Anastacia Muema- Karamu ya Bwana Yesu (Official Video)

  Рет қаралды 586,627

Anastacia Muema

Anastacia Muema

3 жыл бұрын

Anastacia Muema.
Ekarsti Takatifu ni chakula cha roho na ni Yesu mzima ndani ya maumbo ya Mkate na Divai. Wimbo huu unaoitwa Karamu ya Bwana Yesu ulivyoimbwa na Mwimbaji Anastacia Muema (Miss Anne) ni wimbo unaotukumbusha kwamba Fumbo la Ekaristi takatifu ni nafasi ya kukutana na Yesu Mzima katika maumbo ya Mkate na Divai. Kila mara tuwe wasafi wa roho ili tuweze kuishiriki meza yake Kristo anayotuandalia kila tunapofanya adhimisho la ibada ya Misa Takatifu.
Wimbo huu umetungwa na Ray Ufunguo
Umeimbwa na Anastacia Muema,
Back vocals zimefanywa na (Lawrence Kameja, Tumaini Swai na Ray Ufunguo)
Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo
Audio na Video vimefanywa katika studio za RAJO Productions (Tz)
Nakukaribisha uungane nami katika kusikiliza na kutazama wimbo huu na Mungu atubariki sote, Amina
#wimbowaekaristi #corpuschristi #komunio #anastaciamuema #rajoproductions

Пікірлер: 941
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Karibuni kwenye channel yangu ya pili. Kwenye hiyo channel nitawaletea matukio mbali mbali. Please support me. SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.👉👉kzfaq.info/get/bejne/fbmdhNdmr9HXc2g.html
@kevinnamwaya
@kevinnamwaya Жыл бұрын
Thanks
@josephinemwikali259
@josephinemwikali259 Жыл бұрын
Your songs are so inspiring and blessing
@RayMenjo-gt6jb
@RayMenjo-gt6jb Жыл бұрын
We will Mrs Muema have a nice time
@maliafrancisca1841
@maliafrancisca1841 Жыл бұрын
Ai, imeisha Tena! It's so moving!
@user-ri4od1sk1m
@user-ri4od1sk1m Жыл бұрын
Nasikiliza hizi nyimbo naona kama ushamaliza zote sijui naimba ipi maana sijawahi fikiria kama roman katoliki kunayo soro atist
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Ekarsti Takatifu ni chakula cha roho na ni Yesu mzima ndani ya maumbo ya Mkate na Divai. Wimbo huu unaoitwa Karamu ya Bwana Yesu ulivyoimbwa na Mwimbaji Anastacia Muema (Miss Anne) ni wimbo unaotukumbusha kwamba Fumbo la Ekaristi takatifu ni nafasi ya kukutana na Yesu Mzima katika maumbo ya Mkate na Divai. Kila mara tuwe wasafi wa roho ili tuweze kuishiriki meza yake Kristo anayotuandalia kila tunapofanya adhimisho la ibada ya Misa Takatifu Audio na Videovimefanywa katika studio za RAJO Productions (Tz) Nakukaribisha uungane nami katika kusikiliza na kutazama wimbo huu na Mungu atubariki sote, Amina
@gustaphmrema930
@gustaphmrema930 3 жыл бұрын
Dada upo vizuri sana ongera tunabarikiwa na uimbaji wako pamoja ray ufunguo anafanya kazi nzuri sana Mungu ambariki
@florianfinda7445
@florianfinda7445 3 жыл бұрын
Dada uko vizuri sana, MUNGU wa mbinguni na akupe haja zote za moyo wako
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@gustaphmrema930 Asante sana.🙏❤
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@florianfinda7445 Amina🙏🥰
@fabiankaduka3754
@fabiankaduka3754 3 жыл бұрын
Tunabarikiwa na nyimbo zako...safi sana
@tesharose5041
@tesharose5041 3 жыл бұрын
Hongera Sana wimbo nzuri unaingia Hadi rohoni Asante Sana anastacia mungu azidi kukubariki nakupenda Sana mungu azidi kuweka Uendelee na kumtumikia katika uimbaji🥰🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina. 🙏 asante🙏❤. Barikiwa sana!
@kelsykerubo
@kelsykerubo 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥Very Nice my friend❤️❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thankyou so much my friend❤️❤️❤️
@elickykibet3079
@elickykibet3079 Жыл бұрын
Wanaompokea wote wana uzima wa milele❤❤🙏
@jacintamakau936
@jacintamakau936 11 ай бұрын
Wonderful voice, outfits and most important the song. It's just perfect for me and my family
@amambiastephen178
@amambiastephen178 3 жыл бұрын
Kazi nzuri dadangu. Kongole kwa timu yako pia. Neema za Mwenyezi Mungu ziwe nanyi mnapoiendeleza kazi yake.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina. Mungu akubariki.🙏❤❤
@broalextv254
@broalextv254 2 жыл бұрын
Mbona usifanye moja na Despina,,,, mnanibariki vizuri sana,,,, itakuwa furaha yangu kuwaona pamoja nawapenda bure
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante sana Bro Alex🙏🥰
@user-lr2cy4vl5f
@user-lr2cy4vl5f 7 ай бұрын
Songs zinakusa you feel presents ya mungu.
@EmmanuelOteu
@EmmanuelOteu 3 жыл бұрын
The song is just perfect 😍 The voices 🥵🔥🔥 nisipate mtu ame dislike 🙄 .. alafu nifunze pia kuimba ☺️
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana Emmanuel..🙏🙏❤❤❤.haahaha😂
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 3 жыл бұрын
Mwenye ata-dislike ni mchawi. Tumwue
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@dreusebiusjmikongoti248 Daktari ameongeaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@belindananjala8844
@belindananjala8844 3 жыл бұрын
Imgn 18 dislikes,I wonder if they are living in the real world,Those are the kinds of people that Jesus was describing that they have eyes but they can't see,ears but they can't hear
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@belindananjala8844 hehe
@florianfinda7445
@florianfinda7445 3 жыл бұрын
This song is very addictive, yaani nimeuangalia zaidi ya mara ishirini na bado hauchoshi. Kazi nzuri na takatifu sana, hongereni sana kwa kumpatia MUNGU wa mbinguni utukufu mkubwa namna hii. Chief Ray unasauti ya nne yenye bass nzuri sana. keep it up chief. Kama binadamu wana sauti nzuri kama ya Miss Anne sijui mbinguni watakafu na malaika sauti zao zitakuwaje kwakweli. Uimbaji ni kazi tutakayoifanya hapa duniani na kuendelea nayo mbinguni milele yote. Good job, keep it up.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana Florian kwa ukarimu wako na upendo kwetu. Mungu akubariki sana dear. ❤❤❤Tunashukuru sana🙏❤❤❤❤
@newtongitonga9792
@newtongitonga9792 Жыл бұрын
"Wanao mpokea wote Wana uzima wa milele"
@prosperyalutindi3916
@prosperyalutindi3916 3 жыл бұрын
Safi sanaa... unafanya kazi nzuri...be blessed
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🥰. Be blessed too😊😊
@sylvetertoo5834
@sylvetertoo5834 Жыл бұрын
Hongera Kwa nyimbo zenu Zina kuza rohoni be blessed too I Sylvester Too from Kenya
@peterslaa3494
@peterslaa3494 3 жыл бұрын
What a voice am so happy to see the music of Roman Catholics is going and moving foward forever.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Ameeen🙏❤❤
@peterslaa3494
@peterslaa3494 3 жыл бұрын
@@anastaciamuema gud night Dada ana
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@peterslaa3494 Good night to you too.🙏
@lucymanang2701
@lucymanang2701 8 ай бұрын
Proudly catholic.By Gods Grace this blessed lady wilk be invited for my wedding and she pergorms live!
@georgemuthui853
@georgemuthui853 2 жыл бұрын
Huu wimbo hunimaliza sana, shukrani sana
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu🙏🥰
@Mulwall
@Mulwall 2 жыл бұрын
Am proud to be a catholic...what a beautiful voice.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thankyou so much🙏
@corneliuskaniki5480
@corneliuskaniki5480 Жыл бұрын
Au naomba namba yako nikucheki wasap
@jeromefaraja2203
@jeromefaraja2203 2 жыл бұрын
God is still inspiring his children to compose theological songs that nourish Christians' faith. This song allows me and many other people to enter into a personal and profound relationship with Jesus Christ. God bless you now and forevermore!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amen Amen🙏. Blessings to you!🤩
@danfordjackline9426
@danfordjackline9426 3 жыл бұрын
Bravoooo my love!!!!barikiwa mpaka ushangae
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amen🙏🙏 . Barikiwa pia dearest🥰
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri ya ekaristi Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina. Barikiwa sana Zawadi 🙏🙏
@yJe461
@yJe461 3 жыл бұрын
Huu wimbo!!!! It arouses the beauty of the holy mass and eucharist❤️❤️,,,Annastacia you're a God-given gift to us
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Peter🙏🥰🥰❤
@nicodemusbisera6720
@nicodemusbisera6720 3 жыл бұрын
This voice is a rare gem. Stay blessed, astounding work, the bass is really nice
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Nicodemus🙏🥰
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI hongera dada anastazia kwa kutuunganisha
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante🙏🙏🥰
@evafunda932
@evafunda932 3 жыл бұрын
Asante dada Anne kwa Mambo mazuri....Mungu azidi kukuinua ♥️💯
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana dadangu.🙏 AMINA🙏🙏❤
@rosenangila1125
@rosenangila1125 3 жыл бұрын
Keletu you never dissapoint 💕. There's nothing beautiful than serving God in our youth! More blessings 😍
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Rose for watching🙏🙏❤❤.. be blessed🙏
@Fr.mo.2011
@Fr.mo.2011 3 жыл бұрын
I will press repeat 🔁 again and again 🌺🌺
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much rafiki❤❤. Share with your friends too.😂
@alfaezra9090
@alfaezra9090 3 жыл бұрын
Amina ,huku ni kubarikiwa kuliko pitiliza amani, karibu Bwana Yesu .
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina🙏❤. Tumshukuru Mungu🙏
@kibarajulius2302
@kibarajulius2302 3 жыл бұрын
Kibao safi.... keep the spirit Anastacia. Unaguza nyoyo za wengi
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🥰🥰
@joelmasika3045
@joelmasika3045 3 жыл бұрын
Anastacia, I love your voice,.... It penetrates deeper within the heart,.... Ata kama roho ndo ngumu aje, apa lazima tuokoke,... Nice piece.... The vocals and instruments well harmonized
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou for your kind words Joel🙏❤🙏. AMEN🙏
@kenyatoursandsafaris2176
@kenyatoursandsafaris2176 3 жыл бұрын
Lovely song Anne
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏❤❤
@christinekemmy8095
@christinekemmy8095 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na huu wimbo🙏egesa brought me here🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana. Egesa ni nani?
@laghtnesphilipo489
@laghtnesphilipo489 2 жыл бұрын
Hongera dada Anastacia kwa kipaji kizuri ulichopewa na Mungu
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@amoskomen5504
@amoskomen5504 3 жыл бұрын
Thank you our Sister.I feel uplifted every time i listen to this wonderful vocal clear and precise message.May God bless you sana sana.We love you and may it trend till ifikie Baba Mtakatifu Pale Vatican-Rome.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana kaka Amos🙏🥰🥰🥰🥰. AMEN, AMEN🙏🙏🙏
@anastanciawughanga7361
@anastanciawughanga7361 2 жыл бұрын
I have had a video an audio the lyrics..now i want to even sing every bit that you sing 🥰🥰🥰it's supper powerful and the sound is just a hit in its own . congratulations my dear 🌹🌹🌹🌹
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thankyou so much namesie🥰🥰🥰
@joanamwalamba8597
@joanamwalamba8597 Жыл бұрын
Can I have the lyrics please 🥺
@Collinscj
@Collinscj 3 жыл бұрын
Mungu akubariki uzaidi kumtumikia kwa uimbaji. Kuimba ni mara mbili ya kuomba. I do home
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🥰. Amina🙏
@moratwaya8923
@moratwaya8923 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri mno, Keep it up, Roho Mt. aendeelee kukujaza na vipawa vyake
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🥰. Amina🙏😍
@linetsidi7144
@linetsidi7144 3 жыл бұрын
Amazing 😍
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thanks baby gal🙏🥰🥰
@charlespanther1857
@charlespanther1857 2 жыл бұрын
So refreshing, .....emotionally takes us close to Christ and reminder of priceless sacrifice by Jesus for us.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amen 🙏 Amen🙏 Amen🙏.
@annakalolo5298
@annakalolo5298 2 жыл бұрын
Wimbo mzuriiii. Sauti tamu mno dada hongera sn Mungu akubariki uendelee kumtumikia kwa njia ya uimbaji. Tunabarikiwa mno.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏. Ubarikiwe sana pia🙏
@angelomedard
@angelomedard 3 жыл бұрын
Asante Anastacia somo wa mama yangu Mungu akubari zaidi kwa hii karama ya uimbaji
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana mwanangu Angelo🙏❤❤🥰🥰. Barikiwa zaidi!😊
@iankiptanui8542
@iankiptanui8542 3 жыл бұрын
Well done. Keep on shining and blessing many.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Ian🙏❤❤
@TatiChrisKe
@TatiChrisKe 3 жыл бұрын
Marvelous! Hallelujah 🙌 🙌! This is glorious.. powerful lyrics and an heavenly voice! Congratulations 🎊 🎊 thank you for this song!! Your songs are the only catholic songs in my Playlist!! 🎊 🎊
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Aaaaawwww🥰🥰... Tati, be blessed🥰❤. I have smiled, I wish you saw me.😉
@zama684channel9
@zama684channel9 3 жыл бұрын
👍
@stephenmichael8943
@stephenmichael8943 2 жыл бұрын
TUTAPATA MUZIKI WAKE WAPI NATAKA HIZO NOTA ! VERY POWERFUL HERE #+254 COGRATS
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante. Check pale Swahili Music Notes
@samardern8560
@samardern8560 3 жыл бұрын
Hakika kazi ya huyu mwanadada inapendeza. Barikiwa Anne.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Aaaawwww.... asante sana kaka Sam🙏❤❤😜
@mercymutisomusic
@mercymutisomusic 3 жыл бұрын
I love it❤️❤️ Perfectly done 💯
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thanks sister Mercy🙏❤❤❤
@mwanza.mhellen2928
@mwanza.mhellen2928 3 жыл бұрын
That beautiful feeling that I want to receive the Eucharist and be filled with holiness, that can only be explained by the Heavens. Congratulation Anne may the Lord bless you. Special prayers for you.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thanks and Amen to that prayer🙏🙏🙏🙏🙏
@dagharoalbarau8610
@dagharoalbarau8610 2 жыл бұрын
Wimbo Bora kabisa wenye utulivu Kama ekaristi takatifu ilivo
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏
@ndetichrissantos652
@ndetichrissantos652 2 жыл бұрын
Ekaristia chakula kweli Cha roho zetu... Very beautiful melody hongereni sana Hizi nyimbo zitakumbukwa katika historia ijayoooo. Amina Naskiza nikiwa Narok #Nov 2021
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏. Ubarikiwe sana Ndeti😊
@jacintakatunge7271
@jacintakatunge7271 3 жыл бұрын
What a nice song! So blessing. Beautiful and clear voices too. I mean everything is perfect.😍
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Aaaawwww🥰❤ . Thanks baby girl❤❤
@AMuema
@AMuema 3 жыл бұрын
Wow! The waiting was worthy it! May the voice keep getting better and better 💕💕💕💕Nice and spiritually satisfying song sis❣️
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much my lovely sister❤. Thanks for the moral support; my no.1 fan!!❤❤❤❤
@corneliuskipkoech1101
@corneliuskipkoech1101 3 жыл бұрын
Hewalaaaaa. Kazi nzuri sanaaa Anne zidi kueneza injili.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina🙏🥰
@amelidamshana179
@amelidamshana179 3 жыл бұрын
Broo Ray umeitendea haki hiyo kazi big up Sana kuanzia utunzi na vitu vyote. Pia miss Anne bravo
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana Amelida🙏🥰🥰❤
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 3 жыл бұрын
What a sweet sounding communion song! You're truly making a mark in music industry even as you curve a niche in the liturgical life of the church. It's so refreshing to see you grow from strength to strength Anastacia! Keep up the good work of evangelizing through music & dance! 🙏👌🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Hello M.J. Thankyou so much for encouraging me🙏. Be blessed🥰
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 3 жыл бұрын
@@anastaciamuema You are so welcome Anastacia. Keep doing your thing dear. Baraka tele 🙏🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
@@mjkinuthia386 Amina🙏
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 2 жыл бұрын
@@anastaciamuema It is still 4th where I am and not too late to celebrate & wish you a Happy Birthday. God bless you with a long, healthy, happy and fulfilling life 🙏🙏🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
@@mjkinuthia386 hey, thankyou so much🙏. I so much appreciate🙏🙏. Be blessed 😊
@bonypio
@bonypio 3 жыл бұрын
This song reduces me into tears of joy every time I hear it playing. Do I know why? Not really haha... and by the way, I suppose that we do need such compelling songs especially these days. May the Lord always give you his peace and bless your gift. 🙏🏾🙏🏾
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤
@rosinakithinga8839
@rosinakithinga8839 2 жыл бұрын
I know why you reduced into tears,,, its the love of Christ in you... Yes the love,,,
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
@@rosinakithinga8839 It’s sweet being in the presence of the Lord!🙏🙏
@mikelolmodooni5521
@mikelolmodooni5521 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Anastasia muema ❤️❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante sana Mike♥️♥️
@victormuteti1166
@victormuteti1166 3 жыл бұрын
Stunning mrembo,, nice voice wahuu
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Victor🙏❤❤
@lenskingsproductions
@lenskingsproductions 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana... Nota tafadhali
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana. 🙏🥰Inbox me for notes
@lenskingsproductions
@lenskingsproductions 3 жыл бұрын
@@anastaciamuema your number please... Mine is +254704742748
@speciozamethod6554
@speciozamethod6554 3 жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏❤❤
@paschalcharles5401
@paschalcharles5401 3 жыл бұрын
Hongera mdogo wanting sauti nzuri iliyopangika nakupenda
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana. Nashukuru sana dear🙏🥰🥰🥰
@leocadiabwire512
@leocadiabwire512 Жыл бұрын
Very good,nyimbo za utulivu namna hii ndo za kikatoliki kweli,nawashuri waimbaji wegine waige mfano huu.
@despinamdende9810
@despinamdende9810 3 жыл бұрын
Hongera sana Anne. Mungu akubariki kazi nzuri.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana my big sister, lots of love!❤
@mefaliamikulao9314
@mefaliamikulao9314 2 жыл бұрын
Nakupenda dada.Mungu akubariki
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina. Barikiwa sana pia
@christopherwafula7799
@christopherwafula7799 2 жыл бұрын
I love it inaniguza moyoni .mola zaidi kukuangazia .
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏
@victorakwata3497
@victorakwata3497 2 жыл бұрын
Wooow penda sana nabarikiwa na nyimbo zako tamu sana
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante sana Victor🙏😌
@naomichelangat4751
@naomichelangat4751 3 жыл бұрын
Congratulations dear. ❤️ You're consistent. You are A1
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Chelangat🙏🥰❤❤
@charitykoikai969
@charitykoikai969 Жыл бұрын
The song is so refleshing you are talented Anastacia....
@nicolausdandagala6201
@nicolausdandagala6201 3 жыл бұрын
Very wonderful my sister umeniweka kweny uwepo wa ekarist takatifu japo,kwa mazingra,niliyopo huwa huwa 2nasikiaga2 kwamba kuna kuabudu jmn,hongra sisiter ang
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana Nicolaus🙏🥰🥰
@sunrisecity1212
@sunrisecity1212 2 жыл бұрын
Huyo pianist anafanana na pianist kwenye wimbo #bwanaunibadili ni yeye ama vipi
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
You are right. Naam ni yeye.
@janekinyenje7230
@janekinyenje7230 2 жыл бұрын
Ekaristi takatifu!I Love this 🎵 🎶 🎵 🎶
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thankyou so much Jane🙏🥰
@pharismwangi3071
@pharismwangi3071 6 ай бұрын
Mwenyezi Ahimidiwe 🙏🙏🙏
@eliyakamuhanda6381
@eliyakamuhanda6381 3 жыл бұрын
Asante sana mama kwa kazi yako nzuri na takatifu!! mungu azidi kuwa pamoja nawe!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina! Mungu akubariki🙏🥰
@lucytungu437
@lucytungu437 2 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo hongera dada angu
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante sana
@hamicollege6227
@hamicollege6227 3 жыл бұрын
Kweli karamu imekwisha andaliwa. Nakutamu Eh Yesu uje moyoni mwangu.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@KalltuniClassics
@KalltuniClassics 3 жыл бұрын
Safee sanaaaa!
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🥰
@januariesmulei937
@januariesmulei937 3 жыл бұрын
Keep going sister.tunasikia maneno.wanaompokea wote wana uzima wa milele.congrats.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏🙏🥰🥰
@bensonrukebesha4885
@bensonrukebesha4885 2 жыл бұрын
Thx Anastasia nice song (nyimbo ya mzuri).
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Asante sana 🙏
@njeveh
@njeveh 3 жыл бұрын
Woow!! This is Great! God bless the team
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much my buddy🙏❤❤❤❤
@kombe6808
@kombe6808 3 жыл бұрын
❣️❣️ Barikiwa sana My dada ❣️❣️❣️
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana dear🙏🙏❤❤❤
@adelphinamassaweshukuru3613
@adelphinamassaweshukuru3613 3 жыл бұрын
Kazi nzuri Ane &ray Mungu Awabariki
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana dear🙏🙏❤❤
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 жыл бұрын
Hongera kaka ray mziki unasikika vizuri
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🥰🥰
@almasibet638
@almasibet638 3 жыл бұрын
Safi sana Anne...kazi nzuri
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much Kibet🙏🙏🙏❤❤❤❤
@immaculatemwikali7592
@immaculatemwikali7592 3 жыл бұрын
Sauti nzuri kweli,God bless you sister
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏🥰🥰
@andrewminja9470
@andrewminja9470 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥 Kazi nzuri sanaaa inatutafakarisha na kutualika kumpokea bwana Yesu katika mambo ya mkate na divai
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante🙏❤❤🙏🙏. Amina🙏🙏
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe sana
@lizzieliz1501
@lizzieliz1501 Жыл бұрын
Wow!! Such an angelic voice! Ann,youre blessed!! Keep it up gal,praise God when you can!!❤❤❤
@prosperndondole1509
@prosperndondole1509 3 жыл бұрын
Sauti na ujumbe vinanfariji sana Dada
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante🙏❤. Amina🙏❤
@africaneyetv467
@africaneyetv467 2 жыл бұрын
I had no option than to subscribe very very sweet oooooooo.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thankyou so much. Be blessed 🙏
@hiramkariuki318
@hiramkariuki318 3 жыл бұрын
Sweet song and the voice tops
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Thanks alot rafiki🙏❤❤
@clemencelubida6953
@clemencelubida6953 2 жыл бұрын
Hongera Sana wimbo unatubaliki sana
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏🙏😍
@nursecaren
@nursecaren 3 жыл бұрын
Zero dislikes a million likes ... more subsribers for you. Kazi nzuri nimeipenda dada , Mungu akuzidishie nguvu za kuzidi kumtumikia siku zote 🙏💯🎵🎶
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
AMINA AMINA🙏🙏❤
@poncegk5263
@poncegk5263 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, Anastacia Muema.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Nashukuru sana. Barikiwa pia kakangu🙏❤❤❤
@stephenmichael8943
@stephenmichael8943 2 жыл бұрын
Listening this for fourth time!!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thanks🙏😊
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 2 жыл бұрын
That voice,,,,awwwwhhhh. Produce more n more.
