Muhadhara kuhusu Insaf (Kusamehe) Uliotolewa na Ustadh Muhammad Hady Hatmy, Zanzibar.
Пікірлер: 29
@adammkonge49253 жыл бұрын
MASHA ALLAH naiwe kheri kwake sheikh wetu naomba mwenyezi MUNGU atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Shukran
@antv55902 жыл бұрын
Sheikh Alhatimy Allah aluongoze na kukupa darja, akuepushie na hasad, riyaa, kibri na pia kijicho.akupe ilmu ya manufaaa
@bisadakhalidy11114 жыл бұрын
Allahumma maaswali wasalimu Allah nabyina Muhammad
@AhmedSaid-xz3kj3 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@adam5ramadhan1544 жыл бұрын
Ahsnte shekh Allah akujaalie kila la kheir
@AhmedSaid-xz3kj3 жыл бұрын
Allah ibareek sheikh alhatimy
@hanifamnuo18218 жыл бұрын
inshaallh mwenyezi mungu anipe wepesi ! kwa kusikiliza mawaidha mazuri yenye m aadili amina
@saumuseif91894 жыл бұрын
Mashaallah shukran sana
@slamecktz8 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe nguvu na bisara uendeleee itangaza dini ya haki na kumtangaza mtume wetu Mohamad.
@ummyfaiz21274 жыл бұрын
Mashallwa mungu akuzidi shie
@AliMohamed-xy3hz8 жыл бұрын
MashaAllah... allah akuzidishie elimu, akuhifadhi na macho wa Mahasidi na akupe killa la Khairi duniani na Akhera.
@elizagona85344 жыл бұрын
mashaallah ALLAH akuzindishie sheikh
@Kqueen_bellla4 жыл бұрын
I forgive the past monsters
@yassirkhalifa14624 жыл бұрын
Tunakuhitajia na ss waislam huku Pemba znzbr uje utupe daawa mzur njoo p1 na shiekh mbarak awes
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤
@fatmahassan47905 жыл бұрын
Allahumma Swali Wa Salim WaBarik Aleiyhi Wa Alihii WaSwahbihii Wa Salam. MaShaa Allah. In Shaa Allah atujaalie tuwe nae Peponi. Shukran kwa ukumbusho.
@alwymuhdhar99698 жыл бұрын
mashalla umetoa mada muhimu sana mungu akujazi kheri
@benjaminsigei57373 жыл бұрын
MashaAllah
@user-ll4rz8ug1g5 жыл бұрын
Maashaallah
@rahemahrahemah27195 жыл бұрын
Mashaallah Allah akufanyie wps ,akuzidishie Elimu uzidi kuitangaza dini yako.
@ashuashu38435 жыл бұрын
Mashaa Allah
@salahnabhaan40834 жыл бұрын
Masha Allah. Khutba mzuri.na mungu akuzidishiye ELIMU.lakini.ndugu yangu.kumbuka kuna kisa cha mtume na sahab wake.ambacho swahaba Fulani alikua ana ndevu tatu.mtume kila akimwona alikua akimcheka.bada akajiuliza kwa nini mtume ana nicheka.akanyowa zile ndevu.ili mtume asimcheke.siku alipo nyowa mtume alikasirika sana.alivo on a hivyo.akmfwata mtume na kumuliza.kwaini umeni kasirikia.aka mwambiya.kipi kilicho kufanya unyowe hizo ndevu.akajibu nilikua nadhani unanicheka hizi ndevu zangu tatu.mtume akamwambiya hizo ndevu tatu malaika wa mungu walikua wankufurahiya kila Mara.walikua wana Cheka.....NDUGU YANGU NDEVU ZAKO ZIACHE ZIWE NDEFU.UTAPENDEZA ZAIDI.jazaka allahu kheyra.
@AhmedMohamed-hc6pp8 жыл бұрын
Mash'Allah. I hope that's maalim othman's Masjid
@AliAli-kg9ki6 жыл бұрын
Masha allh shekh al hady allah akujalie umr mrefu kwaajili ya uislam
@nurudinisalmu49126 жыл бұрын
jazaakallaah yaa swaahiba ssumuwwi
@sabrajuma8597 жыл бұрын
MaashaAllah mawaidha mazuri sana, Allah akujaze kheir