Ambwene Mwasongwe:Nibebe

  Рет қаралды 9,971

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Жыл бұрын

Video from Ambwene Mwasongwe

Пікірлер: 26
@Lusekelo98
@Lusekelo98 Жыл бұрын
BWANA YESU tangulia mbele yangu, Niepushie dhoruba la dunia hii, ijapo shida nipe moyo wa hekima, moyo ukukumbukao wakati wote na ulio tayari kupokea maelekezo kutoka kwako. Kila nitakapo tembelea ndugu na jamaa au kupishana na mtu njiani, BWANA muangazie Nuru yako akakujue zaidi ya ulivyonipa nafasi ya kukujua. Kumbuka na kuulinda uzao wa wanao, weka amani, hekima, utu na maadili katikati yao. Amen
@daktariwamauzo
@daktariwamauzo Жыл бұрын
Nilikuwa kwenye wakati mgumu sana katika maisha yangu, 2014 - 2015, kihuduma, kimasomo, maisha ya nyumbani... nakumbuka nilikuwa na wimbo huu kwenye simu yangu, nikawa nausikiliza kila siku... Ahsante Mungu, nilikuamini na leo hii NAKUTUKUZA hapa nilipo.. Nilipona, nilivuka.. Yesu Ulinibeba
@gasperngairo7681
@gasperngairo7681 Жыл бұрын
The only thing to say is that.... Mungu muweza wa yote na aliye MKUU Sana azidi kutukuzwa, kuabudiwa na kuheshimiwa milele yote. Na Nashukuru Mungu for you cause you make others to praise and worship Almighty God. Be blessed Sana Sana. And one more thing is that, I'm saved because of you, so barikiwa sana na Mungu mwenyezi azidi kutukuzwa milele yote, Amina.
@citovunjabeilimitedcompany4455
@citovunjabeilimitedcompany4455 Жыл бұрын
Kaka ambwene kaka ambwene kaka ambwene nakuita mara tatu uwe mbarikiwa siku zote
@saybus_updates_now4059
@saybus_updates_now4059 Жыл бұрын
DAAH SAUTI TAMUU HII🥰🥰MUNGU,,,,AZIDII KUBARIKI ELFU mara ELFU MTU WA MUNGU!!
@alexmwakikambako4743
@alexmwakikambako4743 Жыл бұрын
Hallelujah baba MUNGU akubariki mnoooo zaidi na zaidi
@user-cu7me1lv1c
@user-cu7me1lv1c Жыл бұрын
Hallelujah JESUS
@Hostchina
@Hostchina Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@vincentanyona6854
@vincentanyona6854 Жыл бұрын
Ameen
@FloridaChepkiruiFlobrit
@FloridaChepkiruiFlobrit Жыл бұрын
Amina🔥🙏 Nibebe Yesu, hakika kwako kuna salama
@rebecamishumi3360
@rebecamishumi3360 Жыл бұрын
Amen
@uwezobenjamin699
@uwezobenjamin699 Жыл бұрын
I’m the first to see this song 🎉
@emmaandrew3298
@emmaandrew3298 Жыл бұрын
Amen Amen
@MamaMenisha
@MamaMenisha Жыл бұрын
Maisha ya ushindi
@kevliston9763
@kevliston9763 Жыл бұрын
Waooo, Ahsante Yesu 🙏🙏🙏 #Unanibeba kila siku Yesu...
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 Жыл бұрын
Hallelujah Mwana wa MUNGU, yaaan uishi tu basi hilo ndilo ombi langu🤗🤗🤗
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 Жыл бұрын
🙏🙏
@jordankakusu6696
@jordankakusu6696 Жыл бұрын
Napenda kujifunza Kwa taii naipenda nyimbo hiii ni 🔥💪🙏🔥
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
Hallelujaaaaah mdogo wangu ambweneee
@evangelistpetropiason6202
@evangelistpetropiason6202 Жыл бұрын
Hallelujah Ambwene maswongwe
@jamesnassoro4259
@jamesnassoro4259 Жыл бұрын
Yes!
@lionofjudahtv8796
@lionofjudahtv8796 Жыл бұрын
Tama kikolo gwangu
@gracemauki7545
@gracemauki7545 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe
@lionofjudahtv8796
@lionofjudahtv8796 Жыл бұрын
Hakika kiongozi wangu
@bd_nls
@bd_nls Жыл бұрын
Hallelujah....🙏🙌😍🎶
@bd_nls
@bd_nls Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 38 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 24 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1 МЛН
Haleluya Nyakati Zote (feat. Paul Clement) (Live)
12:22
Henrick Mruma - Topic
Рет қаралды 4,8 М.
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA -TWASOMA NI NJEMA SANA
9:30
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA
Рет қаралды 56 М.
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 319 М.
Rose Muhando X Frank live in Kigali
37:54
Rose Muhando Official
Рет қаралды 185 М.
Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika na Mungu(Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 557 М.
Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video )    SMS SKiza 9841777 to 811
5:09
Paul Clement Official
Рет қаралды 4,4 МЛН
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 1,8 МЛН
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 201 М.
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 62 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН