бұрын
Kahongwa na makampuni ya mafuta ili azibe kwenye gas
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Sasa rais wanaibia gani namwigulu
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Ай бұрын
Mnawasamehe makampuni makubwa kodi mnayangaika na vnajaji
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Ай бұрын
Pamoja na kelele zote hizo hazi saidii chochote kwani lazima Mwishoni Uungemkono hoja huna ujanza wewe
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd Ай бұрын
Mwigulu inaonekana ameshindwa apishe wengine
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
HUU NI UKATILI NA NI KUWAFANYA WATANZANIA WAZIDI KUWA MASKINI NA KUISHI MAISHA MAGUMU.....WEWE UNASISITIZA WANANCHI WATUMIE GESI ILI KUACHA MATUMIZI YA MKAA...KSHA UNAPANDISHA BEI YA GESI??
@aureliantemba9830
@aureliantemba9830 Ай бұрын
Vema❤
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Sasa mbona huyu anatupigia tu kelele huku anauma na kupuliza. Gesi ya magari na ya kupikia mnaijua nyie?!
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Mwishowe unaweza kucoment ma....😮😮
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 Ай бұрын
KPIs umegusa penyewe
@FranteniusKaijage-gz6di
@FranteniusKaijage-gz6di Ай бұрын
Mhmh
@mosesferdinand1804
@mosesferdinand1804 21 күн бұрын
Huyo ndiyo mzee wa propaganda
@RobertMagava
@RobertMagava Ай бұрын
Unbalanced force
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 Ай бұрын
Kuni + mkaa
@DivNg27
@DivNg27 Ай бұрын
Mama yetu kipenzi Mama Samia,huyu Mwigulu kwani kuna nini kakufanyia Mama yetu,mbona analalamikiwa Sana na anakutia Doa Sana lakini bado unamuacha Tu.😢 Huyu ndio atakaesababisha uchaguzi kua mgumu 2025. wakati hawa wapinzani walikua washalegea tayari..sasa hii mitozo mfululizo hii,halafu na report ya CAG inaonyesha pesa zenyewe zinapigwa hii sio nzuri hii
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
Yani mwigulu ndo janga kubwa ajiuzulu au mama akampe wizara ya akina mama watoto na wazeee huku anatuumiza
@DivNg27
@DivNg27 Ай бұрын
Mama yetu kipenzi Mama Samia,huyu Mwigulu kwani kuna nini kakufanyia Mama yetu,mbona analalamikiwa Sana na anakutia Doa Sana lakini bado unamuacha Tu.😢 Huyu ndio atakaesababisha uchaguzi kua mgumu 2025. wakati hawa wapinzani walikua washalegea tayari..sasa hii mitozo mfululizo hii,halafu na report ya CAG inaonyesha pesa zenyewe zinapigwa hii sio nzuri hii
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 57 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 16 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 58 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 57 МЛН