ASKOFU MWANAMAPINDUZI AWAANIKA HADHARANI VIONGOZI WANAFIKI NA WAONGO WAONGO, CHANZO CHA MIGOMO TZ

  Рет қаралды 1,138

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

20 күн бұрын

#TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi balaa, amvaa Rais Samia bila woga, migomo ya Wafanyabiashara, "ni siasa?, amezungukwa na watu waongo waongo"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 6
@SylviaCoelestine
@SylviaCoelestine 14 күн бұрын
Mwanamapinduzi Mungu akubariki sana umesema ukweli kabisa, wanamdanganya mama anashindwa kutoa maamuzi ya kusaidia wananchi wake anaamua kwa kusikiliza hao wanaomdanganya alafu wananchi wanakosa imani na mama wanaona kama anawapuuza, kumbe hao wanamdaganya wanasubiri hali iwe mbaya wamtupie lawama.
@AugustinoPeter-rn9bn
@AugustinoPeter-rn9bn 18 күн бұрын
Kugoma wilaya ya uvinza ni sh 22500
@macsaly8862
@macsaly8862 17 күн бұрын
Umeme umekuwa tishio. Hayo Mankato hatuyaelewi.
@user-mf7xy3sf6q
@user-mf7xy3sf6q 17 күн бұрын
Siyo kugoma ni kigoma
@Edwinkanyela
@Edwinkanyela 17 күн бұрын
Viongozi wa ccm ni zaidi ya majambazi maana wanatunyonya ,kwenye umeme do balaa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 14 күн бұрын
Carword into Tanzania national will drive as lnto more trable but is ok let it be ndio tutapa akili zaidi ujinga wetu ndani ya utumwa bado tunasubiri nvua ingine ili tuone Pana vuja
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 57 МЛН
LIVE: Mdahalo Juu ya Utendaji wa Mahakama na Matamko ya Kisiasa
1:28:23
Huenda wakazi wa Njiru, Chokaa na Mihango wakafurushwa
0:54
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 21 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН