ALIYENYANG'ANYWA BANGO na POLISI AMLIPUA OCD - ''ALIKUJA na KITENGE USIKU na ASKARI WENYE SILAHA''

  Рет қаралды 271,822

Global TV  Online

Global TV Online

6 ай бұрын

ALIYENYANG'ANYWA BANGO na POLISI AMLIPUA OCD - ''ALIKUJA na KITENGE USIKU na ASKARI WENYE SILAHA''
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 349
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 5 ай бұрын
makonda popote ulipo mungu akubariki akuepushe na maofu ya dunia akujalie mema saidi 🎉🎉❤❤❤
@israelimarco6465
@israelimarco6465 5 ай бұрын
Mungu akusaidie kaka makonda Mungu akufinike adui asikuone
@IsaayJohn
@IsaayJohn 6 ай бұрын
Mungu wangu! Mhe makonda tuokoe na dhuluma hizi za viongozi wasiowaadilifu na wenye kutumia madaraka yao kunyanyasa wananchi!
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 6 ай бұрын
Usanii mwingi Anaibua mambo na kuyatelekeza fustilia uone
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 6 ай бұрын
Tutajionea sanaa na sarakasi nyingi Kwa watendaji wa serikali.
@catherinenenula7450
@catherinenenula7450 5 ай бұрын
Eti anamacho makubwa mweupe anakutisha eti ee🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 hii nchi tunacheka kama mazuri
@syliveriuszaverius2347
@syliveriuszaverius2347 Ай бұрын
😂😂😂 yaani tutacheka sana lound hii
@user-nl5no3ep5v
@user-nl5no3ep5v 5 ай бұрын
Nakuombea unafanya nzuri Mungu akufanye uwe Rais
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 6 ай бұрын
MAKONDA MUNGU AKAWE MBELE KATIKA KAZI ZAKO AKUPUSHE NA MABAYA YOTE ❤❤❤❤❤❤❤
@evelyinipaja7022
@evelyinipaja7022 6 ай бұрын
Amen.
@kapesekapese7167
@kapesekapese7167 6 ай бұрын
Namuona Hayati Magufuli ndani ya Paul Makonda, big up brother. Komboa wanyonge kaka.
@ShadrackKapange
@ShadrackKapange Ай бұрын
Lakini kweli na mm nikimuona makonda nakua kama nimemuona magufuli (from Malawi)❤❤
@stellamartin5106
@stellamartin5106 5 ай бұрын
Mungu baba wa mbinguni mpe umri mrefu na afya njema.
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 5 ай бұрын
Huyo police muongo anasema hapajui.hrf liko ndani ya kambi tumueleweje?
@omaryduruduru2719
@omaryduruduru2719 4 ай бұрын
Hilo lidada dawa yake ni Looo
@user-kn6iv2sm8b
@user-kn6iv2sm8b 6 ай бұрын
Makonda ni mwamba kam miamba wengine likes nyingi kama unamuelewa makonda
@batilda4920
@batilda4920 5 ай бұрын
Ndio maana wamemnyang'anya Bango wanajua makosa Yao hawa maskari wanyanyasaji Sana hawa dhulmat Sana.
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 6 ай бұрын
Huyu jamaa ni kichwa sana.MUNGU Akulinde makonda.endelea kuwapigania wananchi kwa moyo huo huo
@saimonjohnsumley9198
@saimonjohnsumley9198 5 ай бұрын
Kwani hao police Mali ya nani? Au ni Mali ya CDM? Acheni maigizo
@mamachris6811
@mamachris6811 6 ай бұрын
Ila Polisi wengi wanaonaga Nchi hii yao
@user-hd9so1et5k
@user-hd9so1et5k 3 ай бұрын
Kama vile 🇰🇪
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 5 ай бұрын
Ulifika kwake ? Nyumba hiyo aliyojenga inapakana na Polisi? Na kama ndiyo basi ulifika
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 ай бұрын
Uonevu umeibuka hatar Sana polis wajiangalie
@ChansaElie
@ChansaElie 14 күн бұрын
Hasante
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 5 ай бұрын
Hongera sana Baba kwa kutetea wanyonge ,Mungu akujalie afya njema Baba.
@mohamedpinda544
@mohamedpinda544 5 ай бұрын
Hii nchi polisi wanatakiwa wapigwe msasa wanaendesha kikoloni Kila sehemu malalamiko ya polisi tu
@user-cy3pl6yu8l
@user-cy3pl6yu8l 5 ай бұрын
Kumyang'anya bango ni ushahidi tosha simamisha wote
@shehanimzee9953
@shehanimzee9953 5 ай бұрын
Kwanini hao polisi wamemnyang'anya bango?
@kahema_steven
@kahema_steven 5 ай бұрын
Hii ndo CCM sasa, achana na vyama vingne
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 5 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda🙏❤️❤️❤️❤️❤️
@franknzowa22
@franknzowa22 6 ай бұрын
Sasa hapo tunachanganyikiwa maana hapajui kwake halafu tena anasema kajenga ndani ya kambi,...kivipi?...basi anapajua.
@ramadhanrashidmthailand9553
@ramadhanrashidmthailand9553 5 ай бұрын
Aise namm nimeshangaa sana 😂
@cuthbertdongwe2477
@cuthbertdongwe2477 5 ай бұрын
😂 labda anamaanisha hapajui kwakuwa anaamini pale walipobomoa sio kwake ni kwa polosi
@franknzowa22
@franknzowa22 5 ай бұрын
Sawa,...basi tuseme tu hivyo
@RehemaJonas-yj7ed
@RehemaJonas-yj7ed 2 ай бұрын
Makonda mtetez wawanyonge karibu arusha kumenuka mungu akuangazie Nuru ya uso wake Amin🙏🙏
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 5 ай бұрын
Polisi ndi majambazi mbwa sana
@user-fh8ep8hs5q
@user-fh8ep8hs5q 5 ай бұрын
Pumzika kwa amani anko magu hii ndo inchi aliyoiyacha watu wanafanya wanavyotaka kutokana na mamlaka yao😢😢
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 5 ай бұрын
Makonda nakuomba uvaege na buleti prufu maana maadui ni wengi hata hao askari wanaweza kukutumia sharp shooters wakakumaliza.
@rehemalusindengawa5186
@rehemalusindengawa5186 5 ай бұрын
Kweli kabisaaa
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Hakuna democracy... In Tanzania 🇹🇿
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 5 ай бұрын
Mmmmh huuu uamuzi wa Makonda Mungu anajua
@user-tx1yb3my3m
@user-tx1yb3my3m 5 ай бұрын
Jamani jamani polisi mmepotoka hahahhaha😢😢😢
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
MAKUMAKONDA NYAYO ZA BABA❤❤❤
@neemanziku5403
@neemanziku5403 5 ай бұрын
Asante Makonda,nadhan mama samia umeona kwann watu wanahamia chadema kuna madudu mengi ktk chama chako
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 5 ай бұрын
Hilo sio suluhisho ni kuwapa mikataba watumishi wa serekali wakishidwa hawapewi mikataba mipya
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Akiona
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Et mama Samia ameona🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 5 ай бұрын
Huyo mama kasema hapajui kwake kwakuwa wao wanadai eneo ni la polisi ndio maana hakusema kuwa ni kwake, mwananchi yeye anaitwa kwake 😂😂😂
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 4 ай бұрын
Truly President Maghufuli left a wonderful legacy.. And I have watched Mr Makonda since he was the R.C in Daressalam . President Samia appointed the right person to represent her for this job. I'm also very sure Mr Makonda will be a future Tanzanian president....
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
ASANTE SANA MAKONDA KWA KUFUATA NYAYO ZA BABA YAKO MAGU. MUNGU AKULINDE.
@marryfelician1426
@marryfelician1426 5 ай бұрын
Na kwa nini Askari mkubwa hivyo unaongea uwongo Askari mzima
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 6 ай бұрын
Magufuli atakumbukwa!!MAKONDA tunakupenda ❤
@user-mz7qw9ij1i
@user-mz7qw9ij1i 5 ай бұрын
Huyo mama ni jambazi kweli
@sofiaantonioantonio7265
@sofiaantonioantonio7265 5 ай бұрын
Naona Yohana mbatizaji anatengeneza njia kwajili ya Mama!
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 5 ай бұрын
Hahahaha police ina kambi sku hz 😅😅😅😅😅
@josephkalwani
@josephkalwani 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 sasa kama hapajui amejuaje kama amejenga ndani ya kambi?
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj 6 ай бұрын
Wazo zuri 👏
@DottoKitambi
@DottoKitambi 5 ай бұрын
Hapo sasa sijuh kwanini hajaulizwa
@IssaSenza-m7h
@IssaSenza-m7h 5 күн бұрын
Nakukubari makonda piga kazi huo ndio uongozi Bora sio Bora kiongozi mungu atakulibda
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
SASA WEWE NI MTU WA ARIDHI MAMA POLICE?. ACHENI UONEVU. YAANI KIFO CHA MAGUFULI JANAANI, KIMETUWEKA PABAYA SANAA. HATA MAPOLICE SASA WANAFANYA KAZI YA ARIDHI.
@robertphilip385
@robertphilip385 6 ай бұрын
Ccm ni wale wale hamnaga jipya
@user-rj9fh5qh9k
@user-rj9fh5qh9k 6 ай бұрын
Huyo OCD hata sura yake inaonyesha ni katili
@FRANKKALANDA
@FRANKKALANDA 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 5 ай бұрын
Mungu kamrudisha Magufuli kwa njia ingine😢😢😢😢
@alastridamichael5685
@alastridamichael5685 5 ай бұрын
Hongela sana makonda kwakutusaidia sana kelo zetu nimekupenda sana umebadili Kwa manguvulu Fanya kazi baba nimekupenda bule baba angu kwakazi nzuli unayofa nya mungu akubalikisana
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 6 ай бұрын
Hujaenda kwake naunasema alijenga ndani yakambi sindio nyumba aliyokuwa anaishi mkaibomoa? Ww mama vipi
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
Yani sijui kwann wamemuachia
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 11 күн бұрын
Akili finyu,. Jambo la uongo halizami tumboni.Anajichanganya mwenyewe😊
@mitundafmoni7699
@mitundafmoni7699 5 ай бұрын
hii nchi imejaa dhulma wallah kias tusiende mbele😊
@user-tj7bj8kv8m
@user-tj7bj8kv8m 5 ай бұрын
Hongera karibu mwenezi kwa ufatiaji
@clemenceparokola
@clemenceparokola 6 ай бұрын
Hao waliokimbia na bango ,unge wasweka ndani hapohapo
@willeyluoga6465
@willeyluoga6465 11 күн бұрын
Namkubali sana mwamba yaani alimopita hayati Raisi Magufuli ndimo anamopita wananchi tunakukubali sanaaa na tunakutegemea Mungu akupe maisha marefu makonda
@user-eg4hk9pg5o
@user-eg4hk9pg5o 6 ай бұрын
Mungu akutangulie Kila utakapo kanyaga mguu wako Mweshimiwa Makonda
@lossarungira965
@lossarungira965 6 ай бұрын
Daaah, njaa mbaya sana
@user-uq3vx9oq4y
@user-uq3vx9oq4y 4 ай бұрын
Mpaka machozi😢😢😢 mungu akulinde mweshimiwa makonda
@ombenimunisi6311
@ombenimunisi6311 5 ай бұрын
Halafu nyie jeshi la polisi mnajidhalilisha.
@muhammednassor690
@muhammednassor690 6 ай бұрын
Ndugu yangu unajipa tabu kumpiga kelele kwa viongozi ndugu mshukuru huko unakoelekea litakukuta jambo ujute viongozi hao wanalindana, rabda alifuatilie makonda mwenyewe
@BilalShingwa
@BilalShingwa 5 ай бұрын
Makonda. Unajitihid kuelewa maelezo..! Ya walalamikaji. Mungu akulinganie daima...sababu. Nimuelewa sikuwahi kukujua Kama nimuelewa kiasi hicho. Pendekezo langu binafsi. Tunaomba tuwe tunaoneshwa walioludishiwa haki zao. Chama Cha ccm nakukubar kupitia utalatibu wako. Asante mungu Akulinde daima
@user-xu2mh9zx1n
@user-xu2mh9zx1n 6 ай бұрын
Hongera makinda kwa hilo msaidie huyo mwananchi na wengine wanaodhulumiwa
@albertvalentino130
@albertvalentino130 6 ай бұрын
Hii Nchi ina mambo ! Sometimes Sana'a za ccm zinachosha kuzisikiliza --- maana tumeanza kuzisikia toka tukiwa watoto,mpaka tunazeeka sasa,hakuna chochote kinachobadilika -- ugumu wa maisha unazidi kuongezeka -- mfumuko wa bei ndio huo,vitu havishikiki -- umeme unakatika toka miaka ya 70 mpaka Leo,haujawahi kuwa stable -- migogoro ya ardhi imesambaa every where Nchini -- pamoja na rasilimali lukuki alizotubariki Mungu,lakini umaskini kwa wa Tz unazidi kutamalaki ---ajira hakuna " Inauma moyo "
@djbaddest1220
@djbaddest1220 5 ай бұрын
Nchi zilizoendelea zote ajira sio kpaumbele kabxa watu wanajiajr 🙏
@kahema_steven
@kahema_steven 5 ай бұрын
Umeandika nn sasa hicho 😅
@djbaddest1220
@djbaddest1220 5 ай бұрын
@@kahema_steven tulza mbul
@WilliamMlangi
@WilliamMlangi 4 ай бұрын
Makonda hongera kwa kazi ngum na yenye weledi
@petermboje5839
@petermboje5839 5 ай бұрын
Unaita nyumba za watu kibanda fala askar
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 6 ай бұрын
Maigizo tu,, keroooooooo keroooooooo,, tunajenga nchi ya namna gani hiii???
