AMBWENE MWASONGWE FT PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA - NJOO UTUHUDUMIE 4K

  Рет қаралды 49,577

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Жыл бұрын

Dunia inaweza kukupa sababu 1000 za kufa Ila unahitaji neno 1 toka kwa Yesu ili uishi...
Zipo sababu za afya
Magonjwa
Kazi,
Mahusiano
Biashara
Madeni
Hofu
Kesi
Uchumi
Ndoa
Masomo
Familia
Jumla Yale zaweza zidi 1000 ambazo zinakupa kabisa sababu ya kufa ILA LEO NAKUTIA MOYO IPO SABABU MOJA TU YA WEWE KUISHI
Sababu hiyo ni hii
YESU ALIKUFA KWA AJILI YAKO ILI WEWE UISHI.
NB: Wimbo huu ni Moja ya wimbo wangu binafsi ambao nimekuwa nikiuimba miaka mingi sana tangu mwaka 2012 sikupata kibali Cha kuurekodi mpaka baada ya miaka 10 yaani 2022...
Ninaamini Mungu aliyekuwa nami nikitunga atakupa faraja na sababu ya kuinuka na kuishi Tena.....
Simama na andiko hili Zaburi 30:5
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, Katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha.
Audio: Samuel Mboya
Video: Steve Tobs Media

Пікірлер: 126
@esthermollel8958
@esthermollel8958 Жыл бұрын
Njoo njoo njoo, Yesu, utuhudumie njooo unihudumie, rafiiki wa karibu, Watusaidia tusivyoelewa Bwana,.... Ubarikiwe mwana wa Mungu...
@citovunjabeilimitedcompany4455
@citovunjabeilimitedcompany4455 Жыл бұрын
Njoo utu saidiye njoo utuondoleee mikosi njoo utu hurumiye
@asifiwefungo163
@asifiwefungo163 Жыл бұрын
Nafurahi kuona Tanzania vikifanyika vitu vikubwa kama hivi.MUNGU AZIDI KUKUZA VIPAWA VYENU
@emmanuelisocelsongolo8539
@emmanuelisocelsongolo8539 Жыл бұрын
Akuna Mungu kama wewe yesu bila wewe atuwezi lolote Njoo utuhudumie mfalme👏👏
@vickymvella7845
@vickymvella7845 Жыл бұрын
Njoo utuhudumie Yesu kiafya,kiuchumi na kifamilia maana dunia haiko salama
@sophiahamadi4907
@sophiahamadi4907 Жыл бұрын
Ee bwana Yesu usikie maombi yangu na unifute machozi yangu. Njoo unihudumie Yesu
@samweljoram1247
@samweljoram1247 Жыл бұрын
MUNGU Aendelee Kuwainua Zaidi Watumishi Kwa Viwango;Kwa Utukufu Wa MUNGU.
@ezechiellokilo2298
@ezechiellokilo2298 Жыл бұрын
Amina, Ambwene Mungu akubariki, akuhinuwe, akuzidishiye tena zaidi. Wimbo mzuri sana kabisa.
@jessygoldnambua3590
@jessygoldnambua3590 Жыл бұрын
You don’t just sing anyhow, you take your time to listen to the spirit of God, that’s why you stand out among many. Hii Ndio kuimba ndani ya roho, chini ya upako wa roho mtakatifu 😭😭😇😇😇 kweli yesu Njoo utuhudumie, hudumia nyumba zetu, waume/wake zetu, watoto wetu, afya zetu kazi na biashara zetu huduma zetu😇Njoo utuhudumie yesu! Powerful prophetic spiritual worship song 🎵 more anointing upon your life sir
@bahatkisam8367
@bahatkisam8367 Жыл бұрын
Oooh siyo wimbo tu ,Bali ni maombi umekuja wakati sahihi ......Alama ya machozi yangu anaitazama😇😇😇
@happymsasa8535
@happymsasa8535 Жыл бұрын
Dunia imetuambia mengi yametuchanganya ni zamu ya kusikia kwako Yesu wangu sema na mimi nahitaji sana kusikia 🙏😥
@rukiarashidi7644
@rukiarashidi7644 Жыл бұрын
Mungu 🙏 akutunze sana mtumishi nabarikiwa sana tu na nyimbo zako 🙏🙏🙏🙏
@Senkondo122
@Senkondo122 9 ай бұрын
I knew...that some day u can do it...But in your Highest level that God gives you. "For me it's not only a Song, It's my prayer...s 🇹🇿
@mathewmwasangwale4205
@mathewmwasangwale4205 Жыл бұрын
Huu wimbo kwangu umekuja kwa majira na wakati sahihi kabisa barikiwa sana mtumishi wa Bwanaa @Ambwene mwasongwe
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Hakika Yesu njoo utuhudumie,tunakuhitaji Sana ktk maisha yetu bila wewe hatuwezi hata kidogo wewe ndo kila kitu kwangu shujaa wa msalaba!!hongera Sana Kaka yangu Ambwene Yesu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana!!akupe mahitaji ya moyo wako!!! hallelujah!!
@emmanueldionismbena3461
@emmanueldionismbena3461 9 ай бұрын
Mimi nakupenda sana sana sana kaka yangu Ambwene Mwasongwe
@petermbavu609
@petermbavu609 Жыл бұрын
Yesu njoo utuhudumie
@nurukidakule9468
@nurukidakule9468 Жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu, hakika tunamhitaji Yesu atuhudumie
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 Жыл бұрын
Nakuelewa kaka mkubwa. Wimbo mzuri sana. Yesu njoo 🥲🥲🙏🙏
@rachelgiliard4014
@rachelgiliard4014 Жыл бұрын
Jesus come and serve us halelluya.
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 Жыл бұрын
Yesu njoo utuhudumie utusaidie
@nelk_okey002
@nelk_okey002 Жыл бұрын
Njoo utuhudumie YESU
@rosekisale4829
@rosekisale4829 Жыл бұрын
May GOD keep u safe brother ,unanibariki sanaaa njooo yesuu tumeambiwa mengii atuwez atakuyaongea tumesemwa mengii sanaa , mungu wa huruma yesu njoooo utuhudumie familia yangu mahusiano yangu afya yanguu njooooonjoooo ooooh groly to GOD
@jenniferjohn1707
@jenniferjohn1707 Жыл бұрын
Kaka Ambwene mwasongwe ,nyimbo zako siku zote huwa zinakitu cha tofauti sana kwaajiri ya uhitaji wa mioyo ya watu wanaosikiliza
@wamzimedia
@wamzimedia Жыл бұрын
Kwakuwa tumeliamini neno tutafika mbali, kama ipo sababu ya kuishi miaka michache basi tumeongezewa miakaaaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽😭😭😭😭
@merykihengu2456
@merykihengu2456 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana mungu aendelee kukupa kibar zaidi nazaidi Amen.
@elicangota3326
@elicangota3326 Жыл бұрын
Amen amen njoo Yesu utuhudumie
@tinah3472
@tinah3472 Жыл бұрын
Ooh halleluyah 2kings 20:5🔥🔥🙌🙌🙌
@emilykhenry1993
@emilykhenry1993 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa wimbo huu mzuri. Mungu ambariki kila aliyeshiriki kukamilisha ujumbe huu, "Hakika Mungu ndiye mwenye kutuhudumia".
@elizabethkweji7304
@elizabethkweji7304 Жыл бұрын
Mtumishi uwe unaweka na Mpesa Kwa ajili ya sadaka,
@patelnay4124
@patelnay4124 Жыл бұрын
Yesu akubariki Sana na azidi kukuinua, Mungu na aseme na watu wake kupitia ww,, asanteee Mungu wa mbinguni 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@hamidazuberi233
@hamidazuberi233 Жыл бұрын
Njooo njooo mfalme kwa watoto wak
@obamtensonhope
@obamtensonhope Жыл бұрын
Njoo utuhudumie eeh Yesu.... Barikiwa sana mtumishi.
@christinebura6235
@christinebura6235 Жыл бұрын
Amen, Amen, Amen, Ameeen !!
@zaitunisodoka1087
@zaitunisodoka1087 Жыл бұрын
Naumwa mimi wimbo umekija kwa wakati
@emmanueljason2564
@emmanueljason2564 Жыл бұрын
Natamani siku nikutane nawe, hongera sana na Mungu akubariki kwa huduma njema
@deokkweka6999
@deokkweka6999 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa MUNGU uinuke zaidi ya leo.
