Aina 9 Za Wanawake Watata

  Рет қаралды 105,206

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 397
@mariammaligwa8887
@mariammaligwa8887 3 жыл бұрын
Nilipata boss yaan yeye alikuwa akisema yeye hakn wa kupnga anaweza akakudhalilisha mbele ya wateja yule mama Leo nimepata jibu Asante Kaka,
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 жыл бұрын
Joel Nanauka you are Geniuses 💪🏼
@adammsuka214
@adammsuka214 3 жыл бұрын
Kaka nakufatilia Sana. Tunaishi nao ao watu Mungu aendee kukutumia
@boniphacempogolo2223
@boniphacempogolo2223 3 жыл бұрын
Namba tisa ninae, pia yupo kidogo kwenye boxing. Nitafurahi ukituandalia video namna ya kuishi nao ili kupunguza migogoro ya kila siku. Asante sana Sir, JOEL
@fatumaabdallah-ui7pj
@fatumaabdallah-ui7pj 9 ай бұрын
😂😂😂 nimefurahi karibi sifa zote ulizo taja nishakutana nazo mwingine anasifa karibu 4 hapo basi ni shida ila ninefurahi kwa upande wangu sina sifa hata moja hapo😊 asante somo zuri sana
@stiveerasto1683
@stiveerasto1683 3 жыл бұрын
Nimecheka sana na kwasababu hao watu nimeisha wajua saizi hawaji kunisumbua.
@nanotosimon7921
@nanotosimon7921 3 жыл бұрын
hongeraa bro joel huduma yako ni mahimu kwa jamii Mungu akutunze
@nicelyrutakyamilwa4388
@nicelyrutakyamilwa4388 3 жыл бұрын
Duh nmechelewa kukujua Ila big up xna bro....from kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼
@nsubilimwaipopo8218
@nsubilimwaipopo8218 3 жыл бұрын
Nimecheka hadi basi.... Mungu anakazi sana juu yetu wanadamu...sipati picha ina mgharimu kiasi gani kutuchukulia watu huku duniani tulivyo wa ajabu na wenye tabia za ajabu
@princessleonard6415
@princessleonard6415 3 жыл бұрын
Uuuuuuwi asante Mungu mie siko popote katika aina yoyote.
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Asante sana Joel. Nimejifunza mambo mazuri. Ila, nimecheka pia sana.
@tunkuh661
@tunkuh661 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ni kweli kabisaaa 😂😂😂😂 but ashukuriwe Mungu tunaweza kubadilika au kupunguza makali ya tabia hz endapo tukijitambua na kuwa tayari kubadilika.... experience imenihakikishia hilo... 🤝 JN
@habibismael4937
@habibismael4937 3 жыл бұрын
Hallo kwangu ni Patient woman yey sasa ni mto wa kootea mbali so more love from Burundi kaka Nanauka
@bonifacenestory5569
@bonifacenestory5569 2 жыл бұрын
Kiukweli ahsante sana kaka kwa somo zuri kwa kweli mimi huyo namba 9 nimekutana nae na nipo nae kwenye mahusiano sasa, nnachoitaji ni kujua mbinu ipi ya kuishi nae ahsante.
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 жыл бұрын
Joel naweza sema nabadilika kila cku kupitia ww😘👌
@bonifacemollel5448
@bonifacemollel5448 3 жыл бұрын
I like the way your mind works stay blessed brother...
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
Nimecheka sana yaani hasa namba 8 na 9. Namba 9 nafanya naye kazi, ni ngumu mnoo kuishi naye kwa kweli. Asante kwa darasa @joel_nanauka. Sijawahi kujuta kukufuatilia ktk mitandao ya kijamii. Hakika makala zako zinaelimisha sana.
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Kwel kabisa 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@carolynesimiyu3460
@carolynesimiyu3460 9 ай бұрын
😂😂❤ ❤ hiyo no 6 bwana imenifunza kitu kwa watuu wengi nimewahi kutano nao be blessed our teacher
@maryfredy3006
@maryfredy3006 3 жыл бұрын
Yesu wangu. Nisaidieeeeee Ni change uwiiiiii
@nuruyohana1676
@nuruyohana1676 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂duuuh leo kaka Joel umeanza tu kunichekesha kwa Title hiyo lkn zaidi no 9 najiona kabisa
@deogratiasshirima6270
@deogratiasshirima6270 3 жыл бұрын
Yaani Sir nanauka huko nilikotoka sifa zoote hizo anazo! Naomba niongeze ya kumi, Wanapenda kusema wanaonewa au kusingiziwa na machozi juu!! Wee!!
@ellybrown5989
@ellybrown5989 3 жыл бұрын
uwiiii... kaka Joel mbavu zangu,jamani!nimecheka hadi nimelia,aaah!nimejigundua nipo kundi gani (siri yangu)lkn bila sisi wanawake kaka Joel mambo hayaendi,ukweli ndo huo.
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Taja buana tujue
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Mie hata nikiondoka hom wiki 1 mume wangu hata kazini anashindwaga kwenda..niko no 2
@seifthani8468
@seifthani8468 3 жыл бұрын
Shukran sana kaka kwakutupa hilisomo, nakufatilia sana masomoyako kaka, kama hutojali nakuomba utuandalie somojengine la namna yakushulika nao wanawake wa namna hii mana wamekua changamoto kubwa sana ktk mahusiano yetu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Jinyonge
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Ni vizuri kujitambua though!! Na kujua kuchukuliana! Ila usisahau kuwa Tuna uwezo mkubwa kiakili Basi tuelewane!
@albogastmuhulo417
@albogastmuhulo417 3 жыл бұрын
It’s real great nimependa saana nmemjua dada angu leo
@pendomaliaki1896
@pendomaliaki1896 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri.
@everose276
@everose276 4 ай бұрын
Mimi nina element kiasi fulani za namba 9, ila kwenye suala la sheria sipo sana.Kujipambania na kupambania wengine hiyo ni changamoto kwani inanipa stress sana hii ya kutaka kusolve kila kesi inayokuja mbele yangu.
@deogratiasshirima6270
@deogratiasshirima6270 3 жыл бұрын
Brother nanauka umenikongo ku moyo nimetoka huko,yaani hujakosea aksante mungu aendelee kukulea!
@maryfredy3006
@maryfredy3006 3 жыл бұрын
Solution bro pls naona km naingia km kwa aina km 7 ivi🙈🙈🙈🙈
@HappynessGeorge-co3jr
@HappynessGeorge-co3jr Ай бұрын
Thanks so much kaka Joel,,,be blessed more and more 🙏🙏🙏
@erickleonard8162
@erickleonard8162 2 жыл бұрын
Mwanamke mtata, unapewa neno moja tu, kwisha habari yako. Dah
@estermwakipesile6736
@estermwakipesile6736 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Kaka nmejijua Niko kund gan
@haidabezuidenhout7896
@haidabezuidenhout7896 2 жыл бұрын
Duu hasante kaka kwa nambali 8 umekuwa kama unanionavile mungu akubaliki kaka yetu
@aminaally2029
@aminaally2029 3 жыл бұрын
Alooo nimewahi fanya kazi na boss mwenye sifa namba 8 as’salalaaa nilipata shida
@doctorfish904
@doctorfish904 3 жыл бұрын
Daaa kaka uko vizuriii Sana mekuelewa
@salumselemani1059
@salumselemani1059 3 жыл бұрын
Safi kaka hongera kazi mzuri.
@ussiussi3413
@ussiussi3413 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa mafunzo yako.
@winequeen8017
@winequeen8017 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 I have seriously learned about us 😂 in a funny way cause am linking that through my girls 😂😂😂😂
@patrickkomu3198
@patrickkomu3198 3 жыл бұрын
Kazi ipo, Kuna mahali nawaona watu hapa
@ShabaniHamdani-xi6df
@ShabaniHamdani-xi6df 9 ай бұрын
😅😅 Asante kaka kwaelim unayotupa mungu akubarik.
@neemamandara9629
@neemamandara9629 3 жыл бұрын
nimeishi na Dictionary woman...niiiii mtata balaaa...thanks brother Nanuka
@msellah1717
@msellah1717 3 жыл бұрын
Mbona kila namba Nina sifa yangu moja moja 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rebeccaungwa1787
@rebeccaungwa1787 3 жыл бұрын
Me too 😂😂😂😂
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 9 ай бұрын
Hata mm Namba 5 na 9 inanigusa😅
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Hahahaaaaaa kaka leo umenichekeshaa ety watamwa kope dah hatareeee
@aba-makaly5016
@aba-makaly5016 3 жыл бұрын
joel kweli nimeshawahi kukutana na awa wanawake matata shule
@mwajumamany6402
@mwajumamany6402 3 жыл бұрын
Namba 9 yangu kabisa yan kama upo kwangu
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
NIME JIPANA 8 DUUH GOD BLESS ME
@marcelinaghuliku6408
@marcelinaghuliku6408 3 жыл бұрын
Nilivosikia tu aina 9 za wanawake watata nimecheka 🤣🤣 🤝 Mi namba 8
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 3 ай бұрын
Me ni uyo wapil😂😂😂😂😂
@doreendinamica3473
@doreendinamica3473 3 жыл бұрын
Hahahahaa.........ni kwelii...na kuna mtu anaweza akawa na zaidi ya aina tatu na anazimuduu..........party yeye, career yeye, headmistress yeye na dictionary yeye..............
@christinaonditi633
@christinaonditi633 3 жыл бұрын
😀
@irenewanyonyi5923
@irenewanyonyi5923 3 жыл бұрын
Eeh uko sawa broo mm Niko nao wote
@praysonmmbaga8301
@praysonmmbaga8301 3 жыл бұрын
Dictionary, nipo naye kwenye huduma fulani ya Mungu...Changamoto
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Umejua itakusaidia kudeal naye
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 3 жыл бұрын
Ninafikiri sio rahisi kutoka katika uhusiano wa naman hii. Lakini naamini pia inawezekana. Lakini swali langu ni hili je kama mtu huyu hataki kusaidiwa inafanzaje.
@ashuramustafa7459
@ashuramustafa7459 3 жыл бұрын
Eti wanawake watata kama najiona 😂😂😂nimecheka Leo
@ZapScience7
@ZapScience7 Жыл бұрын
Thanks brother for ur lessons
@fortunatahulilo8411
@fortunatahulilo8411 2 жыл бұрын
Yaani mimi ni hiyo namba 8 kabisa!
@festofeisag392
@festofeisag392 3 жыл бұрын
Hahahah wapo m1 naish nae
@isaackbuudi5417
@isaackbuudi5417 3 жыл бұрын
Asate Joel kwa hayo mafudisho single mothers ni wengi hiyo Dio sababu.
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 3 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII... Mr.Nanauka NAKUKUBALI sana ABDULHALĘÉM FROM ZANZIBAR... 🤝🏻 🤝🏻
@ragebcashtown3822
@ragebcashtown3822 3 жыл бұрын
Namba 6 hapo mi ndo nimekutana nae, na ninae walah
@swaumdeusihealthfirst8076
@swaumdeusihealthfirst8076 3 жыл бұрын
Duuuh yaan nimecheka sana watu waina zote nimewai ishi nao mm pia npo kwenye makund meng
@MariaMshana-ww2po
@MariaMshana-ww2po 10 ай бұрын
Asante sana kaka Joel, nimebafikiwa mnooo, naomba km ikiwezekana uweke in english
@neemamwaimu3217
@neemamwaimu3217 3 жыл бұрын
Hahaha nimejiona daah sijui nitafanyaje 😂😂😂
@zayanaamour1496
@zayanaamour1496 3 жыл бұрын
no 5 😀😀😀😂😂😂 jamani brooo umeuwaaa!!!!!!!!!!!!!
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 3 жыл бұрын
Namba 9 najiona kabisa mimi walai🤣🤣🤣🤣🤣
@thomasboso3081
@thomasboso3081 2 жыл бұрын
Jo! Hujakosea kabisa hiyo namba tisa
@betsheba9875
@betsheba9875 3 жыл бұрын
No 5 nimimi Napenda kusingiziwa naumwa imlad tu niangaliwe 😃😃😃😃
@Rosemary_Obadiah
@Rosemary_Obadiah 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅akiiihhhhhh malast born sie😅😅😅
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
🤔🤔
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
@@Rosemary_Obadiah 🤔
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 3 жыл бұрын
Mimi nilikuanae imeleta mathara Hadi kuvunjika ndoa anependa uongozi at uwa Awana elimu, ushauri ni lazima tuwe nao ukimtambua unaweza kunufaika nae.
@boscobalame8018
@boscobalame8018 Жыл бұрын
Hatari Sana 😂 Mwalimu
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 Жыл бұрын
Wa 9 mie kabisaa 🤣 Ila ni mtu mzuri Sanaa ktk mahusiano
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 9 ай бұрын
Tupo Wengi lkn ni wanawake tunaoleta Mafanikio ndani ya mahusiano kujua kila kitu kinakuwaje kimetumikaje
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Haha naona hapo mm niko kwa dictionary woman heee recoding lazima ikue 🤞 sitaki kudhulumiwa akili mm 😂😂😂
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
No 8 wanasubua sana aiseee 🤣🤣🤣🤣
@clarencewilbat8598
@clarencewilbat8598 3 жыл бұрын
Nipo na uyo wakupayuka kama.konda
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hatari hawa😂
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hatari, angali video za namna ya kuboresha mahusiano nimezungumza namna ya kudeal naye
@lovenessdiva3370
@lovenessdiva3370 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Ooooh my God
@tuliafugutilo3539
@tuliafugutilo3539 3 жыл бұрын
Hahahaaaa
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂heeee
@mapenzitz
@mapenzitz 3 жыл бұрын
Simpendi mwanamke aina ya 6, kuna wengine wanaenda mbali hata usafi wa mwili shida ukimwambia hakuelew, staki ata kuwaona
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@birih8801
@birih8801 2 жыл бұрын
😂😂😂 ndio utamuoa huo
@niyongabogady1100
@niyongabogady1100 2 жыл бұрын
Somo nzuri sana
@margarethndyamkama5537
@margarethndyamkama5537 3 жыл бұрын
Jamaaani huyo namba tano. Kila siku patient. Ni stress kuishi nae. Kifupi anadeeeka
@givenjackson5449
@givenjackson5449 2 жыл бұрын
Nmejijua I'm serious woman ad mahusiano yananiumiza hahaha
@ggohf7004
@ggohf7004 3 жыл бұрын
Alhamdulillah sina hizi sifa
@anwariitooperations7348
@anwariitooperations7348 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bakarikissiga6288
@bakarikissiga6288 3 жыл бұрын
Hii ni kama comedy fulan hiv,😁😁😁 lakin ndo uhalisia
@elimika8892
@elimika8892 3 жыл бұрын
Big up BROTHER
@saraf6794
@saraf6794 3 жыл бұрын
Nasoma coment mie😂😂😂😂
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
"...wanawake watata." Your introduction @joel_nanauka made me laugh 😂😂😂
@salmamohe135
@salmamohe135 2 жыл бұрын
Hiyo ya3 inanihusu
@urassahonest
@urassahonest 3 жыл бұрын
Boxing na headmistress Sana tuuu😂😅
@CentansIterabi
@CentansIterabi Жыл бұрын
Kweli hii ya tano Ina nigusa san kbs
@lucyjoel384
@lucyjoel384 3 жыл бұрын
Mbona mm sijaona sifa yangu ata moja.
@laurentmsoka2188
@laurentmsoka2188 10 ай бұрын
Mimi ni mke ana tabia za wanawake wote hao watata huyu ataiteaje
@alisiaalexander4353
@alisiaalexander4353 2 жыл бұрын
Ñimefurahi sana maana point ya 9. Na 8 ni my best friend nilie weza kuishi nae zaidi ya mwaka though ilikuwa changamotooo
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 2 жыл бұрын
Joel jaman😁😁🙌
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA SOMO zuri
@hamzampilla3778
@hamzampilla3778 3 жыл бұрын
Salamu kaka nataka vitabu vyako navipataje
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 2 жыл бұрын
Nashauri usiandike aina ya wanawake ila uwe unaa dika tabia,,sababu hakuna mtu mwenye sifa moja ile aingie ktk hzo aina 9 za wanawake
@husnasaeed6353
@husnasaeed6353 3 жыл бұрын
Mbona kama nimesemwa sehemu nyingi ndomaana hata sidumu kwa mahusiano
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂tupo weng
@zablondeo551
@zablondeo551 3 жыл бұрын
Namshukuru mungu sipo ktk namba yoyote
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Unajuaje
@eliudbeyanga8575
@eliudbeyanga8575 3 жыл бұрын
kweli wapo kaka.
@TheLegend-vj5zt
@TheLegend-vj5zt 2 жыл бұрын
On the way to change slowly
@wilberforcemagero5121
@wilberforcemagero5121 3 жыл бұрын
napendezwa na jinsi unavyofunza
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 2 жыл бұрын
Aisee kaka mimi naona kama mimi vile mlengwa
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Safi sana
@zamdabakari1460
@zamdabakari1460 3 жыл бұрын
Hata waume wa hivyo niwengi sana no2
@mussamakunganya4809
@mussamakunganya4809 Жыл бұрын
very potential to know this
@mjuba
@mjuba 3 жыл бұрын
Hao wa 8 hao ni atar 😂😂😂😂😂
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 3 жыл бұрын
Nimeshakutana na aina 3 hapo na aina ya 9 ndio nae ishi nae yan ni mtihani sana
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 3 ай бұрын
Mimi ni uyo wa8 na no2😂😂😂😂😂🙌
@YunusBinde-iu5bw
@YunusBinde-iu5bw 11 ай бұрын
Nimekutana na mmoja amapenda kudekezwa kupita hata navoweza mim kufanya wakati mwingine
@jaymaikonewstar1957
@jaymaikonewstar1957 2 жыл бұрын
Somo zuri sana
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 175 М.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
Mambo ya Kuzingatia Unapojiandaa na Usaili wa Kazi/Job Interview
13:01
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki
9:01
Hamasika Tv
Рет қаралды 7 М.
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 69 М.
LIFE WISDOM: MAHUSIANO YANAYOPOTEZA MUDA WAKO - JOEL NANAUKA
13:40
MAMBO YA KUJIKUMBUSHA UNAPOTAKA KUFANIKIWA -JOEL NANAUKA
7:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 1,3 М.