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 6 ай бұрын
Watu hawafanyi kazi zao vizur labda akujue au uwe na hela ndio utapat huduma nzur ktk ofisi zao ni mtihan mkubwa.
@user-ij9pk5zu2x
@user-ij9pk5zu2x 5 ай бұрын
Ulitakajee ndugu
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 5 ай бұрын
Mh.mengine uwe unamaliza hapo hapo police ni tatzo sehem zote unaleta iman kwa chama sasa❤❤❤❤❤
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 6 ай бұрын
Dogo makonda anajitengenezea NJIA YA KUWA raise siku za MBELE
@dorotheasamwel8071
@dorotheasamwel8071 5 ай бұрын
Big up OCD... raia anaingiaje kambini na kujenga kibanda afu asifukuzwe.. ebu tofautisha kibanda na nyumba ya kuishi... tusijibu kwa preshaaa... ocd safi sanaaa... umejibu kwa kujiamini...na kwa uhakikaaaa... BANGO SASA BAAANGOOO
@swahibually8349
@swahibually8349 5 ай бұрын
Mjomba hueleweki,kama kweli huyo OCD ni mkweli,imewezekanaje Mtu ajenge Mpaka amalize awe anaishi,hao polisi walikua wapi?Na kama KESI IPO mahakamanni,iweje wasisubiri Maelekezo ya Mahakama? OCD ameenda kufanya nini Usiku huko nyumbani kwa muhusika? Kwanini wamnyang'anye Bango ?kwa Akili ya kawaida Inaonyesha kwamba, Askari walijua KOSA lao,na hapo washaingia Doa.Hapo subiri kifuatacho?Mapolisi wengi ni Majambazi waliosajiliwa na kukabidhiwa Silaha na Serikali,.
@user-gb7xp5ph4v
@user-gb7xp5ph4v 5 ай бұрын
Kaka makonda mungu akupe maisha marefu na Imani ya mungu saidia wenye shida na fukuza hao wafujaji
@jumakiwande2441
@jumakiwande2441 6 ай бұрын
Kuna kitu hapo hakiko sawa Lzm busara itumike Makonda Mungu aendelee kukuweka naamini Utaendelea kuvumbua mengi hata mengine tusiyoyatatajia ,Chama kipo kazini
@FrediMolell-ql9sg
@FrediMolell-ql9sg 2 ай бұрын
Makonda mungu akubariki
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 5 ай бұрын
Nimemuona mama kama alitaka kugombea mic au sijaangalia vizuri
@saidunikanju6410
@saidunikanju6410 6 ай бұрын
Hupajui kwake mbona unasema kajenga kwenye eneo lapolici?
@user-zs2dc3kq8g
@user-zs2dc3kq8g 5 ай бұрын
Shangaa na wewe wanapenda kujitoa fahamu kweli
@chidomobile9546
@chidomobile9546 5 ай бұрын
Hakika umejitoa sadaka kwa ajili yutu so niwajibu wetu kukuombea kila aina ya dua ili haki ipatikane good job kaka
@angelinaishika
@angelinaishika 5 ай бұрын
Jamani makonda mungu akubariki
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 5 ай бұрын
OCD huyo afukuzwe kazi bila mafao akakae na mme wake nyumbani
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 5 ай бұрын
😂😂😂 uwiiii umefikiria nini ndugu yangu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 5 ай бұрын
@@Mary-fs4mc hawatendei haki watu kuwaonea tu
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 5 ай бұрын
Huyo askari anajiamini nini mpaka afanye hivyo mbele ya Mwenezi wetu
@katotoGenius-ml9ve
@katotoGenius-ml9ve 5 ай бұрын
Rushwa umerejea Tena,daaaah hii nchi imekithiri uozo
@WitnessMwanga
@WitnessMwanga 2 ай бұрын
Makonda jemb Kam magufuli jamn, mungu akulinde , sanaa
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 ай бұрын
Wahamishwe hao polisi watamuua
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
Kweli ndo zao hao
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 5 ай бұрын
Wafukuzwe kazi na wawajibishwe. Wafungwe.
@user-rs8gi7cu5k
@user-rs8gi7cu5k 5 ай бұрын
Jamani Dunia inamambo uyo anajifanya apajui nyumbani kwawalio mzilum tena
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 6 ай бұрын
Inachekesha taarifa hii.
@RucyMakapa
@RucyMakapa 8 күн бұрын
Jeshi la police kuweni na huruma kwa wananchi pia mumuogope mungu tambueni cheo ni dhamana muheshimiwa makonda msaidie huyo baba
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 3 ай бұрын
Mungu akutunze kaka
@KassimJabu
@KassimJabu 12 күн бұрын
Mungu akutangulie makonda
@JoelMuro-dr1sf
@JoelMuro-dr1sf Ай бұрын
Makonda piga kazi mungu atakulinda
@yonasaimoni1302
@yonasaimoni1302 6 ай бұрын
Hii ndiyo sera za ccm mwaka huu tutaona mengi
@allykamwela8474
@allykamwela8474 5 ай бұрын
Mungu azid kukulinda ucje ukapewa sum bure
@user-xr1ri5tl8d
@user-xr1ri5tl8d 5 ай бұрын
Wanafki hawa, Mungu anawaona, Inshallah
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 Ай бұрын
Tunamuomba mama Samia,anachokifanya Makonda ni faraja kwa Wana Arusha so kama naye anapenda kuungana na Wana Arusha ampatie ulinzi mh.Makonda
@machakuroger7068
@machakuroger7068 6 ай бұрын
OCD Yuko vizuri
@user-ie7lu5wn5y
@user-ie7lu5wn5y 6 ай бұрын
Matias tunataka bango letu
@RucyMakapa
@RucyMakapa 8 күн бұрын
Muhesimiwa msaidie huyo baba kwa nn wamechukua bango lake
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy 5 ай бұрын
Tushindwa Kujua Hapa, Niserikali Inaongoza Au Nichama????
@syliveriuszaverius2347
@syliveriuszaverius2347 Ай бұрын
Aiseee Makonda nakuomba uje mkoa Kagera jamani madudu tumeyajaza hapa njoo utuondolee
@user-jk7ib6ft8y
@user-jk7ib6ft8y 5 ай бұрын
❤❤❤
@diamondplutnumz4862
@diamondplutnumz4862 5 ай бұрын
Wameyakanyaga
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 6 ай бұрын
Nani atashirikiana na polisi kutoa taarifa kwa hali hii? Kulindana bila kujali
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 2 ай бұрын
Huyo ocd apigwe chini, kala sana rushwa hadi katuna hivo, dah
@hidayasaidi7872
@hidayasaidi7872 4 ай бұрын
❤❤, 🙏🙏🙏
@angelavayinga914
@angelavayinga914 5 ай бұрын
Mmmmmh watu tunapitia mengi😢😢😢😢
@user-wb9gy2xx3p
@user-wb9gy2xx3p 6 ай бұрын
Mawazo ya mvuta bangi kwanini asiwe Raisi 2030
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 5 ай бұрын
Hii nchi jamani ooh! Mungu ana macho kila mahali anaona wadhulumuji
@user-es5hj7dj5i
@user-es5hj7dj5i 3 ай бұрын
Kwa janja janja hii ya kuwaona wanaosema kweli hana haki ya kuishi na kusingiziwa makesi ya ovyo hiyo haikubaliki kabisa!! Kesi za ubambikaji!!
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 25 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 5 МЛН
AFISA ELIMU AZIMIA GHAFLA KISA KATUMBULIWA NA RC MWANRI
7:06
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН