Ambwene Mwasongwe: Maandalizi Yanaendelea.

  Рет қаралды 3,485

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

9 ай бұрын

Nakusalimu kwa jina la Yesu!
Kwa muda wa miaka 20 nimetumika kwenye eneo la uimbaji na kupitia huduma hii naamini kwa njia moja ama nyingine umehudumiwa, umeinuliwa, umefarijiwa na umejengeka kiimani.
Mimi pia Mungu amenisaidia sana, amenirehemu sana na amenitunza sana.. Nilianza kama utani na ndoto yangu ya kuwa mwimbaji ilianza Nikiwa na miaka 6, kisha nikaokoka Nikiwa na miaka 12, na baada ya kujazwa Roho Mtakatifu nikaanza kuimba kwa kueleweka Nikiwa na miaka 15...Mwaka 2002 Nikiwa na miaka 17 ndipo nyimbo zote za albamu ya kwanza Majaribu ni Mtaji zilikamilika na kurekodiwa...
na zikaanza kupata nguvu zaidi mwaka 2004 mpaka sasa.
Baada ya kutafakari Mungu amenigusa kuandaa ibada ya shukrani na live recording kwa kuimba nyimbo za albamu kuanzia ya kwanza noaka mpaka sasa siku ya ibada hiyo... tarehe 08 December 2023 katika ukumbi wa Mlimani City/Dar Es Salaam. Kuanzia saa 16:00 Hadi usiku saa 02:00.
Kama umewahi kuguswa na Kubarikiwa na wimbo wowote na ukakuhudumia, ninalo ombi kwako la kipekee, naomba Uwe mwandaaji wa ibada hii popote ulipo, kupitia sadaka yako, maombi, yako nk. Ibada hii gharama yake ni kubwa Sana ni Mamilioni ya fedha na ninaamini unayo sadaka kusema Asante pamoja nami kwa nyimbo hizi ambazo zimekuwa Baraka Sana kwetu...
Naomba nikushirikishe hilo na naamini Roho wa Mungu anakusemesha na wengine mlishasemeshwa kufanya kitu kwa ajili ya huduma hii ila hamkufanya, Sana tumia nafasi hii kutimiza kile uliwahi waza, na uliwahi semeshwa na Roho wa Mungu lakini ukasahau.
kwa sasa tunapokea sadaka yeyote kwa number za malipo zifuatazo
AMBWENE MWASONGWE
CRDB BANK ACCOUNT: 0152292751601
Tigo Lipa number: 8431581
AMBWENE MWASONGWE/ 20 YEARS ANNIVERSARY.
Pia kama uko nje ya Nchi au hata ndani ya Nchi waweza tuma kwa..
Tigopesa 0713619931
Mpesa 0767619931.
Na number za mawasiliano ni 0767619931, 0713619931.
Email mwasongweambwene82@gmail.com
misuliyaimani@gmail.com.
KWA SASA HATUJAWEZA KUTANGAZA KIINGILIO ILA TUMEANZA KURUHUSU SADAKA YA KUNUNUA MEZA YA WATU 10 YA VVIP KWA SHILINGI 1 MILLION.
TUKIMALIZA ZOEZI HILI TUTAKUJA NA KUTANGAZA VIWANGO VYA SADAKA/VIINGILIO.
Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 22
@jonathanmlinda2580
@jonathanmlinda2580 9 ай бұрын
Umekuwa ukinibariki sana kwa nyimbo zako, Mungu wetu wa Mbinguni akipenda nitashiriki pamoja nawe hapo Mlimani city kumsifu na kumshukuru Bwana.
@user-sr9ko8oy6z
@user-sr9ko8oy6z 9 ай бұрын
Mungu atatenda maana ni Mwaminifu Sana
@khalisamtonga2407
@khalisamtonga2407 7 ай бұрын
Hakika nilienjoy sana mungu azidi kukubali kila mwaka uwe unashelekea🙏❤️❤️❤️
@jacklinekayombo468
@jacklinekayombo468 9 ай бұрын
Natamani niwe mmja wa mshiriki Mungu naomba kibali niwepo
@MichaelKangeta-lt2gh
@MichaelKangeta-lt2gh 9 ай бұрын
Amen Amen 🙏🙏
@lukamwambalaswa4463
@lukamwambalaswa4463 9 ай бұрын
Amen
@faithleonard2866
@faithleonard2866 9 ай бұрын
Ameeeen ameeeen
@tillapatrick1015
@tillapatrick1015 9 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu Ambwene
@AgnesChedego-jx8en
@AgnesChedego-jx8en 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@sulupeacecharles1397
@sulupeacecharles1397 9 ай бұрын
Hii kwetu ni baraka
@AlinanusweGerald
@AlinanusweGerald 9 ай бұрын
Ameeeni mtumishi Mungu akujalie
@veronicawilliam7276
@veronicawilliam7276 9 ай бұрын
Amen barikiwa sana
@gwamakawilson1247
@gwamakawilson1247 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@neemashirima9165
@neemashirima9165 9 ай бұрын
Mungu atupe uzima na neema ya kufika December Nakuombea Mungu Jambo hili likafanyike mpaka ushangae katika jina la Yesu🙏🏼
@abelg2488
@abelg2488 9 ай бұрын
All the best bro. Hatua kwa hatua hata ukamilisho wa jambo hili😊
@msabenda
@msabenda 9 ай бұрын
Amina sana mtumishi, MUNGU atupe neema ya uzima tutashiriki sote kwa ajili ya Utukufu wa Mungu wetu.
@andersonmwondi428
@andersonmwondi428 9 ай бұрын
Amen, kutoka kenya 🇰🇪
@hpenyika7686
@hpenyika7686 9 ай бұрын
Amen 🙏
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 9 ай бұрын
Barikiwa saana Bro mungu azidi kukuinua 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 9 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/brBjo8ecrqqtj40.htmlsi=dKHkb5sI7Pxe-eAH, Mungu akubariki
@HekimaKimola
@HekimaKimola 9 ай бұрын
Amen
@charlespaul189
@charlespaul189 9 ай бұрын
Amen
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 21 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 46 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 319 М.
Inasikitisha: Kilichomkuta Ambwene Mwasongwe Unaweza Kutokwa Machozi
11:29
FAIDA ZA UHUSIANO WA IMANI NA NGUVU ZA MUNGU NDANI YA MUOMBAJI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
8:52
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 450 М.
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
7:56
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 910 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,2 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,3 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 839 М.
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 177 М.
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54