@liliankihara5103
@liliankihara5103 Жыл бұрын
2:37 Amen
@kilimoboratz7996
@kilimoboratz7996 Жыл бұрын
Fantastic song from blessed singer May God bless your talent Ambwene
@maggishillah4847
@maggishillah4847 Жыл бұрын
Ooh Glory to God, Njoo Yesu utuhudimiee!! Njoo Yesu utufinyangee!! More Blessing Man of God 🙌🙌🙌🙌
@StevenCredoMTV
@StevenCredoMTV Жыл бұрын
Tunketeghe jumponjoli ikutupoka nasyosa isyankisu
@joshuakabasi170
@joshuakabasi170 Жыл бұрын
Amina Mtumishi Wa BWANA
@saraheliud3913
@saraheliud3913 Жыл бұрын
YESU MUNGU UONAYE NJOO UTUHUDUMIE🙌🙌🙏
@janetjosephat8093
@janetjosephat8093 Жыл бұрын
Wimbo mzur sana kaka
@evahedsonofficial1062
@evahedsonofficial1062 Жыл бұрын
Njooo Yesu unihudumie maana mm siwezi bila ww ILOVE this song God bless you man of God
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 Жыл бұрын
Amen! Amen!
@nicholoususwege6250
@nicholoususwege6250 Жыл бұрын
Groly to God
@StevenCredoMTV
@StevenCredoMTV Жыл бұрын
Ndagha ndagha njoo utuhudumie
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 Жыл бұрын
Amina mtumishi tunamwitaji yesu kwa sasa ,maana ndio kimbilio letu kwa sasa,na ni mwokozi wetu,Barikiwa sana Ambwene
@selemandaudmbembela
@selemandaudmbembela Жыл бұрын
This is quite different form of ministering, God bless you for such an inspiring praise and worship song.........
@chrismunyao
@chrismunyao Жыл бұрын
Good one sir
@jacobsmanase9469
@jacobsmanase9469 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@crevamode5303
@crevamode5303 Жыл бұрын
Munguakubark sana mtumishi
@filbertdaniel6320
@filbertdaniel6320 Жыл бұрын
Njooo Utuhudumie Yesu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@francishimangi2695
@francishimangi2695 Жыл бұрын
njoooo bwana
@Rev.nyinengabo
@Rev.nyinengabo Жыл бұрын
Amen amen wimbo umekuja kwa wakati wake katika maisha yang Ee Bwana njoo unituhudumie
@tusekilemwaisabila4603
@tusekilemwaisabila4603 Жыл бұрын
Ooh Yesu wangu,njoo asbh ya leo unihudumie. Mfalme wa wafalme,sema nami nipo tayari kukusikiliza. Barikiwa Ambwene, Mungu akubariki na kukuzidi kukupeleka viwango vingine. Umekuwa baraka kwa aina ya uimbaji wako.
@ajaykilawah2622
@ajaykilawah2622 Жыл бұрын
Wakwanzaa kuview
@hoseamwaijuni824
@hoseamwaijuni824 Жыл бұрын
Kila dawa Ina ugonjwa wake, yawezekana hii dawa iliyomo ndani wimbo huu imewafikia walengwa hivyo uwe na amani kabisa wewe pia utapata wimbo wako siku ikifika utausikia kutoka Kwa kaka yetu, ila #Brother ambwene mungu ambariki sana anagusa sana...🔥🔥🔥
@Pihansmo1129
@Pihansmo1129 Жыл бұрын
Hongera sana kaka💖🔥🔥🔥🔥🔥
@jamhuritv2023
@jamhuritv2023 Жыл бұрын
Thank You LOAD.
@trophimorango5060
@trophimorango5060 Жыл бұрын
May God bless you
@bahatishomari290
@bahatishomari290 Жыл бұрын
Amina;mbarikiwe sana wapendwa kwa kazi njema!
@attubulenge530
@attubulenge530 Жыл бұрын
Ahsante Yesu
@martinmligo302
@martinmligo302 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@nicholoususwege6250
@nicholoususwege6250 Жыл бұрын
Glory to God🔥
@WILSONJOELTUNZE
@WILSONJOELTUNZE Жыл бұрын
Amiiiiiin Kaka Mkuu
@PatrickMbuya
@PatrickMbuya Жыл бұрын
Ameeen. Kazi nzuri sana
@geofreymhina3472
@geofreymhina3472 Жыл бұрын
Nabarikiwa mno na ujumbe Mungu aendelee kukuinua viwango Hadi viwango
@madamejohari
@madamejohari Жыл бұрын
Hongera kaka Mkubwa
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Nimeambiwa mengii,nataka kusikia neno lako Mungu
@prophetmaxmbise6196
@prophetmaxmbise6196 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu Kwa Wimbo Mzuri sana Jaman hakika Nime Barikiwa sana.......
@morrismuriithi6741
@morrismuriithi6741 Жыл бұрын
Huu sio wimbo tu bali ni ombi. Asante sana bwana Ambwene kwa kukubali kutumika kwa njia ya ajabu.
@ahadijohn9190
@ahadijohn9190 Жыл бұрын
Jah bless this man.... he bless me more than much
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 Жыл бұрын
powerful Njoo utuhudumie Yesu🙏🙏🙏🙏🙏
@goodsondawson5701
@goodsondawson5701 Жыл бұрын
Nmekua hapa tangu jana nikisubiri kuhudumiwa na Mungu Wako Broo na ninamuona akinihudumia🙏🙏🫡
@akaliatwoli710
@akaliatwoli710 Жыл бұрын
Njoo unihudumie Yesu
@neemashirima1617
@neemashirima1617 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu . Mungu atuhudumie tumwiteee aje
@danielsiwale4051
@danielsiwale4051 Жыл бұрын
waoooooo nimeusubili kwahamu nanimehudumiwa amina
@raphaelkyando1094
@raphaelkyando1094 Жыл бұрын
Thanks Jesus Crist,hongera Sana brother 🙏🙏🙏
@citovunjabeilimitedcompany4455
@citovunjabeilimitedcompany4455 Жыл бұрын
Mungu akubariki mwimbaji wangu mkuu Iki wezekana Lyrics iwe kama kuna uwezo ili itu rahisishie ku i Block mapema
@yohanakaini
@yohanakaini Жыл бұрын
You are always connecting us to the devine power and God manifest himself through you 💥💫👏 Utukufu ni kwa Mungu
@dees.olafsen3596
@dees.olafsen3596 Жыл бұрын
Njoo Yesu tuhudumie, njoo na hukumu ya ki Mungu juu ya adui zetu Njoo Yesu tuhudumie What a song....
@niyagakizalevis9985
@niyagakizalevis9985 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa mungu
@jdk6859
@jdk6859 Жыл бұрын
Hudumia ujana wetu 🙏🏾
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 Жыл бұрын
Njoo Yesu utuhudumie 🙌🙌🙌🙏🙏🙏 Uishi zaidi my brother
@sabrinajuma9590
@sabrinajuma9590 Жыл бұрын
Amina mungu wa mbinguni azidi kukupa ubunifu mara dufu ❤🙏🤝
@morrismuriithi6741
@morrismuriithi6741 Жыл бұрын
Njoo Yesu😭😭😭
@TingaMedia
@TingaMedia Жыл бұрын
Woooow .. wimbo Mzuri Sanaaaa
@godlovemollel279
@godlovemollel279 Жыл бұрын
YESU njoo utuhudumieee!!!!!!!!
@stephanokihaga6891
@stephanokihaga6891 Жыл бұрын
Amen.. God bless you
@Chekakidogo2
@Chekakidogo2 Жыл бұрын
Amen 🙏 Glory to God 🙏, God bless you.
@mwapemlange5774
@mwapemlange5774 Жыл бұрын
whao!!!!! Yesu njoooo huniudumiee usiku huuu
@josephkenani6029
@josephkenani6029 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka Ambwene songa mbele
@sethnjacob1432
@sethnjacob1432 Жыл бұрын
Mungu azidi kukujaza uwepo wake
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
🤲🤲🙌🙌🙌
@dannyshilla7350
@dannyshilla7350 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana na ina nguvu kubwa sana! Mungu azidi kukutunza zaidi ili azidi kukutumia kama chombo chake cha sifa
@davidmwambeje4524
@davidmwambeje4524 Жыл бұрын
Amen barikiwa kwa wimbo mzuri
@lovembuba1913
@lovembuba1913 Жыл бұрын
Njoooo utuhudumie Yesu 👐👐👐👐
@faithkizaka1429
@faithkizaka1429 Жыл бұрын
Wow!!mungu azidi kukuinua viwango vya juu mtumishi.barikiwa.
@goodsondawson5701
@goodsondawson5701 Жыл бұрын
Wa kwanzaaaa🎉🎉🎉🎉 Kumuita Bwana wa kwanza Kunihudumia
@liliankihara5103
@liliankihara5103 Жыл бұрын
2:37 Amen,4:50 speak lord we are listening ,8:23 Asante Yesu
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 36 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 87 МЛН
SIFA HIZI: AMBWENE MWASONGWE FT PINTY & MEMORY &KYANDO &FARIDA
7:50
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 52 М.
REHEMA MWAKYUSA TULIKOTOKA NI MBALI COVER
8:03
Rehema Mwakyusa
Рет қаралды 10 М.
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 319 М.
Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika na Mungu(Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 557 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
BEST OF ALI MUKHWANA WORSHIP MIX
1:44:04
Ali Mukhwana
Рет қаралды 725 М.
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA FT JOEL LWAGA - BWANA WA MABWANA
9:49
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA
Рет қаралды 76 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 62 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 29 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 208 М.