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Thank you so much. I will.😊
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 2 жыл бұрын
@@anastaciamuema u r our source of blessings gal.
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 жыл бұрын
Nimekuwa mfuatiliaji mzur wa nyimbo zako dad asante unanipa faraj na kumbukumb pale naposahau kwend kanisa lang pendwa ROMAN CATHOLIC🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Amina🙏. Sifa kwa Mungu wetu.🙏
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana siku zote
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
@@geroldjacob9845 nawe pia🤗
@brytonmachibya2610
@brytonmachibya2610 3 жыл бұрын
Wow kaziìi nzuriii mnoòooo😋😋😍😍😘😘
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🥰
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 3 жыл бұрын
Amen! Na mbarikiwe nyote
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Amina🙏. Barikiwa pia🙏❤
@paulotlatlaa3250
@paulotlatlaa3250 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Kwa wimbo mzrii
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante🙏. Amina🙏
@jimmyerick4021
@jimmyerick4021 3 жыл бұрын
baada ya kuisubiri hatimae, imetoka kazi nzuri sana Sauti tamu ubalikiwe sana 🙏🙏🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Nashukuru sana Jimmy🙏❤❤. Ubarikiwe pia🙏🙂
@jimmyerick4021
@jimmyerick4021 3 жыл бұрын
@@anastaciamuemaAmina endelea kutubariki kwa nyimbo tamu
@paulmziba1060
@paulmziba1060 3 жыл бұрын
Dosomi ........ Mimido faredo tido....... Solaladotilaso......... Hongera kwa mtumzi na muimbaji....... Anne imejaa vizuri sweet Melody .,... Good work..... Endelea kutubariki kwa kazi hii ya uimbaji Anne
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana mwalimu wangu🙏❤❤❤
@st.gregorythegreatchoir843
@st.gregorythegreatchoir843 3 жыл бұрын
@@anastaciamuema keep it up
@monicahngarachu6762
@monicahngarachu6762 3 жыл бұрын
Amina! Sauti nyororo, tamu na safi. Hongera Anastasia!! Endelea kusambaza injili kwa nyimbo. Mungu azidi kubariki kipaji chako cha uimbaji🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 жыл бұрын
Asante sana Monicah🙏🙏. Mungu akubariki🥰
@monicahngarachu6762
@monicahngarachu6762 3 жыл бұрын
@@anastaciamuema karibu. Baraka kwako pia.
Anastacia Muema- Sala ya Asubuhi (Official Video)
8:36
Anastacia Muema
Рет қаралды 415 М.
Anastacia Muema- Ni Upendo Tu (Official Video)
5:10
Anastacia Muema
Рет қаралды 682 М.
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 41 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,3 МЛН
Anastacia Muema- Usiogope Njoo (Official Video)
5:03
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,4 МЛН
SHUKRANI ZANGU - ST. MATTHIAS MULUMBA -TINDINYO SEMINARY CHOIR
5:19
ST. MATTHIAS MULUMBA - TINDINYO SEMINARY CHOIR
Рет қаралды 1 МЛН
MWIZI || Salasala SDA choir
6:23
Salasala SDA Church Choir
Рет қаралды 121 М.
Anastacia Muema- Kama Watoto Wachanga (Official Video)
4:26
Anastacia Muema
Рет қаралды 266 М.
Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua? (Official Music Video)
7:57
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 675 М.
Anastacia Muema- Shukrani Yangu (Official Video)
5:37
Anastacia Muema
Рет қаралды 963 М.
Anastacia Muema - Pongezi Kwa Utume ( Official Video )
6:09
Anastacia Muema
Рет қаралды 694 М.
MAMA MARIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)-
6:16
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 1,2 МЛН
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 2,6 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 68 МЛН
Umar Keyn - Ever 2024
3:10
Umar Keyn Music
Рет қаралды 311 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,9 МЛН
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 1,5 МЛН
IL’HAN - Bir aida (official video) 2024
4:01
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 125 М.